[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.76,0:00:04.66,Default,,0000,0000,0000,,Napenda kujifunza lugha za kigeni. Dialogue: 0,0:00:04.68,0:00:08.74,Default,,0000,0000,0000,,napenda sana kiasi kwamba hujifunza lugha mpya kila baada ya miaka miwili, Dialogue: 0,0:00:08.76,0:00:10.86,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi najifunza lugha ya nane. Dialogue: 0,0:00:10.88,0:00:13.50,Default,,0000,0000,0000,,Pale watu wanapogundua kuhusu mimi, mara huniuliza, Dialogue: 0,0:00:13.52,0:00:15.62,Default,,0000,0000,0000,,"Unafanyaje hivyo? Siri yako ni ipi?" Dialogue: 0,0:00:15.64,0:00:18.66,Default,,0000,0000,0000,,Na niwe muwazi, kwa miaka mingi, jibu langu litakuwa, Dialogue: 0,0:00:18.68,0:00:21.00,Default,,0000,0000,0000,,"Sifahamu. Napenda tu kujifunza lugha." Dialogue: 0,0:00:21.72,0:00:23.98,Default,,0000,0000,0000,,Lakini watu hawakufurahishwa na jibu hilo. Dialogue: 0,0:00:24.00,0:00:27.98,Default,,0000,0000,0000,,Walitaka kufahamu kwanini wanatumia miaka kujaribu kuijfunza hata lugha moja, Dialogue: 0,0:00:28.00,0:00:29.54,Default,,0000,0000,0000,,kamwe hawafanikiwa unenaji, Dialogue: 0,0:00:29.56,0:00:32.62,Default,,0000,0000,0000,,na mimi natokea, nikijifunza lugha moja baada ya nyingine. Dialogue: 0,0:00:32.64,0:00:34.86,Default,,0000,0000,0000,,Walitaka kujua siri ya wanaisimu, Dialogue: 0,0:00:34.88,0:00:36.60,Default,,0000,0000,0000,,watu wanaoongea lugha nyingi. Dialogue: 0,0:00:37.40,0:00:38.82,Default,,0000,0000,0000,,Na hii ilinifanya kushangaa, pia, Dialogue: 0,0:00:38.84,0:00:41.14,Default,,0000,0000,0000,,wanaisimu wengine wanafanyaje? Dialogue: 0,0:00:41.16,0:00:42.66,Default,,0000,0000,0000,,Kitu gani tulichonacho? Dialogue: 0,0:00:42.68,0:00:44.62,Default,,0000,0000,0000,,Na kipi ambacho kinatuwezesha sisi Dialogue: 0,0:00:44.64,0:00:47.08,Default,,0000,0000,0000,,kujifunza lugha kwa haraka kuliko watu wengine? Dialogue: 0,0:00:47.88,0:00:50.72,Default,,0000,0000,0000,,Niliamua kukutana na watu wengine kama mimi ili kutambua. Dialogue: 0,0:00:51.76,0:00:53.82,Default,,0000,0000,0000,,Sehemu nzuri ya kuonana na wanaisimu wengi Dialogue: 0,0:00:53.84,0:00:56.14,Default,,0000,0000,0000,,ni katika hafla ambapo mamia ya wapenzi wa lugha Dialogue: 0,0:00:56.16,0:00:59.02,Default,,0000,0000,0000,,hukutana pamoja. Dialogue: 0,0:00:59.04,0:01:02.34,Default,,0000,0000,0000,,Kuna baadhi ya hafla za wanaisimu ambazo huandaliwa duniani kote, Dialogue: 0,0:01:02.36,0:01:03.74,Default,,0000,0000,0000,,na kwa hiyo niliamua kwenda huko Dialogue: 0,0:01:03.76,0:01:06.20,Default,,0000,0000,0000,,na kuwauliza wanaisimu kuhusu njia wanazotumia. Dialogue: 0,0:01:07.20,0:01:09.14,Default,,0000,0000,0000,,Nilikutana na Benny kutoka Ireland, Dialogue: 0,0:01:09.16,0:01:13.32,Default,,0000,0000,0000,,ambaye aliniambia kwamba njia yake ni kuanza kuongea kuanzia siku ya kwanza. Dialogue: 0,0:01:14.24,0:01:17.14,Default,,0000,0000,0000,,Hujifunza misemo michache kutoka katika kitabu cha misemo cha wasafiri Dialogue: 0,0:01:17.16,0:01:18.74,Default,,0000,0000,0000,,na huenda kukutana na wenyeji wa lugha husika Dialogue: 0,0:01:18.76,0:01:21.58,Default,,0000,0000,0000,,na kuanza maongezi nao moja kwa moja. Dialogue: 0,0:01:21.60,0:01:24.38,Default,,0000,0000,0000,,Hajali kukosea kuongea hata mara 200 kwa siku, Dialogue: 0,0:01:24.40,0:01:26.84,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hivyo ndivyo anajifunza, ukilinganisha na mrejesho. Dialogue: 0,0:01:27.48,0:01:30.62,Default,,0000,0000,0000,,Na kilicho bora ni kwamba, haitaji kusafiri sana leo, Dialogue: 0,0:01:30.64,0:01:33.58,Default,,0000,0000,0000,,Sababu kwa urahisi unaweza fanya maongezi na wenyeji wa lugha Dialogue: 0,0:01:33.60,0:01:36.30,Default,,0000,0000,0000,,ukiwa umepumzika katika chumba chako, ukitumia tovuti. Dialogue: 0,0:01:36.32,0:01:38.10,Default,,0000,0000,0000,,Nilikutana pia na Lucas kutoka Brazil Dialogue: 0,0:01:38.12,0:01:40.60,Default,,0000,0000,0000,,ambaye alikuwa na njia ya kuvutia ya kujifunza Kirussia. Dialogue: 0,0:01:41.20,0:01:46.86,Default,,0000,0000,0000,,Kiurahisi aliwaalika waongeaji wa lugha ya Kirussia wapatao 100 kama marafiki katika mtandao wake wa Skype, Dialogue: 0,0:01:46.88,0:01:50.78,Default,,0000,0000,0000,,na kisha alianza kupiga soga na mmoja wao Dialogue: 0,0:01:50.80,0:01:52.24,Default,,0000,0000,0000,,na akaandika "Habari" kwa Kirussia. Dialogue: 0,0:01:53.00,0:01:55.58,Default,,0000,0000,0000,,Yule mtu alijibu," Nzuri, hujambo?" Dialogue: 0,0:01:55.60,0:02:00.06,Default,,0000,0000,0000,,Lucas alinakili haya maongezi na kuweka katika chumba cha maandishi alipoanza soga na mtu mwingine, Dialogue: 0,0:02:00.08,0:02:03.66,Default,,0000,0000,0000,,na mtu alijibu. "Nipo salama, asante, na wewe hujambo?" Dialogue: 0,0:02:03.68,0:02:06.66,Default,,0000,0000,0000,,Lucas alinakili tena na kuweka katika soga na mtu wa kwanza, Dialogue: 0,0:02:06.68,0:02:10.14,Default,,0000,0000,0000,,na katika njia hii, aliwafanya watu wawili wasiojuana kuwa katika maongezi Dialogue: 0,0:02:10.16,0:02:11.58,Default,,0000,0000,0000,,bila kufahamu hilo. Dialogue: 0,0:02:11.60,0:02:12.86,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:02:12.88,0:02:14.78,Default,,0000,0000,0000,,Si punde alianza kuchapa maneno mwenyewe, Dialogue: 0,0:02:14.80,0:02:16.94,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu alikuwa na maongezi kama haya mengi Dialogue: 0,0:02:16.96,0:02:19.98,Default,,0000,0000,0000,,kwamba aligundua jinsi gani maongezi ya Kirussia ambavyo kwa kawaida huanza. Dialogue: 0,0:02:20.00,0:02:22.34,Default,,0000,0000,0000,,Njia yenye werevu sana, si ndiyo? Dialogue: 0,0:02:22.36,0:02:26.86,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha nilikutana na mwanaisimu ambaye muda wote huanza kwa kuigiza sauti za lugha, Dialogue: 0,0:02:26.88,0:02:31.30,Default,,0000,0000,0000,,na wengine ambao amara zote hujifunza maneno 500 ya mara kwa mara katika lugha, Dialogue: 0,0:02:31.32,0:02:34.72,Default,,0000,0000,0000,,na wengine ambao huanza kwa kusoma kitabu cha sarufi. Dialogue: 0,0:02:35.60,0:02:37.90,Default,,0000,0000,0000,,Kama ningeuliza wanaisimu mbalimbali mia moja, Dialogue: 0,0:02:37.92,0:02:41.54,Default,,0000,0000,0000,,Nilisikia namna mia moja mbalimbali za kujifunza lugha. Dialogue: 0,0:02:41.56,0:02:45.18,Default,,0000,0000,0000,,Kila mtu alikuwa na njia tofauti ya kujifunza lugha, Dialogue: 0,0:02:45.20,0:02:49.08,Default,,0000,0000,0000,,na wote mwishoni huja na matokeo sawa ya kuongea lugha baadhi kwa ufasaha. Dialogue: 0,0:02:50.12,0:02:54.42,Default,,0000,0000,0000,,Na nilikuwa nawasikiliza wanaisimu hawa wakinieleza kuhusu njia zao, Dialogue: 0,0:02:54.44,0:02:56.74,Default,,0000,0000,0000,,ghafla ikaniamsha: Dialogue: 0,0:02:56.76,0:02:59.90,Default,,0000,0000,0000,,kitu kimoja ambacho wote tunacho Dialogue: 0,0:02:59.92,0:03:05.46,Default,,0000,0000,0000,,ni kwamba tumeweza kutafuta namna ya kufurahia mchakato ya kujifunza lugha. Dialogue: 0,0:03:05.48,0:03:08.26,Default,,0000,0000,0000,,Na hawa wanaisimu wote walikuwa wanaongelea kuhusu kujifunza lugha Dialogue: 0,0:03:08.28,0:03:09.54,Default,,0000,0000,0000,,na ilikuwa inafurahisha sana. Dialogue: 0,0:03:09.56,0:03:11.14,Default,,0000,0000,0000,,Ungewaona nyuso zao Dialogue: 0,0:03:11.16,0:03:13.78,Default,,0000,0000,0000,,walipokuwa wakinionyesha chati za rangi zikielezea sarufi Dialogue: 0,0:03:13.80,0:03:16.30,Default,,0000,0000,0000,,na kadi za maneno zilizotengenezwa kwa uangalifu, Dialogue: 0,0:03:16.32,0:03:19.34,Default,,0000,0000,0000,,na takwimu zao kuhusu kujifunza maneno ya lugha kwa kutumia programu ya simu janja, Dialogue: 0,0:03:19.36,0:03:23.56,Default,,0000,0000,0000,,au wanavyopenda kupika kutokana na maelezo ya upishi yaliyoandikwa katika lugha ya kigeni. Dialogue: 0,0:03:24.68,0:03:26.42,Default,,0000,0000,0000,,Wote wanatumia njia mbalimbali, Dialogue: 0,0:03:26.44,0:03:30.22,Default,,0000,0000,0000,,Lakini wanahakikisha ni kitu ambacho binafsi wanapendelea kufanya. Dialogue: 0,0:03:30.24,0:03:34.14,Default,,0000,0000,0000,,Nimegundua kwamba hivi ndivyo mimi hujifunza lugha. Dialogue: 0,0:03:34.16,0:03:37.74,Default,,0000,0000,0000,,Nilipokuwa najifunza Kispanyola, nilichoshwa na maandishi katika kitabu. Dialogue: 0,0:03:37.76,0:03:39.50,Default,,0000,0000,0000,,Namaanisha, nani ambaye anataka kusoma kuhusu Jose Dialogue: 0,0:03:39.52,0:03:42.66,Default,,0000,0000,0000,,akiuliza kuhusu uelekeo wa kwenda kituo gari moshi. Sawa? Dialogue: 0,0:03:42.68,0:03:45.02,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kusoma "Harry Porter" badala yake, Dialogue: 0,0:03:45.04,0:03:47.18,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ndicho kilikuwa kitabu nikipendacho sana nikiwa mdogo, Dialogue: 0,0:03:47.20,0:03:48.86,Default,,0000,0000,0000,,na nimekisoma mara nyingi. Dialogue: 0,0:03:48.88,0:03:52.50,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo nilipata tafsiri "Harry Porter" katika lugha ya Kispanyola na nikaanza kusoma, Dialogue: 0,0:03:52.52,0:03:55.86,Default,,0000,0000,0000,,na kwa uhakika, sikuelewa chochote kile mwanzoni, Dialogue: 0,0:03:55.88,0:03:58.10,Default,,0000,0000,0000,,lakini niliendelea kusoma kwa sababu nilikipenda kitabu, Dialogue: 0,0:03:58.12,0:04:02.26,Default,,0000,0000,0000,,na mwishoni mwa kitabu, niliweza kukifatilia bila matatizo yoyote. Dialogue: 0,0:04:02.28,0:04:04.90,Default,,0000,0000,0000,,Na jambo sawa lilitokea wakati nikijifunza Kijerumani. Dialogue: 0,0:04:04.92,0:04:08.22,Default,,0000,0000,0000,,Niliamua kuangalia "Marafiki," ucheshi ninaopendelea, kwa Kijerumani, Dialogue: 0,0:04:08.24,0:04:11.34,Default,,0000,0000,0000,,na tena, mwanzoni ilikuwa upuuzi tu. Dialogue: 0,0:04:11.36,0:04:14.54,Default,,0000,0000,0000,,Sikuelewa ni wapi neno moja limeishia na lingine lilipoanzia, Dialogue: 0,0:04:14.56,0:04:17.22,Default,,0000,0000,0000,,lakini niliendelea kuangalia kila siku kwa sababu ilikuwa ni "Marafiki." Dialogue: 0,0:04:17.24,0:04:19.62,Default,,0000,0000,0000,,Naweza kuangalia katika lugha yoyote. Napenda sana. Dialogue: 0,0:04:19.64,0:04:21.66,Default,,0000,0000,0000,,Na baada sehemu ya pili au ya tatu, Dialogue: 0,0:04:21.68,0:04:24.04,Default,,0000,0000,0000,,kiukweli, maongezi yalianza kuleta maana. Dialogue: 0,0:04:25.08,0:04:28.14,Default,,0000,0000,0000,,Nilitambua hili baada ya kukutana na wanaisimu wengine. Dialogue: 0,0:04:28.16,0:04:29.74,Default,,0000,0000,0000,,Sisi si wenye talanta Dialogue: 0,0:04:29.76,0:04:32.18,Default,,0000,0000,0000,,na hatuna njia za kukatiza katika kujifunza lugha. Dialogue: 0,0:04:32.20,0:04:36.02,Default,,0000,0000,0000,,Tumeweza kutafuta njia ya kufurahia mchakato, Dialogue: 0,0:04:36.04,0:04:39.42,Default,,0000,0000,0000,,namna ya kubadili usomaji wa lugha kutoka kama somo la shule lisilofurahisha Dialogue: 0,0:04:39.44,0:04:42.64,Default,,0000,0000,0000,,hadi katika shughuli ya kuvutia ambayo hutaona shida kuifanya kila siku. Dialogue: 0,0:04:43.52,0:04:45.70,Default,,0000,0000,0000,,Kama hupendelei kuandika maneno kwenye karatasi, Dialogue: 0,0:04:45.72,0:04:47.42,Default,,0000,0000,0000,,unaweza mara zote kuyachapa kwenye programu ya simu. Dialogue: 0,0:04:47.44,0:04:50.26,Default,,0000,0000,0000,,Kama hupendelei kusikiliza vitabu vinavyochosha, Dialogue: 0,0:04:50.28,0:04:54.58,Default,,0000,0000,0000,,tafuta video zinazovutia katika Youtube au katika vipindi vya lugha. Dialogue: 0,0:04:54.60,0:04:56.30,Default,,0000,0000,0000,,Kama wewe ni mtu unayependelea upekee Dialogue: 0,0:04:56.32,0:04:59.34,Default,,0000,0000,0000,,na hauwezi kuwaza ni namna gani utaweza ongea na wenyeji wa lugha moja kwa moja, Dialogue: 0,0:04:59.36,0:05:01.70,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kujifunza kujiongelesha mwenyewe. Dialogue: 0,0:05:01.72,0:05:04.30,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuongea na nafsi yako ukiwa katika chumba chako, Dialogue: 0,0:05:04.32,0:05:07.22,Default,,0000,0000,0000,,ukieleza mipango yako ya mwisho wa wiki, siku yako ilikwendaje, Dialogue: 0,0:05:07.24,0:05:09.38,Default,,0000,0000,0000,,au hata kupiga picha zisizo na mpangilio katika simu yako Dialogue: 0,0:05:09.40,0:05:13.14,Default,,0000,0000,0000,,na kuelezea kuhusu picha hiyo kwa rafiki yako wa kufikirika. Dialogue: 0,0:05:13.16,0:05:15.66,Default,,0000,0000,0000,,Hivi ndivyo wanaisimu hujifunza lugha, Dialogue: 0,0:05:15.68,0:05:18.54,Default,,0000,0000,0000,,na habari njema ni kwamba, inapatikana kwa mtu yoyote Dialogue: 0,0:05:18.56,0:05:21.24,Default,,0000,0000,0000,,nani ambaye yuko tayari kujifunza katika mikono yake. Dialogue: 0,0:05:22.52,0:05:24.62,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kukutana na wanaisimu wengine kulinisaidia kutambua Dialogue: 0,0:05:24.64,0:05:27.66,Default,,0000,0000,0000,,kwamba ni muhimu sana kupata burudani Dialogue: 0,0:05:27.68,0:05:29.78,Default,,0000,0000,0000,,katika mchakato wa kujifunza lugha, Dialogue: 0,0:05:29.80,0:05:32.84,Default,,0000,0000,0000,,lakini pia furaha yenyewe pekee haitoshi. Dialogue: 0,0:05:33.68,0:05:36.42,Default,,0000,0000,0000,,Kama unataka kuweza kufikia ufasaha katika lugha ya kigeni, Dialogue: 0,0:05:36.44,0:05:38.92,Default,,0000,0000,0000,,utahitajika kutumia kanuni tatu zaidi. Dialogue: 0,0:05:39.76,0:05:42.36,Default,,0000,0000,0000,,Kwanza, unahitaji njia zilizo bora. Dialogue: 0,0:05:43.16,0:05:46.58,Default,,0000,0000,0000,,Ukijaribu kukumbuka listi ya maneno kwa ajili ya mtihani wa kesho, Dialogue: 0,0:05:46.60,0:05:48.98,Default,,0000,0000,0000,,maneno yatahifadhiwa katika kumbukumbu yako ya muda mfupi Dialogue: 0,0:05:49.00,0:05:50.90,Default,,0000,0000,0000,,na utayasahau baada ya siku chache. Dialogue: 0,0:05:51.40,0:05:54.34,Default,,0000,0000,0000,,Kama, hata hivyo, unataka kukaa na maneno kwa muda mrefu, Dialogue: 0,0:05:54.36,0:05:57.30,Default,,0000,0000,0000,,unahitaji kuyarudia katika kipindi cha siku chache Dialogue: 0,0:05:57.32,0:05:59.54,Default,,0000,0000,0000,,ukifanya kitu kinachofahamika kama kurudia kwa nafasi. Dialogue: 0,0:05:59.56,0:06:03.82,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kutumia programu za simu ambazo zinatumia mfumo huu kama vile Anki au Memrise,\N Dialogue: 0,0:06:03.84,0:06:07.18,Default,,0000,0000,0000,,au unaweza kuandika orodha ya neno katika kijitabu ukitumia njia ya Goldlist, Dialogue: 0,0:06:07.20,0:06:09.90,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni maarufu kwa wanaisimu wengi. Dialogue: 0,0:06:09.92,0:06:13.66,Default,,0000,0000,0000,,Kama huna uhakika ni njia ipi inayofaa na kipi kinachopatikana, Dialogue: 0,0:06:13.68,0:06:16.70,Default,,0000,0000,0000,,angalia chaneli za Youtube na tovuti za wanaisimu Dialogue: 0,0:06:16.72,0:06:18.50,Default,,0000,0000,0000,,kupata hamasa kutoka kwao. Dialogue: 0,0:06:18.52,0:06:21.44,Default,,0000,0000,0000,,Kama inawafaa wao, lazima itakufaa na wewe pia. Dialogue: 0,0:06:22.84,0:06:24.82,Default,,0000,0000,0000,,Kanuni ya tatu ya kufuata Dialogue: 0,0:06:24.84,0:06:27.00,Default,,0000,0000,0000,,ni kutengeneza mfumo katika kujifunza kwako. Dialogue: 0,0:06:27.72,0:06:31.94,Default,,0000,0000,0000,,Wote tupo bize na hakuna aliye na muda wa kujifunza lugha mpya leo. Dialogue: 0,0:06:31.96,0:06:35.74,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tunaweza pata muda kama tukipanga mbele kidogo. Dialogue: 0,0:06:35.76,0:06:39.18,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuamka dakika kumi na tano mapema kabla ya muda wa kawaida wa kuamka? Dialogue: 0,0:06:39.20,0:06:42.50,Default,,0000,0000,0000,,Huo utakuwa muda mzuri wa kuweza kupitia baadhi ya maneno. Dialogue: 0,0:06:42.52,0:06:46.26,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza sikiliza kipindi ukiwa unarudi nyumbani wakati unaendesha? Dialogue: 0,0:06:46.28,0:06:49.74,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, hiyo itakuwa nzuri kupata uzoefu wa kusikiliza. Dialogue: 0,0:06:49.76,0:06:53.22,Default,,0000,0000,0000,,Kuna vitu vingi tunaweza fanya bila hata ya kupanga muda wa ziada, Dialogue: 0,0:06:53.24,0:06:55.90,Default,,0000,0000,0000,,kama vile kusikiliza kipindi ukiwa unaelekea kazini, Dialogue: 0,0:06:55.92,0:06:57.58,Default,,0000,0000,0000,,au wakati unafanya kazi za nyumbani. Dialogue: 0,0:06:57.60,0:07:00.90,Default,,0000,0000,0000,,Kitu muhimu ni kutengeneza mpango katika kujifunza. Dialogue: 0,0:07:00.92,0:07:03.42,Default,,0000,0000,0000,,"Nitajifunza kuongea kila Jumanne na Alhamisi Dialogue: 0,0:07:03.44,0:07:05.50,Default,,0000,0000,0000,,na rafiki kwa dakika 20. Dialogue: 0,0:07:05.52,0:07:09.94,Default,,0000,0000,0000,,Nitasikiliza video katika Youtube wakati nikipata kifungua kinywa." Dialogue: 0,0:07:09.96,0:07:12.10,Default,,0000,0000,0000,,Kama utatengeneza mfumo katika kujifunza, Dialogue: 0,0:07:12.12,0:07:14.02,Default,,0000,0000,0000,,huna haja ya kutafuta muda wa ziada, Dialogue: 0,0:07:14.04,0:07:16.48,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu itakuwa namna ya maisha yako ya kila siku. Dialogue: 0,0:07:17.88,0:07:21.10,Default,,0000,0000,0000,,Na mwisho, kama unataka kujifunza lugha kwa ufasaha, Dialogue: 0,0:07:21.12,0:07:23.84,Default,,0000,0000,0000,,unahitaji kuwa na subira kidogo. Dialogue: 0,0:07:24.60,0:07:27.34,Default,,0000,0000,0000,,Haiwezekani kujifunza lugha ndani ya miezi miwili, Dialogue: 0,0:07:27.36,0:07:31.26,Default,,0000,0000,0000,,lakini inawezekana kabisa kufanya mabadiliko yanayoonekana katika miezi miwili, Dialogue: 0,0:07:31.28,0:07:35.02,Default,,0000,0000,0000,,kama utajifunza katika kiasi kidogo kidogo kila siku katika namna ambayo unafurahia. Dialogue: 0,0:07:35.04,0:07:37.18,Default,,0000,0000,0000,,Na hakuna kitu ambacho kinatuhamasisha zaidi Dialogue: 0,0:07:37.20,0:07:38.44,Default,,0000,0000,0000,,ya mafanikio yetu. Dialogue: 0,0:07:39.12,0:07:41.02,Default,,0000,0000,0000,,Nakumbuka vizuri wakati Dialogue: 0,0:07:41.04,0:07:44.72,Default,,0000,0000,0000,,nilipoelewa utani wa kwanza kwa Kijerumani nilipokuwa naangalia "Marafiki." Dialogue: 0,0:07:45.28,0:07:47.14,Default,,0000,0000,0000,,Nilifurahia sana na kuhamasika Dialogue: 0,0:07:47.16,0:07:50.18,Default,,0000,0000,0000,,kwamba niliendelea kuangalia sehemu mbili zaidi siku hiyo, Dialogue: 0,0:07:50.20,0:07:51.94,Default,,0000,0000,0000,,na nilivyoendelea kuangalia, Dialogue: 0,0:07:51.96,0:07:56.18,Default,,0000,0000,0000,,Niliendelea kuelewa zaidi, ushindi huu mdogo, Dialogue: 0,0:07:56.20,0:07:59.66,Default,,0000,0000,0000,,na hatua kwa hatua, nilifika katika hatua ambapo ningetumia lugha Dialogue: 0,0:07:59.68,0:08:02.54,Default,,0000,0000,0000,,kwa uhuru na ufasaha kuweza kuelezea chochote. Dialogue: 0,0:08:02.56,0:08:04.08,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni hisia ya kusisimua. Dialogue: 0,0:08:04.80,0:08:06.50,Default,,0000,0000,0000,,Siwezi tosheka na hisia hiyo, Dialogue: 0,0:08:06.52,0:08:09.34,Default,,0000,0000,0000,,na ndiyo maana najifunza lugha mpya kila miaka miwili. Dialogue: 0,0:08:09.36,0:08:11.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo ndiyo siri nzima ya mwanaisimu. Dialogue: 0,0:08:11.44,0:08:14.30,Default,,0000,0000,0000,,Tafuta njia madhubuti ambayo unaweza kuitumia kwa mfumo Dialogue: 0,0:08:14.32,0:08:17.62,Default,,0000,0000,0000,,katika kipindi cha muda fulani katika njia ambayo unafurahia, Dialogue: 0,0:08:17.64,0:08:21.52,Default,,0000,0000,0000,,na hivi ndivyo wanaisimu hujifunza lugha ndani ya miezi, na siyo miaka. Dialogue: 0,0:08:23.16,0:08:24.78,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, baadhi yenu mnaweza kuwaza, Dialogue: 0,0:08:24.80,0:08:27.14,Default,,0000,0000,0000,,"Ni vizuri sana kufurahia kujifunza lugha, Dialogue: 0,0:08:27.16,0:08:29.70,Default,,0000,0000,0000,,lakini si kwamba nyinyi wanaisimu Dialogue: 0,0:08:29.72,0:08:32.32,Default,,0000,0000,0000,,mna talanta sana na wengi wetu hatuna hiyo talanta?" Dialogue: 0,0:08:33.32,0:08:36.40,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, kuna kitu kimoja sijawaambia kuhusu Benny na Lucas. Dialogue: 0,0:08:37.16,0:08:42.98,Default,,0000,0000,0000,,Benny alikuwa na miaka 11 ya kiselti cha Kiyalandi na miaka mitano ya lugha ya Kijerumani shuleni. Dialogue: 0,0:08:43.00,0:08:46.22,Default,,0000,0000,0000,,Hakuweza kuongea baada ya kuhitimu masomo. Dialogue: 0,0:08:46.24,0:08:50.42,Default,,0000,0000,0000,,Mpaka miaka 21, aliwaza kwamba hakuwa na jeni ya lugha Dialogue: 0,0:08:50.44,0:08:52.86,Default,,0000,0000,0000,,na hakuweza kuongea lugha nyingine. Dialogue: 0,0:08:52.88,0:08:55.82,Default,,0000,0000,0000,,Kisha akaanza kutafuta njia yake ya kujifunza lugha, Dialogue: 0,0:08:55.84,0:08:59.70,Default,,0000,0000,0000,,ambapo ilikuwa ni kuongea na wenyeji wa lugha na kupata mrejesho kutoka kwao, Dialogue: 0,0:08:59.72,0:09:03.68,Default,,0000,0000,0000,,na leo Benny anaweza kwa urahisi kufanya maongezi katika lugha 10. Dialogue: 0,0:09:05.12,0:09:08.42,Default,,0000,0000,0000,,Lucas amejaribu kujifunza Kiingereza shuleni kwa miaka 10. Dialogue: 0,0:09:08.44,0:09:11.06,Default,,0000,0000,0000,,Alikuwa ni moja ya wanafunzi wanaofanya vibaya darasani. Dialogue: 0,0:09:11.08,0:09:12.70,Default,,0000,0000,0000,,Rafiki zake walikuwa wakimtania Dialogue: 0,0:09:12.72,0:09:15.34,Default,,0000,0000,0000,,na kumpa kitabu cha Kirussia kama utani Dialogue: 0,0:09:15.36,0:09:19.10,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu waliamini hawezi kamwe kujifunza lugha hiyo, au lugha yoyote. Dialogue: 0,0:09:19.12,0:09:21.50,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha Lucas akaanza kufanya majaribio na njia yake, Dialogue: 0,0:09:21.52,0:09:23.32,Default,,0000,0000,0000,,akitafuta njia yake ya kujifunza, Dialogue: 0,0:09:24.52,0:09:28.70,Default,,0000,0000,0000,,kwa mfano, kwa kupiga soga na watu asiowajua katika Skype. Dialogue: 0,0:09:28.72,0:09:30.54,Default,,0000,0000,0000,,Na katika miaka 10, Dialogue: 0,0:09:30.56,0:09:33.88,Default,,0000,0000,0000,,Lucas anaweza kuongea lugha 11 kwa ufasaha. Dialogue: 0,0:09:35.00,0:09:36.56,Default,,0000,0000,0000,,Je hiyo inaonekana kama miujiza? Dialogue: 0,0:09:37.44,0:09:40.04,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, ninaona miujiza kama hii kila siku. Dialogue: 0,0:09:40.76,0:09:42.10,Default,,0000,0000,0000,,Na kama mshauri wa lugha, Dialogue: 0,0:09:42.12,0:09:44.54,Default,,0000,0000,0000,,Nasaidia watu kujifunza lugha wenyewe, Dialogue: 0,0:09:44.56,0:09:45.86,Default,,0000,0000,0000,,na naona hili kila siku. Dialogue: 0,0:09:45.88,0:09:50.06,Default,,0000,0000,0000,,Watu hupata shida kujifunza lugha kwa miaka mitano, kumi, hata ishirini, Dialogue: 0,0:09:50.08,0:09:53.94,Default,,0000,0000,0000,,na ghafla huchukua hatua ya kujifunza mikononi mwao, Dialogue: 0,0:09:53.96,0:09:57.26,Default,,0000,0000,0000,,kuanza kutumia makala wanazofurahia, njia madhubuti zaidi, Dialogue: 0,0:09:57.28,0:09:59.10,Default,,0000,0000,0000,,au wanaanza kufatilia kujifunza kwao Dialogue: 0,0:09:59.12,0:10:02.06,Default,,0000,0000,0000,,kwamba wanaweza kuridhika na maendeleo yao, Dialogue: 0,0:10:02.08,0:10:04.02,Default,,0000,0000,0000,,na hapo ndipo ghafla Dialogue: 0,0:10:04.04,0:10:08.24,Default,,0000,0000,0000,,kwa maajabu wanatambua kipaji cha lugha ambacho walikuwa wanakosa maisha yao yote. Dialogue: 0,0:10:09.48,0:10:11.66,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kama umejaribu pia kujifunza lugha Dialogue: 0,0:10:11.68,0:10:14.10,Default,,0000,0000,0000,,na ukakata tamaa, Dialogue: 0,0:10:14.12,0:10:16.38,Default,,0000,0000,0000,,na kama huna kipaji cha lugha, Dialogue: 0,0:10:16.40,0:10:17.94,Default,,0000,0000,0000,,jaribu tena. Dialogue: 0,0:10:17.96,0:10:20.82,Default,,0000,0000,0000,,Labda upo karibu kidogo na njia moja ya kuburudika Dialogue: 0,0:10:20.84,0:10:22.60,Default,,0000,0000,0000,,ili kujifunza lugha hiyo kwa ufasaha. Dialogue: 0,0:10:22.96,0:10:26.90,Default,,0000,0000,0000,,Labda upo karibu kuja kuwa mwanaisimu. Dialogue: 0,0:10:26.92,0:10:28.14,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:10:28.16,0:10:32.36,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)