Jambo.
Hii ni video ya kasi, kukuambia
waweza, tena, kuchangia tafsiri
HUKO video za GMTK!
YouTube imeondoa nafasi ya mashabiki
kutasfiri video kwa jukwaa hil - LAKINI
Nina mfumo wa kuifanya ifanye
kazi tena.
Sasa. Hivi ndivyo
tunaweza kuifanya...
KATIKA maelekezo hapo chini ya kila
video ya kituo hiki, kuna MWELEKEZO kwa
ukrasa wa video, Amara - jamii bure
ya kutafsiri
Katika tovuti ya Amara, utahitaji akaunti,
lakini waweza kubonyeza "Add/ Edit subtitles",
kisha UCHAGUE LUGHA unayotamani kuijenga
kwa "drop down"
Utaona manukuu ya Kiingereza
KUSHOTO, na waweza kupeana tafsiri
katika sanduku la KULIA.
Yakiisha, bonyeza "Yes, start syncing".
Nitaipokea taarifa na
kuongeza kichwa ndogo (SUBTITLES) kwa video, YouTube
na nitakutuza kwa jina lako la Amara kwa
maelezo hapo chini.
Nitajaribu kuifanya kwa haraka katika video
mpya, lakini nitazisasisha (captions) maelezo
kwa muda wa mwezi katika video vya kitambo.
Kukuwa wazi, kila (CAPTIONS) maelezo hupatiwa
kwa HIARI
Siulizi yeyote aifanye - lakini nitakubali
pindi kutakapokuwa na anayetaka kuchangia
Nataka kushukuru wote waliotafsiri
GMTK kwa Kifaransa, Kiitaliano, Kikorea, Kituruki,
Kijapani, Kihispania, na mengine, mengine, mengi.
Mnasaidia MUUNDO WA MICHEZO za video uwe wa KIDEMOKRASIA
kwa kuifanya iwe bure na, kupatikana kwa urahisi sana.
Kwa hivyo, asante - na nitawaona tena karibuni.