Ninafundisha somo la kemia (Mlipuko) Sawa,Sawa. Ni zaidi ya milipuko, Kemia ipo kila mahali. Umeshawahi kuwa katika mgahawa ukiwa unajaribu kufanya hivi? Baadhi ya watu wanaitikia ndio. Hivi karibuni, niliwaonyesha wanafunzi wangu, niliwaambia waelezee kwa nini imetokea. Maswali na mazungumzo yaliyofuata yalikuwa ya kusisimua. angalia video hii ambayo Maddie kutoka darasa langu la tatu aliyonitumia jioni. (Vicheko) Ni dhahiri,kama mwalimu wa kemia wa Maddie Nilifurahi kwamba alienda nyumbani na kuendelea na zoezi hili la ajabu ambalo tulilifanya darasani. Lakini kilichonisisimua zaidi ilikuwa ni kuwa udadisi wa Maddie ulimpeleka kwenye hatua nyingine. ukiangalia ndani ya kikopo hiki, unaweza ukaona mshumaa. Maddie anatumia joto kuifanya hali hii kuwa tukio jingine jipya. Maswali na udadisi kama wa Maddie ndio sumaku zinazotuvuta kwa walimu wetu, na zinazidi teknolojia zote ubunifu mpya wa elimu. Lakini kama teknolojia kabla ya udadisi wa wanafunzi, tunaweza tukawa tunajinyima wenyewe zana muhimu kama walimu: maswali ya wanafunzi wetu. Kwa mfano,kupitia mhadhaa unaochosha kwa kutumia mtandao unaweza ukaokoa muda wa ufundishaji, lakini kama ni lengo la wanafunzi wetu. ni jambo lile lile la kudhalilisha ambalo limefungwa vizuri. Lakini kama tuna ujasiri wa kuwachanganya wanafunzi wetu, na kuamsha maswali ya kweli, ingawa maswali hayo sisi kama walimu yana taarifa ambazo tunaweza kuzitumia kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa taarifa zilizochanganyika ukiondoa maneno ya karne ya 21 kuhusu hali hii, Ukweli ni kuwa nimefundisha sasa kwa miaka 13, na ilibidi kuwe na tukio la kutisha kunitoa katika miaka 10 ya ufundishaji wa mazoea na kunifanya nijue kuwa maswali ya wanafunzi ndio mbegu za kujifunza hasa, na sio mtaala ambao umeshaandaliwa ambao unawapa tu taarifa chache Mwezi Mei 2010,nikiwa na miaka 35, nikiwa na mtoto wa miaka 2 nyumbani na mtoto wa pili njiani niligundulika kuwa na kuongezeka kwa mishipa ya damu katika eneo la mshipa mkubwa wa damu wa aorta katika moyo ilisababisha nifanyiwe upasuaji wa moyo.Hii ni barua pepe kutoka kwa Daktari,pale. nilipoipata barua hii, nilikuwa nimechanganyikiwa kabisa? lakini nilipata mida ya faraja nikiwa na hakika aliyokuwa nayo daktari wangu. Alipata ujasiri huu? Kwa hiyo nilipomuuliza,akaniambia vitu vitatu. akasema kwanza,udadisi wake ulimsukuma kuuliza maswali magumu kuhusu upasuaji, kuhusu uzuri na ubaya wake. Pili,aliikubali,na hakuogopa, mchakato wa kujaribu jaribu, mchakato usiokwepeka wa kujarijaribu. na tatu,kupitia kutafakari sana, alikusanya taarifa alizohitaji kusanifu na kupitia upya mchakato, na kwa mkono wa taratibu,akaokoa maisha yangu. Nilichukua mengi kutoka maneno haya ya hekima, na kabla ya kwenda darasani majira ya kipupwe niliandika sheria tatu zangu mwenyewe ambazo nazitumia wakati napangillia masomo mpaka leo. Sheria ya kwanza: udadisi kwanza Maswali yanaweza kuwa dirisha la mazungumzo mazuri sana, lakini kinyume chake si sahihi Sheria ya pili: Kubaliana na hali ya fujo Sote ni walimu.Tunajua kujifunza ni vurugu tupu. na kwa sababu tu njia za kisayansi zimetengewa ukurasa wa tano wa kipengele 1.2 ya sura ya kwanza ambazo huwa tunaziruka,sawa, kujari jaribu bado kunaweza kuwa ni sehemu isiyo rasmi kwa vile tuvifanyavyo kila siku Katika kanisa la Moyo Mtakatifu ,chumba 206. Sheria namba tatu: Fanya zoezi la kutafakari. Tukifanyacho ni muhimu.inastahili kuangaliwa nasi, lakini instahili mapitio yetu. Je tunaweza kuwa madaktari wa madarasa yetu? Kama vile tuyafanyayosiku moja yataokoa maisha ya watu. Wanafunzi wetu,wanstahili kabisa. na kila hali ni tofauti. (Mlipuko) Sawa. Samahani Mwalimu wa Kemia ndani yangu alitaka kuta hicho nje yangu kabla hatujaendelea. Kwa hiyo hawa ni mabinti zangu. Kulia kwangu tuna Emmalou -- Familia ya kusini Na kushoto,Riley. Riley atakuwa binti mkubwa wiki chache zijazo. Atakuwa na miaka minne, na yeyote amjuaye mtoto wa miaka minne anajua kuwa wanapenda kuuliza "kwa nini"? Ndiyo. Kwa nini. Naweza kumfundisha mtoto huyo chochote kwa sababu ni mdadisi wa kila kitu. Sote tulikuwa hivyo katika umri huo. Lakini changamoto kubwa ni kwa walimu wa mbeleni wa Riley ambao bado hajakutana nao. Watawezaje kuukuza udadisi huu? Naweza nikasema kuwa Riley ni kama fumbo la watoto wote, Na nadhani kuacha shule kunakuja katika njia mbalimbali Kwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho, anayeacha shule kabla ya mwaka kwisha. au dawati tupu katika shule za sekondari za mijini. lakini,ikiwa sisi kama walimu tunaacha kazi nyepesi ya kusambaza taarifa na kukubaliana na dhana mpya ya wapandaji wa udadisi na uulizaji maswali, tunaweza kusababisha maana zaidi kuwepo kwao shuleni,na kuwasha cheche za tafakari. Asante sana. (Makofi).