[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.91,0:00:03.24,Default,,0000,0000,0000,,Hauwajui. Dialogue: 0,0:00:04.15,0:00:05.44,Default,,0000,0000,0000,,Hauwaoni. Dialogue: 0,0:00:06.40,0:00:08.41,Default,,0000,0000,0000,,Lakini daima wapo wanazunguka, Dialogue: 0,0:00:09.40,0:00:11.08,Default,,0000,0000,0000,,wananong'oneza, Dialogue: 0,0:00:11.11,0:00:12.92,Default,,0000,0000,0000,,wakitengeneza mipango ya siri, Dialogue: 0,0:00:13.70,0:00:17.38,Default,,0000,0000,0000,,wakijenga jeshi la mamilioni ya wanajeshi. Dialogue: 0,0:00:18.83,0:00:20.62,Default,,0000,0000,0000,,Na wanapoamua kushambulia, Dialogue: 0,0:00:21.44,0:00:23.70,Default,,0000,0000,0000,,wanashambulia kwa wakati mmoja. Dialogue: 0,0:00:27.13,0:00:28.91,Default,,0000,0000,0000,,Ninaongelea kuhusu bakteria. Dialogue: 0,0:00:28.93,0:00:30.26,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:00:30.28,0:00:32.52,Default,,0000,0000,0000,,Mlidhani ninaongelea kuhusu nani? Dialogue: 0,0:00:34.40,0:00:37.60,Default,,0000,0000,0000,,Bakteria wanaishi kwenye jamii\Nkama tu binadamu. Dialogue: 0,0:00:37.62,0:00:38.89,Default,,0000,0000,0000,,Wana familia, Dialogue: 0,0:00:38.92,0:00:40.07,Default,,0000,0000,0000,,wanaongea, Dialogue: 0,0:00:40.09,0:00:41.93,Default,,0000,0000,0000,,na wanapanga shughuli zao. Dialogue: 0,0:00:41.96,0:00:44.61,Default,,0000,0000,0000,,Na kama tu binadamu, wanahila, waongo, Dialogue: 0,0:00:44.64,0:00:46.77,Default,,0000,0000,0000,,na wengine hata wanadanganyana wenyewe. Dialogue: 0,0:00:48.13,0:00:51.97,Default,,0000,0000,0000,,Je kama nikikuambia kua tunaweza\Nkusikiliza mazungumzo ya bakteria Dialogue: 0,0:00:51.100,0:00:55.57,Default,,0000,0000,0000,,na kutafsiri taarifa zao za siri\Nkuwa lugha ya binadamu? Dialogue: 0,0:00:56.26,0:01:01.05,Default,,0000,0000,0000,,Na kama je nikiwaambia kuwa kutafsiri\Nmazungumzo ya bakteria kutaokoa maisha? Dialogue: 0,0:01:02.52,0:01:04.29,Default,,0000,0000,0000,,Nina PhD ya nanofizikia, Dialogue: 0,0:01:04.31,0:01:08.69,Default,,0000,0000,0000,,na nimetumia teknolojia ya nano kuunda\Nchombo cha kutafsiri cha muda halisi Dialogue: 0,0:01:08.71,0:01:11.03,Default,,0000,0000,0000,,kinachoweza kupeleleza kwenye jamii\Nza bakteria Dialogue: 0,0:01:11.06,0:01:13.97,Default,,0000,0000,0000,,na kutupa rekodi za nini\Nbakteria wanafanya. Dialogue: 0,0:01:16.12,0:01:17.72,Default,,0000,0000,0000,,Bakteria wanaishi kila sehemu. Dialogue: 0,0:01:17.74,0:01:20.07,Default,,0000,0000,0000,,Wako kwenye udongo, kwenye samani zetu Dialogue: 0,0:01:20.10,0:01:21.41,Default,,0000,0000,0000,,na ndani ya miili yetu. Dialogue: 0,0:01:22.08,0:01:26.62,Default,,0000,0000,0000,,Ki ukweli, asilimia 90 ya seli zote hai\Nkwenye huu ukumbi ni bakteria. Dialogue: 0,0:01:27.68,0:01:29.51,Default,,0000,0000,0000,,Baadhi ya bakteria ni wazuri\Nkwetu; Dialogue: 0,0:01:29.54,0:01:32.75,Default,,0000,0000,0000,,wanatusaidia kumeng'enya chakula\Nau kutengeneza dawa. Dialogue: 0,0:01:32.77,0:01:34.87,Default,,0000,0000,0000,,Na baadhi ya bakteria na wabaya kwetu: Dialogue: 0,0:01:34.89,0:01:36.78,Default,,0000,0000,0000,,wanasababisha magonjwa na kifo. Dialogue: 0,0:01:37.79,0:01:40.21,Default,,0000,0000,0000,,Kushirikisha kazi zote bakteria\Nwalizonazo, Dialogue: 0,0:01:40.23,0:01:42.31,Default,,0000,0000,0000,,wanatakiwa wawe na uwezo wa\Nkupanga, Dialogue: 0,0:01:42.33,0:01:44.37,Default,,0000,0000,0000,,na wanafanya hivyo kama tu sisi\Nbinadamu -- Dialogue: 0,0:01:44.40,0:01:45.55,Default,,0000,0000,0000,,kwa mawasiliano. Dialogue: 0,0:01:46.75,0:01:48.23,Default,,0000,0000,0000,,Lakini badala ya kutumia\Nmaneno, Dialogue: 0,0:01:48.25,0:01:51.19,Default,,0000,0000,0000,,wanatumia molekuli za ishara\Nkuwasiliana wenyewe kwa wenyewe. Dialogue: 0,0:01:51.90,0:01:53.34,Default,,0000,0000,0000,,Bakteria wanapokuwa wachche, Dialogue: 0,0:01:53.36,0:01:56.11,Default,,0000,0000,0000,,molekuli za ishara zinatiririka nje, Dialogue: 0,0:01:56.13,0:01:58.64,Default,,0000,0000,0000,,kama kelele za mtu peke yake\Njangwani. Dialogue: 0,0:01:59.52,0:02:03.51,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kukiwa na bakteria wengi,\Nmolekuli za ishara zinajikusanya, Dialogue: 0,0:02:03.53,0:02:06.53,Default,,0000,0000,0000,,na bakteria wanaanza kuhisi kuwa\Nhawapo peke yao. Dialogue: 0,0:02:07.31,0:02:08.64,Default,,0000,0000,0000,,Wanasikilizana wenyewe. Dialogue: 0,0:02:09.46,0:02:12.28,Default,,0000,0000,0000,,Kwa njia hii, wanapima \Nwako wangapi Dialogue: 0,0:02:12.30,0:02:15.62,Default,,0000,0000,0000,,na wanapokuwa wengi wa kutosha\Nkuanzisha hatua mpya. Dialogue: 0,0:02:16.58,0:02:20.43,Default,,0000,0000,0000,,Na pale molekuli za ishara zinafika\Nkizingiti flani, Dialogue: 0,0:02:20.46,0:02:23.58,Default,,0000,0000,0000,,bakteria wote wanahisi kwa mara moja\Nkua wanahitaji kutenda Dialogue: 0,0:02:23.60,0:02:24.92,Default,,0000,0000,0000,,kwa tendo hilo hilo. Dialogue: 0,0:02:25.97,0:02:30.29,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo mazungumzo ya bakteria yanakuwa\Nna mwanzo na jibu, Dialogue: 0,0:02:30.32,0:02:33.39,Default,,0000,0000,0000,,uzalishaji wa molekuli\Nna majibu yake. Dialogue: 0,0:02:35.09,0:02:38.43,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye utafiti wangu, nimelenga kupeleleza\Nkwenye jamii za bakteria Dialogue: 0,0:02:38.46,0:02:39.86,Default,,0000,0000,0000,,ndani ya mwili wa binadamu. Dialogue: 0,0:02:40.34,0:02:41.59,Default,,0000,0000,0000,,Inafanyaje kazi? Dialogue: 0,0:02:42.38,0:02:44.30,Default,,0000,0000,0000,,Tunasampuli kutoka kwa mgonjwa. Dialogue: 0,0:02:44.32,0:02:46.86,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza kuwa ni sampuli ya damu au mate. Dialogue: 0,0:02:47.30,0:02:49.84,Default,,0000,0000,0000,,Tunapiga elektroni ndani ya sampuli, Dialogue: 0,0:02:49.86,0:02:53.78,Default,,0000,0000,0000,,elektroni zitaingilia na molekuli\Nzozote za mazungumzo zilizopo, Dialogue: 0,0:02:53.81,0:02:56.19,Default,,0000,0000,0000,,na huu muingiliano utatupa\Ntaarifa Dialogue: 0,0:02:56.21,0:02:58.10,Default,,0000,0000,0000,,ya aina ya bakteria, Dialogue: 0,0:02:58.13,0:02:59.80,Default,,0000,0000,0000,,aina ya mawasiliano Dialogue: 0,0:02:59.82,0:03:02.12,Default,,0000,0000,0000,,na kiasi gani bakteria wanazungumza. Dialogue: 0,0:03:04.27,0:03:06.59,Default,,0000,0000,0000,,Lakini inakuaje pale\Nbakteria wakizungumza? Dialogue: 0,0:03:07.75,0:03:11.51,Default,,0000,0000,0000,,Kabla sijaunda chombo cha kutafsiri, Dialogue: 0,0:03:11.53,0:03:15.38,Default,,0000,0000,0000,,dhana yangu ya kwanza ilikua bakteria\Nwatakua na lugha ya halisi, Dialogue: 0,0:03:15.40,0:03:18.58,Default,,0000,0000,0000,,kama vichanga ambao bado hawajaunda\Nmaneno na sentensi. Dialogue: 0,0:03:19.21,0:03:22.13,Default,,0000,0000,0000,,Wanapocheka, wanafuraha;\Nwanapolia, wanahuzuni. Dialogue: 0,0:03:22.15,0:03:23.30,Default,,0000,0000,0000,,Rahisi kama hivyo. Dialogue: 0,0:03:24.01,0:03:28.12,Default,,0000,0000,0000,,Lakini bakteria walionekana kutokuwa\Nkaribu na halisi kama nilivyodhani. Dialogue: 0,0:03:28.62,0:03:30.86,Default,,0000,0000,0000,,Molekuli sio tu molekuli. Dialogue: 0,0:03:30.88,0:03:33.63,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza kumaanisha vitu tofauti\Nkulingana na muktadha, Dialogue: 0,0:03:34.40,0:03:37.35,Default,,0000,0000,0000,,kama tu vilio vya watoto\Nvinavyomaanisha vitu tofauti: Dialogue: 0,0:03:37.37,0:03:39.14,Default,,0000,0000,0000,,saa nyingine mtoto ana njaa, Dialogue: 0,0:03:39.16,0:03:40.36,Default,,0000,0000,0000,,saa nyingine amelowa, Dialogue: 0,0:03:40.38,0:03:42.40,Default,,0000,0000,0000,,saa nyingine ameumia au anaogopa. Dialogue: 0,0:03:42.42,0:03:44.78,Default,,0000,0000,0000,,Wazazi wanajua jinsi ya kusoma hivi vilio. Dialogue: 0,0:03:45.62,0:03:47.51,Default,,0000,0000,0000,,Na kua chombo kizuri cha kutafsiri, Dialogue: 0,0:03:47.53,0:03:50.50,Default,,0000,0000,0000,,kinatakiwa kiwe na uwezo wa kusoma\Nmolekuli za ishara Dialogue: 0,0:03:50.53,0:03:54.59,Default,,0000,0000,0000,,na kuzitafsiri\Nkulingana na muktadha. Dialogue: 0,0:03:55.50,0:03:56.65,Default,,0000,0000,0000,,Na nani anajua? Dialogue: 0,0:03:56.67,0:03:58.83,Default,,0000,0000,0000,,Labda Tafsiri ya Google inaweza\Nkuiptisha hii. Dialogue: 0,0:03:58.86,0:04:01.23,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:04:02.39,0:04:04.10,Default,,0000,0000,0000,,Hebu niwape mfano. Dialogue: 0,0:04:04.13,0:04:07.72,Default,,0000,0000,0000,,Nimeleta baadhi ya taarifa za bakteria\Nzinazoweza kuwa ngumu kuelewa Dialogue: 0,0:04:07.74,0:04:08.89,Default,,0000,0000,0000,,kama hauna mafunzo, Dialogue: 0,0:04:08.92,0:04:10.26,Default,,0000,0000,0000,,lakini jaribu kuangalia. Dialogue: 0,0:04:11.55,0:04:13.47,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:04:14.96,0:04:18.44,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni familia ya bakteria yeye furaha\Nambayo imemshambulia mgonjwa. Dialogue: 0,0:04:20.26,0:04:22.29,Default,,0000,0000,0000,,Wacha tuwaite familia ya Montague. Dialogue: 0,0:04:23.92,0:04:27.38,Default,,0000,0000,0000,,Wanatumia wote rasilimali,\Nwanazaliana, wanakua. Dialogue: 0,0:04:28.29,0:04:30.27,Default,,0000,0000,0000,,Siku moja, wanapata mgeni mpya, Dialogue: 0,0:04:32.75,0:04:34.51,Default,,0000,0000,0000,,familia ya bakteria Capulet. Dialogue: 0,0:04:34.54,0:04:35.69,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:04:36.16,0:04:38.95,Default,,0000,0000,0000,,Kila kitu ni sawa,\Nalimradi wanafanya kazi kwa pamoja. Dialogue: 0,0:04:40.38,0:04:43.38,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kitu kisichopangwa kinatokea. Dialogue: 0,0:04:44.45,0:04:48.67,Default,,0000,0000,0000,,Romeo wa Montague anakua na mahusiano\Nna Juliet wa Capulet. Dialogue: 0,0:04:48.69,0:04:49.84,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:04:50.98,0:04:53.87,Default,,0000,0000,0000,,Na ndio, wanagawiana chembe za urithi. Dialogue: 0,0:04:53.90,0:04:56.01,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:04:58.26,0:05:01.38,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, uhamisho wa kinasaba unaweza\Nkuwa hatari kwa wakina Montague Dialogue: 0,0:05:01.40,0:05:05.36,Default,,0000,0000,0000,,waliokuwa na matarajio ya kuwa familia\Npekee kwenye mgonjwa waliomshambulia, Dialogue: 0,0:05:05.36,0:05:06.100,Default,,0000,0000,0000,,kugawana chembe za urithi\Nkunachangia Dialogue: 0,0:05:06.100,0:05:09.78,Default,,0000,0000,0000,,kwa wakina Capulet kutengeneza\Nkinga kwa dawa. Dialogue: 0,0:05:11.75,0:05:16.39,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo wakina Montague wanaanza kuongea\Nkwa ndani kuondoa hii familia nyingine Dialogue: 0,0:05:16.42,0:05:18.14,Default,,0000,0000,0000,,kwa kutoa molekuli hii. Dialogue: 0,0:05:18.69,0:05:19.84,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:05:20.70,0:05:22.06,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa maelezo: Dialogue: 0,0:05:22.37,0:05:23.98,Default,,0000,0000,0000,,[Hebu turatibu shambulizi.] Dialogue: 0,0:05:24.00,0:05:25.29,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:05:25.64,0:05:27.43,Default,,0000,0000,0000,,Hebu turatibu shambulizi. Dialogue: 0,0:05:29.15,0:05:32.25,Default,,0000,0000,0000,,Na kila mtu mara moja akaitikia Dialogue: 0,0:05:32.27,0:05:36.60,Default,,0000,0000,0000,,kwa kutoa sumu\Nitakayoua ile familia nyingine. Dialogue: 0,0:05:36.62,0:05:38.39,Default,,0000,0000,0000,,[Ondoa!] Dialogue: 0,0:05:40.13,0:05:42.26,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:05:43.34,0:05:47.73,Default,,0000,0000,0000,,Wakina Capulet wakajibu kwa\Nkuita shambulizi la kujibu. Dialogue: 0,0:05:47.76,0:05:48.91,Default,,0000,0000,0000,,[Shambulia!] Dialogue: 0,0:05:48.94,0:05:50.36,Default,,0000,0000,0000,,Na wakawa na vita. Dialogue: 0,0:05:52.09,0:05:56.71,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni video ya bakteria wa ukweli\Nwakipigana na viumbe kama upanga, Dialogue: 0,0:05:56.73,0:05:58.34,Default,,0000,0000,0000,,ambapo wanajaribu kuuana Dialogue: 0,0:05:58.37,0:06:01.21,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuchomana kihalisi\Nna kupasuana wenyewe. Dialogue: 0,0:06:02.78,0:06:06.74,Default,,0000,0000,0000,,Familia ya yeyote atakayeshinda hii vita\Nanakuwa bakteria mkuu. Dialogue: 0,0:06:08.36,0:06:11.63,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ninachoweza kufanya ni kuchunguza\Nmazungumzo ya bakteria Dialogue: 0,0:06:11.63,0:06:13.72,Default,,0000,0000,0000,,yanayopelekea tabia\Ntofauti za kwa pamoja Dialogue: 0,0:06:13.72,0:06:15.15,Default,,0000,0000,0000,,kama ugomvi mliyouona. Dialogue: 0,0:06:15.63,0:06:18.55,Default,,0000,0000,0000,,Na nilichofanya ni kupeleleza\Nkwenye jamii za bakteria Dialogue: 0,0:06:18.57,0:06:20.62,Default,,0000,0000,0000,,ndani ya mwili wa binadamu Dialogue: 0,0:06:20.64,0:06:22.36,Default,,0000,0000,0000,,kwenye wagonjwa hospitalini. Dialogue: 0,0:06:22.74,0:06:25.21,Default,,0000,0000,0000,,Nilifuatilia wagonjwa 62 kwenye jaribio, Dialogue: 0,0:06:25.23,0:06:28.98,Default,,0000,0000,0000,,ambapo nilipima sampuli ya mgonjwa\Nkwa aina moja ya shambulizi, Dialogue: 0,0:06:29.00,0:06:32.33,Default,,0000,0000,0000,,bila kujua majibu ya\Nvipimo vya kawaida. Dialogue: 0,0:06:32.36,0:06:36.58,Default,,0000,0000,0000,,Basi, kwenye upimaji wa bakteria, Dialogue: 0,0:06:36.60,0:06:38.58,Default,,0000,0000,0000,,sampuli inasambazwa kwenye kisahani, Dialogue: 0,0:06:38.60,0:06:41.73,Default,,0000,0000,0000,,na kama bakteria watakua ndani ya siku\Ntano, Dialogue: 0,0:06:41.75,0:06:44.12,Default,,0000,0000,0000,,mgonjwa anagunduliwa kama ameathirika. Dialogue: 0,0:06:45.84,0:06:48.66,Default,,0000,0000,0000,,Nilipomaliza utafiti na\Nkulinganisha majibu ya chombo Dialogue: 0,0:06:48.68,0:06:51.92,Default,,0000,0000,0000,,na vipimo vya kawaida\Nna vipimo vya kuhakikisha, Dialogue: 0,0:06:51.95,0:06:53.35,Default,,0000,0000,0000,,nilishtuka. Dialogue: 0,0:06:53.37,0:06:57.08,Default,,0000,0000,0000,,Ilikua inashangaza zaidi\Nkuliko nilivyowahi kutarajia. Dialogue: 0,0:06:58.01,0:07:00.15,Default,,0000,0000,0000,,Ila kabla sijawaambia\Nnini chombo kilionyesha, Dialogue: 0,0:07:00.17,0:07:03.17,Default,,0000,0000,0000,,ningependa kuwaambia kuhusu\Nmgonjwa mahsusi niliomfuatilia, Dialogue: 0,0:07:03.19,0:07:04.36,Default,,0000,0000,0000,,binti mdogo. Dialogue: 0,0:07:04.80,0:07:06.25,Default,,0000,0000,0000,,Alikua na cystic fibrosis, Dialogue: 0,0:07:06.28,0:07:10.02,Default,,0000,0000,0000,,ugonjwa wa kurithi uliofanya mapafu yake\Nkuathiriwa kirahisi na bakteria. Dialogue: 0,0:07:10.84,0:07:13.23,Default,,0000,0000,0000,,Huyu binti hakua sehemu ya\Nmajaribio. Dialogue: 0,0:07:13.26,0:07:16.08,Default,,0000,0000,0000,,Nilimfuatilia kwa sababu nilijua\Nkutoka kwenye taarifa zake Dialogue: 0,0:07:16.11,0:07:18.21,Default,,0000,0000,0000,,kua hakuwahi kupata mashambulizi\Nkabla. Dialogue: 0,0:07:19.24,0:07:21.56,Default,,0000,0000,0000,,Mara moja kwa mwezi, huyu binti\Nalienda hospitali Dialogue: 0,0:07:21.58,0:07:24.24,Default,,0000,0000,0000,,kuweka sampuli ya kohozi\Nambayo alitemea kwenye kikombe. Dialogue: 0,0:07:24.92,0:07:28.04,Default,,0000,0000,0000,,Hii sampuli ilisafirishwa kwa\Nuchunguzi wa bakteria Dialogue: 0,0:07:28.07,0:07:29.100,Default,,0000,0000,0000,,huko maabara kuu Dialogue: 0,0:07:30.02,0:07:33.49,Default,,0000,0000,0000,,ili madaktari watende haraka\Niwapi wangekuta shambulizi. Dialogue: 0,0:07:34.10,0:07:36.97,Default,,0000,0000,0000,,Iliniruhusu mimi kupima chombo\Nchangu kwa sampuli zake pia. Dialogue: 0,0:07:37.36,0:07:40.77,Default,,0000,0000,0000,,Miezi miwili ya mwanzo nilipima\Nsampuli zake, hakukua na kitu. Dialogue: 0,0:07:41.79,0:07:42.96,Default,,0000,0000,0000,,Lakini mwezi wa tatu, Dialogue: 0,0:07:42.98,0:07:45.64,Default,,0000,0000,0000,,Niligundua mazungumzo ya\Nbakteria kwenye sampuli yake. Dialogue: 0,0:07:46.47,0:07:49.58,Default,,0000,0000,0000,,Bakteria walikua wanashirikiana\Nkuharibu tishu ya pafu lake. Dialogue: 0,0:07:50.53,0:07:54.54,Default,,0000,0000,0000,,Lakini vipimo vya kawaida\Nhavikuonyesha bakteria kabisa. Dialogue: 0,0:07:55.71,0:07:57.63,Default,,0000,0000,0000,,Nilipima tena mwezi ujao, Dialogue: 0,0:07:57.65,0:08:01.28,Default,,0000,0000,0000,,na niliona kua yale mazungumzo ya\Nbakteria yamekua makali zaidi. Dialogue: 0,0:08:02.17,0:08:04.92,Default,,0000,0000,0000,,Bado, vipimo vya kawaida\Nhavikuonyesha chochote. Dialogue: 0,0:08:06.46,0:08:10.10,Default,,0000,0000,0000,,Utafiti wangu ukaisha, lakini nusu mwaka\Nbaadae, nikafuatilia hali yake Dialogue: 0,0:08:10.12,0:08:13.36,Default,,0000,0000,0000,,kuona kama bakteria niliowajua\Npekee walipotea Dialogue: 0,0:08:13.39,0:08:15.40,Default,,0000,0000,0000,,bila muingilio wa tiba. Dialogue: 0,0:08:16.35,0:08:17.50,Default,,0000,0000,0000,,Hawakupotea. Dialogue: 0,0:08:18.02,0:08:20.85,Default,,0000,0000,0000,,Yule binti sasa alikua amegundulika\Nna mashambulio makali Dialogue: 0,0:08:20.88,0:08:22.20,Default,,0000,0000,0000,,ya bakteria wabaya. Dialogue: 0,0:08:23.51,0:08:27.59,Default,,0000,0000,0000,,Walikua ni wale wale bakteria\Nchombo changu kiligundua kabla. Dialogue: 0,0:08:28.54,0:08:31.03,Default,,0000,0000,0000,,Na licha ya ukali wa\Ndawa za kutibu, Dialogue: 0,0:08:31.06,0:08:33.59,Default,,0000,0000,0000,,ilikua inashindikana\Nkuondoa mashambulizi. Dialogue: 0,0:08:34.82,0:08:37.90,Default,,0000,0000,0000,,Madaktari waliona kua asingeweza\Nkufikia miaka ya 20. Dialogue: 0,0:08:40.40,0:08:42.51,Default,,0000,0000,0000,,Nilipopima kwenye sampuli ya binti huyu, Dialogue: 0,0:08:42.53,0:08:44.73,Default,,0000,0000,0000,,kifaa changu kilikua kwenye\Nhatua za mwanzo. Dialogue: 0,0:08:44.76,0:08:47.46,Default,,0000,0000,0000,,Sikujua hata\Nkama njia yangu ilifanya kazi kabisa, Dialogue: 0,0:08:47.48,0:08:49.63,Default,,0000,0000,0000,,hivyo nikawa na makubaliano\Nna madaktari Dialogue: 0,0:08:49.65,0:08:51.51,Default,,0000,0000,0000,,kutowaambia chombo changu\Nkilichoonyesha Dialogue: 0,0:08:51.54,0:08:53.68,Default,,0000,0000,0000,,ili kutokuharibu matibabu yao. Dialogue: 0,0:08:53.86,0:08:56.91,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nilipoona haya majibu\Nambayo hata hayakuwa yamehakikishwa, Dialogue: 0,0:08:56.94,0:08:58.29,Default,,0000,0000,0000,,sikudhubutu kusema Dialogue: 0,0:08:58.31,0:09:01.12,Default,,0000,0000,0000,,ka sababu kutibu mgonjwa\Nbila mashambulizi halisi Dialogue: 0,0:09:01.14,0:09:03.76,Default,,0000,0000,0000,,pia ina matokeo mabaya\Nkwa mgonjwa. Dialogue: 0,0:09:05.09,0:09:06.71,Default,,0000,0000,0000,,Lakini sasa tunajua bora, Dialogue: 0,0:09:06.74,0:09:10.14,Default,,0000,0000,0000,,na kuna wavulana na wasichana wadogo\Nwengi bado wanaweza kuokolewa Dialogue: 0,0:09:11.17,0:09:14.60,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu, bahati mbaya,\Nhii hali inatokea mara nyingi. Dialogue: 0,0:09:14.62,0:09:16.16,Default,,0000,0000,0000,,Wagonjwa wanaathirika, Dialogue: 0,0:09:16.19,0:09:19.66,Default,,0000,0000,0000,,bakteria kwa namna flani hawaonekani\Nkwenye vipimo vya kawaida, Dialogue: 0,0:09:19.69,0:09:23.54,Default,,0000,0000,0000,,na ghafla, maambukizi yanatokea\Nndani ya mgojwa na dalili kali. Dialogue: 0,0:09:23.56,0:09:25.72,Default,,0000,0000,0000,,Na kwenye mda huo, tayari tumechelewa. Dialogue: 0,0:09:27.22,0:09:30.77,Default,,0000,0000,0000,,Majibu ya kushangaza ya\Nwagonjwa 62 niliowafuatilia Dialogue: 0,0:09:30.80,0:09:33.34,Default,,0000,0000,0000,,yalikua chombo changu kilishika\Nmazungumzo ya bakteria Dialogue: 0,0:09:33.36,0:09:35.58,Default,,0000,0000,0000,,kwa zaidi ya nusu ya sampuli za wagonjwa Dialogue: 0,0:09:35.60,0:09:38.88,Default,,0000,0000,0000,,ambao walikua wamegundulika bila kitu\Nkwa njia za upimaji za kawaida. Dialogue: 0,0:09:39.38,0:09:43.06,Default,,0000,0000,0000,,Kwa maneno mengine, zaidi ya nusu ya\Nhawa wagonjwa walirudi nyumbani wakiwaza Dialogue: 0,0:09:43.08,0:09:44.76,Default,,0000,0000,0000,,kua wako huru na maambukizi, Dialogue: 0,0:09:44.79,0:09:47.54,Default,,0000,0000,0000,,japokuwa kihalisi walibeba\Nbakteria hatari. Dialogue: 0,0:09:49.26,0:09:51.55,Default,,0000,0000,0000,,Ndani ya wagonjwa waliopimwa vibaya, Dialogue: 0,0:09:51.58,0:09:54.60,Default,,0000,0000,0000,,bakteria walikuwa wanaandaa shambulizi\Nla kuambatanishwa. Dialogue: 0,0:09:55.53,0:09:57.22,Default,,0000,0000,0000,,Walikua wananong'onezana. Dialogue: 0,0:09:57.89,0:09:59.52,Default,,0000,0000,0000,,Ninachoita "mnong'ono wa bakteria" Dialogue: 0,0:09:59.55,0:10:02.55,Default,,0000,0000,0000,,ni bakteria ambao njia za kawaida\Nza upimjai haziwezi kuona. Dialogue: 0,0:10:03.38,0:10:07.33,Default,,0000,0000,0000,,Mpaka sasa, ni chombo cha kutafsiri tu\Nkinachoweza kudaka hao wanong'onezaji. Dialogue: 0,0:10:08.36,0:10:11.77,Default,,0000,0000,0000,,Ninaamini kua mda uliopo ambao\Nbakteria bado wananong'onezana Dialogue: 0,0:10:11.79,0:10:14.78,Default,,0000,0000,0000,,ni nafasi nzuri ya matibabu\Nya malengo. Dialogue: 0,0:10:15.61,0:10:18.74,Default,,0000,0000,0000,,Kama yule binti angekua ametibiwwa\Nkwenye kuu mda wenye nafasi, Dialogue: 0,0:10:18.76,0:10:21.27,Default,,0000,0000,0000,,ingekua inawezekana kuua\Nbakteria Dialogue: 0,0:10:21.29,0:10:22.76,Default,,0000,0000,0000,,kwenye hatua yao ya mwanzo, Dialogue: 0,0:10:22.78,0:10:24.88,Default,,0000,0000,0000,,kabla maambukizi kuwa nje ya uwezo. Dialogue: 0,0:10:27.13,0:10:31.10,Default,,0000,0000,0000,,Nilichopitia na huyu binti mdogo\Nkumenifanya niamue kufanya ninachoweza Dialogue: 0,0:10:31.13,0:10:33.33,Default,,0000,0000,0000,,kusukuma hii teknolojia kwenye hospitali. Dialogue: 0,0:10:34.21,0:10:35.36,Default,,0000,0000,0000,,Pamoja na madaktari, Dialogue: 0,0:10:35.39,0:10:38.36,Default,,0000,0000,0000,,tayari ninafanya kazi kutumia\Nhiki kifaa kwenye kliniki Dialogue: 0,0:10:38.38,0:10:40.20,Default,,0000,0000,0000,,kutambua maambukizi ya kwanza. Dialogue: 0,0:10:41.32,0:10:44.56,Default,,0000,0000,0000,,Japo bado haijajulikana jinsi\Nmadaktari watatibu wagonjwa Dialogue: 0,0:10:44.59,0:10:46.40,Default,,0000,0000,0000,,kwenye kipindi cha mnong'ono, Dialogue: 0,0:10:46.42,0:10:50.13,Default,,0000,0000,0000,,hiki kifaa kinaweza kusaidia madaktari\Nkuwa makini na wagonjwa kwenye hatari. Dialogue: 0,0:10:50.55,0:10:53.83,Default,,0000,0000,0000,,Kinaweza kuwasaidia kuhakikisha\Nkama tiba imefanya kazi au la, Dialogue: 0,0:10:53.85,0:10:56.62,Default,,0000,0000,0000,,na inaweza kusaidia kujibu maswali rahisi: Dialogue: 0,0:10:56.64,0:10:58.37,Default,,0000,0000,0000,,Mgonjwa ana mashambulizi? Dialogue: 0,0:10:58.40,0:11:00.21,Default,,0000,0000,0000,,Na bakteria wako wanapanga nini? Dialogue: 0,0:11:00.96,0:11:02.74,Default,,0000,0000,0000,,Bakteria wanaongea, Dialogue: 0,0:11:02.77,0:11:04.80,Default,,0000,0000,0000,,wanatengeneza mipango ya siri, Dialogue: 0,0:11:04.82,0:11:07.64,Default,,0000,0000,0000,,na wanatumiana taarifa za siri.\N Dialogue: 0,0:11:08.25,0:11:10.93,Default,,0000,0000,0000,,Lakini sio tu kuawaangalia wenyewe\Nwakinong'onezana, Dialogue: 0,0:11:10.96,0:11:13.42,Default,,0000,0000,0000,,sisi sote tunaweza kujifunza lugha ya siri Dialogue: 0,0:11:13.45,0:11:16.33,Default,,0000,0000,0000,,na kua wenyewe wanong'onezi wa bakteria. Dialogue: 0,0:11:16.97,0:11:18.69,Default,,0000,0000,0000,,Na, kama bakteria wangesema, Dialogue: 0,0:11:19.66,0:11:22.75,Default,,0000,0000,0000,,"3-oxo-C12-aniline." Dialogue: 0,0:11:23.76,0:11:24.93,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:11:24.96,0:11:26.04,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:11:26.06,0:11:27.25,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni.