WEBVTT 00:00:01.072 --> 00:00:02.313 Pfizer pekee. 00:00:02.313 --> 00:00:06.070 Wakijaribu kunipa Johnson & Johnson, Nitawaambia wanipe COVID badala yake. NOTE Paragraph 00:00:06.070 --> 00:00:09.454 Msimulizi: Mtandao unaonekana kujua ni chanjo zipi hasa ni bora zaidi 00:00:09.454 --> 00:00:10.778 na mbaya zaidi. NOTE Paragraph 00:00:10.796 --> 00:00:11.798 M: Moderna? 00:00:11.818 --> 00:00:13.400 Zaidi kama ya kawaida, wastani. 00:00:13.420 --> 00:00:14.566 Hatufanyi wastani. NOTE Paragraph 00:00:14.586 --> 00:00:16.318 Mira Frike: Wanadamu hupenda kulinganisha. 00:00:16.338 --> 00:00:19.469 Si ajabu tunafanya hivyo pia na chanjo za COVID-19. 00:00:19.768 --> 00:00:23.206 Tatizo ni kwamba huwezi kulinganisha chanjo kwa urahisi. 00:00:23.286 --> 00:00:27.407 Na kufanya hivyo yaweza hata kuwa na madhara katika janga. NOTE Paragraph 00:00:28.677 --> 00:00:30.444 N: Sisi hujishughulisha kuangalia nambari hizi - 00:00:30.464 --> 00:00:31.658 viwango vya ufanisi - 00:00:31.678 --> 00:00:34.919 kwa sababu vinapima uwezekano wako wa kupata COVID-19 00:00:34.939 --> 00:00:36.816 baada ya kupewa chanjo. NOTE Paragraph 00:00:37.983 --> 00:00:41.130 MF: Tatizo ni kwamba nambari hizi hazikutengenezwa ziwe sawa. 00:00:41.150 --> 00:00:44.603 Badala yake, huamuliwa kulingana na wakati na mahali 00:00:44.603 --> 00:00:45.603 majaribio ya ufanisi yalifanyika. NOTE Paragraph 00:00:45.603 --> 00:00:46.656 Carlos Guzmán: Nadhani ulinganisho wa ufanisi wa chanjo 00:00:46.676 --> 00:00:49.386 nje ya muktadha inaweza kusababisha matokeo potovu sana. 00:00:49.406 --> 00:00:51.817 Kuna tofauti kuu katikati ya watu wanofanyiwa utafiti, 00:00:51.843 --> 00:00:56.817 kwa mfano; umri, jinsia, mazingira, hali zilizopo awali. 00:00:56.817 --> 00:01:02.395 N: Je, majaribio ya ufanisi hufanyaje kazi? NOTE Paragraph 00:01:02.875 --> 00:01:05.005 Washiriki hugawanywa katika vikundi viwili. 00:01:05.025 --> 00:01:07.313 Kundi moja hupata chanjo; nyingine, placebo. 00:01:07.333 --> 00:01:10.330 Kisha wanaendelea na maisha yao kama kawaida. 00:01:10.810 --> 00:01:13.240 Baada ya muda fulani, 00:01:13.761 --> 00:01:15.396 watafiti wanahesabu wangapi kati yao waliugua COVID-19. 00:01:15.416 --> 00:01:18.651 Ikiwa washiriki wote ambao waliugua alitoka kwa kikundi cha placebo, 00:01:19.123 --> 00:01:22.787 na sufuri kutoka kwa kikundi cha chanjo, 00:01:22.807 --> 00:01:24.932 chanjo itakuwa na ufanisi 100%. 00:01:24.952 --> 00:01:27.505 Na ikiwa ni idadi sawa ya watu kutoka kwa vikundi vyote viwili waliugua, 00:01:28.267 --> 00:01:32.090 ufanisi wa chanjo itakuwa sufuri 00:01:32.110 --> 00:01:34.319 kwa sababu hatari ya kuambukizwa haikubadilika na chanjo. 00:01:34.339 --> 00:01:38.031 Lakini uwezekano wa washiriki kupata ugonjwa wakati wa majaribio 00:01:38.907 --> 00:01:42.646 inalingana na jumla ya kiwango cha maambukizi katika mazingira yao. 00:01:42.666 --> 00:01:45.854 CG: Pia kuna tofauti katika suala la uwepo au kutokuwepo kwa lahaja ya virusi NOTE Paragraph 00:01:46.076 --> 00:01:51.289 ambayo hupigwa kwa ufanisi mdogo au mwingi na kingamwili 00:01:51.601 --> 00:01:56.542 zinazochochewa na aina ya protini ya virusi vya asili vya SARS-CoV-2 00:01:56.562 --> 00:02:01.271 ambayo ilijumuishwa katika chanjo za sasa. 00:02:01.271 --> 00:02:04.433 MF: Kwa hivyo wakati tunafikiria tunajua ni chanjo gani bora, NOTE Paragraph 00:02:04.768 --> 00:02:08.514 maoni yetu kwa kweli yameathiriwa na sababu za kimazingira. 00:02:08.534 --> 00:02:12.905 N: Hebu tuangalie mfano. NOTE Paragraph 00:02:13.489 --> 00:02:15.138 Majaribio ya Moderna na Pfizer yalifanyika zaidi nchini Marekani 00:02:15.468 --> 00:02:19.078 na kabla ya kuwasili kwa aina za anuwai zaidi za kuambukiza, 00:02:19.098 --> 00:02:22.395 kama ile ya kutoka Uingereza au Afrika Kusini. 00:02:22.415 --> 00:02:25.133 Majaribio ya AstraZeneca na Johnson & Johnson, kwa upande mwingine, 00:02:27.498 --> 00:02:30.927 yalifanyika baadaye 00:02:30.927 --> 00:02:32.615 au katika nchi 00:02:32.635 --> 00:02:33.645 ambazo anuwai zaidi za kuambukiza ziliibuka na zikawa zaidi katika maambukizi. 00:02:33.665 --> 00:02:37.917 MF: Hivyo viwango vya ufanisi haitakuwa sawa kabisa NOTE Paragraph 00:02:40.159 --> 00:02:43.231 katika mazingira halisi ya ulimwengu, 00:02:43.251 --> 00:02:44.946 na inaweza kubadilika kwa wakati. 00:02:44.966 --> 00:02:46.680 CG: Kwa mfano, hivi majuzi tuna ripoti kutoka Qatar, NOTE Paragraph 00:02:46.700 --> 00:02:49.676 ambapo 50% na 45% ya maambukizi 00:02:49.695 --> 00:02:53.594 yanasababishwa na lahaja ya Afrika Kusini na Uingereza. 00:02:53.614 --> 00:02:57.444 Utafiti huu ulituonyesha kuwa ufanisi wa chanjo ya BioNTech/Pfizer 00:02:57.603 --> 00:03:02.136 hupungua hadi 89% na 75% kwa maambukizi yanayosababishwa 00:03:02.136 --> 00:03:03.136 na lahaja ya Uingereza na Afrika Kusini. 00:03:03.136 --> 00:03:10.432 MF: Lakini labda kumekuwa na urekebishaji mwingi sana juu ya ufanisi wakati huu wote. NOTE Paragraph 00:03:10.456 --> 00:03:14.905 N: Ufanisi kwa kawaida ni kipimo kwa matokeo bora zaidi iwezekanavyo: NOTE Paragraph 00:03:14.905 --> 00:03:19.025 hakuna dalili hata kidogo. 00:03:19.045 --> 00:03:20.349 Badala yake, tunaweza kuangalia| jinsi chanjo zinazuia kulazwa hospitalini 00:03:21.118 --> 00:03:22.461 na kifo kutoka na COVID-19, kwa sababu chanjo hizi zote hufanya hivyo vizuri. 00:03:22.481 --> 00:03:26.602 MF: Sasa kuna kipengele kingine ambayo huathiri jinsi tunavyohukumu chanjo: 00:03:26.622 --> 00:03:30.254 madhara. NOTE Paragraph 00:03:33.384 --> 00:03:37.594 N: Taarifa za kuganda kwa damu zimetengeneza vichwa vya habari 00:03:38.069 --> 00:03:39.073 na kuwatia watu wasiwasi. NOTE Paragraph 00:03:39.421 --> 00:03:42.040 EU pia iliamua isihuishe mikataba yake 00:03:42.060 --> 00:03:43.536 na AstraZeneca na Johnson & Johnson. 00:03:43.556 --> 00:03:46.138 Hii yote inaweza kutoa hisia kwamba chanjo zingine ni mbaya zaidi kuliko zingine. 00:03:46.158 --> 00:03:48.567 MF: Lakini tena, si rahisi hivyo 00:03:48.587 --> 00:03:52.609 kwa sababu hatari ya kila mtu binafsi ya kuambukizwa NOTE Paragraph 00:03:53.684 --> 00:03:55.704 huathiri tathmini ya jinsi kila chanjo ina manufaa. 00:03:55.724 --> 00:03:59.046 N: Hebu tuangalie mfano na chanjo ya AstraZeneca 00:03:59.066 --> 00:04:03.193 na kuchukua viwango vya wastani vya maambukizi kuwa kesi 55 kwa laki moja. NOTE Paragraph 00:04:04.162 --> 00:04:06.908 Kati ya watu 100,000 walio chini ya umri wa miaka 29, 00:04:06.926 --> 00:04:11.391 ni wawili tu wataadhirika na ganda la nadra la damu baada ya chanjo ya AstraZeneca, 00:04:11.701 --> 00:04:15.135 lakini hakuna ambaye angehitaji uangalizi mahututi kutokana na maambukizi ya COVID-19. 00:04:15.155 --> 00:04:19.568 Lakini mtu zaidi ya miaka 60 00:04:19.588 --> 00:04:23.686 ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuishia katika uangalizi maalum na COVID-19 00:04:24.007 --> 00:04:25.729 na uwezekano mdogo wa kuadhirika na ganda la nadra la damu. 00:04:25.749 --> 00:04:29.312 MF: Ndio maana baadhi ya serikali zinapendekeza chanjo cha AstraZeneca 00:04:29.332 --> 00:04:31.622 tu kwa watu wenye umri wa miaka 60+. NOTE Paragraph 00:04:31.642 --> 00:04:34.688 Lakini tathmini hii inabadilika ikiwa viwango vya maambukizi ni vya juu. 00:04:34.708 --> 00:04:36.795 N: Wacha tuangalie hesabu sawa lakini kwa viwango vya juu vya maambukizi. 00:04:36.966 --> 00:04:40.383 Hapa, kesi 401 kwa laki moja. NOTE Paragraph 00:04:41.064 --> 00:04:44.589 Sasa kila mtu ana uwezekano mkubwa wa kuishia katika uangalizi maalum kutokana na COVID-19 00:04:44.609 --> 00:04:47.398 kuliko kuganda kwa damu baada ya chanjo. 00:04:47.748 --> 00:04:51.910 Katika hali hii, faida ya kupata chanjo ya AstraZeneca 00:04:51.930 --> 00:04:54.849 inazidi hatari ya kuganda kwa damu kwa makundi yote ya umri. 00:04:55.317 --> 00:04:58.980 CG: Na bila shaka, 00:04:59.000 --> 00:05:02.794 kwa uingiliaji wa kuzuia unaolenga watu wenye afya, kama chanjo, NOTE Paragraph 00:05:06.972 --> 00:05:07.979 ni muhimu 00:05:07.999 --> 00:05:13.345 kwamba usawa wa hatari na faida 00:05:13.345 --> 00:05:14.354 inakubalika kwa watu tofauti, vikundi au hata watu binafsi. 00:05:14.374 --> 00:05:15.900 MF: Je, kuna baadhi ya chanjo mbaya zaidi kuliko zingine? 00:05:15.920 --> 00:05:20.452 Tukiangalia tu madhara, NOTE Paragraph 00:05:20.472 --> 00:05:22.570 zingine hufanya vizuri zaidi, 00:05:22.594 --> 00:05:24.668 angalau kutokana na kile tunachojua hadi sasa. 00:05:24.686 --> 00:05:26.692 Lakini hiyo ni kipengele kimoja tu 00:05:26.712 --> 00:05:28.627 na isiwe pekee tunayozingatia. 00:05:29.144 --> 00:05:31.000 CG: Nadhani suala kuu 00:05:31.022 --> 00:05:33.096 ni kwamba chanjo au mpango wa chanjo bora zaidi NOTE Paragraph 00:05:33.578 --> 00:05:35.050 ni ule unaoturuhusu kuzuia magonjwa na kifo. 00:05:35.070 --> 00:05:38.135 Na bila shaka, kupunguza matokeo moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja - 00:05:38.155 --> 00:05:40.838 matokeo mabaya - 00:05:41.839 --> 00:05:46.086 juu ya uharibifu mbaya. 00:05:46.106 --> 00:05:47.366 MF: Chanjo yoyote iliyopokea idhini ya dharura kutoka kwa WHO 00:05:47.386 --> 00:05:48.644 hulinda dhidi ya visa vikali vya COVID-19. NOTE Paragraph 00:05:48.713 --> 00:05:52.133 Zinazuia vifo na kusaidia kumaliza janga hili. 00:05:52.153 --> 00:05:55.014 N: Hivyo, ikiwa chanjo ni chache, 00:05:55.034 --> 00:05:57.393 kuna hoja nzuri sana kuchukua chochote kinachopatikana kwetu, NOTE Paragraph 00:05:58.534 --> 00:06:00.512 kwa sababu ikiwa tunasisitiza kupata chanjo maalum, 00:06:00.687 --> 00:06:04.428 tunaweza kurefusha janga hili zima, 00:06:04.448 --> 00:06:07.685 na hilo linaweza kugharimu maisha. 00:06:07.705 --> 00:06:09.844 Manukuu na Maurício Kakuei Tanaka Mapitio ya Carol Wang 00:06:10.262 --> 00:06:12.487 NOTE Paragraph 00:06:12.507 --> 00:06:15.207