[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.07,0:00:02.31,Default,,0000,0000,0000,,Pfizer pekee. Dialogue: 0,0:00:02.31,0:00:06.07,Default,,0000,0000,0000,,Wakijaribu kunipa Johnson & Johnson,\NNitawaambia wanipe COVID badala yake. Dialogue: 0,0:00:06.07,0:00:09.45,Default,,0000,0000,0000,,Msimulizi: Mtandao unaonekana kujua\Nni chanjo zipi hasa ni bora zaidi Dialogue: 0,0:00:09.45,0:00:10.78,Default,,0000,0000,0000,,na mbaya zaidi. Dialogue: 0,0:00:10.80,0:00:11.80,Default,,0000,0000,0000,,M: Moderna? Dialogue: 0,0:00:11.82,0:00:13.40,Default,,0000,0000,0000,,Zaidi kama ya kawaida, \Nwastani. Dialogue: 0,0:00:13.42,0:00:14.57,Default,,0000,0000,0000,,Hatufanyi wastani. Dialogue: 0,0:00:14.59,0:00:16.32,Default,,0000,0000,0000,,Mira Frike: Wanadamu hupenda\Nkulinganisha. Dialogue: 0,0:00:16.34,0:00:19.47,Default,,0000,0000,0000,,Si ajabu tunafanya hivyo pia\Nna chanjo za COVID-19. Dialogue: 0,0:00:19.77,0:00:23.21,Default,,0000,0000,0000,,Tatizo ni kwamba huwezi\Nkulinganisha chanjo kwa urahisi. Dialogue: 0,0:00:23.29,0:00:27.41,Default,,0000,0000,0000,,Na kufanya hivyo yaweza hata\Nkuwa na madhara katika janga. Dialogue: 0,0:00:28.68,0:00:30.44,Default,,0000,0000,0000,,N: Sisi hujishughulisha\Nkuangalia nambari hizi - Dialogue: 0,0:00:30.46,0:00:31.66,Default,,0000,0000,0000,,viwango vya ufanisi - Dialogue: 0,0:00:31.68,0:00:34.92,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu vinapima\Nuwezekano wako wa kupata COVID-19 Dialogue: 0,0:00:34.94,0:00:36.82,Default,,0000,0000,0000,,baada ya kupewa chanjo. Dialogue: 0,0:00:37.98,0:00:41.13,Default,,0000,0000,0000,,MF: Tatizo ni kwamba nambari hizi\Nhazikutengenezwa ziwe sawa. Dialogue: 0,0:00:41.15,0:00:44.60,Default,,0000,0000,0000,,Badala yake, huamuliwa kulingana \Nna wakati na mahali Dialogue: 0,0:00:44.60,0:00:45.60,Default,,0000,0000,0000,,majaribio ya ufanisi yalifanyika. Dialogue: 0,0:00:45.60,0:00:46.66,Default,,0000,0000,0000,,Carlos Guzmán: Nadhani\Nulinganisho wa ufanisi wa chanjo Dialogue: 0,0:00:46.68,0:00:49.39,Default,,0000,0000,0000,,nje ya muktadha inaweza kusababisha \Nmatokeo potovu sana. Dialogue: 0,0:00:49.41,0:00:51.82,Default,,0000,0000,0000,,Kuna tofauti kuu katikati ya watu \Nwanofanyiwa utafiti, Dialogue: 0,0:00:51.84,0:00:56.82,Default,,0000,0000,0000,,kwa mfano; umri, jinsia, \Nmazingira, hali zilizopo awali. Dialogue: 0,0:00:56.82,0:01:02.40,Default,,0000,0000,0000,,N: Je, majaribio ya ufanisi \Nhufanyaje kazi? Dialogue: 0,0:01:02.88,0:01:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Washiriki hugawanywa\Nkatika vikundi viwili. Dialogue: 0,0:01:05.02,0:01:07.31,Default,,0000,0000,0000,,Kundi moja hupata chanjo;\Nnyingine, placebo. Dialogue: 0,0:01:07.33,0:01:10.33,Default,,0000,0000,0000,,Kisha wanaendelea na maisha yao \Nkama kawaida. Dialogue: 0,0:01:10.81,0:01:13.24,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya muda fulani, Dialogue: 0,0:01:13.76,0:01:15.40,Default,,0000,0000,0000,,watafiti wanahesabu\Nwangapi kati yao waliugua COVID-19. Dialogue: 0,0:01:15.42,0:01:18.65,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa washiriki wote ambao waliugua\Nalitoka kwa kikundi cha placebo, Dialogue: 0,0:01:19.12,0:01:22.79,Default,,0000,0000,0000,,na sufuri kutoka kwa kikundi cha chanjo, Dialogue: 0,0:01:22.81,0:01:24.93,Default,,0000,0000,0000,,chanjo itakuwa na ufanisi 100%. Dialogue: 0,0:01:24.95,0:01:27.50,Default,,0000,0000,0000,,Na ikiwa ni idadi sawa ya watu\Nkutoka kwa vikundi vyote viwili waliugua, Dialogue: 0,0:01:28.27,0:01:32.09,Default,,0000,0000,0000,,ufanisi wa chanjo itakuwa sufuri Dialogue: 0,0:01:32.11,0:01:34.32,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hatari ya kuambukizwa\Nhaikubadilika na chanjo. Dialogue: 0,0:01:34.34,0:01:38.03,Default,,0000,0000,0000,,Lakini uwezekano wa washiriki\Nkupata ugonjwa wakati wa majaribio Dialogue: 0,0:01:38.91,0:01:42.65,Default,,0000,0000,0000,,inalingana na jumla ya kiwango \Ncha maambukizi katika mazingira yao. Dialogue: 0,0:01:42.67,0:01:45.85,Default,,0000,0000,0000,,CG: Pia kuna tofauti katika suala la \Nuwepo au kutokuwepo kwa lahaja ya virusi Dialogue: 0,0:01:46.08,0:01:51.29,Default,,0000,0000,0000,,ambayo hupigwa kwa ufanisi mdogo\Nau mwingi na kingamwili Dialogue: 0,0:01:51.60,0:01:56.54,Default,,0000,0000,0000,,zinazochochewa na aina ya protini\Nya virusi vya asili vya SARS-CoV-2 Dialogue: 0,0:01:56.56,0:02:01.27,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ilijumuishwa\Nkatika chanjo za sasa. Dialogue: 0,0:02:01.27,0:02:04.43,Default,,0000,0000,0000,,MF: Kwa hivyo wakati tunafikiria\Ntunajua ni chanjo gani bora, Dialogue: 0,0:02:04.77,0:02:08.51,Default,,0000,0000,0000,,maoni yetu kwa kweli yameathiriwa\Nna sababu za kimazingira. Dialogue: 0,0:02:08.53,0:02:12.90,Default,,0000,0000,0000,,N: Hebu tuangalie mfano. Dialogue: 0,0:02:13.49,0:02:15.14,Default,,0000,0000,0000,,Majaribio ya Moderna na Pfizer\Nyalifanyika zaidi nchini Marekani Dialogue: 0,0:02:15.47,0:02:19.08,Default,,0000,0000,0000,,na kabla ya kuwasili kwa aina\Nza anuwai zaidi za kuambukiza, Dialogue: 0,0:02:19.10,0:02:22.40,Default,,0000,0000,0000,,kama ile ya kutoka Uingereza au Afrika Kusini. Dialogue: 0,0:02:22.42,0:02:25.13,Default,,0000,0000,0000,,Majaribio ya AstraZeneca na Johnson & Johnson, \Nkwa upande mwingine, Dialogue: 0,0:02:27.50,0:02:30.93,Default,,0000,0000,0000,,yalifanyika baadaye Dialogue: 0,0:02:30.93,0:02:32.62,Default,,0000,0000,0000,,au katika nchi Dialogue: 0,0:02:32.64,0:02:33.64,Default,,0000,0000,0000,,ambazo anuwai zaidi za kuambukiza ziliibuka\Nna zikawa zaidi katika maambukizi. Dialogue: 0,0:02:33.66,0:02:37.92,Default,,0000,0000,0000,,MF: Hivyo viwango vya ufanisi\Nhaitakuwa sawa kabisa Dialogue: 0,0:02:40.16,0:02:43.23,Default,,0000,0000,0000,,katika mazingira halisi ya ulimwengu, Dialogue: 0,0:02:43.25,0:02:44.95,Default,,0000,0000,0000,,na inaweza kubadilika kwa wakati. Dialogue: 0,0:02:44.97,0:02:46.68,Default,,0000,0000,0000,,CG: Kwa mfano, hivi majuzi\Ntuna ripoti kutoka Qatar, Dialogue: 0,0:02:46.70,0:02:49.68,Default,,0000,0000,0000,,ambapo 50% na 45% ya maambukizi Dialogue: 0,0:02:49.70,0:02:53.59,Default,,0000,0000,0000,,yanasababishwa na lahaja ya\NAfrika Kusini na Uingereza. Dialogue: 0,0:02:53.61,0:02:57.44,Default,,0000,0000,0000,,Utafiti huu ulituonyesha kuwa ufanisi wa\Nchanjo ya BioNTech/Pfizer Dialogue: 0,0:02:57.60,0:03:02.14,Default,,0000,0000,0000,,hupungua hadi 89% na 75% \Nkwa maambukizi yanayosababishwa Dialogue: 0,0:03:02.14,0:03:03.14,Default,,0000,0000,0000,,na lahaja ya Uingereza na Afrika Kusini. Dialogue: 0,0:03:03.14,0:03:10.43,Default,,0000,0000,0000,,MF: Lakini labda kumekuwa na urekebishaji\Nmwingi sana juu ya ufanisi wakati huu wote. Dialogue: 0,0:03:10.46,0:03:14.90,Default,,0000,0000,0000,,N: Ufanisi kwa kawaida ni kipimo\Nkwa matokeo bora zaidi iwezekanavyo: Dialogue: 0,0:03:14.90,0:03:19.02,Default,,0000,0000,0000,,hakuna dalili hata kidogo. Dialogue: 0,0:03:19.04,0:03:20.35,Default,,0000,0000,0000,,Badala yake, tunaweza kuangalia|\Njinsi chanjo zinazuia kulazwa hospitalini Dialogue: 0,0:03:21.12,0:03:22.46,Default,,0000,0000,0000,,na kifo kutoka na COVID-19,\Nkwa sababu chanjo hizi zote hufanya hivyo vizuri. Dialogue: 0,0:03:22.48,0:03:26.60,Default,,0000,0000,0000,,MF: Sasa kuna kipengele kingine\Nambayo huathiri jinsi tunavyohukumu chanjo: Dialogue: 0,0:03:26.62,0:03:30.25,Default,,0000,0000,0000,,madhara. Dialogue: 0,0:03:33.38,0:03:37.59,Default,,0000,0000,0000,,N: Taarifa za kuganda kwa damu\Nzimetengeneza vichwa vya habari Dialogue: 0,0:03:38.07,0:03:39.07,Default,,0000,0000,0000,,na kuwatia watu wasiwasi. Dialogue: 0,0:03:39.42,0:03:42.04,Default,,0000,0000,0000,,EU pia iliamua\Nisihuishe mikataba yake Dialogue: 0,0:03:42.06,0:03:43.54,Default,,0000,0000,0000,,na AstraZeneca na Johnson & Johnson. Dialogue: 0,0:03:43.56,0:03:46.14,Default,,0000,0000,0000,,Hii yote inaweza kutoa hisia kwamba \Nchanjo zingine ni mbaya zaidi kuliko zingine. Dialogue: 0,0:03:46.16,0:03:48.57,Default,,0000,0000,0000,,MF: Lakini tena, si rahisi hivyo Dialogue: 0,0:03:48.59,0:03:52.61,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hatari ya kila mtu binafsi \Nya kuambukizwa Dialogue: 0,0:03:53.68,0:03:55.70,Default,,0000,0000,0000,,huathiri tathmini ya\Njinsi kila chanjo ina manufaa. Dialogue: 0,0:03:55.72,0:03:59.05,Default,,0000,0000,0000,,N: Hebu tuangalie mfano\Nna chanjo ya AstraZeneca Dialogue: 0,0:03:59.07,0:04:03.19,Default,,0000,0000,0000,,na kuchukua viwango vya wastani vya \Nmaambukizi kuwa kesi 55 kwa laki moja. Dialogue: 0,0:04:04.16,0:04:06.91,Default,,0000,0000,0000,,Kati ya watu 100,000 \Nwalio chini ya umri wa miaka 29, Dialogue: 0,0:04:06.93,0:04:11.39,Default,,0000,0000,0000,,ni wawili tu wataadhirika na ganda la nadra \Nla damu baada ya chanjo ya AstraZeneca, Dialogue: 0,0:04:11.70,0:04:15.14,Default,,0000,0000,0000,,lakini hakuna ambaye angehitaji uangalizi mahututi\Nkutokana na maambukizi ya COVID-19. Dialogue: 0,0:04:15.16,0:04:19.57,Default,,0000,0000,0000,,Lakini mtu zaidi ya miaka 60 Dialogue: 0,0:04:19.59,0:04:23.69,Default,,0000,0000,0000,,ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuishia\Nkatika uangalizi maalum na COVID-19 Dialogue: 0,0:04:24.01,0:04:25.73,Default,,0000,0000,0000,,na uwezekano mdogo wa kuadhirika na\Nganda la nadra la damu. Dialogue: 0,0:04:25.75,0:04:29.31,Default,,0000,0000,0000,,MF: Ndio maana baadhi ya serikali\Nzinapendekeza chanjo cha AstraZeneca Dialogue: 0,0:04:29.33,0:04:31.62,Default,,0000,0000,0000,,tu kwa watu wenye umri wa miaka 60+. Dialogue: 0,0:04:31.64,0:04:34.69,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tathmini hii inabadilika\Nikiwa viwango vya maambukizi ni vya juu. Dialogue: 0,0:04:34.71,0:04:36.80,Default,,0000,0000,0000,,N: Wacha tuangalie hesabu sawa\Nlakini kwa viwango vya juu vya maambukizi. Dialogue: 0,0:04:36.97,0:04:40.38,Default,,0000,0000,0000,,Hapa, kesi 401 kwa laki moja. Dialogue: 0,0:04:41.06,0:04:44.59,Default,,0000,0000,0000,,Sasa kila mtu ana uwezekano mkubwa wa kuishia\Nkatika uangalizi maalum kutokana na COVID-19 Dialogue: 0,0:04:44.61,0:04:47.40,Default,,0000,0000,0000,,kuliko kuganda kwa damu\Nbaada ya chanjo. Dialogue: 0,0:04:47.75,0:04:51.91,Default,,0000,0000,0000,,Katika hali hii, faida ya kupata \Nchanjo ya AstraZeneca Dialogue: 0,0:04:51.93,0:04:54.85,Default,,0000,0000,0000,,inazidi hatari ya kuganda kwa damu\Nkwa makundi yote ya umri. Dialogue: 0,0:04:55.32,0:04:58.98,Default,,0000,0000,0000,,CG: Na bila shaka, Dialogue: 0,0:04:59.00,0:05:02.79,Default,,0000,0000,0000,,kwa uingiliaji wa kuzuia \Nunaolenga watu wenye afya, kama chanjo, Dialogue: 0,0:05:06.97,0:05:07.98,Default,,0000,0000,0000,,ni muhimu Dialogue: 0,0:05:07.100,0:05:13.34,Default,,0000,0000,0000,,kwamba usawa wa hatari na faida Dialogue: 0,0:05:13.34,0:05:14.35,Default,,0000,0000,0000,,inakubalika kwa watu tofauti,\Nvikundi au hata watu binafsi. Dialogue: 0,0:05:14.37,0:05:15.90,Default,,0000,0000,0000,,MF: Je, kuna baadhi ya chanjo\Nmbaya zaidi kuliko zingine? Dialogue: 0,0:05:15.92,0:05:20.45,Default,,0000,0000,0000,,Tukiangalia tu madhara, Dialogue: 0,0:05:20.47,0:05:22.57,Default,,0000,0000,0000,,zingine hufanya vizuri zaidi, Dialogue: 0,0:05:22.59,0:05:24.67,Default,,0000,0000,0000,,angalau kutokana na kile \Ntunachojua hadi sasa. Dialogue: 0,0:05:24.69,0:05:26.69,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hiyo ni kipengele kimoja tu Dialogue: 0,0:05:26.71,0:05:28.63,Default,,0000,0000,0000,,na isiwe pekee tunayozingatia. Dialogue: 0,0:05:29.14,0:05:31.00,Default,,0000,0000,0000,,CG: Nadhani suala kuu Dialogue: 0,0:05:31.02,0:05:33.10,Default,,0000,0000,0000,,ni kwamba chanjo au mpango\Nwa chanjo bora zaidi Dialogue: 0,0:05:33.58,0:05:35.05,Default,,0000,0000,0000,,ni ule unaoturuhusu\Nkuzuia magonjwa na kifo. Dialogue: 0,0:05:35.07,0:05:38.14,Default,,0000,0000,0000,,Na bila shaka, kupunguza matokeo \Nmoja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja - Dialogue: 0,0:05:38.16,0:05:40.84,Default,,0000,0000,0000,,matokeo mabaya - Dialogue: 0,0:05:41.84,0:05:46.09,Default,,0000,0000,0000,,juu ya uharibifu mbaya. Dialogue: 0,0:05:46.11,0:05:47.37,Default,,0000,0000,0000,,MF: Chanjo yoyote iliyopokea\Nidhini ya dharura kutoka kwa WHO Dialogue: 0,0:05:47.39,0:05:48.64,Default,,0000,0000,0000,,hulinda dhidi ya visa vikali vya COVID-19. Dialogue: 0,0:05:48.71,0:05:52.13,Default,,0000,0000,0000,,Zinazuia vifo na kusaidia \Nkumaliza janga hili. Dialogue: 0,0:05:52.15,0:05:55.01,Default,,0000,0000,0000,,N: Hivyo, ikiwa chanjo ni chache, Dialogue: 0,0:05:55.03,0:05:57.39,Default,,0000,0000,0000,,kuna hoja nzuri sana kuchukua \Nchochote kinachopatikana kwetu, Dialogue: 0,0:05:58.53,0:06:00.51,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ikiwa tunasisitiza\Nkupata chanjo maalum, Dialogue: 0,0:06:00.69,0:06:04.43,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kurefusha janga hili zima, Dialogue: 0,0:06:04.45,0:06:07.68,Default,,0000,0000,0000,,na hilo linaweza kugharimu maisha. Dialogue: 0,0:06:07.70,0:06:09.84,Default,,0000,0000,0000,,Manukuu na Maurício Kakuei Tanaka\NMapitio ya Carol Wang Dialogue: 0,0:06:10.26,0:06:12.49,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:12.51,0:06:15.21,Default,,0000,0000,0000,,