Naona moto wa roho mtakatifu ikiangukia nyumba yako!
na moto wa bwana inaangukia moyo wako!
moto wa bwana inaanguka sasa hivi!
ikichoma hiyo uchungu,
ikiungusha hayo magonjwa
ikiungusha hiyo kufungwa
shika moto!
ndio, shika moto wa roho mtakatifu
na upokee uponyaji wako
shika moto wa roho mtakatifu
na upokee uhuru wako!