1 00:00:01,072 --> 00:00:02,313 Pfizer pekee. 2 00:00:02,313 --> 00:00:06,070 Wakijaribu kunipa Johnson & Johnson, Nitawaambia wanipe COVID badala yake. 3 00:00:06,070 --> 00:00:09,454 Msimulizi: Mtandao unaonekana kujua ni chanjo zipi hasa ni bora zaidi 4 00:00:09,454 --> 00:00:10,778 na mbaya zaidi. 5 00:00:10,796 --> 00:00:11,798 M: Moderna? 6 00:00:11,818 --> 00:00:13,400 Zaidi kama ya kawaida, wastani. 7 00:00:13,420 --> 00:00:14,566 Hatufanyi wastani. 8 00:00:14,586 --> 00:00:16,318 Mira Frike: Wanadamu hupenda kulinganisha. 9 00:00:16,338 --> 00:00:19,469 Si ajabu tunafanya hivyo pia na chanjo za COVID-19. 10 00:00:19,768 --> 00:00:23,206 Tatizo ni kwamba huwezi kulinganisha chanjo kwa urahisi. 11 00:00:23,286 --> 00:00:27,407 Na kufanya hivyo yaweza hata kuwa na madhara katika janga. 12 00:00:28,677 --> 00:00:30,444 N: Sisi hujishughulisha kuangalia nambari hizi - 13 00:00:30,464 --> 00:00:31,658 viwango vya ufanisi - 14 00:00:31,678 --> 00:00:34,919 kwa sababu vinapima uwezekano wako wa kupata COVID-19 15 00:00:34,939 --> 00:00:36,816 baada ya kupewa chanjo. 16 00:00:37,983 --> 00:00:41,130 MF: Tatizo ni kwamba nambari hizi hazikutengenezwa ziwe sawa. 17 00:00:41,150 --> 00:00:44,603 Badala yake, huamuliwa kulingana na wakati na mahali 18 00:00:44,603 --> 00:00:45,603 majaribio ya ufanisi yalifanyika. 19 00:00:45,603 --> 00:00:46,656 Carlos Guzmán: Nadhani ulinganisho wa ufanisi wa chanjo 20 00:00:46,676 --> 00:00:49,386 nje ya muktadha inaweza kusababisha matokeo potovu sana. 21 00:00:49,406 --> 00:00:51,817 Kuna tofauti kuu katikati ya watu wanofanyiwa utafiti, 22 00:00:51,843 --> 00:00:56,817 kwa mfano; umri, jinsia, mazingira, hali zilizopo awali. 23 00:00:56,817 --> 00:01:02,395 N: Je, majaribio ya ufanisi hufanyaje kazi? 24 00:01:02,875 --> 00:01:05,005 Washiriki hugawanywa katika vikundi viwili. 25 00:01:05,025 --> 00:01:07,313 Kundi moja hupata chanjo; nyingine, placebo. 26 00:01:07,333 --> 00:01:10,330 Kisha wanaendelea na maisha yao kama kawaida. 27 00:01:10,810 --> 00:01:13,240 Baada ya muda fulani, 28 00:01:13,761 --> 00:01:15,396 watafiti wanahesabu wangapi kati yao waliugua COVID-19. 29 00:01:15,416 --> 00:01:18,651 Ikiwa washiriki wote ambao waliugua alitoka kwa kikundi cha placebo, 30 00:01:19,123 --> 00:01:22,787 na sufuri kutoka kwa kikundi cha chanjo, 31 00:01:22,807 --> 00:01:24,932 chanjo itakuwa na ufanisi 100%. 32 00:01:24,952 --> 00:01:27,505 Na ikiwa ni idadi sawa ya watu kutoka kwa vikundi vyote viwili waliugua, 33 00:01:28,267 --> 00:01:32,090 ufanisi wa chanjo itakuwa sufuri 34 00:01:32,110 --> 00:01:34,319 kwa sababu hatari ya kuambukizwa haikubadilika na chanjo. 35 00:01:34,339 --> 00:01:38,031 Lakini uwezekano wa washiriki kupata ugonjwa wakati wa majaribio 36 00:01:38,907 --> 00:01:42,646 inalingana na jumla ya kiwango cha maambukizi katika mazingira yao. 37 00:01:42,666 --> 00:01:45,854 CG: Pia kuna tofauti katika suala la uwepo au kutokuwepo kwa lahaja ya virusi 38 00:01:46,076 --> 00:01:51,289 ambayo hupigwa kwa ufanisi mdogo au mwingi na kingamwili 39 00:01:51,601 --> 00:01:56,542 zinazochochewa na aina ya protini ya virusi vya asili vya SARS-CoV-2 40 00:01:56,562 --> 00:02:01,271 ambayo ilijumuishwa katika chanjo za sasa. 41 00:02:01,271 --> 00:02:04,433 MF: Kwa hivyo wakati tunafikiria tunajua ni chanjo gani bora, 42 00:02:04,768 --> 00:02:08,514 maoni yetu kwa kweli yameathiriwa na sababu za kimazingira. 43 00:02:08,534 --> 00:02:12,905 N: Hebu tuangalie mfano. 44 00:02:13,489 --> 00:02:15,138 Majaribio ya Moderna na Pfizer yalifanyika zaidi nchini Marekani 45 00:02:15,468 --> 00:02:19,078 na kabla ya kuwasili kwa aina za anuwai zaidi za kuambukiza, 46 00:02:19,098 --> 00:02:22,395 kama ile ya kutoka Uingereza au Afrika Kusini. 47 00:02:22,415 --> 00:02:25,133 Majaribio ya AstraZeneca na Johnson & Johnson, kwa upande mwingine, 48 00:02:27,498 --> 00:02:30,927 yalifanyika baadaye 49 00:02:30,927 --> 00:02:32,615 au katika nchi 50 00:02:32,635 --> 00:02:33,645 ambazo anuwai zaidi za kuambukiza ziliibuka na zikawa zaidi katika maambukizi. 51 00:02:33,665 --> 00:02:37,917 MF: Hivyo viwango vya ufanisi haitakuwa sawa kabisa 52 00:02:40,159 --> 00:02:43,231 katika mazingira halisi ya ulimwengu, 53 00:02:43,251 --> 00:02:44,946 na inaweza kubadilika kwa wakati. 54 00:02:44,966 --> 00:02:46,680 CG: Kwa mfano, hivi majuzi tuna ripoti kutoka Qatar, 55 00:02:46,700 --> 00:02:49,676 ambapo 50% na 45% ya maambukizi 56 00:02:49,695 --> 00:02:53,594 yanasababishwa na lahaja ya Afrika Kusini na Uingereza. 57 00:02:53,614 --> 00:02:57,444 Utafiti huu ulituonyesha kuwa ufanisi wa chanjo ya BioNTech/Pfizer 58 00:02:57,603 --> 00:03:02,136 hupungua hadi 89% na 75% kwa maambukizi yanayosababishwa 59 00:03:02,136 --> 00:03:03,136 na lahaja ya Uingereza na Afrika Kusini. 60 00:03:03,136 --> 00:03:10,432 MF: Lakini labda kumekuwa na urekebishaji mwingi sana juu ya ufanisi wakati huu wote. 61 00:03:10,456 --> 00:03:14,905 N: Ufanisi kwa kawaida ni kipimo kwa matokeo bora zaidi iwezekanavyo: 62 00:03:14,905 --> 00:03:19,025 hakuna dalili hata kidogo. 63 00:03:19,045 --> 00:03:20,349 Badala yake, tunaweza kuangalia| jinsi chanjo zinazuia kulazwa hospitalini 64 00:03:21,118 --> 00:03:22,461 na kifo kutoka na COVID-19, kwa sababu chanjo hizi zote hufanya hivyo vizuri. 65 00:03:22,481 --> 00:03:26,602 MF: Sasa kuna kipengele kingine ambayo huathiri jinsi tunavyohukumu chanjo: 66 00:03:26,622 --> 00:03:30,254 madhara. 67 00:03:33,384 --> 00:03:37,594 N: Taarifa za kuganda kwa damu zimetengeneza vichwa vya habari 68 00:03:38,069 --> 00:03:39,073 na kuwatia watu wasiwasi. 69 00:03:39,421 --> 00:03:42,040 EU pia iliamua isihuishe mikataba yake 70 00:03:42,060 --> 00:03:43,536 na AstraZeneca na Johnson & Johnson. 71 00:03:43,556 --> 00:03:46,138 Hii yote inaweza kutoa hisia kwamba chanjo zingine ni mbaya zaidi kuliko zingine. 72 00:03:46,158 --> 00:03:48,567 MF: Lakini tena, si rahisi hivyo 73 00:03:48,587 --> 00:03:52,609 kwa sababu hatari ya kila mtu binafsi ya kuambukizwa 74 00:03:53,684 --> 00:03:55,704 huathiri tathmini ya jinsi kila chanjo ina manufaa. 75 00:03:55,724 --> 00:03:59,046 N: Hebu tuangalie mfano na chanjo ya AstraZeneca 76 00:03:59,066 --> 00:04:03,193 na kuchukua viwango vya wastani vya maambukizi kuwa kesi 55 kwa laki moja. 77 00:04:04,162 --> 00:04:06,908 Kati ya watu 100,000 walio chini ya umri wa miaka 29, 78 00:04:06,926 --> 00:04:11,391 ni wawili tu wataadhirika na ganda la nadra la damu baada ya chanjo ya AstraZeneca, 79 00:04:11,701 --> 00:04:15,135 lakini hakuna ambaye angehitaji uangalizi mahututi kutokana na maambukizi ya COVID-19. 80 00:04:15,155 --> 00:04:19,568 Lakini mtu zaidi ya miaka 60 81 00:04:19,588 --> 00:04:23,686 ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuishia katika uangalizi maalum na COVID-19 82 00:04:24,007 --> 00:04:25,729 na uwezekano mdogo wa kuadhirika na ganda la nadra la damu. 83 00:04:25,749 --> 00:04:29,312 MF: Ndio maana baadhi ya serikali zinapendekeza chanjo cha AstraZeneca 84 00:04:29,332 --> 00:04:31,622 tu kwa watu wenye umri wa miaka 60+. 85 00:04:31,642 --> 00:04:34,688 Lakini tathmini hii inabadilika ikiwa viwango vya maambukizi ni vya juu. 86 00:04:34,708 --> 00:04:36,795 N: Wacha tuangalie hesabu sawa lakini kwa viwango vya juu vya maambukizi. 87 00:04:36,966 --> 00:04:40,383 Hapa, kesi 401 kwa laki moja. 88 00:04:41,064 --> 00:04:44,589 Sasa kila mtu ana uwezekano mkubwa wa kuishia katika uangalizi maalum kutokana na COVID-19 89 00:04:44,609 --> 00:04:47,398 kuliko kuganda kwa damu baada ya chanjo. 90 00:04:47,748 --> 00:04:51,910 Katika hali hii, faida ya kupata chanjo ya AstraZeneca 91 00:04:51,930 --> 00:04:54,849 inazidi hatari ya kuganda kwa damu kwa makundi yote ya umri. 92 00:04:55,317 --> 00:04:58,980 CG: Na bila shaka, 93 00:04:59,000 --> 00:05:02,794 kwa uingiliaji wa kuzuia unaolenga watu wenye afya, kama chanjo, 94 00:05:06,972 --> 00:05:07,979 ni muhimu 95 00:05:07,999 --> 00:05:13,345 kwamba usawa wa hatari na faida 96 00:05:13,345 --> 00:05:14,354 inakubalika kwa watu tofauti, vikundi au hata watu binafsi. 97 00:05:14,374 --> 00:05:15,900 MF: Je, kuna baadhi ya chanjo mbaya zaidi kuliko zingine? 98 00:05:15,920 --> 00:05:20,452 Tukiangalia tu madhara, 99 00:05:20,472 --> 00:05:22,570 zingine hufanya vizuri zaidi, 100 00:05:22,594 --> 00:05:24,668 angalau kutokana na kile tunachojua hadi sasa. 101 00:05:24,686 --> 00:05:26,692 Lakini hiyo ni kipengele kimoja tu 102 00:05:26,712 --> 00:05:28,627 na isiwe pekee tunayozingatia. 103 00:05:29,144 --> 00:05:31,000 CG: Nadhani suala kuu 104 00:05:31,022 --> 00:05:33,096 ni kwamba chanjo au mpango wa chanjo bora zaidi 105 00:05:33,578 --> 00:05:35,050 ni ule unaoturuhusu kuzuia magonjwa na kifo. 106 00:05:35,070 --> 00:05:38,135 Na bila shaka, kupunguza matokeo moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja - 107 00:05:38,155 --> 00:05:40,838 matokeo mabaya - 108 00:05:41,839 --> 00:05:46,086 juu ya uharibifu mbaya. 109 00:05:46,106 --> 00:05:47,366 MF: Chanjo yoyote iliyopokea idhini ya dharura kutoka kwa WHO 110 00:05:47,386 --> 00:05:48,644 hulinda dhidi ya visa vikali vya COVID-19. 111 00:05:48,713 --> 00:05:52,133 Zinazuia vifo na kusaidia kumaliza janga hili. 112 00:05:52,153 --> 00:05:55,014 N: Hivyo, ikiwa chanjo ni chache, 113 00:05:55,034 --> 00:05:57,393 kuna hoja nzuri sana kuchukua chochote kinachopatikana kwetu, 114 00:05:58,534 --> 00:06:00,512 kwa sababu ikiwa tunasisitiza kupata chanjo maalum, 115 00:06:00,687 --> 00:06:04,428 tunaweza kurefusha janga hili zima, 116 00:06:04,448 --> 00:06:07,685 na hilo linaweza kugharimu maisha. 117 00:06:07,705 --> 00:06:09,844 Manukuu na Maurício Kakuei Tanaka Mapitio ya Carol Wang 118 00:06:10,262 --> 00:06:12,487 119 00:06:12,507 --> 00:06:15,207