0:00:04.690,0:00:06.271 music 0:00:06.421,0:00:08.797 Vismita Gupta-Smith:[br]unaposikia tofauti za aina 0:00:08.797,0:00:12.126 Tofauti za wasiwasi[br]-and "Tofauti za kuvutia- 0:00:12.126,0:00:15.234 mabadiliko-mabadiliko maradufu-[br]mabadiliko mara tatu- 0:00:15.234,0:00:16.643 hilo linamaanisha nini? 0:00:16.643,0:00:20.826 Na hatua gani wanazopaswa kuchukua[br]umma ili kulinda. 0:00:20.939,0:00:22.997 Halo,na karibu kwenye [br]Sayansi kwa Dakika 5. 0:00:22.997,0:00:24.912 Mimi ni Vismita Gupta-Smith. 0:00:24.912,0:00:28.928 Tukitupa habari mpya kuhusu[br]tofauti leo ni Dkt. Maria Van Kerkhove. 0:00:28.928,0:00:33.573 Maria, tupe habari mpya [br]kuhusu tofauti zinazoenea sasa 0:00:33.573,0:00:35.720 Asante kwa kuniruhusu kuwa hapa tena 0:00:35.720,0:00:39.621 Kuna tofauti kadhaa za virusi ambazo [br]WHO inafuatilia kwa karibu. 0:00:39.621,0:00:43.050 Virusi vya SARS-CoV-2, [br]virusi vinavyosababisha COVID-19, 0:00:43.050,0:00:44.057 linaweza linakua 0:00:44.057,0:00:45.668 Hii ni mageuzi asilia. 0:00:45.668,0:00:49.909 na inatarajiwa kuwa virusi [br]vitaendelea kubadilika, vile zinasambaa 0:00:49.909,0:00:52.571 Kwa sasa, kuna tofauti nne za wasiwasi. 0:00:52.571,0:00:54.714 ambazo WHO inafuatilia ulimwenguni: 0:00:54.714,0:00:58.419 B.1.1.7, ambayo iligunduliwa[br]kwanza nchini Uingereza; 0:00:58.419,0:01:02.570 B.1.351, ambayo iligunduliwa [br]kwanza nchini Afrika Kusini; 0:01:02.570,0:01:05.699 P.1, tofauti ambayo iligunduliwa[br]kwanza nchini Japani. 0:01:05.699,0:01:07.350 kutoka kwa wasafiri kutoka Brazil; 0:01:07.350,0:01:11.133 na sasa hivi tumeiainisha[br]hivi karibuni B.1.617, 0:01:11.133,0:01:13.584 ambayo iligunduliwa kwanza nchini India. 0:01:13.723,0:01:17.248 Sasa, ni muhimu sana kuangalia[br]taarifa za hivi karibuni. 0:01:17.248,0:01:20.706 Kwa sababu hali hii inabadilika kwa kasi. 0:01:20.706,0:01:23.912 Taarifa za hivi karibuni tunazo[br]kuhusu tofauti zetu zote za virusi. 0:01:23.912,0:01:25.964 na tofauti za wasiwasi tunazofuatilia 0:01:25.964,0:01:29.923 zinapatikana kwenye wavuti yetu[br]ya kiepidemolojia ya kila wiki. 0:01:29.923,0:01:34.065 VGS: Maria, WHO inawezaje[br]kutathmini tofauti? 0:01:34.065,0:01:37.852 kama tofauti ya kuvutia[br]au tofauti ya wasiwasi? 0:01:38.289,0:01:40.285 MVK: Tofauti za kuvutia zina sifa, 0:01:40.285,0:01:43.392 zinazo mabadiliko yamegunduliwa[br]na yanahitaji utafiti zaidi. 0:01:43.700,0:01:47.099 Tofauti za wasiwasi[br]zimeonyesha mabadiliko. 0:01:47.099,0:01:50.120 Kwa mfano, inaweza kuwa[br]na uwezo wa kuambukiza zaidi; 0:01:50.120,0:01:53.117 inaweza kutokea mabadiliko[br]namna unavyojitokeza au ukali wake; 0:01:53.117,0:01:55.179 au inaweza kutokea [br]katika uwezo wetu 0:01:55.179,0:01:58.023 kwa kutumia hatua za afya ya umma[br]na kijamii, 0:01:58.023,0:02:01.647 au matumizi ya uchunguzi, [br]matibabu, na chanjo. 0:02:01.647,0:02:05.851 Kwa mfano, tofauti ya hivi [br]karibuni ya wasiwasi, B.1.617, 0:02:05.851,0:02:08.191 imeonyesha uwezo wa kuambukiza zaidi 0:02:08.191,0:02:11.237 ndio sababu hii imeainishwa [br]kama tofauti ya wasiwasi. 0:02:11.237,0:02:13.569 Hivyo utaona niliposema[br]tofauti ya wasiwasi, 0:02:13.569,0:02:16.570 niliiita kwa nambari, kwa mfano, B.1.617, 0:02:16.570,0:02:19.118 na sikuiita kwa jina la nchi tofauti. 0:02:19.118,0:02:21.210 Ni muhimu sana kwamba hatufanyi hivyo - 0:02:21.210,0:02:23.090 hatusemi tofauti ya nchi X - 0:02:23.090,0:02:26.370 kwa sababu hilo linaweza kuongeza[br]unyanyapaa unaohusishwa na hizi 0:02:26.370,0:02:29.517 Na ni muhimu kuwa[br]ufuatiliaji unaendelea kote 0:02:29.517,0:02:31.880 na tunagundua tofauti hizi kwa haraka, 0:02:31.880,0:02:34.570 taarifa zinashirikishwa[br]ili ziweze kuchambuliwa 0:02:34.570,0:02:36.927 ili tuelewe athari za uwezekano 0:02:36.927,0:02:38.319 mara zinapogunduliwa. 0:02:38.319,0:02:40.552 VGS: Hii inamaanisha nini kwa umma? 0:02:40.872,0:02:43.440 MVK:Inamaana kwamba tunahitaji[br]kufanya kila tuwezalo 0:02:43.440,0:02:44.598 ili kuzuia maambukizo 0:02:44.598,0:02:47.448 na kupunguza kuenea kwa[br]virusi vya SARS-CoV-2, 0:02:47.448,0:02:49.011 iwe ni tofauti ya virusi, 0:02:49.011,0:02:50.193 tofauti ya kuvutia 0:02:50.193,0:02:52.304 au tofauti ya wasiwasi au la. 0:02:52.304,0:02:56.544 Virusi vya SARS-CoV-2 kutuambukiza [br], na vinaweza kuenea kati yetu. 0:02:56.544,0:02:59.591 Kwa hiyo, inamaanisha[br]kuchukua hatua zote unazoweza 0:02:59.591,0:03:01.375 Kupunguza hatari yako ya kuambukizwa 0:03:01.375,0:03:03.582 katika uwezekano wa [br]wewe kupata maambukizo. 0:03:03.582,0:03:05.411 Ina maana kutengana kimwili, 0:03:05.411,0:03:07.125 kuepuka maeneo yenye msongamano, 0:03:07.125,0:03:09.760 kutumia muda zaidi nje kuliko ndani. 0:03:09.760,0:03:12.565 Ikiwa uko ndani, hakikisha[br]kuna uingizaji hewa mzuri. 0:03:12.565,0:03:14.276 Ni kuhusu kuwa na mikono safi 0:03:14.276,0:03:17.575 na kuvaa barakoa vizuri juu ya pua yako na 0:03:17.575,0:03:19.458 na kufuata kanuni za afya ya kupumua, 0:03:19.458,0:03:20.459 kuwa na habari nzuri 0:03:20.459,0:03:22.155 Na chochote unachofanya, 0:03:22.155,0:03:26.330 jua hatari yako na chukua[br]hatua za kupunguza hatari yako. 0:03:26.330,0:03:28.162 Na mwisho, wakati ni zamu yako, 0:03:28.162,0:03:29.297 chanja. 0:03:29.297,0:03:30.774 Kuna tafiti nyingi zinaendelea 0:03:30.774,0:03:33.579 kusoma sifa za kila moja[br]ya tofauti hizi za wasiwasi 0:03:33.579,0:03:35.490 kwa upande wa uwezo wa kuenea, ukali, 0:03:35.490,0:03:38.626 na athari kwa uchunguzi,[br]matibabu, na chanjo. 0:03:38.884,0:03:42.638 Hadhi yake kutokana na taarifa tunazopata[br]kutoka kwenye tafiti zinazoendelea 0:03:42.638,0:03:44.374 na matokeo yanayopatikana, 0:03:44.374,0:03:46.311 hatua za afya ya umma na kijamii, 0:03:46.311,0:03:48.959 uchunguzi, matibabu, na chanjo 0:03:48.959,0:03:51.176 Inafanya kazi dhidi[br]ya tofauti hizi za virusi. 0:03:51.176,0:03:52.413 Tunaendelea kujifunza 0:03:52.413,0:03:54.376 na tunapopata habari zaidi, 0:03:54.376,0:03:55.861 tutashirikiana nawe. 0:03:56.267,0:03:57.319 VGS: Asante, Maria. 0:03:57.319,0:04:02.613 Huyo alikuwa Dkt. Maria Van Kerkhove[br]akitoa habari kuhusu virusi. 0:04:02.720,0:04:04.113 Hadi wakati mwingine basi. 0:04:04.113,0:04:08.045 Kaa salama, kaa na afya, [br]na endelea na sayansi. 0:04:08.045,0:04:11.036 Tafsiri na MaurĂ­cio Kakuei Tanaka[br]Mapitio na Carol Wang