Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa achiliwa kutoka kwenye huo utumwa. achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji achiliwa, achiliwa katika jina kuu la Yesu Kristo. unakaribishwa kwenye maombi ya ibada, hapa God´s heart TV studio north wales nchini uingereza kwa rehema za Mungu hii ni ibada kwa ajili ya mataifa yote leo. Tuna watu kutoka mataifa yote duniani Wanawakilisha mataifa yote hadi nchi 57 Mbali hadi Ukraine Nchi iliyo ndani ya fikra zetu na maombi yetu hadi sasa Nataka kumshukuru mioyo yote, Inayo muamnini Yesu Anae amini kwamba hata kama Kuna umbali Kati yetu Kutoka hapa nilipo na hapo ulipo Una amini Yesu Kristo anaenda kukushika Leo, kwa namba ya kipekee Sababu ni heshima kubwa kumuamini yeye Ambapo kila maana inapingana nae Na Mungu anawaheshimu wale wanao muheshimu Ndio, tumekuja kwa Mungu Leo, tukiamini Kwa mapenzi Yake yatatukomboa Kuturejesha, kutuamsha, kutukomboa, kwenye kila kifungo Acha mapenzi Yake yatimizwe, sababu mapenzi Yake ni amri kwetu Tunaenda kuomba kwa pamoja katika Jina la Yesu Kristo Kabla ya maombi ni muhimu tukishibisha mioyo yetu na Neno Kama biblia inavyosema katika kitabu cha 1 petro 1:23 Kua Neno la Mungu ni kama mbegu Si kwa mbegu iharibikayo, Inayo Kuja kwenye mioyo yetu Na kufanya Imani yetu kukua Sasa, andika hii, na Sema inakuja kwenye mioyo yenu Moyo wako ni kituo cha maongezi na Mungu Na ndio maana Imani haisuiani na kuiga matendo ya mwingine Au kumuiga mtu Imani lazima iinuke kutoka ndani ya Moyo wako, ndani ya kijito cha moyo Kutokana na Neno la Mungu Sasa swali langu ni hili Moyo wako upo kwenye Hali gani? Jiulize Hilo swai Sasa hivi Hali ya Moyo wako ipoje? Sababu nimejua Leo, kwamba watu wengi wanamtafuta Mungu Uso wa Mungu, kupumzika kutoka kwenye masumbuko Kutoka kwenye mapambano Lakini mioyo Yao haijatulia Mioyo Yao ina matatizo Na Yesu anatuambia katika Yohana 14:1,27 Usiache Moyo wako ufadhaike Hiyo haimaanishi hakutokua na mafadhaiko Hajawai kusema kua hauyopata matatizo, Lakini usiache Moyo wako ukafadhaika, maana kama mkristo Ndio Kuna sababu za kufadhaishwa Lakini Kuna sababu kuu za kutofadhaika Hata kama Hakuna utulivu Mahali pote Angalia Hali ya Dunia kwa Sasa, Hakuna utulivu Lakini kama mkristo acha Moyo wako uwe katika utulivu Katika ufahamu kua Mungu yupo na wewe Kama isaya 41:10 inavyosema, Duniani Kuna majaribu ndio Lakini kama mkristo acha Moyo wako upate amani Katika ufahamu wa kua, Mungu ni wako (Warumi 8:31) Hata kama misukosuko ya Dunia ikikuzunguka na hasira zake Acha Moyo wako utulie, ndani ya ahadi za Mungu Kua hatokuacha wala kukutelekeza Kama maandiko yanavosema katika kitabu cha hebrania 13:5 Sasa watu wa Mungu, kukaza mioyo yenu, mjielekeze kwa Yesu Kristo Sio Hali yako, sio matatizo yako, sio misukosuko yako Jielekeze kwa Yesu Kumbuka ahadi Yake kwetu katika mathayo 11:28 Yesu alisema Njoo kwangu Nyie mliochoka Nami nitawapumzisha Kama Mungu ametuahidi pumziko Hakuna sababu ya mioyo yetu kutotulia Tunatakiwa kutambua huu ukweli Kuelewana na ushirika wa Mungu Sasa hivi, nataka ukiri hili Nakubaliana na Neno la Mungu Nakataa Hali yoyote, mazingira yoyote Ambayo ni kinyume na Neno Manisha kwa Moyo wako wote Acha kukiri Kwa smdomo yako, iambatane na moto wako Na hayo makubulaino, Sasa hivi Ni muda wa maombi. Moyo wako lazima uambatane na Mungu Moyo wako lazima uwe na makubulaino na Mungu Moyo wako lazima uwe huru, huru kutoka kwenye makosa Huru kutokana na uchungu, huru kutokana na maumivu ya nyuma Hivi ni vikwazo vinavyo simama Kati yako na Mungu Sasa hivi, achana na mambo ya nyuma, Kaa tayari Kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Sasa hivi Kosa lolote linalosimama Kati yako na ahadi za Mungu., Samehewa katika Jina la Yesu. Spanish Huo ukuta Kati ya Moyo wako na Roho wa Mungu Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi Spanish Sasa hivi kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo Achiliwa kwa Jina la Yesu Spanish Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa, achiliwa kwenye huo utumwa Achiliwa kutoka kwenye ukandamizaji Achiliwa, achiliwa, achiliwa Katika Jina kuu la Yesu Spanish Sasa hivi, naamuru Roho zote, zinazofanya kazi ndani ya Moyo wakk Kutoka katika Jina la Yesu Toka Sasa hivi, Toka kwenye mfuko, Toka kwenye ogani Toka nje Sasa hivi Spanish Anza kutapika, toa nje hayo magonjwa, toa hizo sumu Tapika huo utumwa, tapika huo mfuko Sasa hivi Wewe magonjwa, wewe ugonjwa Nasema Toka katika katika Jina la Yesu Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi katika Jina kuu la Yesu Toka Sasa hivi Spanish Sasa hivi, kama ishara ya imani Weka mikono wako unapopata maumivu Una maumivu ya mwili Weka mikono wako hapo sasa Fungua Moyo wako Naongea na wewe Ugonjwa, wewe udhaifu Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi Nje ya mfumo wao, nje ya viungo vyao, nje ya vitengo vyao Toka Sasa hivi, Toka nje sasa Toka nje Sasa hivi Spanish Watu wa Mungu, kaa kwa Hali ya maombi Unaweza kuiona Yesu Kristo anachofanya Kati yako sahivi Hata kwa umbali mrefu Fungua Moyo wako kwa Imani Yake kwa Neno lake na Roho yake Unaweza kuiona mapepo ya ki jidhihirisha Sasa hivi Sababu za magonjwa zinatoka nje Huu ni muda wako Huu ni muda wako Sasa hivi Nasema na nyie roho Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu, Jina Spanish Muombe NEEMA ya kutii Neno lake Kufanya Neno lake kua kiwango ndani ya Maisha yako Kufuata Ile njia ya utakaso Fungua mdomo yako na uombe sasa Spanish Katika Jina kuu la Yesu tumeomba. Kwa mamlaka ndani ya Jina la Yesu Kristo Na tangazo upo huru Sasa katika Jina la Yesu Sasa hivi Anza kujiangalia Umeponywa, unerejeshwa, upo huru Umefunguliwa, Jiang aloe Sasa hivi Upo huru, upo huru, upo huru. Spanish Sasa Sasa hivi watazamaji duniani kote Mmeona kazi na nguvu za Mungu Nguvu za Mungu zikifanya maajabu, Katika Maisha ya watu wake Mmeona uaminifu, uhakika na uhalisia wa Mungu Sasa ni muda wako Mwanamke alietokwa damu Alifika kumshika Yesu Ni Imani Yake iliyo mponya kabisa Naomba Imani yako ikuweke huru leo Nakuombea Imani yako ikukomboe leo Nakuombea Imani yakoikuokoe Leo, Katika Jina Kuu la Yesu Sasa hivi, naamuru Roho zote zinazofanya kazi katika Maisha yako Kutoka nje katika Jina la Yesu Kristo Toka nje katika Jina la Yesu Kristo Roho zote zinazofanya kazi kichwani kwako, Toka nje Sasa hivi roho zote, zinazofanya kazi kwenye ulimi wako, Toka sasa roho zote zinazofanya kazi katika macho yako, Toka nje Sasa roho zote zinazofanya kazi katika masikio yako, Toka nje Sasa Toka nje Toka nje katika Jina la Yesu Kristo Eneo lolote Kati a Maisha yako roho chafu zinazofanya Kwenye biashara, kwenye kazi Kwenye fedha, kwenye ndoa, kwenye familia Toka nje, Toka nje Sasa, Katika Jina Kuu la Yesu Na kuwe huru na uwe huru sasa Bwana Yesu Kristo, Neno lako linathibitisha uhuru Neno lako linadai uhuru Sasa hivi, ninadai udhuru Sasa hivi Udhuru kwa roho yangu, udhuru kwa nafsi yangu Roho zote zinazofanya kazi katika macho yako Toka Sasa hivi Uhuru kwa mwili wangu, Uhuru kwa roho yako Uhuru kwa roho yako. Uhuru kwa mwili wako Katika Jina kuu la Yesu Kristo Asante Yesu kwa uhuru wako Asante Yesu kwa uhuru wako Asante Yesu kwa nguvu za uponyaji wako Watu wa Mungu anzeni kusherekea ndani ya uhuru kamili Na tembea ndani ya mwanga wa uhuru wako Furahia sababu Yesu Kristo amesema ni wako Ni wako kabisa. SHUHUDA Habari Jina langu ni Victoria makene. Ni mwana chuo wa miaka 20 Naishi uingereza Mwezi wa kumi 2021 Nilikua nafanya mazoezi ya mpira wa kikapu chuoni kwangua Na nikapasuka ACL, na viungo vyao ndani Nikachanika kabisa Usiku ule, nilipewa magongo Nilitumia magongo haya kwa wiki kadhaa Bila haya sikuweza kutembea Madaktari waliniambia njia pekee ya mimi kushiriki kwenye Shughuri za ki mwili au kukimbia ni kufanya upasuaji wa ACL Ni upasuaji makini Sana na ingenichukua muda mrefu Sana kupona Lakini naamini kama mkristo nilie zaliwa kwa Mara ya pili Ni nzuri zaidi kumtafuta Mungu kwanza Hivyo nikaamua kuwatafuta God's heart TV na kuwaambia kuhusu Hali yangu Kabla ya maombi haya Nilikua nasikia vibaya kwenye got langu Sikuweza kwenda popote bila kidude cha kuvaa kwenye goti Wakati wa maombi nilifunga macho Nilikua naomba na ndugu Chris Nilimruhusu Mungu kuchukua kwangu na mimi kuchukua kwake Nilikua naomba, nikashika magoti yangu Nikamuona ndugu Chris akigusa kioo Sikusikia chochote Lakini baada ya maombi alipo Sema upo huru Nikatoa kidude kwenye goti, nikalisikia goti langu Nikaamua kwenda kwenye korido na kuanza kukimbia juu na chini Na kuanza kuruka Sisikii maumivu au kusita Sita kama zamani Na tangu hapo nilijua nipo huru Naweza kuruka Naweza kukimbia Asante Yesu Baraka katika Jina la Yesu Jina langu ni Viviena kutoka Honduras Nataka kuwaambia kabla hata ndugu Chris hajaanza kuomba Nilianza kusikia muujiza, Amani ilitawala moyoni mwangu Nikaanza kusikia uwepo wa Mungu Katika maombi nilitapika vitu vichachu kutoka mdomoni mwangu Na nimepona katika Jina la Yesu, nasikia Amani kamili ndani ya Moyo wangu Namtukuza Yesu Asante Yesu Nakupenda Yesu Habari Jina langu ni Samantha na ninatokea Trinidad na Tobago Kwanza, napenda kumshukuru Mungu kwa NEEMA ya kuungana na ndugu Chris Kwa maombi Wakati wa maombi, mwishoni ndugu Chris alisema Kila kitu kilicho kinyume na Mungu lazima kitoke Roho ilitokea ndani yangu ikajidhihirisha na kusema Kwamba haitoki Na nikaanza kutetemeka sana Tulipoendelea na maombi ikatoka Na nikaanza kujiona mwepesi na nikatapika vitu vya sumu Napenda kumshukuru Mungu kwa hilo Habari, naitwa Miriam Mkwena, kutoka Afrika ya kusini Nilikua na shida ya magoti Usiku, sikuweza kulala vizuri sababu ya maumivu Maumivu yalikua yaanzia kwenye paja hadi chini Ilikua mbaya sana Wakati anaomba, nilisikia umeme ukipata ndani ya mwili wangu Kila Mahali, hata kwenye magoti umeme ulipita Baadae nikasikia gani, kama nataka kupoteza fahamu Gafla nikasikia kama nataka kukojoa Nikaanza kukohoa Nilikohoa mate mate Baada ya hapo niliinamisha magoti, niliona kabisa nimepona Nikatoa vidude vya magoti Kama unavyoona nimevishika mkononi Nikaanza kuruka na kumsifu Mungu Nakushukuru Mungu kwa uponyaji Na Sasa Hakuna tena Natupa hivi Kama unavyoona naweza kutembea Sasa naweza kuruka Nafanya mazoezi hata kuinama Nimeponywa Asante Yesu Jina langu ni Marcela kutoka Peru Katika maombi Nimepokea uhuru na uponyaji Nimepona kutoka kwa gastritis na vidonda vya timbo Nimetapika hivi vitu Nilisikia moto wa nguvu za Mungu Nimepona na nipo huru kwa utukufu wa Mungu Jina langu ni Antonia, natokea Ukraine Na mshukuru Sana Mungu Kwa nafasi hii ya kuombewa na ndugu Chris Katika maombi haya, nimekombolewa Na vitu vya simu vimetoka ndani yangu Baada ya hayo nikahisi wepesi na furaha Kubwa ndani yangu Namshukuru Sana Mungu Jina langu ni Lylyana, natokea Ukraine Asante kwa maombi kwa ajili ya watu wa Ukraine Asante Sana kwa maombi yako Wakati wa maombi nilikua natapika Na vitu vyeupe vilitoka kutoka kwangu Nabii Chris alipokua anaomba, nilisikia furaha na raha Asante Sana Asante kwa kila kitu Tunafuraha sana Habari za asubuhi, Emmanuel Jina langu ni Jeanly kutoka Afrika ya kusini Nataka kumshukuru Mungu kwa Yale aliyofanya maishani mwangu Nilipojiunga na maombi jumamosi Ndugu Chris alipokua akituombea na kuhakikisha Nilitapika kila kichafu ndani yangu Nilikua naumba kichwa sana Yalikua maumivu makali mno Hata mifupa yangu iliuma Baada ya kutapika kila kitu Niamnini sisikii kitu chochote Kila maumivu yametoweka na nimekua mpya Na kama Mungu amenifanyia hivyo anaeweza kukufanyia na wewe Tunatakiwa kua na Imani na kuamini Habari za asubuhi Jina langu ni Jane naishi ufaransa Ushuhuda wangu ni Nilikua na shida ya meno Sikuweza kula chakula vizuri Hata kula cake kilinipa maumivu makali sana Meno na fidhi zangu ziliuma sana Sasa najisikia vizuri Wakati ndugu Chris alipokua akituombea Nilisikia mwanga, joyo ndani ya kichwa changu, macho na uso Na nikaanza kutapika Unaweza kuona nilivyotapika Asante Yesu kwa uponyaji wangu Mimi ni Grace kutoka ufilipino Sasa nipo hapa Qatar Kutokana na uzoefu wangu na TV ya God's heart Nilisikia joto kubwa ndani yangu na nikaanza kutapika Siwezi kuelezea nini kilitokea ndani ya mwili wangu Na nikaanza kutapika Sijui nini kimetokea Namshukuru Mungu Najua ameniweka huru kwa Jina la bwana wetu Yesu Kristo Hallelujah, Asante Yesu Jina langu ni Gert Natokea Afrika ya kusini Wakati wa maombi nilitapika vitu vingi Naweza kusema, Sina maumivu ya kifua tena Goti langu ni 100% Hakuna maumivu tena Nasikia 100%,nasikia huru, nimeponywa mimi ni mpya Utukufu kwa Mungu Jina langu ni Haydee kutoka costa Rica. Namshukuru Mungu kwa siku hii njema Kupitia ndugu Chris nimepokea uponyaji wangu Kutoka kwenye maumivu ya mkono Leo, Mungu ameniponya na kunifikia kwa rehema zake Jina langu ni Amosi kutoka Zambia Nataka kumshuhudia uzuri wa Bwana katika Maisha yangu Kwa Yake ambayo Mungu amefanya ndani yangu Mtumishi wa Mungu alipokua akituombea Nilisikia uwepo wa Mungu kwa ukuu sana Alipokua akituombea Nilijikuta na tapika vitu Baada ya kutapika Sasa najisikia huru na mwepesi Nasikia Sawa ndani ya Moyo wangu Nina Amani Habari Jina langu ni Dina Nilijiunga na maombi kutoka Canada Nataka kumshukuru ndugu Chris kwa kuruhusu Mungu amtumie Kufikia watu wengi ulimwengu wote Nina furaha Sana, na kupata nafasi ya kua mmoja wako Na wale waliojiunga na maombi leo Wakati wa maombi Moja kwa moja ndugu Chris akaanza kuomba Nilisikia kitu kikitoka mwilini mwangu Najisikia mwepesi sana Nasikia Amani ndani yangu Najua Amani hii I naweza kutoka kwa Mungu tu Nasikia kupumzika najisikia furaha Kama mzigo umetolewa kutoka kwangu Nataka kumshukuru Mungu kweli kwa ajili ya Uponyaji wangu Asante Yesu. Jina langu ni Jayson na make wangu Lorna. Tunatokea Ufilipino Tatizo kabla ya maombi nilikua na henia Hernia mwili mzima Na mwili mzito sana Hips zangu zilikua zinauma sana Na make wangu alikua anaumwa hips na magoti na Mawazo ya hasira kila siku Wakati wa maombi, tulipoomba to a kwa ajili ya Dhabi zetu na Nilimuomba Yesu msamaha Nilisikia kama upepo ukishika kichwa changu Na nikalisikia kutapika Baada ya maombi, imekwisha Hakuna maumivu tena Hernia yangu haikui Na mke wangu hana maumivu Tena kwenye goti na hips zake Asante Sana Yesu kwa kutuponua Asante Yesu, Amen Majina yetu ni Eric na Sarah kutoka sweeden Tunashukuru Mungu kwa maombi ya leo Yalijawa na nguvu za Rohoni hakika Yesu alikua kazini Nilijisikia na furaha na kuachiliwa, kutoka kwa uzito moyoni baada ya maombi Nataka kumshukuru Mungu na kumtukuza Kwa ajili ya nafasi hii Kwa upande wangu naona Kuna mwangaza ndani ya Moyo wangu Nilisikia vitu vikitembea kwenye mikono Wakati wa maombi na ndugu Chris Baada ya maombi nasikia wepesi Giza liliondoka moyoni mwangu Sijawahi kujisikia hivyo kabla Na namna nyingine ya furaha Katika mwili, moyoni mwanga na akilini mwangu Sasa tunasema Asante Yesu Jina langu ni Evelin kutoka Argentina Katika maombi Nilisikia nguvu za Mungu ndani ya mwili wangu Kama moto ndani ya tumbo langu, na Sasa nipo huru Asante Mungu Kabla ya maombi Nilikua na maumivu kwenye in, maumivu ya kichwa na sikio Baada ya maombi kilikitu kilirudishwa Simwi Tena ini, wala kichwa wala sikio Naweza kusikia vizuri Sasa kwa utukufu wa Mungu Jina langu ni Marina kutoka Agerntina Wakati wa maombi nilisikia uwepo wa Mungu Na moto kwenye mwili wote Nimepokea uponyaji kutoka kwa maumivu ya goti Niliuokua nayasikia nikisimama Nilikua nasikia kama mifupa yangu inahama Hii ilosababisha maumivu lakini baada ya maombi Naweza kusogea bila kupata maumivu yeyote Asante Yesu.