0:00:01.072,0:00:02.313 Pfizer pekee. 0:00:02.313,0:00:06.070 Wakijaribu kunipa Johnson & Johnson,[br]Nitawaambia wanipe COVID badala yake. 0:00:06.070,0:00:09.454 Msimulizi: Mtandao unaonekana kujua[br]ni chanjo zipi hasa ni bora zaidi 0:00:09.454,0:00:10.778 na mbaya zaidi. 0:00:10.796,0:00:11.798 M: Moderna? 0:00:11.818,0:00:13.400 Zaidi kama ya kawaida, [br]wastani. 0:00:13.420,0:00:14.566 Hatufanyi wastani. 0:00:14.586,0:00:16.318 Mira Frike: Wanadamu hupenda[br]kulinganisha. 0:00:16.338,0:00:19.469 Si ajabu tunafanya hivyo pia[br]na chanjo za COVID-19. 0:00:19.768,0:00:23.206 Tatizo ni kwamba huwezi[br]kulinganisha chanjo kwa urahisi. 0:00:23.286,0:00:27.407 Na kufanya hivyo yaweza hata[br]kuwa na madhara katika janga. 0:00:28.677,0:00:30.444 N: Sisi hujishughulisha[br]kuangalia nambari hizi - 0:00:30.464,0:00:31.658 viwango vya ufanisi - 0:00:31.678,0:00:34.919 kwa sababu vinapima[br]uwezekano wako wa kupata COVID-19 0:00:34.939,0:00:36.816 baada ya kupewa chanjo. 0:00:37.983,0:00:41.130 MF: Tatizo ni kwamba nambari hizi[br]hazikutengenezwa ziwe sawa. 0:00:41.150,0:00:44.603 Badala yake, huamuliwa kulingana [br]na wakati na mahali 0:00:44.603,0:00:45.603 majaribio ya ufanisi yalifanyika. 0:00:45.603,0:00:46.656 Carlos Guzmán: Nadhani[br]ulinganisho wa ufanisi wa chanjo 0:00:46.676,0:00:49.386 nje ya muktadha inaweza kusababisha [br]matokeo potovu sana. 0:00:49.406,0:00:51.817 Kuna tofauti kuu katikati ya watu [br]wanofanyiwa utafiti, 0:00:51.843,0:00:56.817 kwa mfano; umri, jinsia, [br]mazingira, hali zilizopo awali. 0:00:56.817,0:01:02.395 N: Je, majaribio ya ufanisi [br]hufanyaje kazi? 0:01:02.875,0:01:05.005 Washiriki hugawanywa[br]katika vikundi viwili. 0:01:05.025,0:01:07.313 Kundi moja hupata chanjo;[br]nyingine, placebo. 0:01:07.333,0:01:10.330 Kisha wanaendelea na maisha yao [br]kama kawaida. 0:01:10.810,0:01:13.240 Baada ya muda fulani, 0:01:13.761,0:01:15.396 watafiti wanahesabu[br]wangapi kati yao waliugua COVID-19. 0:01:15.416,0:01:18.651 Ikiwa washiriki wote ambao waliugua[br]alitoka kwa kikundi cha placebo, 0:01:19.123,0:01:22.787 na sufuri kutoka kwa kikundi cha chanjo, 0:01:22.807,0:01:24.932 chanjo itakuwa na ufanisi 100%. 0:01:24.952,0:01:27.505 Na ikiwa ni idadi sawa ya watu[br]kutoka kwa vikundi vyote viwili waliugua, 0:01:28.267,0:01:32.090 ufanisi wa chanjo itakuwa sufuri 0:01:32.110,0:01:34.319 kwa sababu hatari ya kuambukizwa[br]haikubadilika na chanjo. 0:01:34.339,0:01:38.031 Lakini uwezekano wa washiriki[br]kupata ugonjwa wakati wa majaribio 0:01:38.907,0:01:42.646 inalingana na jumla ya kiwango [br]cha maambukizi katika mazingira yao. 0:01:42.666,0:01:45.854 CG: Pia kuna tofauti katika suala la [br]uwepo au kutokuwepo kwa lahaja ya virusi 0:01:46.076,0:01:51.289 ambayo hupigwa kwa ufanisi mdogo[br]au mwingi na kingamwili 0:01:51.601,0:01:56.542 zinazochochewa na aina ya protini[br]ya virusi vya asili vya SARS-CoV-2 0:01:56.562,0:02:01.271 ambayo ilijumuishwa[br]katika chanjo za sasa. 0:02:01.271,0:02:04.433 MF: Kwa hivyo wakati tunafikiria[br]tunajua ni chanjo gani bora, 0:02:04.768,0:02:08.514 maoni yetu kwa kweli yameathiriwa[br]na sababu za kimazingira. 0:02:08.534,0:02:12.905 N: Hebu tuangalie mfano. 0:02:13.489,0:02:15.138 Majaribio ya Moderna na Pfizer[br]yalifanyika zaidi nchini Marekani 0:02:15.468,0:02:19.078 na kabla ya kuwasili kwa aina[br]za anuwai zaidi za kuambukiza, 0:02:19.098,0:02:22.395 kama ile ya kutoka Uingereza au Afrika Kusini. 0:02:22.415,0:02:25.133 Majaribio ya AstraZeneca na Johnson & Johnson, [br]kwa upande mwingine, 0:02:27.498,0:02:30.927 yalifanyika baadaye 0:02:30.927,0:02:32.615 au katika nchi 0:02:32.635,0:02:33.645 ambazo anuwai zaidi za kuambukiza ziliibuka[br]na zikawa zaidi katika maambukizi. 0:02:33.665,0:02:37.917 MF: Hivyo viwango vya ufanisi[br]haitakuwa sawa kabisa 0:02:40.159,0:02:43.231 katika mazingira halisi ya ulimwengu, 0:02:43.251,0:02:44.946 na inaweza kubadilika kwa wakati. 0:02:44.966,0:02:46.680 CG: Kwa mfano, hivi majuzi[br]tuna ripoti kutoka Qatar, 0:02:46.700,0:02:49.676 ambapo 50% na 45% ya maambukizi 0:02:49.695,0:02:53.594 yanasababishwa na lahaja ya[br]Afrika Kusini na Uingereza. 0:02:53.614,0:02:57.444 Utafiti huu ulituonyesha kuwa ufanisi wa[br]chanjo ya BioNTech/Pfizer 0:02:57.603,0:03:02.136 hupungua hadi 89% na 75% [br]kwa maambukizi yanayosababishwa 0:03:02.136,0:03:03.136 na lahaja ya Uingereza na Afrika Kusini. 0:03:03.136,0:03:10.432 MF: Lakini labda kumekuwa na urekebishaji[br]mwingi sana juu ya ufanisi wakati huu wote. 0:03:10.456,0:03:14.905 N: Ufanisi kwa kawaida ni kipimo[br]kwa matokeo bora zaidi iwezekanavyo: 0:03:14.905,0:03:19.025 hakuna dalili hata kidogo. 0:03:19.045,0:03:20.349 Badala yake, tunaweza kuangalia|[br]jinsi chanjo zinazuia kulazwa hospitalini 0:03:21.118,0:03:22.461 na kifo kutoka na COVID-19,[br]kwa sababu chanjo hizi zote hufanya hivyo vizuri. 0:03:22.481,0:03:26.602 MF: Sasa kuna kipengele kingine[br]ambayo huathiri jinsi tunavyohukumu chanjo: 0:03:26.622,0:03:30.254 madhara. 0:03:33.384,0:03:37.594 N: Taarifa za kuganda kwa damu[br]zimetengeneza vichwa vya habari 0:03:38.069,0:03:39.073 na kuwatia watu wasiwasi. 0:03:39.421,0:03:42.040 EU pia iliamua[br]isihuishe mikataba yake 0:03:42.060,0:03:43.536 na AstraZeneca na Johnson & Johnson. 0:03:43.556,0:03:46.138 Hii yote inaweza kutoa hisia kwamba [br]chanjo zingine ni mbaya zaidi kuliko zingine. 0:03:46.158,0:03:48.567 MF: Lakini tena, si rahisi hivyo 0:03:48.587,0:03:52.609 kwa sababu hatari ya kila mtu binafsi [br]ya kuambukizwa 0:03:53.684,0:03:55.704 huathiri tathmini ya[br]jinsi kila chanjo ina manufaa. 0:03:55.724,0:03:59.046 N: Hebu tuangalie mfano[br]na chanjo ya AstraZeneca 0:03:59.066,0:04:03.193 na kuchukua viwango vya wastani vya [br]maambukizi kuwa kesi 55 kwa laki moja. 0:04:04.162,0:04:06.908 Kati ya watu 100,000 [br]walio chini ya umri wa miaka 29, 0:04:06.926,0:04:11.391 ni wawili tu wataadhirika na ganda la nadra [br]la damu baada ya chanjo ya AstraZeneca, 0:04:11.701,0:04:15.135 lakini hakuna ambaye angehitaji uangalizi mahututi[br]kutokana na maambukizi ya COVID-19. 0:04:15.155,0:04:19.568 Lakini mtu zaidi ya miaka 60 0:04:19.588,0:04:23.686 ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuishia[br]katika uangalizi maalum na COVID-19 0:04:24.007,0:04:25.729 na uwezekano mdogo wa kuadhirika na[br]ganda la nadra la damu. 0:04:25.749,0:04:29.312 MF: Ndio maana baadhi ya serikali[br]zinapendekeza chanjo cha AstraZeneca 0:04:29.332,0:04:31.622 tu kwa watu wenye umri wa miaka 60+. 0:04:31.642,0:04:34.688 Lakini tathmini hii inabadilika[br]ikiwa viwango vya maambukizi ni vya juu. 0:04:34.708,0:04:36.795 N: Wacha tuangalie hesabu sawa[br]lakini kwa viwango vya juu vya maambukizi. 0:04:36.966,0:04:40.383 Hapa, kesi 401 kwa laki moja. 0:04:41.064,0:04:44.589 Sasa kila mtu ana uwezekano mkubwa wa kuishia[br]katika uangalizi maalum kutokana na COVID-19 0:04:44.609,0:04:47.398 kuliko kuganda kwa damu[br]baada ya chanjo. 0:04:47.748,0:04:51.910 Katika hali hii, faida ya kupata [br]chanjo ya AstraZeneca 0:04:51.930,0:04:54.849 inazidi hatari ya kuganda kwa damu[br]kwa makundi yote ya umri. 0:04:55.317,0:04:58.980 CG: Na bila shaka, 0:04:59.000,0:05:02.794 kwa uingiliaji wa kuzuia [br]unaolenga watu wenye afya, kama chanjo, 0:05:06.972,0:05:07.979 ni muhimu 0:05:07.999,0:05:13.345 kwamba usawa wa hatari na faida 0:05:13.345,0:05:14.354 inakubalika kwa watu tofauti,[br]vikundi au hata watu binafsi. 0:05:14.374,0:05:15.900 MF: Je, kuna baadhi ya chanjo[br]mbaya zaidi kuliko zingine? 0:05:15.920,0:05:20.452 Tukiangalia tu madhara, 0:05:20.472,0:05:22.570 zingine hufanya vizuri zaidi, 0:05:22.594,0:05:24.668 angalau kutokana na kile [br]tunachojua hadi sasa. 0:05:24.686,0:05:26.692 Lakini hiyo ni kipengele kimoja tu 0:05:26.712,0:05:28.627 na isiwe pekee tunayozingatia. 0:05:29.144,0:05:31.000 CG: Nadhani suala kuu 0:05:31.022,0:05:33.096 ni kwamba chanjo au mpango[br]wa chanjo bora zaidi 0:05:33.578,0:05:35.050 ni ule unaoturuhusu[br]kuzuia magonjwa na kifo. 0:05:35.070,0:05:38.135 Na bila shaka, kupunguza matokeo [br]moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja - 0:05:38.155,0:05:40.838 matokeo mabaya - 0:05:41.839,0:05:46.086 juu ya uharibifu mbaya. 0:05:46.106,0:05:47.366 MF: Chanjo yoyote iliyopokea[br]idhini ya dharura kutoka kwa WHO 0:05:47.386,0:05:48.644 hulinda dhidi ya visa vikali vya COVID-19. 0:05:48.713,0:05:52.133 Zinazuia vifo na kusaidia [br]kumaliza janga hili. 0:05:52.153,0:05:55.014 N: Hivyo, ikiwa chanjo ni chache, 0:05:55.034,0:05:57.393 kuna hoja nzuri sana kuchukua [br]chochote kinachopatikana kwetu, 0:05:58.534,0:06:00.512 kwa sababu ikiwa tunasisitiza[br]kupata chanjo maalum, 0:06:00.687,0:06:04.428 tunaweza kurefusha janga hili zima, 0:06:04.448,0:06:07.685 na hilo linaweza kugharimu maisha. 0:06:07.705,0:06:09.844 Manukuu na Maurício Kakuei Tanaka[br]Mapitio ya Carol Wang 0:06:10.262,0:06:12.487 0:06:12.507,0:06:15.207