Tuko nambari hamsini na tatu
Inaeleza, Toni anajaribu kupata jibu la hii swali kwa kumaliza
mraba. ax squared kuongeza c ni sawa na sufuri, vile a
ni kubwa kuliko sufuri
Hii ni " traditional quadratic hapo
na tuone chenye walifanya
kwanza, aliondoa c kutoka kwa upande zote kisha akapata ax
squared kuongeza bx ni sawa na hasi c
sawa, hio ni ukweli
alafu tuone
aligawanya upande zote kutumia a
sawa, hio ni ukweli
akapata c/a hasi
Ni hatua gani inafaa kuwa hatua la tatu kwa hio shida?
so anamaliza mraba
kimsingi, anataka hii ikue mraba kamili
haya tuone vile ataweza kufanya hivo
tuko na x squared kuongeza b/a x- na nitawacha nafasi
hapa -- ni kuondoa
ndi hii ikue mraba kamili, lazima tuongeze
kitu hapa, lazima tuongeze nambari.
na tumejifunza kutoka video zilizopita na
tuliithibitisha
na kweli, niko na vidoe kadhaa kuhusu
kumaliza mraba pekee