0:00:00.829,0:00:03.048 Ninafundisha somo la kemia 0:00:03.048,0:00:04.414 (Mlipuko) 0:00:04.414,0:00:07.572 Sawa,Sawa. 0:00:07.572,0:00:09.853 Ni zaidi ya milipuko, 0:00:09.853,0:00:11.464 Kemia ipo kila mahali. 0:00:11.464,0:00:14.104 Umeshawahi kuwa katika mgahawa 0:00:14.104,0:00:16.449 ukiwa unajaribu kufanya hivi? 0:00:16.449,0:00:18.654 Baadhi ya watu wanaitikia ndio. 0:00:18.654,0:00:20.982 Hivi karibuni, niliwaonyesha wanafunzi wangu, 0:00:20.982,0:00:25.331 niliwaambia waelezee kwa nini imetokea. 0:00:25.331,0:00:27.952 Maswali na mazungumzo yaliyofuata 0:00:27.952,0:00:29.603 yalikuwa ya kusisimua. 0:00:29.603,0:00:31.417 angalia video hii ambayo Maddie 0:00:31.417,0:00:34.587 kutoka darasa langu la tatu aliyonitumia jioni. 0:00:45.104,0:00:47.569 (Vicheko) 0:00:47.569,0:00:50.763 Ni dhahiri,kama mwalimu wa kemia wa Maddie 0:00:50.763,0:00:53.869 Nilifurahi kwamba alienda nyumbani na kuendelea 0:00:53.869,0:00:56.487 na zoezi hili la ajabu 0:00:56.487,0:00:57.909 ambalo tulilifanya darasani. 0:00:57.909,0:01:00.855 Lakini kilichonisisimua zaidi ilikuwa ni kuwa udadisi wa Maddie 0:01:00.855,0:01:02.549 ulimpeleka kwenye hatua nyingine. 0:01:02.549,0:01:04.682 ukiangalia ndani ya kikopo hiki, 0:01:04.682,0:01:06.242 unaweza ukaona mshumaa. 0:01:06.242,0:01:09.251 Maddie anatumia joto kuifanya hali hii 0:01:09.251,0:01:12.028 kuwa tukio jingine jipya. 0:01:12.028,0:01:15.266 Maswali na udadisi kama wa Maddie 0:01:15.266,0:01:18.232 ndio sumaku zinazotuvuta kwa walimu wetu, 0:01:18.232,0:01:21.184 na zinazidi teknolojia zote 0:01:21.184,0:01:24.325 ubunifu mpya wa elimu. 0:01:24.325,0:01:28.426 Lakini kama teknolojia kabla ya udadisi wa wanafunzi, 0:01:28.426,0:01:30.549 tunaweza tukawa tunajinyima wenyewe 0:01:30.549,0:01:35.483 zana muhimu kama walimu: maswali ya wanafunzi wetu. 0:01:35.483,0:01:39.863 Kwa mfano,kupitia mhadhaa unaochosha 0:01:39.863,0:01:41.640 kwa kutumia mtandao 0:01:41.640,0:01:43.477 unaweza ukaokoa muda wa ufundishaji, 0:01:43.477,0:01:46.376 lakini kama ni lengo la wanafunzi wetu. 0:01:46.376,0:01:49.496 ni jambo lile lile la kudhalilisha 0:01:49.496,0:01:51.728 ambalo limefungwa vizuri. 0:01:51.728,0:01:54.003 Lakini kama tuna ujasiri 0:01:54.003,0:01:56.873 wa kuwachanganya wanafunzi wetu, 0:01:56.873,0:01:59.149 na kuamsha maswali ya kweli, 0:01:59.149,0:02:02.149 ingawa maswali hayo sisi kama walimu yana taarifa 0:02:02.149,0:02:05.177 ambazo tunaweza kuzitumia kwa ajili ya kutengeneza 0:02:05.177,0:02:08.868 mfumo wa taarifa zilizochanganyika 0:02:08.868,0:02:14.040 ukiondoa maneno ya karne ya 21 kuhusu hali hii, 0:02:14.040,0:02:18.244 Ukweli ni kuwa nimefundisha sasa kwa miaka 13, 0:02:18.244,0:02:20.718 na ilibidi kuwe na tukio la kutisha 0:02:20.718,0:02:23.665 kunitoa katika miaka 10 ya ufundishaji wa mazoea 0:02:23.665,0:02:27.280 na kunifanya nijue kuwa maswali ya wanafunzi 0:02:27.280,0:02:30.401 ndio mbegu za kujifunza hasa, 0:02:30.401,0:02:32.515 na sio mtaala ambao umeshaandaliwa 0:02:32.515,0:02:35.811 ambao unawapa tu taarifa chache 0:02:35.811,0:02:39.283 Mwezi Mei 2010,nikiwa na miaka 35, 0:02:39.283,0:02:42.376 nikiwa na mtoto wa miaka 2 nyumbani na mtoto wa pili njiani 0:02:42.376,0:02:44.992 niligundulika kuwa na kuongezeka kwa mishipa ya damu 0:02:44.992,0:02:47.512 katika eneo la mshipa mkubwa wa damu wa aorta katika moyo 0:02:47.512,0:02:50.564 ilisababisha nifanyiwe upasuaji wa moyo.Hii ni barua pepe 0:02:50.564,0:02:52.098 kutoka kwa Daktari,pale. 0:02:52.098,0:02:55.623 nilipoipata barua hii, nilikuwa 0:02:55.623,0:02:58.088 nimechanganyikiwa kabisa? 0:02:58.088,0:03:02.307 lakini nilipata mida ya faraja 0:03:02.307,0:03:05.997 nikiwa na hakika aliyokuwa nayo daktari wangu. 0:03:05.997,0:03:09.441 Alipata ujasiri huu? 0:03:09.441,0:03:13.033 Kwa hiyo nilipomuuliza,akaniambia vitu vitatu. 0:03:13.033,0:03:16.415 akasema kwanza,udadisi wake ulimsukuma 0:03:16.415,0:03:18.690 kuuliza maswali magumu kuhusu upasuaji, 0:03:18.690,0:03:21.875 kuhusu uzuri na ubaya wake. 0:03:21.875,0:03:24.969 Pili,aliikubali,na hakuogopa, 0:03:24.969,0:03:27.045 mchakato wa kujaribu jaribu, 0:03:27.045,0:03:29.554 mchakato usiokwepeka wa kujarijaribu. 0:03:29.554,0:03:32.530 na tatu,kupitia kutafakari sana, 0:03:32.530,0:03:35.206 alikusanya taarifa alizohitaji 0:03:35.206,0:03:37.112 kusanifu na kupitia upya mchakato, 0:03:37.112,0:03:40.633 na kwa mkono wa taratibu,akaokoa maisha yangu. 0:03:40.633,0:03:44.309 Nilichukua mengi kutoka maneno haya ya hekima, 0:03:44.309,0:03:46.289 na kabla ya kwenda darasani majira ya kipupwe 0:03:46.289,0:03:49.547 niliandika sheria tatu zangu mwenyewe 0:03:49.547,0:03:52.327 ambazo nazitumia wakati napangillia masomo mpaka leo. 0:03:52.327,0:03:56.369 Sheria ya kwanza: udadisi kwanza 0:03:56.369,0:03:59.468 Maswali yanaweza kuwa dirisha la mazungumzo mazuri sana, 0:03:59.468,0:04:02.158 lakini kinyume chake si sahihi 0:04:02.158,0:04:05.792 Sheria ya pili: Kubaliana na hali ya fujo 0:04:05.792,0:04:08.463 Sote ni walimu.Tunajua kujifunza ni vurugu tupu. 0:04:08.463,0:04:11.334 na kwa sababu tu njia za kisayansi zimetengewa 0:04:11.334,0:04:14.785 ukurasa wa tano wa kipengele 1.2 ya sura ya kwanza 0:04:14.785,0:04:18.240 ambazo huwa tunaziruka,sawa, 0:04:18.240,0:04:21.442 kujari jaribu bado kunaweza kuwa ni sehemu isiyo rasmi 0:04:21.442,0:04:23.359 kwa vile tuvifanyavyo kila siku 0:04:23.359,0:04:26.691 Katika kanisa la Moyo Mtakatifu ,chumba 206. 0:04:26.691,0:04:30.713 Sheria namba tatu: Fanya zoezi la kutafakari. 0:04:30.713,0:04:33.057 Tukifanyacho ni muhimu.inastahili kuangaliwa nasi, 0:04:33.057,0:04:36.289 lakini instahili mapitio yetu. 0:04:36.289,0:04:39.067 Je tunaweza kuwa madaktari wa madarasa yetu? 0:04:39.067,0:04:42.063 Kama vile tuyafanyayosiku moja yataokoa maisha ya watu. 0:04:42.063,0:04:43.614 Wanafunzi wetu,wanstahili kabisa. 0:04:43.614,0:04:46.049 na kila hali ni tofauti. 0:04:46.049,0:04:47.144 (Mlipuko) 0:04:47.144,0:04:49.091 Sawa. Samahani 0:04:49.091,0:04:50.999 Mwalimu wa Kemia ndani yangu alitaka kuta hicho 0:04:50.999,0:04:53.834 nje yangu kabla hatujaendelea. 0:04:53.834,0:04:55.619 Kwa hiyo hawa ni mabinti zangu. 0:04:55.619,0:04:59.291 Kulia kwangu tuna Emmalou -- Familia ya kusini 0:04:59.291,0:05:02.073 Na kushoto,Riley. 0:05:02.073,0:05:04.728 Riley atakuwa binti mkubwa wiki chache zijazo. 0:05:04.728,0:05:06.422 Atakuwa na miaka minne, 0:05:06.422,0:05:08.672 na yeyote amjuaye mtoto wa miaka minne 0:05:08.672,0:05:11.872 anajua kuwa wanapenda kuuliza "kwa nini"? 0:05:11.872,0:05:13.356 Ndiyo. Kwa nini. 0:05:13.356,0:05:15.666 Naweza kumfundisha mtoto huyo chochote 0:05:15.666,0:05:18.516 kwa sababu ni mdadisi wa kila kitu. 0:05:18.516,0:05:20.999 Sote tulikuwa hivyo katika umri huo. 0:05:20.999,0:05:24.474 Lakini changamoto kubwa ni kwa walimu wa mbeleni wa Riley 0:05:24.474,0:05:27.296 ambao bado hajakutana nao. 0:05:27.296,0:05:29.788 Watawezaje kuukuza udadisi huu? 0:05:29.788,0:05:35.270 Naweza nikasema kuwa Riley ni kama fumbo la watoto wote, 0:05:35.270,0:05:38.664 Na nadhani kuacha shule kunakuja katika njia mbalimbali 0:05:38.664,0:05:41.988 Kwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho, anayeacha shule kabla ya mwaka kwisha. 0:05:41.988,0:05:47.006 au dawati tupu katika shule za sekondari za mijini. 0:05:47.006,0:05:49.681 lakini,ikiwa sisi kama walimu tunaacha 0:05:49.681,0:05:52.263 kazi nyepesi ya kusambaza taarifa 0:05:52.263,0:05:54.600 na kukubaliana na dhana mpya 0:05:54.600,0:05:57.644 ya wapandaji wa udadisi na uulizaji maswali, 0:05:57.644,0:05:59.869 tunaweza kusababisha maana zaidi 0:05:59.869,0:06:02.584 kuwepo kwao shuleni,na kuwasha cheche za tafakari. 0:06:02.584,0:06:04.168 Asante sana. 0:06:04.168,0:06:09.861 (Makofi).