[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.16,0:00:01.26,Default,,0000,0000,0000,,Jambo. Dialogue: 0,0:00:01.26,0:00:07.30,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni video ya kasi, kukuambia\Nwaweza, tena, kuchangia tafsiri Dialogue: 0,0:00:07.30,0:00:09.55,Default,,0000,0000,0000,,HUKO video za GMTK! Dialogue: 0,0:00:09.55,0:00:15.12,Default,,0000,0000,0000,,YouTube imeondoa nafasi ya mashabiki\Nkutasfiri video kwa jukwaa hil - LAKINI Dialogue: 0,0:00:15.12,0:00:18.41,Default,,0000,0000,0000,,Nina mfumo wa kuifanya ifanye\Nkazi tena. Dialogue: 0,0:00:18.41,0:00:19.92,Default,,0000,0000,0000,,Sasa. Hivi ndivyo\Ntunaweza kuifanya... Dialogue: 0,0:00:19.92,0:00:24.04,Default,,0000,0000,0000,,KATIKA maelekezo hapo chini ya kila\Nvideo ya kituo hiki, kuna MWELEKEZO kwa Dialogue: 0,0:00:24.04,0:00:28.65,Default,,0000,0000,0000,,ukrasa wa video, Amara - jamii bure\Nya kutafsiri Dialogue: 0,0:00:28.65,0:00:33.58,Default,,0000,0000,0000,,Katika tovuti ya Amara, utahitaji akaunti,\Nlakini waweza kubonyeza "Add/ Edit subtitles", Dialogue: 0,0:00:33.58,0:00:36.79,Default,,0000,0000,0000,,kisha UCHAGUE LUGHA unayotamani kuijenga\Nkwa "drop down" Dialogue: 0,0:00:36.79,0:00:41.20,Default,,0000,0000,0000,,Utaona manukuu ya Kiingereza \NKUSHOTO, na waweza kupeana tafsiri Dialogue: 0,0:00:41.20,0:00:42.66,Default,,0000,0000,0000,,katika sanduku la KULIA. Dialogue: 0,0:00:42.66,0:00:45.71,Default,,0000,0000,0000,,Yakiisha, bonyeza "Yes, start syncing". Dialogue: 0,0:00:45.71,0:00:51.34,Default,,0000,0000,0000,,Nitaipokea taarifa na \Nkuongeza kichwa ndogo (SUBTITLES) kwa video, YouTube Dialogue: 0,0:00:51.34,0:00:54.45,Default,,0000,0000,0000,,na nitakutuza kwa jina lako la Amara kwa\Nmaelezo hapo chini. Dialogue: 0,0:00:54.45,0:00:58.92,Default,,0000,0000,0000,,Nitajaribu kuifanya kwa haraka katika video \Nmpya, lakini nitazisasisha (captions) maelezo Dialogue: 0,0:00:58.92,0:01:01.79,Default,,0000,0000,0000,,kwa muda wa mwezi katika video vya kitambo. Dialogue: 0,0:01:01.79,0:01:06.81,Default,,0000,0000,0000,,Kukuwa wazi, kila (CAPTIONS) maelezo hupatiwa\Nkwa HIARI Dialogue: 0,0:01:06.81,0:01:12.32,Default,,0000,0000,0000,,Siulizi yeyote aifanye - lakini nitakubali \Npindi kutakapokuwa na anayetaka kuchangia Dialogue: 0,0:01:12.32,0:01:19.06,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kushukuru wote waliotafsiri \NGMTK kwa Kifaransa, Kiitaliano, Kikorea, Kituruki, Dialogue: 0,0:01:19.06,0:01:22.07,Default,,0000,0000,0000,,Kijapani, Kihispania, na mengine, mengine, mengi. Dialogue: 0,0:01:22.07,0:01:28.44,Default,,0000,0000,0000,,Mnasaidia MUUNDO WA MICHEZO za video uwe wa KIDEMOKRASIA\Nkwa kuifanya iwe bure na, kupatikana kwa urahisi sana. Dialogue: 0,0:01:28.44,0:01:30.71,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, asante - na nitawaona tena karibuni.