0:00:01.912,0:00:03.237 Hauwajui. 0:00:04.150,0:00:05.436 Hauwaoni. 0:00:06.405,0:00:08.408 Lakini daima wapo wanazunguka, 0:00:09.404,0:00:11.084 wananong'oneza, 0:00:11.108,0:00:12.922 wakitengeneza mipango ya siri, 0:00:13.700,0:00:17.382 wakijenga jeshi la mamilioni ya wanajeshi. 0:00:18.826,0:00:20.617 Na wanapoamua kushambulia, 0:00:21.435,0:00:23.697 wanashambulia kwa wakati mmoja. 0:00:27.130,0:00:28.909 Ninaongelea kuhusu bakteria. 0:00:28.933,0:00:30.258 (Kicheko) 0:00:30.282,0:00:32.517 Mlidhani ninaongelea kuhusu nani? 0:00:34.401,0:00:37.595 Bakteria wanaishi kwenye jamii[br]kama tu binadamu. 0:00:37.619,0:00:38.892 Wana familia, 0:00:38.916,0:00:40.067 wanaongea, 0:00:40.091,0:00:41.933 na wanapanga shughuli zao. 0:00:41.957,0:00:44.614 Na kama tu binadamu, wanahila, waongo, 0:00:44.638,0:00:46.772 na wengine hata wanadanganyana wenyewe. 0:00:48.127,0:00:51.974 Je kama nikikuambia kua tunaweza[br]kusikiliza mazungumzo ya bakteria 0:00:51.998,0:00:55.572 na kutafsiri taarifa zao za siri[br]kuwa lugha ya binadamu? 0:00:56.255,0:01:01.053 Na kama je nikiwaambia kuwa kutafsiri[br]mazungumzo ya bakteria kutaokoa maisha? 0:01:02.519,0:01:04.290 Nina PhD ya nanofizikia, 0:01:04.314,0:01:08.690 na nimetumia teknolojia ya nano kuunda[br]chombo cha kutafsiri cha muda halisi 0:01:08.714,0:01:11.033 kinachoweza kupeleleza kwenye jamii[br]za bakteria 0:01:11.057,0:01:13.973 na kutupa rekodi za nini[br]bakteria wanafanya. 0:01:16.123,0:01:17.719 Bakteria wanaishi kila sehemu. 0:01:17.743,0:01:20.072 Wako kwenye udongo, kwenye samani zetu 0:01:20.096,0:01:21.407 na ndani ya miili yetu. 0:01:22.083,0:01:26.622 Ki ukweli, asilimia 90 ya seli zote hai[br]kwenye huu ukumbi ni bakteria. 0:01:27.685,0:01:29.514 Baadhi ya bakteria ni wazuri[br]kwetu; 0:01:29.538,0:01:32.750 wanatusaidia kumeng'enya chakula[br]au kutengeneza dawa. 0:01:32.774,0:01:34.866 Na baadhi ya bakteria na wabaya kwetu: 0:01:34.890,0:01:36.784 wanasababisha magonjwa na kifo. 0:01:37.794,0:01:40.210 Kushirikisha kazi zote bakteria[br]walizonazo, 0:01:40.234,0:01:42.306 wanatakiwa wawe na uwezo wa[br]kupanga, 0:01:42.330,0:01:44.371 na wanafanya hivyo kama tu sisi[br]binadamu -- 0:01:44.395,0:01:45.554 kwa mawasiliano. 0:01:46.751,0:01:48.226 Lakini badala ya kutumia[br]maneno, 0:01:48.250,0:01:51.192 wanatumia molekuli za ishara[br]kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe. 0:01:51.903,0:01:53.340 Bakteria wanapokuwa wachche, 0:01:53.364,0:01:56.107 molekuli za ishara zinatiririka nje, 0:01:56.131,0:01:58.636 kama kelele za mtu peke yake[br]jangwani. 0:01:59.518,0:02:03.510 Lakini kukiwa na bakteria wengi,[br]molekuli za ishara zinajikusanya, 0:02:03.534,0:02:06.526 na bakteria wanaanza kuhisi kuwa[br]hawapo peke yao. 0:02:07.309,0:02:08.643 Wanasikilizana wenyewe. 0:02:09.459,0:02:12.275 Kwa njia hii, wanapima [br]wako wangapi 0:02:12.299,0:02:15.620 na wanapokuwa wengi wa kutosha[br]kuanzisha hatua mpya. 0:02:16.575,0:02:20.432 Na pale molekuli za ishara zinafika[br]kizingiti flani, 0:02:20.456,0:02:23.577 bakteria wote wanahisi kwa mara moja[br]kua wanahitaji kutenda 0:02:23.601,0:02:24.919 kwa tendo hilo hilo. 0:02:25.967,0:02:30.293 Hivyo mazungumzo ya bakteria yanakuwa[br]na mwanzo na jibu, 0:02:30.317,0:02:33.389 uzalishaji wa molekuli[br]na majibu yake. 0:02:35.094,0:02:38.434 Kwenye utafiti wangu, nimelenga kupeleleza[br]kwenye jamii za bakteria 0:02:38.458,0:02:39.861 ndani ya mwili wa binadamu. 0:02:40.343,0:02:41.588 Inafanyaje kazi? 0:02:42.385,0:02:44.300 Tunasampuli kutoka kwa mgonjwa. 0:02:44.324,0:02:46.862 Inaweza kuwa ni sampuli ya damu au mate. 0:02:47.304,0:02:49.841 Tunapiga elektroni ndani ya sampuli, 0:02:49.865,0:02:53.785 elektroni zitaingilia na molekuli[br]zozote za mazungumzo zilizopo, 0:02:53.809,0:02:56.190 na huu muingiliano utatupa[br]taarifa 0:02:56.214,0:02:58.105 ya aina ya bakteria, 0:02:58.129,0:02:59.800 aina ya mawasiliano 0:02:59.824,0:03:02.117 na kiasi gani bakteria wanazungumza. 0:03:04.269,0:03:06.590 Lakini inakuaje pale[br]bakteria wakizungumza? 0:03:07.747,0:03:11.507 Kabla sijaunda chombo cha kutafsiri, 0:03:11.531,0:03:15.377 dhana yangu ya kwanza ilikua bakteria[br]watakua na lugha ya halisi, 0:03:15.401,0:03:18.579 kama vichanga ambao bado hawajaunda[br]maneno na sentensi. 0:03:19.208,0:03:22.129 Wanapocheka, wanafuraha;[br]wanapolia, wanahuzuni. 0:03:22.153,0:03:23.303 Rahisi kama hivyo. 0:03:24.008,0:03:28.123 Lakini bakteria walionekana kutokuwa[br]karibu na halisi kama nilivyodhani. 0:03:28.615,0:03:30.855 Molekuli sio tu molekuli. 0:03:30.879,0:03:33.633 Inaweza kumaanisha vitu tofauti[br]kulingana na muktadha, 0:03:34.404,0:03:37.346 kama tu vilio vya watoto[br]vinavyomaanisha vitu tofauti: 0:03:37.370,0:03:39.140 saa nyingine mtoto ana njaa, 0:03:39.164,0:03:40.358 saa nyingine amelowa, 0:03:40.382,0:03:42.401 saa nyingine ameumia au anaogopa. 0:03:42.425,0:03:44.775 Wazazi wanajua jinsi ya kusoma hivi vilio. 0:03:45.624,0:03:47.506 Na kua chombo kizuri cha kutafsiri, 0:03:47.530,0:03:50.503 kinatakiwa kiwe na uwezo wa kusoma[br]molekuli za ishara 0:03:50.527,0:03:54.588 na kuzitafsiri[br]kulingana na muktadha. 0:03:55.497,0:03:56.648 Na nani anajua? 0:03:56.672,0:03:58.833 Labda Tafsiri ya Google inaweza[br]kuiptisha hii. 0:03:58.857,0:04:01.226 (Kicheko) 0:04:02.386,0:04:04.104 Hebu niwape mfano. 0:04:04.128,0:04:07.717 Nimeleta baadhi ya taarifa za bakteria[br]zinazoweza kuwa ngumu kuelewa 0:04:07.741,0:04:08.892 kama hauna mafunzo, 0:04:08.916,0:04:10.261 lakini jaribu kuangalia. 0:04:11.548,0:04:13.467 (Kicheko) 0:04:14.959,0:04:18.436 Hii ni familia ya bakteria yeye furaha[br]ambayo imemshambulia mgonjwa. 0:04:20.261,0:04:22.294 Wacha tuwaite familia ya Montague. 0:04:23.920,0:04:27.381 Wanatumia wote rasilimali,[br]wanazaliana, wanakua. 0:04:28.294,0:04:30.273 Siku moja, wanapata mgeni mpya, 0:04:32.746,0:04:34.513 familia ya bakteria Capulet. 0:04:34.537,0:04:35.687 (Kicheko) 0:04:36.157,0:04:38.947 Kila kitu ni sawa,[br]alimradi wanafanya kazi kwa pamoja. 0:04:40.377,0:04:43.383 Lakini kitu kisichopangwa kinatokea. 0:04:44.449,0:04:48.667 Romeo wa Montague anakua na mahusiano[br]na Juliet wa Capulet. 0:04:48.691,0:04:49.841 (Kicheko) 0:04:50.978,0:04:53.873 Na ndio, wanagawiana chembe za urithi. 0:04:53.897,0:04:56.006 (Kicheko) 0:04:58.260,0:05:01.381 Sasa, uhamisho wa kinasaba unaweza[br]kuwa hatari kwa wakina Montague 0:05:01.405,0:05:05.365 waliokuwa na matarajio ya kuwa familia[br]pekee kwenye mgonjwa waliomshambulia, 0:05:05.365,0:05:06.999 kugawana chembe za urithi[br]kunachangia 0:05:06.999,0:05:09.777 kwa wakina Capulet kutengeneza[br]kinga kwa dawa. 0:05:11.747,0:05:16.392 Hivyo wakina Montague wanaanza kuongea[br]kwa ndani kuondoa hii familia nyingine 0:05:16.416,0:05:18.138 kwa kutoa molekuli hii. 0:05:18.688,0:05:19.838 (Kicheko) 0:05:20.700,0:05:22.062 Na kwa maelezo: 0:05:22.372,0:05:23.978 [Hebu turatibu shambulizi.] 0:05:24.002,0:05:25.293 (Kicheko) 0:05:25.639,0:05:27.430 Hebu turatibu shambulizi. 0:05:29.148,0:05:32.248 Na kila mtu mara moja akaitikia 0:05:32.272,0:05:36.595 kwa kutoa sumu[br]itakayoua ile familia nyingine. 0:05:36.619,0:05:38.387 [Ondoa!] 0:05:40.129,0:05:42.261 (Kicheko) 0:05:43.338,0:05:47.731 Wakina Capulet wakajibu kwa[br]kuita shambulizi la kujibu. 0:05:47.755,0:05:48.911 [Shambulia!] 0:05:48.935,0:05:50.360 Na wakawa na vita. 0:05:52.090,0:05:56.708 Hii ni video ya bakteria wa ukweli[br]wakipigana na viumbe kama upanga, 0:05:56.732,0:05:58.345 ambapo wanajaribu kuuana 0:05:58.369,0:06:01.207 kwa kuchomana kihalisi[br]na kupasuana wenyewe. 0:06:02.784,0:06:06.745 Familia ya yeyote atakayeshinda hii vita[br]anakuwa bakteria mkuu. 0:06:08.360,0:06:11.633 Hivyo ninachoweza kufanya ni kuchunguza[br]mazungumzo ya bakteria 0:06:11.633,0:06:13.725 yanayopelekea tabia[br]tofauti za kwa pamoja 0:06:13.725,0:06:15.154 kama ugomvi mliyouona. 0:06:15.633,0:06:18.550 Na nilichofanya ni kupeleleza[br]kwenye jamii za bakteria 0:06:18.574,0:06:20.617 ndani ya mwili wa binadamu 0:06:20.641,0:06:22.357 kwenye wagonjwa hospitalini. 0:06:22.737,0:06:25.207 Nilifuatilia wagonjwa 62 kwenye jaribio, 0:06:25.231,0:06:28.979 ambapo nilipima sampuli ya mgonjwa[br]kwa aina moja ya shambulizi, 0:06:29.003,0:06:32.332 bila kujua majibu ya[br]vipimo vya kawaida. 0:06:32.356,0:06:36.576 Basi, kwenye upimaji wa bakteria, 0:06:36.600,0:06:38.581 sampuli inasambazwa kwenye kisahani, 0:06:38.605,0:06:41.729 na kama bakteria watakua ndani ya siku[br]tano, 0:06:41.753,0:06:44.117 mgonjwa anagunduliwa kama ameathirika. 0:06:45.842,0:06:48.661 Nilipomaliza utafiti na[br]kulinganisha majibu ya chombo 0:06:48.685,0:06:51.923 na vipimo vya kawaida[br]na vipimo vya kuhakikisha, 0:06:51.947,0:06:53.347 nilishtuka. 0:06:53.371,0:06:57.082 Ilikua inashangaza zaidi[br]kuliko nilivyowahi kutarajia. 0:06:58.011,0:07:00.150 Ila kabla sijawaambia[br]nini chombo kilionyesha, 0:07:00.174,0:07:03.168 ningependa kuwaambia kuhusu[br]mgonjwa mahsusi niliomfuatilia, 0:07:03.192,0:07:04.359 binti mdogo. 0:07:04.803,0:07:06.253 Alikua na cystic fibrosis, 0:07:06.277,0:07:10.017 ugonjwa wa kurithi uliofanya mapafu yake[br]kuathiriwa kirahisi na bakteria. 0:07:10.837,0:07:13.233 Huyu binti hakua sehemu ya[br]majaribio. 0:07:13.257,0:07:16.084 Nilimfuatilia kwa sababu nilijua[br]kutoka kwenye taarifa zake 0:07:16.108,0:07:18.208 kua hakuwahi kupata mashambulizi[br]kabla. 0:07:19.243,0:07:21.558 Mara moja kwa mwezi, huyu binti[br]alienda hospitali 0:07:21.582,0:07:24.236 kuweka sampuli ya kohozi[br]ambayo alitemea kwenye kikombe. 0:07:24.916,0:07:28.042 Hii sampuli ilisafirishwa kwa[br]uchunguzi wa bakteria 0:07:28.066,0:07:29.996 huko maabara kuu 0:07:30.020,0:07:33.486 ili madaktari watende haraka[br]iwapi wangekuta shambulizi. 0:07:34.099,0:07:36.973 Iliniruhusu mimi kupima chombo[br]changu kwa sampuli zake pia. 0:07:37.355,0:07:40.767 Miezi miwili ya mwanzo nilipima[br]sampuli zake, hakukua na kitu. 0:07:41.794,0:07:42.961 Lakini mwezi wa tatu, 0:07:42.985,0:07:45.641 Niligundua mazungumzo ya[br]bakteria kwenye sampuli yake. 0:07:46.473,0:07:49.585 Bakteria walikua wanashirikiana[br]kuharibu tishu ya pafu lake. 0:07:50.534,0:07:54.545 Lakini vipimo vya kawaida[br]havikuonyesha bakteria kabisa. 0:07:55.711,0:07:57.630 Nilipima tena mwezi ujao, 0:07:57.654,0:08:01.282 na niliona kua yale mazungumzo ya[br]bakteria yamekua makali zaidi. 0:08:02.167,0:08:04.919 Bado, vipimo vya kawaida[br]havikuonyesha chochote. 0:08:06.456,0:08:10.100 Utafiti wangu ukaisha, lakini nusu mwaka[br]baadae, nikafuatilia hali yake 0:08:10.124,0:08:13.365 kuona kama bakteria niliowajua[br]pekee walipotea 0:08:13.389,0:08:15.404 bila muingilio wa tiba. 0:08:16.350,0:08:17.500 Hawakupotea. 0:08:18.020,0:08:20.853 Yule binti sasa alikua amegundulika[br]na mashambulio makali 0:08:20.877,0:08:22.195 ya bakteria wabaya. 0:08:23.511,0:08:27.589 Walikua ni wale wale bakteria[br]chombo changu kiligundua kabla. 0:08:28.537,0:08:31.033 Na licha ya ukali wa[br]dawa za kutibu, 0:08:31.057,0:08:33.586 ilikua inashindikana[br]kuondoa mashambulizi. 0:08:34.816,0:08:37.898 Madaktari waliona kua asingeweza[br]kufikia miaka ya 20. 0:08:40.404,0:08:42.509 Nilipopima kwenye sampuli ya binti huyu, 0:08:42.533,0:08:44.732 kifaa changu kilikua kwenye[br]hatua za mwanzo. 0:08:44.756,0:08:47.455 Sikujua hata[br]kama njia yangu ilifanya kazi kabisa, 0:08:47.479,0:08:49.626 hivyo nikawa na makubaliano[br]na madaktari 0:08:49.650,0:08:51.511 kutowaambia chombo changu[br]kilichoonyesha 0:08:51.535,0:08:53.675 ili kutokuharibu matibabu yao. 0:08:53.861,0:08:56.914 Hivyo nilipoona haya majibu[br]ambayo hata hayakuwa yamehakikishwa, 0:08:56.938,0:08:58.290 sikudhubutu kusema 0:08:58.314,0:09:01.121 ka sababu kutibu mgonjwa[br]bila mashambulizi halisi 0:09:01.145,0:09:03.755 pia ina matokeo mabaya[br]kwa mgonjwa. 0:09:05.092,0:09:06.714 Lakini sasa tunajua bora, 0:09:06.738,0:09:10.137 na kuna wavulana na wasichana wadogo[br]wengi bado wanaweza kuokolewa 0:09:11.172,0:09:14.596 kwa sababu, bahati mbaya,[br]hii hali inatokea mara nyingi. 0:09:14.620,0:09:16.163 Wagonjwa wanaathirika, 0:09:16.187,0:09:19.664 bakteria kwa namna flani hawaonekani[br]kwenye vipimo vya kawaida, 0:09:19.688,0:09:23.540 na ghafla, maambukizi yanatokea[br]ndani ya mgojwa na dalili kali. 0:09:23.564,0:09:25.722 Na kwenye mda huo, tayari tumechelewa. 0:09:27.219,0:09:30.773 Majibu ya kushangaza ya[br]wagonjwa 62 niliowafuatilia 0:09:30.797,0:09:33.340 yalikua chombo changu kilishika[br]mazungumzo ya bakteria 0:09:33.364,0:09:35.580 kwa zaidi ya nusu ya sampuli za wagonjwa 0:09:35.604,0:09:38.875 ambao walikua wamegundulika bila kitu[br]kwa njia za upimaji za kawaida. 0:09:39.381,0:09:43.055 Kwa maneno mengine, zaidi ya nusu ya[br]hawa wagonjwa walirudi nyumbani wakiwaza 0:09:43.079,0:09:44.764 kua wako huru na maambukizi, 0:09:44.788,0:09:47.536 japokuwa kihalisi walibeba[br]bakteria hatari. 0:09:49.257,0:09:51.554 Ndani ya wagonjwa waliopimwa vibaya, 0:09:51.578,0:09:54.598 bakteria walikuwa wanaandaa shambulizi[br]la kuambatanishwa. 0:09:55.530,0:09:57.218 Walikua wananong'onezana. 0:09:57.892,0:09:59.523 Ninachoita "mnong'ono wa bakteria" 0:09:59.547,0:10:02.551 ni bakteria ambao njia za kawaida[br]za upimjai haziwezi kuona. 0:10:03.383,0:10:07.326 Mpaka sasa, ni chombo cha kutafsiri tu[br]kinachoweza kudaka hao wanong'onezaji. 0:10:08.364,0:10:11.767 Ninaamini kua mda uliopo ambao[br]bakteria bado wananong'onezana 0:10:11.791,0:10:14.778 ni nafasi nzuri ya matibabu[br]ya malengo. 0:10:15.608,0:10:18.741 Kama yule binti angekua ametibiwwa[br]kwenye kuu mda wenye nafasi, 0:10:18.765,0:10:21.266 ingekua inawezekana kuua[br]bakteria 0:10:21.290,0:10:22.755 kwenye hatua yao ya mwanzo, 0:10:22.779,0:10:24.885 kabla maambukizi kuwa nje ya uwezo. 0:10:27.131,0:10:31.102 Nilichopitia na huyu binti mdogo[br]kumenifanya niamue kufanya ninachoweza 0:10:31.126,0:10:33.331 kusukuma hii teknolojia kwenye hospitali. 0:10:34.212,0:10:35.363 Pamoja na madaktari, 0:10:35.387,0:10:38.356 tayari ninafanya kazi kutumia[br]hiki kifaa kwenye kliniki 0:10:38.380,0:10:40.202 kutambua maambukizi ya kwanza. 0:10:41.319,0:10:44.563 Japo bado haijajulikana jinsi[br]madaktari watatibu wagonjwa 0:10:44.587,0:10:46.400 kwenye kipindi cha mnong'ono, 0:10:46.424,0:10:50.127 hiki kifaa kinaweza kusaidia madaktari[br]kuwa makini na wagonjwa kwenye hatari. 0:10:50.548,0:10:53.830 Kinaweza kuwasaidia kuhakikisha[br]kama tiba imefanya kazi au la, 0:10:53.854,0:10:56.618 na inaweza kusaidia kujibu maswali rahisi: 0:10:56.642,0:10:58.372 Mgonjwa ana mashambulizi? 0:10:58.396,0:11:00.206 Na bakteria wako wanapanga nini? 0:11:00.958,0:11:02.745 Bakteria wanaongea, 0:11:02.769,0:11:04.795 wanatengeneza mipango ya siri, 0:11:04.819,0:11:07.642 na wanatumiana taarifa za siri.[br] 0:11:08.253,0:11:10.932 Lakini sio tu kuawaangalia wenyewe[br]wakinong'onezana, 0:11:10.956,0:11:13.423 sisi sote tunaweza kujifunza lugha ya siri 0:11:13.447,0:11:16.326 na kua wenyewe wanong'onezi wa bakteria. 0:11:16.973,0:11:18.687 Na, kama bakteria wangesema, 0:11:19.656,0:11:22.754 "3-oxo-C12-aniline." 0:11:23.763,0:11:24.931 (Kicheko) 0:11:24.955,0:11:26.040 (Makofi) 0:11:26.064,0:11:27.248 Asanteni.