Naona moto wa roho mtakatifu ikiangukia nyumba yako! na moto wa bwana inaangukia moyo wako! moto wa bwana inaanguka sasa hivi! ikichoma hiyo uchungu, ikiungusha hayo magonjwa ikiungusha hiyo kufungwa shika moto! ndio, shika moto wa roho mtakatifu na upokee uponyaji wako shika moto wa roho mtakatifu na upokee uhuru wako!