WEBVTT 00:00:00.780 --> 00:00:02.220 Tuko nambari hamsini na tatu 00:00:02.220 --> 00:00:04.820 Inaeleza, Toni anajaribu kupata jibu la hii swali kwa kumaliza 00:00:04.820 --> 00:00:08.430 mraba. ax squared kuongeza c ni sawa na sufuri, vile a 00:00:08.430 --> 00:00:09.325 ni kubwa kuliko sufuri 00:00:09.325 --> 00:00:11.525 Hii ni " traditional quadratic hapo 00:00:11.525 --> 00:00:13.550 na tuone chenye walifanya 00:00:13.550 --> 00:00:17.660 kwanza, aliondoa c kutoka kwa upande zote kisha akapata ax 00:00:17.660 --> 00:00:20.950 squared kuongeza bx ni sawa na hasi c 00:00:20.950 --> 00:00:22.570 sawa, hio ni ukweli 00:00:22.570 --> 00:00:23.380 alafu tuone 00:00:23.380 --> 00:00:26.410 aligawanya upande zote kutumia a 00:00:26.410 --> 00:00:27.530 sawa, hio ni ukweli 00:00:27.530 --> 00:00:28.800 akapata c/a hasi 00:00:28.800 --> 00:00:30.970 Ni hatua gani inafaa kuwa hatua la tatu kwa hio shida? 00:00:30.970 --> 00:00:32.159 so anamaliza mraba 00:00:32.159 --> 00:00:37.260 kimsingi, anataka hii ikue mraba kamili 00:00:37.260 --> 00:00:39.870 haya tuone vile ataweza kufanya hivo 00:00:39.870 --> 00:00:46.783 tuko na x squared kuongeza b/a x- na nitawacha nafasi 00:00:46.783 --> 00:00:52.020 hapa -- ni kuondoa 00:00:52.020 --> 00:00:54.110 ndi hii ikue mraba kamili, lazima tuongeze 00:00:54.110 --> 00:00:56.810 kitu hapa, lazima tuongeze nambari. 00:00:56.810 --> 00:01:00.190 na tumejifunza kutoka video zilizopita na 00:01:00.190 --> 00:01:00.860 tuliithibitisha 00:01:00.860 --> 00:01:03.710 na kweli, niko na vidoe kadhaa kuhusu 00:01:03.710 --> 00:01:04.730 kumaliza mraba pekee