WEBVTT 00:00:07.062 --> 00:00:12.313 Vipi kama mabinti duniani kote 00:00:13.419 --> 00:00:15.554 wangehamasishwa kuwa zaidi 00:00:16.210 --> 00:00:17.633 badala ya kuwekwa chini? 00:00:19.227 --> 00:00:22.751 Vipi kama mkazo ukahama 00:00:23.471 --> 00:00:25.593 kutoka kwa jinsi tunavyoonekana 00:00:26.473 --> 00:00:29.690 mpaka uwezekano wa tunachoweza kufanya? 00:00:31.220 --> 00:00:34.100 Kama binti mdogo, ninaishi kwenye dunia 00:00:34.340 --> 00:00:38.853 ambayo mara kwa mara ninashambuliwa na ujumbe wa kunitaka niwe duni, 00:00:39.823 --> 00:00:44.728 nile kidogo, nivae kidogo, niwe mwembamba, 00:00:45.188 --> 00:00:48.241 kunyweza matarajio yangu yaweze kutoshea, 00:00:48.571 --> 00:00:51.871 kumngoja Mfalme wangu anayevutia aje kuniokoa, 00:00:52.141 --> 00:00:55.070 au kuepuka shughuli ambazo ni za wavulana 00:00:55.071 --> 00:00:57.963 kwa sababu sina nguvu ya kutosha au niliye imara. 00:00:58.983 --> 00:01:02.700 Huu ujumbe ulichochea hofu na wasiwasi. 00:01:02.701 --> 00:01:05.069 Ninabaki kufikiria mara zote 00:01:05.071 --> 00:01:09.200 kama nina uwezo wa kutosha au nikae tu kwenye usalama 00:01:09.201 --> 00:01:11.863 ili nisiishie kuonekana mpuuzi. 00:01:12.803 --> 00:01:14.292 Lakini fikiria 00:01:14.852 --> 00:01:18.110 kama wanawake wote kwenye nchi fulani 00:01:18.350 --> 00:01:21.630 wakachukua hatua moja mbele upande wa kiasi cha kuamini 00:01:21.631 --> 00:01:23.811 kwenye uwezo wao. 00:01:24.341 --> 00:01:28.283 Matumaini ya nchi hiyo yatakuaje mbeleni? 00:01:29.073 --> 00:01:32.828 Sasa fikiria kama mabinti wote wa hii dunia 00:01:32.829 --> 00:01:35.660 wangechukua hatua hiyo hiyo mbele kwenye kufikiri kwao 00:01:35.661 --> 00:01:38.341 kwa ni nini kinawezekana kwao. 00:01:38.701 --> 00:01:43.321 Matumaini ya huko mbeleni yatakuaje kwa dunia yetu kwa kila mtu? 00:01:43.322 --> 00:01:46.150 Hayo ni mawazo ya kijasiri. 00:01:46.610 --> 00:01:52.561 Na hata hivyo, ni raha zaidi kujaribu kuwa zaidi kuliko kuwa chini. 00:01:54.211 --> 00:01:57.141 Aprili mwaka huu, nikiwa na miaka 14, 00:01:57.142 --> 00:02:00.430 nilikua mdogo wa wote - mwanaume, au mwanamke - kwenye historia 00:02:00.431 --> 00:02:03.920 kuteleza kuelekea Ncha ya Kaskazini kutoka popote nje ya Digrii ya Mwisho. 00:02:03.921 --> 00:02:05.071 (Makofi) 00:02:05.072 --> 00:02:06.091 Asanteni. 00:02:06.092 --> 00:02:07.671 (Makofi) 00:02:08.392 --> 00:02:09.812 Asanteni. 00:02:11.132 --> 00:02:14.905 Ilikua pia safari ndefu zaidi kuelekea kwenye Ncha na mwanamke yoyote duniani 00:02:14.906 --> 00:02:16.805 kwenye miaka miwili iliyopita. 00:02:17.445 --> 00:02:18.584 (Makofi) 00:02:18.585 --> 00:02:19.865 Asanteni. 00:02:21.675 --> 00:02:27.963 Nilisukuma sledi iliyokuwa nzito kama mimi, kwenye umbali zaidi ya kilomita 150 00:02:27.964 --> 00:02:31.560 kama ilivyopimwa kwenye mstari ulionyooka kutoka kwenye Ncha, kwa kuteleza, 00:02:31.561 --> 00:02:33.784 kwenye halijoto ya chini ya digrii 30. 00:02:36.116 --> 00:02:36.366 Kilomita mia na hamsini zinaweza kuonekana si mbaya sana, 00:02:37.794 --> 00:02:41.268 mpaka uelewe mazingira ya huko juu kwenye Bahari ya Aktiki. 00:02:42.428 --> 00:02:46.383 Tusingeweza kupata njia kuzungukia au juu ya maeneo yaliyoganda 00:02:46.384 --> 00:02:49.544 amapo barafu ya bahari iligongana kutengeneza kifusi cha barafu, 00:02:49.545 --> 00:02:54.196 na mara nyingine, hiki kifusi cha barafu kinaweza kua kuta urefu wa mita baadhi kwenda juu. 00:02:55.066 --> 00:02:58.067 Tulitakiwa kutafuta njia kuzungukia mwelekezo wa maji ya wazi, 00:02:58.068 --> 00:02:59.646 ambapo barafu ya bahari ilipasuka. 00:03:00.386 --> 00:03:03.224 Pale tuliposhindwa, ilitubidi kujenga daraja na sledi zetu, 00:03:03.225 --> 00:03:05.986 au mtu angeogelea akiwa na suti ya kuzama, 00:03:05.987 --> 00:03:09.958 wakati wengine tulivutwa kwenye chelezo iliyotengenezwa na sledi zetu. 00:03:11.428 --> 00:03:13.929 Tulikua tunasafiri kwenye bahari ya barafu inayoelea, 00:03:13.930 --> 00:03:17.169 hivyo mikondo ya bahari ilikua inatufanya tupoteze mwelekeo, 00:03:17.170 --> 00:03:19.909 mara nyingi tulisikia barafu bahari ikimeguka chini yetu 00:03:19.910 --> 00:03:22.069 na tukawaza kama tungeangukia 00:03:22.070 --> 00:03:24.029 chini kwenye bahari iliyoganda. 00:03:24.030 --> 00:03:26.081 Pia tulizipita nyayo za dubu wanaoishi barafuni, 00:03:26.082 --> 00:03:28.791 na tulikaa macho usiku tukiwasikilizia, 00:03:28.792 --> 00:03:30.749 sio kwamba tungelala vizuri hata hivyo, 00:03:30.750 --> 00:03:34.251 kama ilivyo ni mwangaza masaa-24 huko juu huu mda wa mwaka. 00:03:35.231 --> 00:03:37.023 Na mimi sio mtelezaji pia. 00:03:37.553 --> 00:03:41.645 Nilijifunza tu kuteleza mwaka uliopita, kwenye safari ya siku tatu ya New Zealand. 00:03:41.646 --> 00:03:42.922 (Kicheko) 00:03:43.672 --> 00:03:45.721 Hakuna barafu nyingi ninapoishi 00:03:45.722 --> 00:03:49.121 hivyo nilijifunza karibu kila siku kwa zaidi ya mwaka kabla, 00:03:49.122 --> 00:03:53.242 ikiwemo kuburuza matairi kila mahali, ambayo ilikua karibu sana na ukweli. 00:03:55.043 --> 00:03:59.483 Hivyo, unaweza fikiria, mwendo ulikua taratibu na mgumu. 00:04:00.483 --> 00:04:04.704 Licha ya malengelenge kadhaa, nilipoteza hisia kwenye ncha za vidole vyangu, 00:04:04.705 --> 00:04:06.182 ambayo hatimaye ilirudi 00:04:06.183 --> 00:04:09.043 baada ya ngozi yote kufa na kumenyeka. 00:04:09.703 --> 00:04:14.961 Na mbaya ya yote, nilipata jamidi kwenye paja langu la juu na makalio 00:04:14.962 --> 00:04:18.233 kwa kujifunua kwenye baridi ya kuganda na upepo 00:04:18.233 --> 00:04:20.322 kila mara nilipoenda chooni. 00:04:20.322 --> 00:04:21.743 (Kicheko) 00:04:21.744 --> 00:04:24.423 Lakini nilipenda. 00:04:24.983 --> 00:04:27.954 Ilikua ni uzoefu mzuri kabisa la maisha yangu mpaka sasa, 00:04:27.955 --> 00:04:31.982 na nilipenda sana hii sehemu nzuri lakini dhaifu ya dunia yetu. 00:04:32.632 --> 00:04:36.672 Na kwa jinsi nilivyotaka kurudi nyumbani na kuona familia yangu na marafiki, 00:04:36.673 --> 00:04:38.815 nilisikitika sana kuondoka. 00:04:39.735 --> 00:04:44.454 Aprili ijayo, mpango wangu ni kuteleza kilomita 540 katikati ya Greenland 00:04:44.455 --> 00:04:45.639 nitapokuwa na miaka 15, 00:04:46.089 --> 00:04:48.004 halafu, mwishoni mwa mwaka ujao, 00:04:48.005 --> 00:04:52.714 niteleze kilomita 1,170 kutoka kwenye pwani ya Antaktika mpaka Ncha ya Kusini, 00:04:52.715 --> 00:04:54.795 na mda huo, nitakua na miaka 16. 00:04:55.805 --> 00:04:59.294 Nikiweza kufika huko, pembeni ya rekodi chache ndogo, 00:04:59.295 --> 00:05:02.104 nitakua mtu mdogo wa wote kuteleza kwenye Ncha zote mbili 00:05:02.105 --> 00:05:04.025 na kukamilisha Polar Hat Trick. 00:05:05.935 --> 00:05:08.676 Nini nilichojifunza kwenye maisha yangu mafupi mpaka sasa 00:05:08.677 --> 00:05:10.693 ambacho kitafaa kuwashirikisha? 00:05:11.673 --> 00:05:17.172 Nimejifunza kua ujumbe wote ule niliopokea kila siku kuwa chini hazifai. 00:05:18.257 --> 00:05:20.906 Nimejifunza kua kwa kupanua ndoto zangu 00:05:20.907 --> 00:05:24.077 inashindikana kufikiria kuhusu kuwa mdogo. 00:05:24.937 --> 00:05:27.595 Badala ya kuangalia jinsi tunavyoonekana, 00:05:27.596 --> 00:05:30.856 tuangalie ni nini miili yetu na akili zetu zinaweza kufanya 00:05:30.857 --> 00:05:32.998 na kugundua uwezekano wa ajabu 00:05:32.998 --> 00:05:37.168 ambao unauwezo wa na unaweza kuchangia kwenye hii dunia. 00:05:38.018 --> 00:05:41.566 Hakuna kibaya na kutaka kuboresha umbo lako, 00:05:41.567 --> 00:05:46.106 lakini tatizo ni pale watu wanapojitolea uwezo wao au afya zao 00:05:46.107 --> 00:05:47.485 ili tu waingie kwenye 00:05:47.486 --> 00:05:50.386 kwenye kiwango flani cha muonekano unaoundwa na watu wengine. 00:05:50.676 --> 00:05:53.997 Tuifanye iwe kuhusu nini unachofanya na sio jinsi unavyoonekana. 00:05:54.837 --> 00:05:56.485 Ukifikiria kuhusu hilo, 00:05:56.486 --> 00:06:00.227 kinachochekesha kuhusu akaunti nyingi za mitandao ya kijamii za mazoezi 00:06:00.228 --> 00:06:02.278 ni kua zinatuma picha za wenyewe 00:06:02.279 --> 00:06:05.749 wakisimama mbele ya kioo bila kufanya chochote. 00:06:05.750 --> 00:06:06.868 (Kicheko) 00:06:06.869 --> 00:06:08.258 Hio haileti hamasa. 00:06:08.259 --> 00:06:11.003 Hio inajaribu tu kufanya sisi wengine tujiskie vibaya. 00:06:11.113 --> 00:06:12.940 Nafikiri inaleta hamasa zaidi 00:06:12.941 --> 00:06:16.110 kuona picha na video za watu wakifanya kitu kabisa. 00:06:16.111 --> 00:06:17.231 Asanteni. 00:06:17.232 --> 00:06:18.452 (Makofi) 00:06:21.692 --> 00:06:23.580 Hivyo tunabadilishaje vitu? 00:06:23.860 --> 00:06:26.249 Tunahamishaje malengo yetu? 00:06:26.759 --> 00:06:30.757 Kwa mimi, ninapoona wanawake wengine wakisonga mbele licha ya hofu, 00:06:30.758 --> 00:06:32.920 ninajifunza kinachowezekana. 00:06:33.390 --> 00:06:35.850 Kuna mifano mizuri 00:06:35.851 --> 00:06:39.151 ya wanawake kwenye historia wakichagua kuwa zaidi. 00:06:39.571 --> 00:06:41.822 Lakini kama ilivyo ajabu kwangu 00:06:41.823 --> 00:06:44.801 kwa wasichana wanaoweza kufanya kazi ya muda huku wakisoma 00:06:44.802 --> 00:06:46.542 kusaidia familia zao; 00:06:46.822 --> 00:06:49.840 wasichana wanaosimama kwa kile wanachoamini; 00:06:49.841 --> 00:06:52.082 wasichana wanaoamka kukiwa giza kila asubuhi, 00:06:52.083 --> 00:06:55.083 kujizoeza, kuwa bora katika mchezo wanaopenda; 00:06:55.593 --> 00:07:00.315 wasichana wanaokaa macho usiku kusoma kwa bidii kufanikiwa kwenye elimu yao; 00:07:01.045 --> 00:07:05.856 msichana yeyote anaekataa kukubali na ujumbe wa kuwa chini. 00:07:07.335 --> 00:07:11.524 Hivyo, kama wewe ni mzazi wangu, ndugu yangu, mwalimu wangu, au kocha wangu, 00:07:11.525 --> 00:07:13.313 basi ninaongea na wewe. 00:07:14.443 --> 00:07:19.039 Msiwe mnanilinda sana kwa sababu tu mimi ni msichana. 00:07:19.339 --> 00:07:21.137 Nihamasishe nifanye vitu vingi 00:07:21.137 --> 00:07:25.010 kwenye kukimbiza ndoto ambazo ni muhimu kwangu na sio kwako. 00:07:26.060 --> 00:07:27.348 Udada - 00:07:27.668 --> 00:07:30.495 tusherehekee mafanikio ya marafiki zetu. 00:07:30.496 --> 00:07:32.157 Tusiwashushe chini! 00:07:32.158 --> 00:07:35.529 Nimeshangazwa na msaada niliopokea kwa marafiki zangu. 00:07:35.829 --> 00:07:39.499 Lakini muhimu kuliko yote, ni lazima kuanza na sisi wenyewe. 00:07:40.608 --> 00:07:44.149 Sisi ni adui wetu wakubwa. 00:07:44.579 --> 00:07:46.638 Tunatakiwa kutoka nje ya njia zetu wenyewe 00:07:46.639 --> 00:07:50.680 na kuacha kujali sana kuhusu nini wengine wanafikiri. 00:07:51.090 --> 00:07:54.661 Ukweli ni kwamba kila mtu anawasiwasi kuhusu 00:07:54.662 --> 00:07:57.041 nini kila mtu anawaza kuhusu wao. 00:07:57.431 --> 00:08:00.570 Tunahitaji kuangalia kwenye tunachotaka kwa ajili yetu 00:08:00.571 --> 00:08:03.221 kwenye mstari na thamani zetu binafsi 00:08:03.222 --> 00:08:06.728 sio hizo za wazazi, marafiki, au shule tunazokwenda. 00:08:06.729 --> 00:08:09.714 Usifanye kwa wengine, fanya kwa ajili yako. 00:08:10.494 --> 00:08:16.655 Kuendeleza tunachoamini kinawezekana, tunatakiwa kuwa na ujasiri,. 00:08:17.425 --> 00:08:21.836 Tunatakiwa tujiandae na tuwe tayari kushindwa. 00:08:22.756 --> 00:08:26.255 Usingoje mpaka ufikiri unaweza kufanya kitu vizuri, 00:08:26.256 --> 00:08:28.026 anza tu. 00:08:28.546 --> 00:08:32.283 Nilikua tayari ninateleza mara moja kwenye maisha yangu kabla, 00:08:32.284 --> 00:08:34.544 halafu nikajaribu kuteleza kwenye Ncha ya Kusini, 00:08:34.784 --> 00:08:37.365 ambayo ni raha sana nikiwaza kuhusu hilo. 00:08:37.366 --> 00:08:38.486 (Kicheko) 00:08:38.486 --> 00:08:43.583 Nimejaribu kukojoa kwa kusimama kutumia mpare wa kukojoa kwenye digrii 20 chini 00:08:43.585 --> 00:08:45.635 na nikashindwa vibaya sana. 00:08:45.636 --> 00:08:47.006 (Kicheko) 00:08:47.526 --> 00:08:48.933 Nikatumia siku iliyobaki 00:08:48.934 --> 00:08:53.126 nikiteleza kwenye suruali iliyojaa mkojo wangu mwenyewe ulioganda. 00:08:53.127 --> 00:08:54.555 (Kicheko) 00:08:55.845 --> 00:08:59.024 Ujasiri sio kutokuwepo kwa hofu 00:08:59.644 --> 00:09:02.076 lakini nia ya kuchukua hatua 00:09:02.406 --> 00:09:05.373 licha ya uwepo wa hofu au kutojiamini. 00:09:06.163 --> 00:09:09.677 Bila ujiasiri, maisha yetu yanabaki madogo. 00:09:10.747 --> 00:09:14.203 Hivyo tujitoe kuchukua hatua moja mbele 00:09:14.204 --> 00:09:17.023 kwenye mawazo yetu na matarajio yetu 00:09:17.024 --> 00:09:20.645 kwenye nini kinawezekana kwa mabinti kupata. 00:09:21.205 --> 00:09:23.545 Tuchunguze maisha yetu mara kwa mara 00:09:23.546 --> 00:09:27.805 kua tunalenga kwenye nini tunaweza kufanya na sio jinsi tunavyoonekana. 00:09:28.885 --> 00:09:31.925 Hizo hatua zote ndogo zitaleta maana karibuni, 00:09:31.926 --> 00:09:36.482 na tutaendeleza kwa pamoja nini kinachowezekana kwa mabinti 00:09:36.483 --> 00:09:39.376 na matokeo yake, kwa mustakabali wa dunia yetu, 00:09:39.376 --> 00:09:40.409 Asanteni. 00:09:40.409 --> 00:09:41.799 (Makofi)