Ninafundisha somo la kemia
(Mlipuko)
Sawa,Sawa.
Ni zaidi ya milipuko,
Kemia ipo kila mahali.
Umeshawahi kuwa katika mgahawa
ukiwa unajaribu kufanya hivi?
Baadhi ya watu wanaitikia ndio.
Hivi karibuni, niliwaonyesha wanafunzi wangu,
niliwaambia waelezee kwa nini imetokea.
Maswali na mazungumzo yaliyofuata
yalikuwa ya kusisimua.
angalia video hii ambayo Maddie
kutoka darasa langu la tatu aliyonitumia jioni.
(Vicheko)
Ni dhahiri,kama mwalimu wa kemia wa Maddie
Nilifurahi kwamba alienda nyumbani na kuendelea
na zoezi hili la ajabu
ambalo tulilifanya darasani.
Lakini kilichonisisimua zaidi ilikuwa ni kuwa udadisi wa Maddie
ulimpeleka kwenye hatua nyingine.
ukiangalia ndani ya kikopo hiki,
unaweza ukaona mshumaa.
Maddie anatumia joto kuifanya hali hii
kuwa tukio jingine jipya.
Maswali na udadisi kama wa Maddie
ndio sumaku zinazotuvuta kwa walimu wetu,
na zinazidi teknolojia zote
ubunifu mpya wa elimu.
Lakini kama teknolojia kabla ya udadisi wa wanafunzi,
tunaweza tukawa tunajinyima wenyewe
zana muhimu kama walimu: maswali ya wanafunzi wetu.
Kwa mfano,kupitia mhadhaa unaochosha
kwa kutumia mtandao
unaweza ukaokoa muda wa ufundishaji,
lakini kama ni lengo la wanafunzi wetu.
ni jambo lile lile la kudhalilisha
ambalo limefungwa vizuri.
Lakini kama tuna ujasiri
wa kuwachanganya wanafunzi wetu,
na kuamsha maswali ya kweli,
ingawa maswali hayo sisi kama walimu yana taarifa
ambazo tunaweza kuzitumia kwa ajili ya kutengeneza
mfumo wa taarifa zilizochanganyika
ukiondoa maneno ya karne ya 21 kuhusu hali hii,
Ukweli ni kuwa nimefundisha sasa kwa miaka 13,
na ilibidi kuwe na tukio la kutisha
kunitoa katika miaka 10 ya ufundishaji wa mazoea
na kunifanya nijue kuwa maswali ya wanafunzi
ndio mbegu za kujifunza hasa,
na sio mtaala ambao umeshaandaliwa
ambao unawapa tu taarifa chache
Mwezi Mei 2010,nikiwa na miaka 35,
nikiwa na mtoto wa miaka 2 nyumbani na mtoto wa pili njiani
niligundulika kuwa na kuongezeka kwa mishipa ya damu
katika eneo la mshipa mkubwa wa damu wa aorta katika moyo
ilisababisha nifanyiwe upasuaji wa moyo.Hii ni barua pepe
kutoka kwa Daktari,pale.
nilipoipata barua hii, nilikuwa
nimechanganyikiwa kabisa?
lakini nilipata mida ya faraja
nikiwa na hakika aliyokuwa nayo daktari wangu.
Alipata ujasiri huu?
Kwa hiyo nilipomuuliza,akaniambia vitu vitatu.
akasema kwanza,udadisi wake ulimsukuma
kuuliza maswali magumu kuhusu upasuaji,
kuhusu uzuri na ubaya wake.
Pili,aliikubali,na hakuogopa,
mchakato wa kujaribu jaribu,
mchakato usiokwepeka wa kujarijaribu.
na tatu,kupitia kutafakari sana,
alikusanya taarifa alizohitaji
kusanifu na kupitia upya mchakato,
na kwa mkono wa taratibu,akaokoa maisha yangu.
Nilichukua mengi kutoka maneno haya ya hekima,
na kabla ya kwenda darasani majira ya kipupwe
niliandika sheria tatu zangu mwenyewe
ambazo nazitumia wakati napangillia masomo mpaka leo.
Sheria ya kwanza: udadisi kwanza
Maswali yanaweza kuwa dirisha la mazungumzo mazuri sana,
lakini kinyume chake si sahihi
Sheria ya pili: Kubaliana na hali ya fujo
Sote ni walimu.Tunajua kujifunza ni vurugu tupu.
na kwa sababu tu njia za kisayansi zimetengewa
ukurasa wa tano wa kipengele 1.2 ya sura ya kwanza
ambazo huwa tunaziruka,sawa,
kujari jaribu bado kunaweza kuwa ni sehemu isiyo rasmi
kwa vile tuvifanyavyo kila siku
Katika kanisa la Moyo Mtakatifu ,chumba 206.
Sheria namba tatu: Fanya zoezi la kutafakari.
Tukifanyacho ni muhimu.inastahili kuangaliwa nasi,
lakini instahili mapitio yetu.
Je tunaweza kuwa madaktari wa madarasa yetu?
Kama vile tuyafanyayosiku moja yataokoa maisha ya watu.
Wanafunzi wetu,wanstahili kabisa.
na kila hali ni tofauti.
(Mlipuko)
Sawa. Samahani
Mwalimu wa Kemia ndani yangu alitaka kuta hicho
nje yangu kabla hatujaendelea.
Kwa hiyo hawa ni mabinti zangu.
Kulia kwangu tuna Emmalou -- Familia ya kusini
Na kushoto,Riley.
Riley atakuwa binti mkubwa wiki chache zijazo.
Atakuwa na miaka minne,
na yeyote amjuaye mtoto wa miaka minne
anajua kuwa wanapenda kuuliza "kwa nini"?
Ndiyo. Kwa nini.
Naweza kumfundisha mtoto huyo chochote
kwa sababu ni mdadisi wa kila kitu.
Sote tulikuwa hivyo katika umri huo.
Lakini changamoto kubwa ni kwa walimu wa mbeleni wa Riley
ambao bado hajakutana nao.
Watawezaje kuukuza udadisi huu?
Naweza nikasema kuwa Riley ni kama fumbo la watoto wote,
Na nadhani kuacha shule kunakuja katika njia mbalimbali
Kwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho, anayeacha shule kabla ya mwaka kwisha.
au dawati tupu katika shule za sekondari za mijini.
lakini,ikiwa sisi kama walimu tunaacha
kazi nyepesi ya kusambaza taarifa
na kukubaliana na dhana mpya
ya wapandaji wa udadisi na uulizaji maswali,
tunaweza kusababisha maana zaidi
kuwepo kwao shuleni,na kuwasha cheche za tafakari.
Asante sana.
(Makofi).