Jambo. Hii ni video ya kasi, kukuambia waweza, tena, kuchangia tafsiri HUKO video za GMTK! YouTube imeondoa nafasi ya mashabiki kutasfiri video kwa jukwaa hil - LAKINI Nina mfumo wa kuifanya ifanye kazi tena. Sasa. Hivi ndivyo tunaweza kuifanya... KATIKA maelekezo hapo chini ya kila video ya kituo hiki, kuna MWELEKEZO kwa ukrasa wa video, Amara - jamii bure ya kutafsiri Katika tovuti ya Amara, utahitaji akaunti, lakini waweza kubonyeza "Add/ Edit subtitles", kisha UCHAGUE LUGHA unayotamani kuijenga kwa "drop down" Utaona manukuu ya Kiingereza KUSHOTO, na waweza kupeana tafsiri katika sanduku la KULIA. Yakiisha, bonyeza "Yes, start syncing". Nitaipokea taarifa na kuongeza kichwa ndogo (SUBTITLES) kwa video, YouTube na nitakutuza kwa jina lako la Amara kwa maelezo hapo chini. Nitajaribu kuifanya kwa haraka katika video mpya, lakini nitazisasisha (captions) maelezo kwa muda wa mwezi katika video vya kitambo. Kukuwa wazi, kila (CAPTIONS) maelezo hupatiwa kwa HIARI Siulizi yeyote aifanye - lakini nitakubali pindi kutakapokuwa na anayetaka kuchangia Nataka kushukuru wote waliotafsiri GMTK kwa Kifaransa, Kiitaliano, Kikorea, Kituruki, Kijapani, Kihispania, na mengine, mengine, mengi. Mnasaidia MUUNDO WA MICHEZO za video uwe wa KIDEMOKRASIA kwa kuifanya iwe bure na, kupatikana kwa urahisi sana. Kwa hivyo, asante - na nitawaona tena karibuni.