[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.76,0:00:04.71,Default,,0000,0000,0000,,Mifumo ya kuishi imekuwa kwa mabilioni chache ya miaka. Dialogue: 0,0:00:04.71,0:00:06.91,Default,,0000,0000,0000,,na itakuwa kwa miaka nyinginezo. Dialogue: 0,0:00:07.41,0:00:10.04,Default,,0000,0000,0000,,Katika ulimwengu wa kuishi, hakuna mfumo wa kuzoa taka. Dialogue: 0,0:00:10.22,0:00:12.64,Default,,0000,0000,0000,,Badala yake, vifaa vinayeyuka. Dialogue: 0,0:00:12.84,0:00:15.54,Default,,0000,0000,0000,,Taka ya aina moja ni chakula ya aina nyingine; Dialogue: 0,0:00:15.54,0:00:17.73,Default,,0000,0000,0000,,jua hupeana kawi; Dialogue: 0,0:00:17.73,0:00:19.71,Default,,0000,0000,0000,,vitu vinamea, halafu hufa; Dialogue: 0,0:00:19.71,0:00:22.100,Default,,0000,0000,0000,,na virutubisho hurudi salama mchangani. Dialogue: 0,0:00:23.79,0:00:25.61,Default,,0000,0000,0000,,Na inatendeka. Dialogue: 0,0:00:26.08,0:00:27.34,Default,,0000,0000,0000,,Ila kama binadamu, Dialogue: 0,0:00:27.34,0:00:29.60,Default,,0000,0000,0000,,tumekubali mtazamo finyu; Dialogue: 0,0:00:29.60,0:00:32.67,Default,,0000,0000,0000,,tunachukua, tunaunda, na hatimaye tunatupa. Dialogue: 0,0:00:33.17,0:00:35.09,Default,,0000,0000,0000,,Simu mpya inatokea. Dialogue: 0,0:00:35.09,0:00:36.95,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo tunatupilia mbali ile zee. Dialogue: 0,0:00:37.20,0:00:39.18,Default,,0000,0000,0000,,Mashine yetu ya kufulia nguo inaharibika. Dialogue: 0,0:00:39.18,0:00:40.70,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo tunanunua mpya. Dialogue: 0,0:00:41.27,0:00:45.85,Default,,0000,0000,0000,,Kila wakati tunapofanya hivi tunapora raslimali isiyo na mwisho Dialogue: 0,0:00:45.85,0:00:48.59,Default,,0000,0000,0000,,na mara si haba tunazalisha taka zenye sumu. Dialogue: 0,0:00:48.75,0:00:51.56,Default,,0000,0000,0000,,Haiwezi kutendeka kwa muda mrefu. Dialogue: 0,0:00:52.65,0:00:54.26,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo ni nini inaweza? Dialogue: 0,0:00:54.90,0:00:59.22,Default,,0000,0000,0000,,Tukikubali mfumo mzunguko wa ulimwengu wa kuishi unafanya kazi, Dialogue: 0,0:00:59.22,0:01:01.93,Default,,0000,0000,0000,,je tunaweza badili jinsi tunavyofikiri Dialogue: 0,0:01:01.93,0:01:05.67,Default,,0000,0000,0000,,ndio tuweze kufanya kazi kwa uchumi mzunguko? Dialogue: 0,0:01:06.30,0:01:08.70,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuanze na mzunguko wa kibayolojia. Dialogue: 0,0:01:09.34,0:01:13.73,Default,,0000,0000,0000,,Taka zetu zinawezaje kujenga mtaji badala ya kuipunguza? Dialogue: 0,0:01:14.06,0:01:17.80,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kufikiria upya na kubuni upya bidhaa na vijenzi Dialogue: 0,0:01:17.80,0:01:19.78,Default,,0000,0000,0000,,na vifurushi vyao, Dialogue: 0,0:01:19.78,0:01:23.41,Default,,0000,0000,0000,,tunawezaunda vifaa salama na vinayoweza kuwa mbolea Dialogue: 0,0:01:23.41,0:01:25.54,Default,,0000,0000,0000,,na kuwezesha kumea kwa mimea. Dialogue: 0,0:01:26.27,0:01:27.92,Default,,0000,0000,0000,,Na jinsi wanavyoseama filamuni, Dialogue: 0,0:01:27.92,0:01:31.40,Default,,0000,0000,0000,,"Hakuna raslimali iliyopotea katika kuunda kifaa hiki." Dialogue: 0,0:01:32.35,0:01:36.12,Default,,0000,0000,0000,,Vipi kuhusu mashine za kufulia nguo, simu za rununu na majokofu? Dialogue: 0,0:01:36.43,0:01:38.62,Default,,0000,0000,0000,,Tunajua ya kuwa hayayeyuki kuwa mbolea. Dialogue: 0,0:01:39.04,0:01:42.34,Default,,0000,0000,0000,,Hapa tunazungumza kuhusu dhana nyingine: Dialogue: 0,0:01:42.34,0:01:45.05,Default,,0000,0000,0000,,jinsi ya kuzungusha vyuma vyenye thamani, Dialogue: 0,0:01:45.05,0:01:46.71,Default,,0000,0000,0000,,Mapolima na maaloi, Dialogue: 0,0:01:46.71,0:01:48.54,Default,,0000,0000,0000,,ndio yawezeke kudumisha ubora Dialogue: 0,0:01:48.54,0:01:50.06,Default,,0000,0000,0000,,na kuendelea kutumika Dialogue: 0,0:01:50.06,0:01:53.55,Default,,0000,0000,0000,,baada ya muda wa ununuzi wa bidhaa binafsi. Dialogue: 0,0:01:54.49,0:01:58.68,Default,,0000,0000,0000,,Yamkini bidhaa za leo ziwe raslimali za kesho? Dialogue: 0,0:01:58.90,0:02:00.84,Default,,0000,0000,0000,,Ina mantiki ya kibiashara. Dialogue: 0,0:02:01.42,0:02:05.33,Default,,0000,0000,0000,,Badala ya itikadi ya tupa na badilisha ambayo tumekuja kuzoea, Dialogue: 0,0:02:05.33,0:02:08.11,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza twaa ile ya rudisha na ufanye upya. Dialogue: 0,0:02:08.11,0:02:13.18,Default,,0000,0000,0000,,pale ambapo bidhaa na vijenzi vimeundwa kutenganishwa na kufanywa upwa. Dialogue: 0,0:02:13.86,0:02:18.64,Default,,0000,0000,0000,,Suluhisho moja inaweza kuwa kufikiria upya taswira yetu ya umiliki. Dialogue: 0,0:02:19.35,0:02:22.26,Default,,0000,0000,0000,,Ingekuwaje kama hatungekuwa wamiki halisi wa teknolojia zetu? Dialogue: 0,0:02:22.26,0:02:25.60,Default,,0000,0000,0000,,Tunazipa leseni kutoka kwa waundaji. Dialogue: 0,0:02:26.20,0:02:29.49,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, hebu tuunganishe mizunguko hii mbili pamoja. Dialogue: 0,0:02:29.81,0:02:33.69,Default,,0000,0000,0000,,Tafakari kama tungeweza kubuni bidhaa kurudia watengenezaji wao, Dialogue: 0,0:02:33.69,0:02:36.37,Default,,0000,0000,0000,,vifaa vyao vya kiteknolojia vikitumika tena, Dialogue: 0,0:02:36.37,0:02:40.61,Default,,0000,0000,0000,,na vijenzi vyao vya kibiyolojia vikiongeza ubora wa kilimo Dialogue: 0,0:02:41.05,0:02:44.57,Default,,0000,0000,0000,,Na tafakari kuwa hivi bidhaa vinatengenezwa na kusafirishwa Dialogue: 0,0:02:44.57,0:02:46.67,Default,,0000,0000,0000,,kutumia nishati mbadala. Dialogue: 0,0:02:46.83,0:02:50.86,Default,,0000,0000,0000,,Hapa tuna modeli inayojenga ustawi kwa muda mrefu. Dialogue: 0,0:02:50.86,0:02:52.35,Default,,0000,0000,0000,,Na habari njema ni kuwa Dialogue: 0,0:02:52.35,0:02:54.58,Default,,0000,0000,0000,,tiyari kuna makampuni Dialogue: 0,0:02:54.58,0:02:57.39,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zinaanza kukubali jinsi hii ya utendakazi Dialogue: 0,0:02:57.90,0:03:03.12,Default,,0000,0000,0000,,Lakini uchumi mzunguko siyo ya muundaji mmoja kubadlisha bidhaa moja. Dialogue: 0,0:03:03.51,0:03:08.15,Default,,0000,0000,0000,,Ni ya kuunganisha makampuni ambazo zipo katika muundomsingi Dialogue: 0,0:03:08.15,0:03:09.20,Default,,0000,0000,0000,,na uchumi Dialogue: 0,0:03:09.20,0:03:10.64,Default,,0000,0000,0000,,kuungana. Dialogue: 0,0:03:10.96,0:03:12.54,Default,,0000,0000,0000,,Ni kuhusu kawi. Dialogue: 0,0:03:12.82,0:03:16.99,Default,,0000,0000,0000,,Ni kuhusu kufikiria upya mfumo mwenyewe wa kufanya kazi. Dialogue: 0,0:03:18.48,0:03:24.05,Default,,0000,0000,0000,,Tupo na nafasi mwafaka kufungua taswira na upeo upya. Dialogue: 0,0:03:24.37,0:03:27.95,Default,,0000,0000,0000,,Badala ya kubakia kunaswa na kufadhaishwa kwa sasa, Dialogue: 0,0:03:27.95,0:03:30.70,Default,,0000,0000,0000,,na ubunifu na uvumbuzi, Dialogue: 0,0:03:30.70,0:03:35.72,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kihakika kufikiria upya na kubuni upya kesho yetu.