0:00:00.757,0:00:04.708 Mifumo ya kuishi imekuwa kwa mabilioni chache ya miaka. 0:00:04.708,0:00:06.914 na itakuwa kwa miaka nyinginezo. 0:00:07.413,0:00:10.045 Katika ulimwengu wa kuishi, hakuna mfumo wa kuzoa taka. 0:00:10.225,0:00:12.638 Badala yake, vifaa vinayeyuka. 0:00:12.838,0:00:15.541 Taka ya aina moja ni chakula ya aina nyingine; 0:00:15.541,0:00:17.732 jua hupeana kawi; 0:00:17.732,0:00:19.712 vitu vinamea, halafu hufa; 0:00:19.712,0:00:22.997 na virutubisho hurudi salama mchangani. 0:00:23.787,0:00:25.606 Na inatendeka. 0:00:26.081,0:00:27.336 Ila kama binadamu, 0:00:27.336,0:00:29.596 tumekubali mtazamo finyu; 0:00:29.596,0:00:32.666 tunachukua, tunaunda, na hatimaye tunatupa. 0:00:33.167,0:00:35.092 Simu mpya inatokea. 0:00:35.092,0:00:36.946 Kwa hivyo tunatupilia mbali ile zee. 0:00:37.196,0:00:39.184 Mashine yetu ya kufulia nguo inaharibika. 0:00:39.184,0:00:40.701 Kwa hivyo tunanunua mpya. 0:00:41.271,0:00:45.847 Kila wakati tunapofanya hivi tunapora raslimali isiyo na mwisho 0:00:45.847,0:00:48.588 na mara si haba tunazalisha taka zenye sumu. 0:00:48.751,0:00:51.555 Haiwezi kutendeka kwa muda mrefu. 0:00:52.652,0:00:54.265 Kwa hivyo ni nini inaweza? 0:00:54.901,0:00:59.222 Tukikubali mfumo mzunguko wa ulimwengu wa kuishi unafanya kazi, 0:00:59.222,0:01:01.930 je tunaweza badili jinsi tunavyofikiri 0:01:01.930,0:01:05.667 ndio tuweze kufanya kazi kwa uchumi mzunguko? 0:01:06.296,0:01:08.698 Hebu tuanze na mzunguko wa kibayolojia. 0:01:09.339,0:01:13.734 Taka zetu zinawezaje kujenga mtaji badala ya kuipunguza? 0:01:14.062,0:01:17.805 Kwa kufikiria upya na kubuni upya bidhaa na vijenzi 0:01:17.805,0:01:19.776 na vifurushi vyao, 0:01:19.776,0:01:23.408 tunawezaunda vifaa salama na vinayoweza kuwa mbolea 0:01:23.408,0:01:25.540 na kuwezesha kumea kwa mimea. 0:01:26.272,0:01:27.925 Na jinsi wanavyoseama filamuni, 0:01:27.925,0:01:31.399 "Hakuna raslimali iliyopotea katika kuunda kifaa hiki." 0:01:32.352,0:01:36.125 Vipi kuhusu mashine za kufulia nguo, simu za rununu na majokofu? 0:01:36.431,0:01:38.619 Tunajua ya kuwa hayayeyuki kuwa mbolea. 0:01:39.036,0:01:42.344 Hapa tunazungumza kuhusu dhana nyingine: 0:01:42.344,0:01:45.047 jinsi ya kuzungusha vyuma vyenye thamani, 0:01:45.047,0:01:46.714 Mapolima na maaloi, 0:01:46.714,0:01:48.538 ndio yawezeke kudumisha ubora 0:01:48.538,0:01:50.065 na kuendelea kutumika 0:01:50.065,0:01:53.554 baada ya muda wa ununuzi wa bidhaa binafsi. 0:01:54.490,0:01:58.681 Yamkini bidhaa za leo ziwe raslimali za kesho? 0:01:58.898,0:02:00.843 Ina mantiki ya kibiashara. 0:02:01.419,0:02:05.331 Badala ya itikadi ya tupa na badilisha ambayo tumekuja kuzoea, 0:02:05.331,0:02:08.107 tunaweza twaa ile ya rudisha na ufanye upya. 0:02:08.107,0:02:13.177 pale ambapo bidhaa na vijenzi vimeundwa kutenganishwa na kufanywa upwa. 0:02:13.857,0:02:18.642 Suluhisho moja inaweza kuwa kufikiria upya taswira yetu ya umiliki. 0:02:19.354,0:02:22.264 Ingekuwaje kama hatungekuwa wamiki halisi wa teknolojia zetu? 0:02:22.264,0:02:25.597 Tunazipa leseni kutoka kwa waundaji. 0:02:26.197,0:02:29.490 Sasa, hebu tuunganishe mizunguko hii mbili pamoja. 0:02:29.809,0:02:33.691 Tafakari kama tungeweza kubuni bidhaa kurudia watengenezaji wao, 0:02:33.691,0:02:36.369 vifaa vyao vya kiteknolojia vikitumika tena, 0:02:36.369,0:02:40.609 na vijenzi vyao vya kibiyolojia vikiongeza ubora wa kilimo 0:02:41.046,0:02:44.567 Na tafakari kuwa hivi bidhaa vinatengenezwa na kusafirishwa 0:02:44.567,0:02:46.674 kutumia nishati mbadala. 0:02:46.834,0:02:50.864 Hapa tuna modeli inayojenga ustawi kwa muda mrefu. 0:02:50.864,0:02:52.351 Na habari njema ni kuwa 0:02:52.351,0:02:54.577 tiyari kuna makampuni 0:02:54.577,0:02:57.394 ambazo zinaanza kukubali jinsi hii ya utendakazi 0:02:57.904,0:03:03.116 Lakini uchumi mzunguko siyo ya muundaji mmoja kubadlisha bidhaa moja. 0:03:03.511,0:03:08.151 Ni ya kuunganisha makampuni ambazo zipo katika muundomsingi 0:03:08.151,0:03:09.203 na uchumi 0:03:09.203,0:03:10.643 kuungana. 0:03:10.958,0:03:12.545 Ni kuhusu kawi. 0:03:12.817,0:03:16.987 Ni kuhusu kufikiria upya mfumo mwenyewe wa kufanya kazi. 0:03:18.481,0:03:24.048 Tupo na nafasi mwafaka kufungua taswira na upeo upya. 0:03:24.367,0:03:27.947 Badala ya kubakia kunaswa na kufadhaishwa kwa sasa, 0:03:27.947,0:03:30.700 na ubunifu na uvumbuzi, 0:03:30.700,0:03:35.721 tunaweza kihakika kufikiria upya na kubuni upya kesho yetu.