1 00:00:00,829 --> 00:00:03,048 Ninafundisha somo la kemia 2 00:00:03,048 --> 00:00:04,414 (Mlipuko) 3 00:00:04,414 --> 00:00:07,572 Sawa,Sawa. 4 00:00:07,572 --> 00:00:09,853 Ni zaidi ya milipuko, 5 00:00:09,853 --> 00:00:11,464 Kemia ipo kila mahali. 6 00:00:11,464 --> 00:00:14,104 Umeshawahi kuwa katika mgahawa 7 00:00:14,104 --> 00:00:16,449 ukiwa unajaribu kufanya hivi? 8 00:00:16,449 --> 00:00:18,654 Baadhi ya watu wanaitikia ndio. 9 00:00:18,654 --> 00:00:20,982 Hivi karibuni, niliwaonyesha wanafunzi wangu, 10 00:00:20,982 --> 00:00:25,331 niliwaambia waelezee kwa nini imetokea. 11 00:00:25,331 --> 00:00:27,952 Maswali na mazungumzo yaliyofuata 12 00:00:27,952 --> 00:00:29,603 yalikuwa ya kusisimua. 13 00:00:29,603 --> 00:00:31,417 angalia video hii ambayo Maddie 14 00:00:31,417 --> 00:00:34,587 kutoka darasa langu la tatu aliyonitumia jioni. 15 00:00:45,104 --> 00:00:47,569 (Vicheko) 16 00:00:47,569 --> 00:00:50,763 Ni dhahiri,kama mwalimu wa kemia wa Maddie 17 00:00:50,763 --> 00:00:53,869 Nilifurahi kwamba alienda nyumbani na kuendelea 18 00:00:53,869 --> 00:00:56,487 na zoezi hili la ajabu 19 00:00:56,487 --> 00:00:57,909 ambalo tulilifanya darasani. 20 00:00:57,909 --> 00:01:00,855 Lakini kilichonisisimua zaidi ilikuwa ni kuwa udadisi wa Maddie 21 00:01:00,855 --> 00:01:02,549 ulimpeleka kwenye hatua nyingine. 22 00:01:02,549 --> 00:01:04,682 ukiangalia ndani ya kikopo hiki, 23 00:01:04,682 --> 00:01:06,242 unaweza ukaona mshumaa. 24 00:01:06,242 --> 00:01:09,251 Maddie anatumia joto kuifanya hali hii 25 00:01:09,251 --> 00:01:12,028 kuwa tukio jingine jipya. 26 00:01:12,028 --> 00:01:15,266 Maswali na udadisi kama wa Maddie 27 00:01:15,266 --> 00:01:18,232 ndio sumaku zinazotuvuta kwa walimu wetu, 28 00:01:18,232 --> 00:01:21,184 na zinazidi teknolojia zote 29 00:01:21,184 --> 00:01:24,325 ubunifu mpya wa elimu. 30 00:01:24,325 --> 00:01:28,426 Lakini kama teknolojia kabla ya udadisi wa wanafunzi, 31 00:01:28,426 --> 00:01:30,549 tunaweza tukawa tunajinyima wenyewe 32 00:01:30,549 --> 00:01:35,483 zana muhimu kama walimu: maswali ya wanafunzi wetu. 33 00:01:35,483 --> 00:01:39,863 Kwa mfano,kupitia mhadhaa unaochosha 34 00:01:39,863 --> 00:01:41,640 kwa kutumia mtandao 35 00:01:41,640 --> 00:01:43,477 unaweza ukaokoa muda wa ufundishaji, 36 00:01:43,477 --> 00:01:46,376 lakini kama ni lengo la wanafunzi wetu. 37 00:01:46,376 --> 00:01:49,496 ni jambo lile lile la kudhalilisha 38 00:01:49,496 --> 00:01:51,728 ambalo limefungwa vizuri. 39 00:01:51,728 --> 00:01:54,003 Lakini kama tuna ujasiri 40 00:01:54,003 --> 00:01:56,873 wa kuwachanganya wanafunzi wetu, 41 00:01:56,873 --> 00:01:59,149 na kuamsha maswali ya kweli, 42 00:01:59,149 --> 00:02:02,149 ingawa maswali hayo sisi kama walimu yana taarifa 43 00:02:02,149 --> 00:02:05,177 ambazo tunaweza kuzitumia kwa ajili ya kutengeneza 44 00:02:05,177 --> 00:02:08,868 mfumo wa taarifa zilizochanganyika 45 00:02:08,868 --> 00:02:14,040 ukiondoa maneno ya karne ya 21 kuhusu hali hii, 46 00:02:14,040 --> 00:02:18,244 Ukweli ni kuwa nimefundisha sasa kwa miaka 13, 47 00:02:18,244 --> 00:02:20,718 na ilibidi kuwe na tukio la kutisha 48 00:02:20,718 --> 00:02:23,665 kunitoa katika miaka 10 ya ufundishaji wa mazoea 49 00:02:23,665 --> 00:02:27,280 na kunifanya nijue kuwa maswali ya wanafunzi 50 00:02:27,280 --> 00:02:30,401 ndio mbegu za kujifunza hasa, 51 00:02:30,401 --> 00:02:32,515 na sio mtaala ambao umeshaandaliwa 52 00:02:32,515 --> 00:02:35,811 ambao unawapa tu taarifa chache 53 00:02:35,811 --> 00:02:39,283 Mwezi Mei 2010,nikiwa na miaka 35, 54 00:02:39,283 --> 00:02:42,376 nikiwa na mtoto wa miaka 2 nyumbani na mtoto wa pili njiani 55 00:02:42,376 --> 00:02:44,992 niligundulika kuwa na kuongezeka kwa mishipa ya damu 56 00:02:44,992 --> 00:02:47,512 katika eneo la mshipa mkubwa wa damu wa aorta katika moyo 57 00:02:47,512 --> 00:02:50,564 ilisababisha nifanyiwe upasuaji wa moyo.Hii ni barua pepe 58 00:02:50,564 --> 00:02:52,098 kutoka kwa Daktari,pale. 59 00:02:52,098 --> 00:02:55,623 nilipoipata barua hii, nilikuwa 60 00:02:55,623 --> 00:02:58,088 nimechanganyikiwa kabisa? 61 00:02:58,088 --> 00:03:02,307 lakini nilipata mida ya faraja 62 00:03:02,307 --> 00:03:05,997 nikiwa na hakika aliyokuwa nayo daktari wangu. 63 00:03:05,997 --> 00:03:09,441 Alipata ujasiri huu? 64 00:03:09,441 --> 00:03:13,033 Kwa hiyo nilipomuuliza,akaniambia vitu vitatu. 65 00:03:13,033 --> 00:03:16,415 akasema kwanza,udadisi wake ulimsukuma 66 00:03:16,415 --> 00:03:18,690 kuuliza maswali magumu kuhusu upasuaji, 67 00:03:18,690 --> 00:03:21,875 kuhusu uzuri na ubaya wake. 68 00:03:21,875 --> 00:03:24,969 Pili,aliikubali,na hakuogopa, 69 00:03:24,969 --> 00:03:27,045 mchakato wa kujaribu jaribu, 70 00:03:27,045 --> 00:03:29,554 mchakato usiokwepeka wa kujarijaribu. 71 00:03:29,554 --> 00:03:32,530 na tatu,kupitia kutafakari sana, 72 00:03:32,530 --> 00:03:35,206 alikusanya taarifa alizohitaji 73 00:03:35,206 --> 00:03:37,112 kusanifu na kupitia upya mchakato, 74 00:03:37,112 --> 00:03:40,633 na kwa mkono wa taratibu,akaokoa maisha yangu. 75 00:03:40,633 --> 00:03:44,309 Nilichukua mengi kutoka maneno haya ya hekima, 76 00:03:44,309 --> 00:03:46,289 na kabla ya kwenda darasani majira ya kipupwe 77 00:03:46,289 --> 00:03:49,547 niliandika sheria tatu zangu mwenyewe 78 00:03:49,547 --> 00:03:52,327 ambazo nazitumia wakati napangillia masomo mpaka leo. 79 00:03:52,327 --> 00:03:56,369 Sheria ya kwanza: udadisi kwanza 80 00:03:56,369 --> 00:03:59,468 Maswali yanaweza kuwa dirisha la mazungumzo mazuri sana, 81 00:03:59,468 --> 00:04:02,158 lakini kinyume chake si sahihi 82 00:04:02,158 --> 00:04:05,792 Sheria ya pili: Kubaliana na hali ya fujo 83 00:04:05,792 --> 00:04:08,463 Sote ni walimu.Tunajua kujifunza ni vurugu tupu. 84 00:04:08,463 --> 00:04:11,334 na kwa sababu tu njia za kisayansi zimetengewa 85 00:04:11,334 --> 00:04:14,785 ukurasa wa tano wa kipengele 1.2 ya sura ya kwanza 86 00:04:14,785 --> 00:04:18,240 ambazo huwa tunaziruka,sawa, 87 00:04:18,240 --> 00:04:21,442 kujari jaribu bado kunaweza kuwa ni sehemu isiyo rasmi 88 00:04:21,442 --> 00:04:23,359 kwa vile tuvifanyavyo kila siku 89 00:04:23,359 --> 00:04:26,691 Katika kanisa la Moyo Mtakatifu ,chumba 206. 90 00:04:26,691 --> 00:04:30,713 Sheria namba tatu: Fanya zoezi la kutafakari. 91 00:04:30,713 --> 00:04:33,057 Tukifanyacho ni muhimu.inastahili kuangaliwa nasi, 92 00:04:33,057 --> 00:04:36,289 lakini instahili mapitio yetu. 93 00:04:36,289 --> 00:04:39,067 Je tunaweza kuwa madaktari wa madarasa yetu? 94 00:04:39,067 --> 00:04:42,063 Kama vile tuyafanyayosiku moja yataokoa maisha ya watu. 95 00:04:42,063 --> 00:04:43,614 Wanafunzi wetu,wanstahili kabisa. 96 00:04:43,614 --> 00:04:46,049 na kila hali ni tofauti. 97 00:04:46,049 --> 00:04:47,144 (Mlipuko) 98 00:04:47,144 --> 00:04:49,091 Sawa. Samahani 99 00:04:49,091 --> 00:04:50,999 Mwalimu wa Kemia ndani yangu alitaka kuta hicho 100 00:04:50,999 --> 00:04:53,834 nje yangu kabla hatujaendelea. 101 00:04:53,834 --> 00:04:55,619 Kwa hiyo hawa ni mabinti zangu. 102 00:04:55,619 --> 00:04:59,291 Kulia kwangu tuna Emmalou -- Familia ya kusini 103 00:04:59,291 --> 00:05:02,073 Na kushoto,Riley. 104 00:05:02,073 --> 00:05:04,728 Riley atakuwa binti mkubwa wiki chache zijazo. 105 00:05:04,728 --> 00:05:06,422 Atakuwa na miaka minne, 106 00:05:06,422 --> 00:05:08,672 na yeyote amjuaye mtoto wa miaka minne 107 00:05:08,672 --> 00:05:11,872 anajua kuwa wanapenda kuuliza "kwa nini"? 108 00:05:11,872 --> 00:05:13,356 Ndiyo. Kwa nini. 109 00:05:13,356 --> 00:05:15,666 Naweza kumfundisha mtoto huyo chochote 110 00:05:15,666 --> 00:05:18,516 kwa sababu ni mdadisi wa kila kitu. 111 00:05:18,516 --> 00:05:20,999 Sote tulikuwa hivyo katika umri huo. 112 00:05:20,999 --> 00:05:24,474 Lakini changamoto kubwa ni kwa walimu wa mbeleni wa Riley 113 00:05:24,474 --> 00:05:27,296 ambao bado hajakutana nao. 114 00:05:27,296 --> 00:05:29,788 Watawezaje kuukuza udadisi huu? 115 00:05:29,788 --> 00:05:35,270 Naweza nikasema kuwa Riley ni kama fumbo la watoto wote, 116 00:05:35,270 --> 00:05:38,664 Na nadhani kuacha shule kunakuja katika njia mbalimbali 117 00:05:38,664 --> 00:05:41,988 Kwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho, anayeacha shule kabla ya mwaka kwisha. 118 00:05:41,988 --> 00:05:47,006 au dawati tupu katika shule za sekondari za mijini. 119 00:05:47,006 --> 00:05:49,681 lakini,ikiwa sisi kama walimu tunaacha 120 00:05:49,681 --> 00:05:52,263 kazi nyepesi ya kusambaza taarifa 121 00:05:52,263 --> 00:05:54,600 na kukubaliana na dhana mpya 122 00:05:54,600 --> 00:05:57,644 ya wapandaji wa udadisi na uulizaji maswali, 123 00:05:57,644 --> 00:05:59,869 tunaweza kusababisha maana zaidi 124 00:05:59,869 --> 00:06:02,584 kuwepo kwao shuleni,na kuwasha cheche za tafakari. 125 00:06:02,584 --> 00:06:04,168 Asante sana. 126 00:06:04,168 --> 00:06:09,861 (Makofi).