WEBVTT 00:00:00.829 --> 00:00:03.048 Ninafundisha somo la kemia NOTE Paragraph 00:00:03.048 --> 00:00:04.414 (Mlipuko) NOTE Paragraph 00:00:04.414 --> 00:00:07.572 Sawa,Sawa. 00:00:07.572 --> 00:00:09.853 Ni zaidi ya milipuko, 00:00:09.853 --> 00:00:11.464 Kemia ipo kila mahali. 00:00:11.464 --> 00:00:14.104 Umeshawahi kuwa katika mgahawa 00:00:14.104 --> 00:00:16.449 ukiwa unajaribu kufanya hivi? 00:00:16.449 --> 00:00:18.654 Baadhi ya watu wanaitikia ndio. 00:00:18.654 --> 00:00:20.982 Hivi karibuni, niliwaonyesha wanafunzi wangu, 00:00:20.982 --> 00:00:25.331 niliwaambia waelezee kwa nini imetokea. 00:00:25.331 --> 00:00:27.952 Maswali na mazungumzo yaliyofuata 00:00:27.952 --> 00:00:29.603 yalikuwa ya kusisimua. 00:00:29.603 --> 00:00:31.417 angalia video hii ambayo Maddie 00:00:31.417 --> 00:00:34.587 kutoka darasa langu la tatu aliyonitumia jioni. NOTE Paragraph 00:00:45.104 --> 00:00:47.569 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:00:47.569 --> 00:00:50.763 Ni dhahiri,kama mwalimu wa kemia wa Maddie 00:00:50.763 --> 00:00:53.869 Nilifurahi kwamba alienda nyumbani na kuendelea 00:00:53.869 --> 00:00:56.487 na zoezi hili la ajabu 00:00:56.487 --> 00:00:57.909 ambalo tulilifanya darasani. 00:00:57.909 --> 00:01:00.855 Lakini kilichonisisimua zaidi ilikuwa ni kuwa udadisi wa Maddie 00:01:00.855 --> 00:01:02.549 ulimpeleka kwenye hatua nyingine. 00:01:02.549 --> 00:01:04.682 ukiangalia ndani ya kikopo hiki, 00:01:04.682 --> 00:01:06.242 unaweza ukaona mshumaa. 00:01:06.242 --> 00:01:09.251 Maddie anatumia joto kuifanya hali hii 00:01:09.251 --> 00:01:12.028 kuwa tukio jingine jipya. NOTE Paragraph 00:01:12.028 --> 00:01:15.266 Maswali na udadisi kama wa Maddie 00:01:15.266 --> 00:01:18.232 ndio sumaku zinazotuvuta kwa walimu wetu, 00:01:18.232 --> 00:01:21.184 na zinazidi teknolojia zote 00:01:21.184 --> 00:01:24.325 ubunifu mpya wa elimu. 00:01:24.325 --> 00:01:28.426 Lakini kama teknolojia kabla ya udadisi wa wanafunzi, 00:01:28.426 --> 00:01:30.549 tunaweza tukawa tunajinyima wenyewe 00:01:30.549 --> 00:01:35.483 zana muhimu kama walimu: maswali ya wanafunzi wetu. 00:01:35.483 --> 00:01:39.863 Kwa mfano,kupitia mhadhaa unaochosha 00:01:39.863 --> 00:01:41.640 kwa kutumia mtandao 00:01:41.640 --> 00:01:43.477 unaweza ukaokoa muda wa ufundishaji, 00:01:43.477 --> 00:01:46.376 lakini kama ni lengo la wanafunzi wetu. 00:01:46.376 --> 00:01:49.496 ni jambo lile lile la kudhalilisha 00:01:49.496 --> 00:01:51.728 ambalo limefungwa vizuri. 00:01:51.728 --> 00:01:54.003 Lakini kama tuna ujasiri 00:01:54.003 --> 00:01:56.873 wa kuwachanganya wanafunzi wetu, 00:01:56.873 --> 00:01:59.149 na kuamsha maswali ya kweli, 00:01:59.149 --> 00:02:02.149 ingawa maswali hayo sisi kama walimu yana taarifa 00:02:02.149 --> 00:02:05.177 ambazo tunaweza kuzitumia kwa ajili ya kutengeneza 00:02:05.177 --> 00:02:08.868 mfumo wa taarifa zilizochanganyika NOTE Paragraph 00:02:08.868 --> 00:02:14.040 ukiondoa maneno ya karne ya 21 kuhusu hali hii, 00:02:14.040 --> 00:02:18.244 Ukweli ni kuwa nimefundisha sasa kwa miaka 13, 00:02:18.244 --> 00:02:20.718 na ilibidi kuwe na tukio la kutisha 00:02:20.718 --> 00:02:23.665 kunitoa katika miaka 10 ya ufundishaji wa mazoea 00:02:23.665 --> 00:02:27.280 na kunifanya nijue kuwa maswali ya wanafunzi 00:02:27.280 --> 00:02:30.401 ndio mbegu za kujifunza hasa, 00:02:30.401 --> 00:02:32.515 na sio mtaala ambao umeshaandaliwa 00:02:32.515 --> 00:02:35.811 ambao unawapa tu taarifa chache NOTE Paragraph 00:02:35.811 --> 00:02:39.283 Mwezi Mei 2010,nikiwa na miaka 35, 00:02:39.283 --> 00:02:42.376 nikiwa na mtoto wa miaka 2 nyumbani na mtoto wa pili njiani 00:02:42.376 --> 00:02:44.992 niligundulika kuwa na kuongezeka kwa mishipa ya damu 00:02:44.992 --> 00:02:47.512 katika eneo la mshipa mkubwa wa damu wa aorta katika moyo 00:02:47.512 --> 00:02:50.564 ilisababisha nifanyiwe upasuaji wa moyo.Hii ni barua pepe 00:02:50.564 --> 00:02:52.098 kutoka kwa Daktari,pale. 00:02:52.098 --> 00:02:55.623 nilipoipata barua hii, nilikuwa 00:02:55.623 --> 00:02:58.088 nimechanganyikiwa kabisa? 00:02:58.088 --> 00:03:02.307 lakini nilipata mida ya faraja 00:03:02.307 --> 00:03:05.997 nikiwa na hakika aliyokuwa nayo daktari wangu. 00:03:05.997 --> 00:03:09.441 Alipata ujasiri huu? NOTE Paragraph 00:03:09.441 --> 00:03:13.033 Kwa hiyo nilipomuuliza,akaniambia vitu vitatu. 00:03:13.033 --> 00:03:16.415 akasema kwanza,udadisi wake ulimsukuma 00:03:16.415 --> 00:03:18.690 kuuliza maswali magumu kuhusu upasuaji, 00:03:18.690 --> 00:03:21.875 kuhusu uzuri na ubaya wake. 00:03:21.875 --> 00:03:24.969 Pili,aliikubali,na hakuogopa, 00:03:24.969 --> 00:03:27.045 mchakato wa kujaribu jaribu, 00:03:27.045 --> 00:03:29.554 mchakato usiokwepeka wa kujarijaribu. 00:03:29.554 --> 00:03:32.530 na tatu,kupitia kutafakari sana, 00:03:32.530 --> 00:03:35.206 alikusanya taarifa alizohitaji 00:03:35.206 --> 00:03:37.112 kusanifu na kupitia upya mchakato, 00:03:37.112 --> 00:03:40.633 na kwa mkono wa taratibu,akaokoa maisha yangu. NOTE Paragraph 00:03:40.633 --> 00:03:44.309 Nilichukua mengi kutoka maneno haya ya hekima, 00:03:44.309 --> 00:03:46.289 na kabla ya kwenda darasani majira ya kipupwe 00:03:46.289 --> 00:03:49.547 niliandika sheria tatu zangu mwenyewe 00:03:49.547 --> 00:03:52.327 ambazo nazitumia wakati napangillia masomo mpaka leo. 00:03:52.327 --> 00:03:56.369 Sheria ya kwanza: udadisi kwanza 00:03:56.369 --> 00:03:59.468 Maswali yanaweza kuwa dirisha la mazungumzo mazuri sana, 00:03:59.468 --> 00:04:02.158 lakini kinyume chake si sahihi 00:04:02.158 --> 00:04:05.792 Sheria ya pili: Kubaliana na hali ya fujo 00:04:05.792 --> 00:04:08.463 Sote ni walimu.Tunajua kujifunza ni vurugu tupu. 00:04:08.463 --> 00:04:11.334 na kwa sababu tu njia za kisayansi zimetengewa 00:04:11.334 --> 00:04:14.785 ukurasa wa tano wa kipengele 1.2 ya sura ya kwanza 00:04:14.785 --> 00:04:18.240 ambazo huwa tunaziruka,sawa, 00:04:18.240 --> 00:04:21.442 kujari jaribu bado kunaweza kuwa ni sehemu isiyo rasmi 00:04:21.442 --> 00:04:23.359 kwa vile tuvifanyavyo kila siku 00:04:23.359 --> 00:04:26.691 Katika kanisa la Moyo Mtakatifu ,chumba 206. 00:04:26.691 --> 00:04:30.713 Sheria namba tatu: Fanya zoezi la kutafakari. 00:04:30.713 --> 00:04:33.057 Tukifanyacho ni muhimu.inastahili kuangaliwa nasi, 00:04:33.057 --> 00:04:36.289 lakini instahili mapitio yetu. 00:04:36.289 --> 00:04:39.067 Je tunaweza kuwa madaktari wa madarasa yetu? 00:04:39.067 --> 00:04:42.063 Kama vile tuyafanyayosiku moja yataokoa maisha ya watu. 00:04:42.063 --> 00:04:43.614 Wanafunzi wetu,wanstahili kabisa. 00:04:43.614 --> 00:04:46.049 na kila hali ni tofauti. NOTE Paragraph 00:04:46.049 --> 00:04:47.144 (Mlipuko) NOTE Paragraph 00:04:47.144 --> 00:04:49.091 Sawa. Samahani 00:04:49.091 --> 00:04:50.999 Mwalimu wa Kemia ndani yangu alitaka kuta hicho 00:04:50.999 --> 00:04:53.834 nje yangu kabla hatujaendelea. NOTE Paragraph 00:04:53.834 --> 00:04:55.619 Kwa hiyo hawa ni mabinti zangu. 00:04:55.619 --> 00:04:59.291 Kulia kwangu tuna Emmalou -- Familia ya kusini 00:04:59.291 --> 00:05:02.073 Na kushoto,Riley. 00:05:02.073 --> 00:05:04.728 Riley atakuwa binti mkubwa wiki chache zijazo. 00:05:04.728 --> 00:05:06.422 Atakuwa na miaka minne, 00:05:06.422 --> 00:05:08.672 na yeyote amjuaye mtoto wa miaka minne 00:05:08.672 --> 00:05:11.872 anajua kuwa wanapenda kuuliza "kwa nini"? 00:05:11.872 --> 00:05:13.356 Ndiyo. Kwa nini. 00:05:13.356 --> 00:05:15.666 Naweza kumfundisha mtoto huyo chochote 00:05:15.666 --> 00:05:18.516 kwa sababu ni mdadisi wa kila kitu. 00:05:18.516 --> 00:05:20.999 Sote tulikuwa hivyo katika umri huo. 00:05:20.999 --> 00:05:24.474 Lakini changamoto kubwa ni kwa walimu wa mbeleni wa Riley 00:05:24.474 --> 00:05:27.296 ambao bado hajakutana nao. 00:05:27.296 --> 00:05:29.788 Watawezaje kuukuza udadisi huu? NOTE Paragraph 00:05:29.788 --> 00:05:35.270 Naweza nikasema kuwa Riley ni kama fumbo la watoto wote, 00:05:35.270 --> 00:05:38.664 Na nadhani kuacha shule kunakuja katika njia mbalimbali 00:05:38.664 --> 00:05:41.988 Kwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho, anayeacha shule kabla ya mwaka kwisha. 00:05:41.988 --> 00:05:47.006 au dawati tupu katika shule za sekondari za mijini. 00:05:47.006 --> 00:05:49.681 lakini,ikiwa sisi kama walimu tunaacha 00:05:49.681 --> 00:05:52.263 kazi nyepesi ya kusambaza taarifa 00:05:52.263 --> 00:05:54.600 na kukubaliana na dhana mpya 00:05:54.600 --> 00:05:57.644 ya wapandaji wa udadisi na uulizaji maswali, 00:05:57.644 --> 00:05:59.869 tunaweza kusababisha maana zaidi 00:05:59.869 --> 00:06:02.584 kuwepo kwao shuleni,na kuwasha cheche za tafakari. NOTE Paragraph 00:06:02.584 --> 00:06:04.168 Asante sana. NOTE Paragraph 00:06:04.168 --> 00:06:09.861 (Makofi).