0:00:00.160,0:00:01.260 Jambo. 0:00:01.260,0:00:07.299 Hii ni video ya kasi, kukuambia[br]waweza, tena, kuchangia tafsiri 0:00:07.299,0:00:09.550 HUKO video za GMTK! 0:00:09.550,0:00:15.120 YouTube imeondoa nafasi ya mashabiki[br]kutasfiri video kwa jukwaa hil - LAKINI 0:00:15.120,0:00:18.412 Nina mfumo wa kuifanya ifanye[br]kazi tena. 0:00:18.412,0:00:19.920 Sasa. Hivi ndivyo[br]tunaweza kuifanya... 0:00:19.920,0:00:24.039 KATIKA maelekezo hapo chini ya kila[br]video ya kituo hiki, kuna MWELEKEZO kwa 0:00:24.039,0:00:28.650 ukrasa wa video, Amara - jamii bure[br]ya kutafsiri 0:00:28.650,0:00:33.579 Katika tovuti ya Amara, utahitaji akaunti,[br]lakini waweza kubonyeza "Add/ Edit subtitles", 0:00:33.579,0:00:36.790 kisha UCHAGUE LUGHA unayotamani kuijenga[br]kwa "drop down" 0:00:36.790,0:00:41.200 Utaona manukuu ya Kiingereza [br]KUSHOTO, na waweza kupeana tafsiri 0:00:41.200,0:00:42.660 katika sanduku la KULIA. 0:00:42.660,0:00:45.710 Yakiisha, bonyeza "Yes, start syncing". 0:00:45.710,0:00:51.340 Nitaipokea taarifa na [br]kuongeza kichwa ndogo (SUBTITLES) kwa video, YouTube 0:00:51.340,0:00:54.449 na nitakutuza kwa jina lako la Amara kwa[br]maelezo hapo chini. 0:00:54.449,0:00:58.920 Nitajaribu kuifanya kwa haraka katika video [br]mpya, lakini nitazisasisha (captions) maelezo 0:00:58.920,0:01:01.790 kwa muda wa mwezi katika video vya kitambo. 0:01:01.790,0:01:06.813 Kukuwa wazi, kila (CAPTIONS) maelezo hupatiwa[br]kwa HIARI 0:01:06.813,0:01:12.323 Siulizi yeyote aifanye - lakini nitakubali [br]pindi kutakapokuwa na anayetaka kuchangia 0:01:12.323,0:01:19.060 Nataka kushukuru wote waliotafsiri [br]GMTK kwa Kifaransa, Kiitaliano, Kikorea, Kituruki, 0:01:19.060,0:01:22.070 Kijapani, Kihispania, na mengine, mengine, mengi. 0:01:22.070,0:01:28.440 Mnasaidia MUUNDO WA MICHEZO za video uwe wa KIDEMOKRASIA[br]kwa kuifanya iwe bure na, kupatikana kwa urahisi sana. 0:01:28.440,0:01:30.710 Kwa hivyo, asante - na nitawaona tena karibuni.