0:00:07.062,0:00:12.313 Vipi kama mabinti duniani kote 0:00:13.419,0:00:15.554 wangehamasishwa kuwa zaidi 0:00:16.210,0:00:17.633 badala ya kuwekwa chini? 0:00:19.227,0:00:22.751 Vipi kama mkazo ukahama 0:00:23.471,0:00:25.593 kutoka kwa jinsi tunavyoonekana 0:00:26.473,0:00:29.690 mpaka uwezekano wa tunachoweza kufanya? 0:00:31.220,0:00:34.100 Kama binti mdogo, ninaishi kwenye dunia 0:00:34.340,0:00:38.853 ambayo mara kwa mara ninashambuliwa[br]na ujumbe wa kunitaka niwe duni, 0:00:39.823,0:00:44.728 nile kidogo, nivae kidogo, niwe mwembamba, 0:00:45.188,0:00:48.241 kunyweza matarajio yangu yaweze kutoshea, 0:00:48.571,0:00:51.871 kumngoja Mfalme wangu anayevutia[br]aje kuniokoa, 0:00:52.141,0:00:55.070 au kuepuka shughuli ambazo ni za wavulana 0:00:55.071,0:00:57.963 kwa sababu sina nguvu ya kutosha au niliye imara. 0:00:58.983,0:01:02.700 Huu ujumbe ulichochea[br]hofu na wasiwasi. 0:01:02.701,0:01:05.069 Ninabaki kufikiria mara zote 0:01:05.071,0:01:09.200 kama nina uwezo wa kutosha[br]au nikae tu kwenye usalama 0:01:09.201,0:01:11.863 ili nisiishie[br]kuonekana mpuuzi. 0:01:12.803,0:01:14.292 Lakini fikiria 0:01:14.852,0:01:18.110 kama wanawake wote kwenye[br]nchi fulani 0:01:18.350,0:01:21.630 wakachukua hatua moja mbele[br]upande wa kiasi cha kuamini 0:01:21.631,0:01:23.811 kwenye uwezo wao. 0:01:24.341,0:01:28.283 Matumaini ya nchi hiyo[br]yatakuaje mbeleni? 0:01:29.073,0:01:32.828 Sasa fikiria kama mabinti[br]wote wa hii dunia 0:01:32.829,0:01:35.660 wangechukua hatua hiyo hiyo mbele[br]kwenye kufikiri kwao 0:01:35.661,0:01:38.341 kwa ni nini kinawezekana kwao. 0:01:38.701,0:01:43.321 Matumaini ya huko mbeleni yatakuaje[br]kwa dunia yetu kwa kila mtu? 0:01:43.322,0:01:46.150 Hayo ni mawazo ya kijasiri. 0:01:46.610,0:01:52.561 Na hata hivyo, ni raha zaidi[br]kujaribu kuwa zaidi kuliko kuwa chini. 0:01:54.211,0:01:57.141 Aprili mwaka huu, nikiwa na miaka 14, 0:01:57.142,0:02:00.430 nilikua mdogo wa wote -[br]mwanaume, au mwanamke - kwenye historia 0:02:00.431,0:02:03.920 kuteleza kuelekea Ncha ya Kaskazini[br]kutoka popote nje ya Digrii ya Mwisho. 0:02:03.921,0:02:05.071 (Makofi) 0:02:05.072,0:02:06.091 Asanteni. 0:02:06.092,0:02:07.671 (Makofi) 0:02:08.392,0:02:09.812 Asanteni. 0:02:11.132,0:02:14.905 Ilikua pia safari ndefu zaidi kuelekea[br]kwenye Ncha na mwanamke yoyote duniani 0:02:14.906,0:02:16.805 kwenye miaka miwili iliyopita. 0:02:17.445,0:02:18.584 (Makofi) 0:02:18.585,0:02:19.865 Asanteni. 0:02:21.675,0:02:27.963 Nilisukuma sledi iliyokuwa nzito kama[br]mimi, kwenye umbali zaidi ya kilomita 150 0:02:27.964,0:02:31.560 kama ilivyopimwa kwenye mstari ulionyooka[br]kutoka kwenye Ncha, kwa kuteleza, 0:02:31.561,0:02:33.784 kwenye halijoto ya chini ya digrii 30. 0:02:36.116,0:02:36.366 Kilomita mia na hamsini zinaweza kuonekana si mbaya sana, 0:02:37.794,0:02:41.268 mpaka uelewe mazingira ya[br]huko juu kwenye Bahari ya Aktiki. 0:02:42.428,0:02:46.383 Tusingeweza kupata njia kuzungukia[br]au juu ya maeneo yaliyoganda 0:02:46.384,0:02:49.544 amapo barafu ya bahari iligongana[br]kutengeneza kifusi cha barafu, 0:02:49.545,0:02:54.196 na mara nyingine, hiki kifusi cha barafu[br]kinaweza kua kuta urefu wa mita baadhi kwenda juu. 0:02:55.066,0:02:58.067 Tulitakiwa kutafuta njia kuzungukia[br]mwelekezo wa maji ya wazi, 0:02:58.068,0:02:59.646 ambapo barafu ya bahari[br]ilipasuka. 0:03:00.386,0:03:03.224 Pale tuliposhindwa,[br]ilitubidi kujenga daraja na sledi zetu, 0:03:03.225,0:03:05.986 au mtu angeogelea[br]akiwa na suti ya kuzama, 0:03:05.987,0:03:09.958 wakati wengine tulivutwa kwenye[br]chelezo iliyotengenezwa na sledi zetu. 0:03:11.428,0:03:13.929 Tulikua tunasafiri kwenye bahari ya barafu[br]inayoelea, 0:03:13.930,0:03:17.169 hivyo mikondo ya bahari[br]ilikua inatufanya tupoteze mwelekeo, 0:03:17.170,0:03:19.909 mara nyingi tulisikia barafu[br]bahari ikimeguka chini yetu 0:03:19.910,0:03:22.069 na tukawaza kama[br]tungeangukia 0:03:22.070,0:03:24.029 chini kwenye bahari iliyoganda. 0:03:24.030,0:03:26.081 Pia tulizipita nyayo za dubu wanaoishi barafuni, 0:03:26.082,0:03:28.791 na tulikaa macho usiku[br]tukiwasikilizia, 0:03:28.792,0:03:30.749 sio kwamba tungelala vizuri hata hivyo, 0:03:30.750,0:03:34.251 kama ilivyo ni mwangaza masaa-24 huko juu[br]huu mda wa mwaka. 0:03:35.231,0:03:37.023 Na mimi sio mtelezaji pia. 0:03:37.553,0:03:41.645 Nilijifunza tu kuteleza mwaka uliopita,[br]kwenye safari ya siku tatu ya New Zealand. 0:03:41.646,0:03:42.922 (Kicheko) 0:03:43.672,0:03:45.721 Hakuna barafu nyingi ninapoishi 0:03:45.722,0:03:49.121 hivyo nilijifunza karibu kila siku[br]kwa zaidi ya mwaka kabla, 0:03:49.122,0:03:53.242 ikiwemo kuburuza matairi kila mahali,[br]ambayo ilikua karibu sana na ukweli. 0:03:55.043,0:03:59.483 Hivyo, unaweza fikiria,[br]mwendo ulikua taratibu na mgumu. 0:04:00.483,0:04:04.704 Licha ya malengelenge kadhaa, nilipoteza[br]hisia kwenye ncha za vidole vyangu, 0:04:04.705,0:04:06.182 ambayo hatimaye ilirudi 0:04:06.183,0:04:09.043 baada ya ngozi yote kufa[br]na kumenyeka. 0:04:09.703,0:04:14.961 Na mbaya ya yote, nilipata jamidi[br]kwenye paja langu la juu na makalio 0:04:14.962,0:04:18.233 kwa kujifunua kwenye baridi[br]ya kuganda na upepo 0:04:18.233,0:04:20.322 kila mara nilipoenda chooni. 0:04:20.322,0:04:21.743 (Kicheko) 0:04:21.744,0:04:24.423 Lakini nilipenda. 0:04:24.983,0:04:27.954 Ilikua ni uzoefu mzuri kabisa la maisha[br]yangu mpaka sasa, 0:04:27.955,0:04:31.982 na nilipenda sana hii sehemu nzuri[br]lakini dhaifu ya dunia yetu. 0:04:32.632,0:04:36.672 Na kwa jinsi nilivyotaka kurudi nyumbani[br]na kuona familia yangu na marafiki, 0:04:36.673,0:04:38.815 nilisikitika sana kuondoka. 0:04:39.735,0:04:44.454 Aprili ijayo, mpango wangu ni kuteleza[br]kilomita 540 katikati ya Greenland 0:04:44.455,0:04:45.639 nitapokuwa na miaka 15, 0:04:46.089,0:04:48.004 halafu, mwishoni mwa mwaka ujao, 0:04:48.005,0:04:52.714 niteleze kilomita 1,170 kutoka kwenye[br]pwani ya Antaktika mpaka Ncha ya Kusini, 0:04:52.715,0:04:54.795 na mda huo, nitakua na miaka 16. 0:04:55.805,0:04:59.294 Nikiweza kufika huko,[br]pembeni ya rekodi chache ndogo, 0:04:59.295,0:05:02.104 nitakua mtu mdogo wa wote[br]kuteleza kwenye Ncha zote mbili 0:05:02.105,0:05:04.025 na kukamilisha Polar Hat Trick. 0:05:05.935,0:05:08.676 Nini nilichojifunza kwenye maisha[br]yangu mafupi mpaka sasa 0:05:08.677,0:05:10.693 ambacho kitafaa kuwashirikisha? 0:05:11.673,0:05:17.172 Nimejifunza kua ujumbe wote ule[br]niliopokea kila siku kuwa chini hazifai. 0:05:18.257,0:05:20.906 Nimejifunza kua kwa kupanua ndoto zangu 0:05:20.907,0:05:24.077 inashindikana kufikiria kuhusu[br]kuwa mdogo. 0:05:24.937,0:05:27.595 Badala ya kuangalia jinsi tunavyoonekana, 0:05:27.596,0:05:30.856 tuangalie ni nini miili yetu na [br]akili zetu zinaweza kufanya 0:05:30.857,0:05:32.998 na kugundua uwezekano wa ajabu 0:05:32.998,0:05:37.168 ambao unauwezo wa na unaweza[br]kuchangia kwenye hii dunia. 0:05:38.018,0:05:41.566 Hakuna kibaya na kutaka[br]kuboresha umbo lako, 0:05:41.567,0:05:46.106 lakini tatizo ni pale watu wanapojitolea[br]uwezo wao au afya zao 0:05:46.107,0:05:47.485 ili tu waingie kwenye 0:05:47.486,0:05:50.386 kwenye kiwango flani cha muonekano[br]unaoundwa na watu wengine. 0:05:50.676,0:05:53.997 Tuifanye iwe kuhusu nini[br]unachofanya na sio jinsi unavyoonekana. 0:05:54.837,0:05:56.485 Ukifikiria kuhusu hilo, 0:05:56.486,0:06:00.227 kinachochekesha kuhusu akaunti[br]nyingi za mitandao ya kijamii za mazoezi 0:06:00.228,0:06:02.278 ni kua zinatuma picha za wenyewe 0:06:02.279,0:06:05.749 wakisimama mbele ya kioo[br]bila kufanya chochote. 0:06:05.750,0:06:06.868 (Kicheko) 0:06:06.869,0:06:08.258 Hio haileti hamasa. 0:06:08.259,0:06:11.003 Hio inajaribu tu kufanya sisi[br]wengine tujiskie vibaya. 0:06:11.113,0:06:12.940 Nafikiri inaleta hamasa zaidi 0:06:12.941,0:06:16.110 kuona picha na video za watu[br]wakifanya kitu kabisa. 0:06:16.111,0:06:17.231 Asanteni. 0:06:17.232,0:06:18.452 (Makofi) 0:06:21.692,0:06:23.580 Hivyo tunabadilishaje vitu? 0:06:23.860,0:06:26.249 Tunahamishaje malengo yetu? 0:06:26.759,0:06:30.757 Kwa mimi, ninapoona wanawake wengine[br]wakisonga mbele licha ya hofu, 0:06:30.758,0:06:32.920 ninajifunza kinachowezekana. 0:06:33.390,0:06:35.850 Kuna mifano mizuri 0:06:35.851,0:06:39.151 ya wanawake kwenye historia[br]wakichagua kuwa zaidi. 0:06:39.571,0:06:41.822 Lakini kama ilivyo ajabu kwangu 0:06:41.823,0:06:44.801 kwa wasichana wanaoweza kufanya kazi[br]ya muda huku wakisoma 0:06:44.802,0:06:46.542 kusaidia familia zao; 0:06:46.822,0:06:49.840 wasichana wanaosimama kwa[br]kile wanachoamini; 0:06:49.841,0:06:52.082 wasichana wanaoamka kukiwa giza kila[br]asubuhi, 0:06:52.083,0:06:55.083 kujizoeza, kuwa bora katika[br]mchezo wanaopenda; 0:06:55.593,0:07:00.315 wasichana wanaokaa macho usiku kusoma kwa[br]bidii kufanikiwa kwenye elimu yao; 0:07:01.045,0:07:05.856 msichana yeyote anaekataa kukubali na[br]ujumbe wa kuwa chini. 0:07:07.335,0:07:11.524 Hivyo, kama wewe ni mzazi wangu, ndugu[br]yangu, mwalimu wangu, au kocha wangu, 0:07:11.525,0:07:13.313 basi ninaongea na wewe. 0:07:14.443,0:07:19.039 Msiwe mnanilinda sana kwa sababu[br]tu mimi ni msichana. 0:07:19.339,0:07:21.137 Nihamasishe nifanye vitu vingi 0:07:21.137,0:07:25.010 kwenye kukimbiza ndoto[br]ambazo ni muhimu kwangu na sio kwako. 0:07:26.060,0:07:27.348 Udada - 0:07:27.668,0:07:30.495 tusherehekee mafanikio[br]ya marafiki zetu. 0:07:30.496,0:07:32.157 Tusiwashushe chini! 0:07:32.158,0:07:35.529 Nimeshangazwa na msaada[br]niliopokea kwa marafiki zangu. 0:07:35.829,0:07:39.499 Lakini muhimu kuliko yote,[br]ni lazima kuanza na sisi wenyewe. 0:07:40.608,0:07:44.149 Sisi ni adui wetu wakubwa. 0:07:44.579,0:07:46.638 Tunatakiwa kutoka nje ya njia zetu[br]wenyewe 0:07:46.639,0:07:50.680 na kuacha kujali sana kuhusu[br]nini wengine wanafikiri. 0:07:51.090,0:07:54.661 Ukweli ni kwamba kila mtu[br]anawasiwasi kuhusu 0:07:54.662,0:07:57.041 nini kila mtu anawaza kuhusu wao. 0:07:57.431,0:08:00.570 Tunahitaji kuangalia kwenye[br]tunachotaka kwa ajili yetu 0:08:00.571,0:08:03.221 kwenye mstari na thamani zetu binafsi 0:08:03.222,0:08:06.728 sio hizo za wazazi, marafiki, au[br]shule tunazokwenda. 0:08:06.729,0:08:09.714 Usifanye kwa wengine, fanya kwa ajili yako. 0:08:10.494,0:08:16.655 Kuendeleza tunachoamini kinawezekana,[br]tunatakiwa kuwa na ujasiri,. 0:08:17.425,0:08:21.836 Tunatakiwa tujiandae na tuwe tayari[br]kushindwa. 0:08:22.756,0:08:26.255 Usingoje mpaka ufikiri unaweza[br]kufanya kitu vizuri, 0:08:26.256,0:08:28.026 anza tu. 0:08:28.546,0:08:32.283 Nilikua tayari ninateleza mara moja[br]kwenye maisha yangu kabla, 0:08:32.284,0:08:34.544 halafu nikajaribu kuteleza kwenye Ncha ya[br]Kusini, 0:08:34.784,0:08:37.365 ambayo ni raha sana[br]nikiwaza kuhusu hilo. 0:08:37.366,0:08:38.486 (Kicheko) 0:08:38.486,0:08:43.583 Nimejaribu kukojoa kwa kusimama kutumia[br]mpare wa kukojoa kwenye digrii 20 chini 0:08:43.585,0:08:45.635 na nikashindwa vibaya sana. 0:08:45.636,0:08:47.006 (Kicheko) 0:08:47.526,0:08:48.933 Nikatumia siku iliyobaki 0:08:48.934,0:08:53.126 nikiteleza kwenye suruali iliyojaa[br]mkojo wangu mwenyewe ulioganda. 0:08:53.127,0:08:54.555 (Kicheko) 0:08:55.845,0:08:59.024 Ujasiri sio kutokuwepo kwa hofu 0:08:59.644,0:09:02.076 lakini nia ya kuchukua hatua 0:09:02.406,0:09:05.373 licha ya uwepo wa [br]hofu au kutojiamini. 0:09:06.163,0:09:09.677 Bila ujiasiri, maisha yetu yanabaki[br]madogo. 0:09:10.747,0:09:14.203 Hivyo tujitoe kuchukua hatua[br]moja mbele 0:09:14.204,0:09:17.023 kwenye mawazo yetu na matarajio yetu 0:09:17.024,0:09:20.645 kwenye nini kinawezekana[br]kwa mabinti kupata. 0:09:21.205,0:09:23.545 Tuchunguze maisha yetu mara kwa mara 0:09:23.546,0:09:27.805 kua tunalenga kwenye nini tunaweza[br]kufanya na sio jinsi tunavyoonekana. 0:09:28.885,0:09:31.925 Hizo hatua zote ndogo zitaleta maana[br]karibuni, 0:09:31.926,0:09:36.482 na tutaendeleza kwa pamoja nini[br]kinachowezekana kwa mabinti 0:09:36.483,0:09:39.376 na matokeo yake,[br]kwa mustakabali wa dunia yetu, 0:09:39.376,0:09:40.409 Asanteni. 0:09:40.409,0:09:41.799 (Makofi)