0:00:00.000,0:00:00.690 Alama za Kubwa kuliko na Ndogo kuliko 0:00:00.690,0:00:04.730 Wengi wetu tuna uzoefu na alama ya sawa sawa tangu 0:00:04.730,0:00:06.330 siku za mwanzo za kujifunza hesabu. 0:00:06.330,0:00:10.480 unaweza kuona kitu kama moja jumlisha moja ni sawa sawa na mbili. 0:00:10.480,0:00:14.180 Sasa,watu wengi wanaweza kuwaza wanapoona kitu 0:00:14.180,0:00:17.440 kama hiki kwamba kwanamna fulani sawa sawa ina maana ya kunipa mimi jibu. 0:00:17.440,0:00:19.100 moja jumlisha moja ni tatizo. 0:00:19.100,0:00:22.540 Sawa sawa maana yake kunipa mimi jibu na moja jumlisha moja ni mbili. 0:00:22.540,0:00:24.940 Hiyo sio maana ya neno sawa sawa. 0:00:24.940,0:00:28.860 Sawa sawa ni uhalisia wa kujaribu kulinganisha viwango viwili. 0:00:28.860,0:00:32.250 Ninapoandika moja jumlisha moja sawa na mbili ,kwahiyo 0:00:32.250,0:00:34.640 ina maana kwamba nilichonacho upande wa mkono wa kushoto 0:00:34.640,0:00:39.370 wa alama ya sawa sawa ni viwango sawa kabisa 0:00:39.370,0:00:42.420 Na vile nilivyonavyo upande wa kulia wa alama ya kujumlisha. 0:00:42.420,0:00:48.990 Ningeweza pia kuandika kiurahisi mbili ni sawa na moja jumlisha moja. 0:00:48.990,0:00:50.950 Hivi vitu viwili ni sawa. 0:00:50.950,0:00:54.250 Ningeweza kuandika mbili sawa sawa na mbili. 0:00:54.250,0:00:56.040 Hii ni ni tamko lenye ukweli uliokamili. 0:00:56.040,0:00:57.500 Hivi vitu viwili ni sawa. 0:00:57.500,0:01:02.970 Ningeweza kuandika moja jumlisha moja ni sawa na moja jumlisha moja. 0:01:02.970,0:01:12.650 Ningeweza kuandika moja jumlisha moja ni sawa sawa na tatu toa mbili. 0:01:12.650,0:01:14.860 Hivi vyote ni viwango sawa. 0:01:14.860,0:01:18.880 Nilichonacho hapa upande wa mkono wa kushoto, 0:01:18.880,0:01:23.680 ni moja jumlisha moja kutoa moja ni moja na hii hapa kulia ni moja. 0:01:23.680,0:01:26.580 Hivi vyote ni viwango sawa . 0:01:26.580,0:01:29.600 Sasa,nitawatambulisha kwa jinsi nyingine 0:01:29.600,0:01:31.520 ya kulinganisha namba. 0:01:31.520,0:01:34.760 Alama ya sawa sawa ni wakati nina viwango sawia kabisa 0:01:34.760,0:01:35.805 kwa pande zote mbili. 0:01:35.805,0:01:37.180 Sasa tutatafakari juu ya nini 0:01:37.180,0:01:40.430 tutafanya tukiwa na viwango tofauti katika pande zote 0:01:40.430,0:01:47.780 Kwahiyo tuseme nina namba tatu na namba moja 0:01:47.780,0:01:50.140 na nataka kulinganisha zote. 0:01:50.140,0:01:53.130 Kwahiyo kiuhalisia tatu na moja sio sawa sawa. 0:01:53.130,0:01:54.630 Kwa uhakika ,ninaweza kutamka 0:01:54.630,0:01:56.080 bila alama ya sawa sawa. 0:01:56.080,0:01:59.740 Kwahiyo naweza kusema tatu haitoweza kuwa sawa na moja. 0:01:59.740,0:02:02.410 Lakini tuseme nataka kujua ipi kati yao ni kubwa ya 0:02:02.410,0:02:03.860 na ipi ni ndogo ya 0:02:03.860,0:02:08.210 Kwahiyo nataka kuwa na baadhi ya alama ambapo naweza kuzilinganisha, 0:02:08.210,0:02:12.900 ambapo nitasema , wapi nitatamka zipi kati ya hizi ni kubwa. 0:02:12.900,0:02:16.536 Na alama itakayo onesha kwamba hii ni alama ya kubwa kuliko. 0:02:16.536,0:02:20.230 0:02:20.230,0:02:26.130 Hii itasoma tatu ni kubwa kuliko moja. 0:02:26.130,0:02:28.450 Tatu ni kiwango kikubwa. 0:02:28.450,0:02:31.580 Na kama kutakuwa na tatizo kukumbuka hii inamaana gani-- 0:02:31.580,0:02:36.105 kubwa kuliko -kiwango kikubwa kipo kwenye uwazi. 0:02:36.105,0:02:38.740 0:02:38.740,0:02:41.200 Nahisi kama utaangalia hii kama aina ya mshale, 0:02:41.200,0:02:45.370 au kama aina ya alama, lakini huu ni upande mkubwa. 0:02:45.370,0:02:47.540 Hapa , una upande mdogo,nukta ndogo 0:02:47.540,0:02:49.895 na hapa una upande mkubwa,kwahiyo kiwango kikubwa 0:02:49.895,0:02:50.850 kipo ubande mkubwa. 0:02:50.850,0:02:52.860 Hii itakuwa inasomeka kama tatu 0:02:52.860,0:02:55.550 ni kubwa kuliko-nikiandika 0:02:55.550,0:03:02.420 hapa chini-kubwa kuliko,tatu ni kubwa kuliko moja. 0:03:02.420,0:03:05.100 Na baadae tena, haiotokuwa tena namba kama ilivyokuwa hivi. 0:03:05.100,0:03:06.470 Ninaweza kutoa maelezo. 0:03:06.470,0:03:18.130 Naweza kuandika moja jumlisha moja jumlisha moja ni kubwa kuliko,tuseme ,vema, 0:03:18.130,0:03:20.110 ni moja upande wa kulia tu. 0:03:20.110,0:03:21.800 Hii inafanya mlinganisho. 0:03:21.800,0:03:23.910 Lakini ikitokea tuna vitu kwa namna nyingine. 0:03:23.910,0:03:28.620 Nini kama nataka kufanya mlinganisho kati ya tano 0:03:28.620,0:03:33.040 na ,kusema,kumi na tisa. 0:03:33.040,0:03:35.500 Kwahiyo sasa hapa alama ya kubwa kuliko haito tumika. 0:03:35.500,0:03:38.320 sio kweli kwamba tano ni kubwa kuliko kumi na tisa. 0:03:38.320,0:03:40.800 Naweza kusema kwamba tano sio sawa na kumi na tisa. 0:03:40.800,0:03:43.647 Kwahiyo naweza kuendelea kusema hivi. 0:03:43.647,0:03:45.980 Lakini ikitokea kama nataka kusema juu ya ipi 0:03:45.980,0:03:48.124 ni kubwa na ipi ni ndogo? 0:03:48.124,0:03:49.540 Vema,katika kiingereza cha kawaida, ninge 0:03:49.540,0:03:53.110 taka kusema tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. 0:03:53.110,0:03:55.720 Kwahiyo ningetaka kusema -niandike hapa chini- 0:03:55.720,0:04:08.890 nataka kuandika tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. 0:04:08.890,0:04:10.189 Nilitaka kusema . 0:04:10.189,0:04:12.480 Na tunatakiwa kuwaza juu ya maandishi ya hesabati 0:04:12.480,0:04:16.769 kwa kuandika "ndogo kuliko". 0:04:16.769,0:04:19.010 Vema,hii kama ni kubwa kuliko , 0:04:19.010,0:04:21.329 inafanya maana kamili kwamba tulinganishe. 0:04:21.329,0:04:23.292 Tufanye,tena, 0:04:23.292,0:04:26.400 nukta katika kiwango kidogo na upande mkubwa 0:04:26.400,0:04:28.710 wa nukta alama ya kiwango kikubwa. 0:04:28.710,0:04:30.810 Kwahiyo hapa tano ni kiwango kidogo kwahiyo 0:04:30.810,0:04:32.390 inafanya nukta hapa. 0:04:32.390,0:04:37.050 Na kumi na tisa ni kiwango kikubwa,kwahiyo nitafanya hii wazi kama hivi. 0:04:37.050,0:04:42.320 Na kwahiyo hii itasomeka kama tano ni ndogo kuliko kumi na tisa. 0:04:42.320,0:04:46.160 tano ni kiwango kidogo kuliko kumi na tisa. 0:04:46.160,0:04:52.700 Ninaweza pia kuandika moja jumlisha moja ni ndogo kuliko moja 0:04:52.700,0:04:54.620 jumlisha moja jumlisha moja. 0:04:54.620,0:04:56.830 Ni sawa na kusema kwamba hili tamko , ni kiwango, 0:04:56.830,0:05:03.401 moja jumlisha moja ni ndogo kuliko moja jumlisha moja 0:05:03.401,0:05:03.901