1 00:00:00,757 --> 00:00:04,708 Mifumo ya kuishi imekuwa kwa mabilioni chache ya miaka. 2 00:00:04,708 --> 00:00:06,914 na itakuwa kwa miaka nyinginezo. 3 00:00:07,413 --> 00:00:10,045 Katika ulimwengu wa kuishi, hakuna mfumo wa kuzoa taka. 4 00:00:10,225 --> 00:00:12,638 Badala yake, vifaa vinayeyuka. 5 00:00:12,838 --> 00:00:15,541 Taka ya aina moja ni chakula ya aina nyingine; 6 00:00:15,541 --> 00:00:17,732 jua hupeana kawi; 7 00:00:17,732 --> 00:00:19,712 vitu vinamea, halafu hufa; 8 00:00:19,712 --> 00:00:22,997 na virutubisho hurudi salama mchangani. 9 00:00:23,787 --> 00:00:25,606 Na inatendeka. 10 00:00:26,081 --> 00:00:27,336 Ila kama binadamu, 11 00:00:27,336 --> 00:00:29,596 tumekubali mtazamo finyu; 12 00:00:29,596 --> 00:00:32,666 tunachukua, tunaunda, na hatimaye tunatupa. 13 00:00:33,167 --> 00:00:35,092 Simu mpya inatokea. 14 00:00:35,092 --> 00:00:36,946 Kwa hivyo tunatupilia mbali ile zee. 15 00:00:37,196 --> 00:00:39,184 Mashine yetu ya kufulia nguo inaharibika. 16 00:00:39,184 --> 00:00:40,701 Kwa hivyo tunanunua mpya. 17 00:00:41,271 --> 00:00:45,847 Kila wakati tunapofanya hivi tunapora raslimali isiyo na mwisho 18 00:00:45,847 --> 00:00:48,588 na mara si haba tunazalisha taka zenye sumu. 19 00:00:48,751 --> 00:00:51,555 Haiwezi kutendeka kwa muda mrefu. 20 00:00:52,652 --> 00:00:54,265 Kwa hivyo ni nini inaweza? 21 00:00:54,901 --> 00:00:59,222 Tukikubali mfumo mzunguko wa ulimwengu wa kuishi unafanya kazi, 22 00:00:59,222 --> 00:01:01,930 je tunaweza badili jinsi tunavyofikiri 23 00:01:01,930 --> 00:01:05,667 ndio tuweze kufanya kazi kwa uchumi mzunguko? 24 00:01:06,296 --> 00:01:08,698 Hebu tuanze na mzunguko wa kibayolojia. 25 00:01:09,339 --> 00:01:13,734 Taka zetu zinawezaje kujenga mtaji badala ya kuipunguza? 26 00:01:14,062 --> 00:01:17,805 Kwa kufikiria upya na kubuni upya bidhaa na vijenzi 27 00:01:17,805 --> 00:01:19,776 na vifurushi vyao, 28 00:01:19,776 --> 00:01:23,408 tunawezaunda vifaa salama na vinayoweza kuwa mbolea 29 00:01:23,408 --> 00:01:25,540 na kuwezesha kumea kwa mimea. 30 00:01:26,272 --> 00:01:27,925 Na jinsi wanavyoseama filamuni, 31 00:01:27,925 --> 00:01:31,399 "Hakuna raslimali iliyopotea katika kuunda kifaa hiki." 32 00:01:32,352 --> 00:01:36,125 Vipi kuhusu mashine za kufulia nguo, simu za rununu na majokofu? 33 00:01:36,431 --> 00:01:38,619 Tunajua ya kuwa hayayeyuki kuwa mbolea. 34 00:01:39,036 --> 00:01:42,344 Hapa tunazungumza kuhusu dhana nyingine: 35 00:01:42,344 --> 00:01:45,047 jinsi ya kuzungusha vyuma vyenye thamani, 36 00:01:45,047 --> 00:01:46,714 Mapolima na maaloi, 37 00:01:46,714 --> 00:01:48,538 ndio yawezeke kudumisha ubora 38 00:01:48,538 --> 00:01:50,065 na kuendelea kutumika 39 00:01:50,065 --> 00:01:53,554 baada ya muda wa ununuzi wa bidhaa binafsi. 40 00:01:54,490 --> 00:01:58,681 Yamkini bidhaa za leo ziwe raslimali za kesho? 41 00:01:58,898 --> 00:02:00,843 Ina mantiki ya kibiashara. 42 00:02:01,419 --> 00:02:05,331 Badala ya itikadi ya tupa na badilisha ambayo tumekuja kuzoea, 43 00:02:05,331 --> 00:02:08,107 tunaweza twaa ile ya rudisha na ufanye upya. 44 00:02:08,107 --> 00:02:13,177 pale ambapo bidhaa na vijenzi vimeundwa kutenganishwa na kufanywa upwa. 45 00:02:13,857 --> 00:02:18,642 Suluhisho moja inaweza kuwa kufikiria upya taswira yetu ya umiliki. 46 00:02:19,354 --> 00:02:22,264 Ingekuwaje kama hatungekuwa wamiki halisi wa teknolojia zetu? 47 00:02:22,264 --> 00:02:25,597 Tunazipa leseni kutoka kwa waundaji. 48 00:02:26,197 --> 00:02:29,490 Sasa, hebu tuunganishe mizunguko hii mbili pamoja. 49 00:02:29,809 --> 00:02:33,691 Tafakari kama tungeweza kubuni bidhaa kurudia watengenezaji wao, 50 00:02:33,691 --> 00:02:36,369 vifaa vyao vya kiteknolojia vikitumika tena, 51 00:02:36,369 --> 00:02:40,609 na vijenzi vyao vya kibiyolojia vikiongeza ubora wa kilimo 52 00:02:41,046 --> 00:02:44,567 Na tafakari kuwa hivi bidhaa vinatengenezwa na kusafirishwa 53 00:02:44,567 --> 00:02:46,674 kutumia nishati mbadala. 54 00:02:46,834 --> 00:02:50,864 Hapa tuna modeli inayojenga ustawi kwa muda mrefu. 55 00:02:50,864 --> 00:02:52,351 Na habari njema ni kuwa 56 00:02:52,351 --> 00:02:54,577 tiyari kuna makampuni 57 00:02:54,577 --> 00:02:57,394 ambazo zinaanza kukubali jinsi hii ya utendakazi 58 00:02:57,904 --> 00:03:03,116 Lakini uchumi mzunguko siyo ya muundaji mmoja kubadlisha bidhaa moja. 59 00:03:03,511 --> 00:03:08,151 Ni ya kuunganisha makampuni ambazo zipo katika muundomsingi 60 00:03:08,151 --> 00:03:09,203 na uchumi 61 00:03:09,203 --> 00:03:10,643 kuungana. 62 00:03:10,958 --> 00:03:12,545 Ni kuhusu kawi. 63 00:03:12,817 --> 00:03:16,987 Ni kuhusu kufikiria upya mfumo mwenyewe wa kufanya kazi. 64 00:03:18,481 --> 00:03:24,048 Tupo na nafasi mwafaka kufungua taswira na upeo upya. 65 00:03:24,367 --> 00:03:27,947 Badala ya kubakia kunaswa na kufadhaishwa kwa sasa, 66 00:03:27,947 --> 00:03:30,700 na ubunifu na uvumbuzi, 67 00:03:30,700 --> 00:03:35,721 tunaweza kihakika kufikiria upya na kubuni upya kesho yetu.