1 00:00:00,000 --> 00:00:00,690 Alama za Kubwa kuliko na Ndogo kuliko 2 00:00:00,690 --> 00:00:04,730 Wengi wetu tuna uzoefu na alama ya sawa sawa tangu 3 00:00:04,730 --> 00:00:06,330 siku za mwanzo za kujifunza hesabu. 4 00:00:06,330 --> 00:00:10,480 unaweza kuona kitu kama moja jumlisha moja ni sawa sawa na mbili. 5 00:00:10,480 --> 00:00:14,180 Sasa,watu wengi wanaweza kuwaza wanapoona kitu 6 00:00:14,180 --> 00:00:17,440 kama hiki kwamba kwanamna fulani sawa sawa ina maana ya kunipa mimi jibu. 7 00:00:17,440 --> 00:00:19,100 moja jumlisha moja ni tatizo. 8 00:00:19,100 --> 00:00:22,540 Sawa sawa maana yake kunipa mimi jibu na moja jumlisha moja ni mbili. 9 00:00:22,540 --> 00:00:24,940 Hiyo sio maana ya neno sawa sawa. 10 00:00:24,940 --> 00:00:28,860 Sawa sawa ni uhalisia wa kujaribu kulinganisha viwango viwili. 11 00:00:28,860 --> 00:00:32,250 Ninapoandika moja jumlisha moja sawa na mbili ,kwahiyo 12 00:00:32,250 --> 00:00:34,640 ina maana kwamba nilichonacho upande wa mkono wa kushoto 13 00:00:34,640 --> 00:00:39,370 wa alama ya sawa sawa ni viwango sawa kabisa 14 00:00:39,370 --> 00:00:42,420 Na vile nilivyonavyo upande wa kulia wa alama ya kujumlisha. 15 00:00:42,420 --> 00:00:48,990 Ningeweza pia kuandika kiurahisi mbili ni sawa na moja jumlisha moja. 16 00:00:48,990 --> 00:00:50,950 Hivi vitu viwili ni sawa. 17 00:00:50,950 --> 00:00:54,250 Ningeweza kuandika mbili sawa sawa na mbili. 18 00:00:54,250 --> 00:00:56,040 Hii ni ni tamko lenye ukweli uliokamili. 19 00:00:56,040 --> 00:00:57,500 Hivi vitu viwili ni sawa. 20 00:00:57,500 --> 00:01:02,970 Ningeweza kuandika moja jumlisha moja ni sawa na moja jumlisha moja. 21 00:01:02,970 --> 00:01:12,650 Ningeweza kuandika moja jumlisha moja ni sawa sawa na tatu toa mbili. 22 00:01:12,650 --> 00:01:14,860 Hivi vyote ni viwango sawa. 23 00:01:14,860 --> 00:01:18,880 Nilichonacho hapa upande wa mkono wa kushoto, 24 00:01:18,880 --> 00:01:23,680 ni moja jumlisha moja kutoa moja ni moja na hii hapa kulia ni moja. 25 00:01:23,680 --> 00:01:26,580 Hivi vyote ni viwango sawa . 26 00:01:26,580 --> 00:01:29,600 Sasa,nitawatambulisha kwa jinsi nyingine 27 00:01:29,600 --> 00:01:31,520 ya kulinganisha namba. 28 00:01:31,520 --> 00:01:34,760 Alama ya sawa sawa ni wakati nina viwango sawia kabisa 29 00:01:34,760 --> 00:01:35,805 kwa pande zote mbili. 30 00:01:35,805 --> 00:01:37,180 Sasa tutatafakari juu ya nini 31 00:01:37,180 --> 00:01:40,430 tutafanya tukiwa na viwango tofauti katika pande zote 32 00:01:40,430 --> 00:01:47,780 Kwahiyo tuseme nina namba tatu na namba moja 33 00:01:47,780 --> 00:01:50,140 na nataka kulinganisha zote. 34 00:01:50,140 --> 00:01:53,130 Kwahiyo kiuhalisia tatu na moja sio sawa sawa. 35 00:01:53,130 --> 00:01:54,630 Kwa uhakika ,ninaweza kutamka 36 00:01:54,630 --> 00:01:56,080 bila alama ya sawa sawa. 37 00:01:56,080 --> 00:01:59,740 Kwahiyo naweza kusema tatu haitoweza kuwa sawa na moja. 38 00:01:59,740 --> 00:02:02,410 Lakini tuseme nataka kujua ipi kati yao ni kubwa ya 39 00:02:02,410 --> 00:02:03,860 na ipi ni ndogo ya 40 00:02:03,860 --> 00:02:08,210 Kwahiyo nataka kuwa na baadhi ya alama ambapo naweza kuzilinganisha, 41 00:02:08,210 --> 00:02:12,900 ambapo nitasema , wapi nitatamka zipi kati ya hizi ni kubwa. 42 00:02:12,900 --> 00:02:16,536 Na alama itakayo onesha kwamba hii ni alama ya kubwa kuliko. 43 00:02:16,536 --> 00:02:20,230 44 00:02:20,230 --> 00:02:26,130 Hii itasoma tatu ni kubwa kuliko moja. 45 00:02:26,130 --> 00:02:28,450 Tatu ni kiwango kikubwa. 46 00:02:28,450 --> 00:02:31,580 Na kama kutakuwa na tatizo kukumbuka hii inamaana gani-- 47 00:02:31,580 --> 00:02:36,105 kubwa kuliko -kiwango kikubwa kipo kwenye uwazi. 48 00:02:36,105 --> 00:02:38,740 49 00:02:38,740 --> 00:02:41,200 Nahisi kama utaangalia hii kama aina ya mshale, 50 00:02:41,200 --> 00:02:45,370 au kama aina ya alama, lakini huu ni upande mkubwa. 51 00:02:45,370 --> 00:02:47,540 Hapa , una upande mdogo,nukta ndogo 52 00:02:47,540 --> 00:02:49,895 na hapa una upande mkubwa,kwahiyo kiwango kikubwa 53 00:02:49,895 --> 00:02:50,850 kipo ubande mkubwa. 54 00:02:50,850 --> 00:02:52,860 Hii itakuwa inasomeka kama tatu 55 00:02:52,860 --> 00:02:55,550 ni kubwa kuliko-nikiandika 56 00:02:55,550 --> 00:03:02,420 hapa chini-kubwa kuliko,tatu ni kubwa kuliko moja. 57 00:03:02,420 --> 00:03:05,100 Na baadae tena, haiotokuwa tena namba kama ilivyokuwa hivi. 58 00:03:05,100 --> 00:03:06,470 Ninaweza kutoa maelezo. 59 00:03:06,470 --> 00:03:18,130 Naweza kuandika moja jumlisha moja jumlisha moja ni kubwa kuliko,tuseme ,vema, 60 00:03:18,130 --> 00:03:20,110 ni moja upande wa kulia tu. 61 00:03:20,110 --> 00:03:21,800 Hii inafanya mlinganisho. 62 00:03:21,800 --> 00:03:23,910 Lakini ikitokea tuna vitu kwa namna nyingine. 63 00:03:23,910 --> 00:03:28,620 Nini kama nataka kufanya mlinganisho kati ya tano 64 00:03:28,620 --> 00:03:33,040 na ,kusema,kumi na tisa. 65 00:03:33,040 --> 00:03:35,500 Kwahiyo sasa hapa alama ya kubwa kuliko haito tumika. 66 00:03:35,500 --> 00:03:38,320 sio kweli kwamba tano ni kubwa kuliko kumi na tisa. 67 00:03:38,320 --> 00:03:40,800 Naweza kusema kwamba tano sio sawa na kumi na tisa. 68 00:03:40,800 --> 00:03:43,647 Kwahiyo naweza kuendelea kusema hivi. 69 00:03:43,647 --> 00:03:45,980 Lakini ikitokea kama nataka kusema juu ya ipi 70 00:03:45,980 --> 00:03:48,124 ni kubwa na ipi ni ndogo? 71 00:03:48,124 --> 00:03:49,540 Vema,katika kiingereza cha kawaida, ninge 72 00:03:49,540 --> 00:03:53,110 taka kusema tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. 73 00:03:53,110 --> 00:03:55,720 Kwahiyo ningetaka kusema -niandike hapa chini- 74 00:03:55,720 --> 00:04:08,890 nataka kuandika tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. 75 00:04:08,890 --> 00:04:10,189 Nilitaka kusema . 76 00:04:10,189 --> 00:04:12,480 Na tunatakiwa kuwaza juu ya maandishi ya hesabati 77 00:04:12,480 --> 00:04:16,769 kwa kuandika "ndogo kuliko". 78 00:04:16,769 --> 00:04:19,010 Vema,hii kama ni kubwa kuliko , 79 00:04:19,010 --> 00:04:21,329 inafanya maana kamili kwamba tulinganishe. 80 00:04:21,329 --> 00:04:23,292 Tufanye,tena, 81 00:04:23,292 --> 00:04:26,400 nukta katika kiwango kidogo na upande mkubwa 82 00:04:26,400 --> 00:04:28,710 wa nukta alama ya kiwango kikubwa. 83 00:04:28,710 --> 00:04:30,810 Kwahiyo hapa tano ni kiwango kidogo kwahiyo 84 00:04:30,810 --> 00:04:32,390 inafanya nukta hapa. 85 00:04:32,390 --> 00:04:37,050 Na kumi na tisa ni kiwango kikubwa,kwahiyo nitafanya hii wazi kama hivi. 86 00:04:37,050 --> 00:04:42,320 Na kwahiyo hii itasomeka kama tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. 87 00:04:42,320 --> 00:04:46,160 tano ni kiwango kidogo kuliko kumi na tisa. 88 00:04:46,160 --> 00:04:52,700 Ninaweza pia kuandika moja jumlisha moja ni ndogo kuliko moja 89 00:04:52,700 --> 00:04:54,620 jumlisha moja jumlisha moja. 90 00:04:54,620 --> 00:04:56,830 Ni sawa na kusema kwamba hili tamko , ni kiwango, 91 00:04:56,830 --> 00:05:03,401 moja jumlisha moja ni ndogo kuliko moja jumlisha moja 92 00:05:03,401 --> 00:05:03,901