[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.69,Default,,0000,0000,0000,,Alama za Kubwa kuliko na Ndogo kuliko Dialogue: 0,0:00:00.69,0:00:04.73,Default,,0000,0000,0000,,Wengi wetu tuna uzoefu na alama ya sawa sawa tangu Dialogue: 0,0:00:04.73,0:00:06.33,Default,,0000,0000,0000,,siku za mwanzo za kujifunza hesabu. Dialogue: 0,0:00:06.33,0:00:10.48,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuona kitu kama moja jumlisha moja ni sawa sawa na mbili. Dialogue: 0,0:00:10.48,0:00:14.18,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,watu wengi wanaweza kuwaza wanapoona kitu Dialogue: 0,0:00:14.18,0:00:17.44,Default,,0000,0000,0000,,kama hiki kwamba kwanamna fulani sawa sawa ina maana ya kunipa mimi jibu. Dialogue: 0,0:00:17.44,0:00:19.10,Default,,0000,0000,0000,,moja jumlisha moja ni tatizo. Dialogue: 0,0:00:19.10,0:00:22.54,Default,,0000,0000,0000,,Sawa sawa maana yake kunipa mimi jibu na moja jumlisha moja ni mbili. Dialogue: 0,0:00:22.54,0:00:24.94,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo sio maana ya neno sawa sawa. Dialogue: 0,0:00:24.94,0:00:28.86,Default,,0000,0000,0000,,Sawa sawa ni uhalisia wa kujaribu kulinganisha viwango viwili. Dialogue: 0,0:00:28.86,0:00:32.25,Default,,0000,0000,0000,,Ninapoandika moja jumlisha moja sawa na mbili ,kwahiyo Dialogue: 0,0:00:32.25,0:00:34.64,Default,,0000,0000,0000,,ina maana kwamba nilichonacho upande wa mkono wa kushoto Dialogue: 0,0:00:34.64,0:00:39.37,Default,,0000,0000,0000,,wa alama ya sawa sawa ni viwango sawa kabisa Dialogue: 0,0:00:39.37,0:00:42.42,Default,,0000,0000,0000,,Na vile nilivyonavyo upande wa kulia wa alama ya kujumlisha. Dialogue: 0,0:00:42.42,0:00:48.99,Default,,0000,0000,0000,,Ningeweza pia kuandika kiurahisi mbili ni sawa na moja jumlisha moja. Dialogue: 0,0:00:48.99,0:00:50.95,Default,,0000,0000,0000,,Hivi vitu viwili ni sawa. Dialogue: 0,0:00:50.95,0:00:54.25,Default,,0000,0000,0000,,Ningeweza kuandika mbili sawa sawa na mbili. Dialogue: 0,0:00:54.25,0:00:56.04,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni ni tamko lenye ukweli uliokamili. Dialogue: 0,0:00:56.04,0:00:57.50,Default,,0000,0000,0000,,Hivi vitu viwili ni sawa. Dialogue: 0,0:00:57.50,0:01:02.97,Default,,0000,0000,0000,,Ningeweza kuandika moja jumlisha moja ni sawa na moja jumlisha moja. Dialogue: 0,0:01:02.97,0:01:12.65,Default,,0000,0000,0000,,Ningeweza kuandika moja jumlisha moja ni sawa sawa na tatu toa mbili. Dialogue: 0,0:01:12.65,0:01:14.86,Default,,0000,0000,0000,,Hivi vyote ni viwango sawa. Dialogue: 0,0:01:14.86,0:01:18.88,Default,,0000,0000,0000,,Nilichonacho hapa upande wa mkono wa kushoto, Dialogue: 0,0:01:18.88,0:01:23.68,Default,,0000,0000,0000,,ni moja jumlisha moja kutoa moja ni moja na hii hapa kulia ni moja. Dialogue: 0,0:01:23.68,0:01:26.58,Default,,0000,0000,0000,,Hivi vyote ni viwango sawa . Dialogue: 0,0:01:26.58,0:01:29.60,Default,,0000,0000,0000,,Sasa,nitawatambulisha kwa jinsi nyingine Dialogue: 0,0:01:29.60,0:01:31.52,Default,,0000,0000,0000,,ya kulinganisha namba. Dialogue: 0,0:01:31.52,0:01:34.76,Default,,0000,0000,0000,,Alama ya sawa sawa ni wakati nina viwango sawia kabisa Dialogue: 0,0:01:34.76,0:01:35.80,Default,,0000,0000,0000,,kwa pande zote mbili. Dialogue: 0,0:01:35.80,0:01:37.18,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tutatafakari juu ya nini Dialogue: 0,0:01:37.18,0:01:40.43,Default,,0000,0000,0000,,tutafanya tukiwa na viwango tofauti katika pande zote Dialogue: 0,0:01:40.43,0:01:47.78,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo tuseme nina namba tatu na namba moja Dialogue: 0,0:01:47.78,0:01:50.14,Default,,0000,0000,0000,,na nataka kulinganisha zote. Dialogue: 0,0:01:50.14,0:01:53.13,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo kiuhalisia tatu na moja sio sawa sawa. Dialogue: 0,0:01:53.13,0:01:54.63,Default,,0000,0000,0000,,Kwa uhakika ,ninaweza kutamka Dialogue: 0,0:01:54.63,0:01:56.08,Default,,0000,0000,0000,,bila alama ya sawa sawa. Dialogue: 0,0:01:56.08,0:01:59.74,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo naweza kusema tatu haitoweza kuwa sawa na moja. Dialogue: 0,0:01:59.74,0:02:02.41,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tuseme nataka kujua ipi kati yao ni kubwa ya Dialogue: 0,0:02:02.41,0:02:03.86,Default,,0000,0000,0000,,na ipi ni ndogo ya Dialogue: 0,0:02:03.86,0:02:08.21,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo nataka kuwa na baadhi ya alama ambapo naweza kuzilinganisha, Dialogue: 0,0:02:08.21,0:02:12.90,Default,,0000,0000,0000,,ambapo nitasema , wapi nitatamka zipi kati ya hizi ni kubwa. Dialogue: 0,0:02:12.90,0:02:16.54,Default,,0000,0000,0000,,Na alama itakayo onesha kwamba hii ni alama ya kubwa kuliko. Dialogue: 0,0:02:16.54,0:02:20.23,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:20.23,0:02:26.13,Default,,0000,0000,0000,,Hii itasoma tatu ni kubwa kuliko moja. Dialogue: 0,0:02:26.13,0:02:28.45,Default,,0000,0000,0000,,Tatu ni kiwango kikubwa. Dialogue: 0,0:02:28.45,0:02:31.58,Default,,0000,0000,0000,,Na kama kutakuwa na tatizo kukumbuka hii inamaana gani-- Dialogue: 0,0:02:31.58,0:02:36.10,Default,,0000,0000,0000,,kubwa kuliko -kiwango kikubwa kipo kwenye uwazi. Dialogue: 0,0:02:36.10,0:02:38.74,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:38.74,0:02:41.20,Default,,0000,0000,0000,,Nahisi kama utaangalia hii kama aina ya mshale, Dialogue: 0,0:02:41.20,0:02:45.37,Default,,0000,0000,0000,,au kama aina ya alama, lakini huu ni upande mkubwa. Dialogue: 0,0:02:45.37,0:02:47.54,Default,,0000,0000,0000,,Hapa , una upande mdogo,nukta ndogo Dialogue: 0,0:02:47.54,0:02:49.90,Default,,0000,0000,0000,,na hapa una upande mkubwa,kwahiyo kiwango kikubwa Dialogue: 0,0:02:49.90,0:02:50.85,Default,,0000,0000,0000,,kipo ubande mkubwa. Dialogue: 0,0:02:50.85,0:02:52.86,Default,,0000,0000,0000,,Hii itakuwa inasomeka kama tatu Dialogue: 0,0:02:52.86,0:02:55.55,Default,,0000,0000,0000,,ni kubwa kuliko-nikiandika Dialogue: 0,0:02:55.55,0:03:02.42,Default,,0000,0000,0000,,hapa chini-kubwa kuliko,tatu ni kubwa kuliko moja. Dialogue: 0,0:03:02.42,0:03:05.10,Default,,0000,0000,0000,,Na baadae tena, haiotokuwa tena namba kama ilivyokuwa hivi. Dialogue: 0,0:03:05.10,0:03:06.47,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kutoa maelezo. Dialogue: 0,0:03:06.47,0:03:18.13,Default,,0000,0000,0000,,Naweza kuandika moja jumlisha moja jumlisha moja ni kubwa kuliko,tuseme ,vema, Dialogue: 0,0:03:18.13,0:03:20.11,Default,,0000,0000,0000,,ni moja upande wa kulia tu. Dialogue: 0,0:03:20.11,0:03:21.80,Default,,0000,0000,0000,,Hii inafanya mlinganisho. Dialogue: 0,0:03:21.80,0:03:23.91,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ikitokea tuna vitu kwa namna nyingine. Dialogue: 0,0:03:23.91,0:03:28.62,Default,,0000,0000,0000,,Nini kama nataka kufanya mlinganisho kati ya tano Dialogue: 0,0:03:28.62,0:03:33.04,Default,,0000,0000,0000,,na ,kusema,kumi na tisa. Dialogue: 0,0:03:33.04,0:03:35.50,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo sasa hapa alama ya kubwa kuliko haito tumika. Dialogue: 0,0:03:35.50,0:03:38.32,Default,,0000,0000,0000,,sio kweli kwamba tano ni kubwa kuliko kumi na tisa. Dialogue: 0,0:03:38.32,0:03:40.80,Default,,0000,0000,0000,,Naweza kusema kwamba tano sio sawa na kumi na tisa. Dialogue: 0,0:03:40.80,0:03:43.65,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo naweza kuendelea kusema hivi. Dialogue: 0,0:03:43.65,0:03:45.98,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ikitokea kama nataka kusema juu ya ipi Dialogue: 0,0:03:45.98,0:03:48.12,Default,,0000,0000,0000,,ni kubwa na ipi ni ndogo? Dialogue: 0,0:03:48.12,0:03:49.54,Default,,0000,0000,0000,,Vema,katika kiingereza cha kawaida, ninge Dialogue: 0,0:03:49.54,0:03:53.11,Default,,0000,0000,0000,,taka kusema tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. Dialogue: 0,0:03:53.11,0:03:55.72,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo ningetaka kusema -niandike hapa chini- Dialogue: 0,0:03:55.72,0:04:08.89,Default,,0000,0000,0000,,nataka kuandika tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. Dialogue: 0,0:04:08.89,0:04:10.19,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kusema . Dialogue: 0,0:04:10.19,0:04:12.48,Default,,0000,0000,0000,,Na tunatakiwa kuwaza juu ya maandishi ya hesabati Dialogue: 0,0:04:12.48,0:04:16.77,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuandika "ndogo kuliko". Dialogue: 0,0:04:16.77,0:04:19.01,Default,,0000,0000,0000,,Vema,hii kama ni kubwa kuliko , Dialogue: 0,0:04:19.01,0:04:21.33,Default,,0000,0000,0000,,inafanya maana kamili kwamba tulinganishe. Dialogue: 0,0:04:21.33,0:04:23.29,Default,,0000,0000,0000,,Tufanye,tena, Dialogue: 0,0:04:23.29,0:04:26.40,Default,,0000,0000,0000,,nukta katika kiwango kidogo na upande mkubwa Dialogue: 0,0:04:26.40,0:04:28.71,Default,,0000,0000,0000,,wa nukta alama ya kiwango kikubwa. Dialogue: 0,0:04:28.71,0:04:30.81,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo hapa tano ni kiwango kidogo kwahiyo Dialogue: 0,0:04:30.81,0:04:32.39,Default,,0000,0000,0000,,inafanya nukta hapa. Dialogue: 0,0:04:32.39,0:04:37.05,Default,,0000,0000,0000,,Na kumi na tisa ni kiwango kikubwa,kwahiyo nitafanya hii wazi kama hivi. Dialogue: 0,0:04:37.05,0:04:42.32,Default,,0000,0000,0000,,Na kwahiyo hii itasomeka kama tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. Dialogue: 0,0:04:42.32,0:04:46.16,Default,,0000,0000,0000,,tano ni kiwango kidogo kuliko kumi na tisa. Dialogue: 0,0:04:46.16,0:04:52.70,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza pia kuandika moja jumlisha moja ni ndogo kuliko moja Dialogue: 0,0:04:52.70,0:04:54.62,Default,,0000,0000,0000,,jumlisha moja jumlisha moja. Dialogue: 0,0:04:54.62,0:04:56.83,Default,,0000,0000,0000,,Ni sawa na kusema kwamba hili tamko , ni kiwango, Dialogue: 0,0:04:56.83,0:05:03.40,Default,,0000,0000,0000,,moja jumlisha moja ni ndogo kuliko moja jumlisha moja Dialogue: 0,0:05:03.40,0:05:03.90,Default,,0000,0000,0000,,