WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:02.840 Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa 00:00:02.840 --> 00:00:05.040 achiliwa kutoka kwenye huo utumwa. 00:00:05.040 --> 00:00:07.760 achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji 00:00:07.760 --> 00:00:14.880 achiliwa, achiliwa katika jina kuu la Yesu Kristo. 00:00:14.880 --> 00:00:20.600 unakaribishwa kwenye maombi ya ibada, 00:00:20.600 --> 00:00:27.840 hapa God´s heart TV studio north wales nchini uingereza 00:00:27.840 --> 00:00:34.880 kwa rehema za Mungu hii ni ibada kwa ajili ya mataifa yote leo. 00:00:34.880 --> 00:00:37.520 Tuna watu kutoka mataifa yote duniani 00:00:37.520 --> 00:00:43.840 Wanawakilisha mataifa yote hadi n hi 57 00:00:43.840 --> 00:00:45.920 Mbali hadi Ukraine 00:00:45.920 --> 00:00:51.520 Nchi iliyo ndani ya fikra zetu na maombi yetu hadi sasa 00:00:51.520 --> 00:00:57.960 Nataka kumshukuru mioyo yote, Inayo muamnini Yesu 00:00:57.960 --> 00:01:03.000 Anae amini kwamba hata kama Kuna umbali Kati yetu 00:01:03.000 --> 00:01:05.800 Kutoka hapa nilipo na hapo ulipo 00:01:05.800 --> 00:01:11.160 Una amini Yesu Kristo anaenda kukushika Leo, kwa namba ya kipekee 00:01:11.160 --> 00:01:15.800 Sababu ni heshima kubwa kumuamini yeye 00:01:15.800 --> 00:01:20.520 Ambapo kila maana inapingana nae 00:01:20.520 --> 00:01:25.520 Na Mungu anawaheshimu wale wanao muheshimu 00:01:25.520 --> 00:01:31.520 Ndio, tumekuja kwa Mungu Leo, tukiamini 00:01:31.520 --> 00:01:35.360 Kwa mapenzi Yake yatatukomboa 00:01:35.360 --> 00:01:43.440 Kuturejesha, kutuamsha, kutukomboa, kwenye kila kifungo 00:01:43.440 --> 00:01:50.760 Acha mapenzi Yake yatimizwe, sababu mapenzi Yake ni amri kwetu 00:01:50.760 --> 00:01:55.520 Tunaenda kuomba kwa pamoja katika Jina la Yesu Kristo 00:01:55.520 --> 00:02:03.960 Kabla ya maombi ni muhimu tukishibisha mioyo yetu na Neno 00:02:03.960 --> 00:02:09.520 Kama biblia inavyosema katika kitabu cha 1 petro 1:23 00:02:09.520 --> 00:02:12.000 Kua Neno la Mungu ni kama mbegu 00:02:12.000 --> 00:02:19.200 Si kwa mbegu iharibikayo, Inayo Kuja kwenye mioyo yetu 00:02:19.200 --> 00:02:22.200 Na kufanya Imani yetu kukua 00:02:22.200 --> 00:02:27.080 Sasa, andika hii, na Sema inakuja kwenye mioyo yenu 00:02:27.080 --> 00:02:31.080 Moyo wako ni kituo cha maongezi na Mungu 00:02:31.080 --> 00:02:36.840 Na ndio maana Imani haisuiani na kuiga matendo ya mwingine 00:02:36.840 --> 00:02:38.480 Au kumuiga mtu 00:02:38.480 --> 00:02:45.960 Imani lazima iinuke kutoka ndani ya Moyo wako, ndani ya kijito cha moyo 00:02:45.960 --> 00:02:47.600 Kutokana na Neno la Mungu 00:02:47.600 --> 00:02:52.640 Sasa swali langu ni hili 00:02:52.640 --> 00:02:57.200 Moyo wako upo kwenye Hali gani? 00:02:57.200 --> 00:02:59.920 Jiulize Hilo swai Sasa hivi 00:02:59.920 --> 00:03:03.800 Hali ya Moyo wako ipoje? 00:03:03.800 --> 00:03:08.600 Sababu nimejua Leo, kwamba watu wengi wanamtafuta Mungu 00:03:08.600 --> 00:03:12.360 Uso wa Mungu, kupumzika kutoka kwenye masumbuko 00:03:12.360 --> 00:03:15.480 Kutoka kwenye mapambano 00:03:15.480 --> 00:03:21.360 Lakini mioyo Yao haijatulia 00:03:21.360 --> 00:03:25.200 Mioyo Yao ina matatizo 00:03:25.200 --> 00:03:34.000 Na Yesu anatuambia katika Yohana 14:1,27 00:03:34.000 --> 00:03:39.120 Usiache Moyo wako ufadhaike 00:03:39.120 --> 00:03:42.040 Hiyo haimaanishi hakutokua na mafadhaiko 00:03:42.040 --> 00:03:44.640 Hajawai kusema kua hauyopata matatizo, 00:03:44.640 --> 00:03:52.520 Lakini usiache Moyo wako ukafadhaika, maana kama mkristo 00:03:52.520 --> 00:03:56.920 Ndio Kuna sababu za kufadhaishwa 00:03:56.920 --> 00:04:02.760 Lakini Kuna sababu kuu za kutofadhaika 00:04:02.760 --> 00:04:06.320 Hata kama Hakuna utulivu Mahali pote 00:04:06.320 --> 00:04:11.640 Angalia Hali ya Dunia kwa Sasa, Hakuna utulivu 00:04:11.640 --> 00:04:17.760 Lakini kama mkristo acha Moyo wako uwe katika utulivu 00:04:17.760 --> 00:04:22.160 Katika ufahamu kua Mungu yupo na wewe 00:04:22.160 --> 00:04:28.960 Kama isaya 41:10 inavyosema, Duniani Kuna majaribu ndio 00:04:28.960 --> 00:04:34.320 Lakini kama mkristo acha Moyo wako upate amani 00:04:34.320 --> 00:04:41.320 Katika ufahamu wa kua, Mungu ni wako (Warumi 8:31) 00:04:41.320 --> 00:04:48.120 Hata kama misukosuko ya Dunia ikikuzunguka na hasira zake 00:04:48.120 --> 00:04:55.440 Acha Moyo wako utulie, ndani ya ahadi za Mungu 00:04:55.440 --> 00:05:00.600 Kua hatokuacha wala kukutelekeza 00:05:00.600 --> 00:05:07.600 Kama maandiko yanavosema katika kitabu cha hebrania 13:5 00:05:07.600 --> 00:05:15.960 Sasa watu wa Mungu, kukaza mioyo yenu, mjielekeze kwa Yesu Kristo 00:05:15.960 --> 00:05:20.320 Sio Hali yako, sio matatizo yako, sio misukosuko yako 00:05:20.320 --> 00:05:22.120 Jielekeze kwa Yesu 00:05:22.120 --> 00:05:26.560 Kumbuka ahadi Yake kwetu katika mathayo 11:28 00:05:26.560 --> 00:05:30.200 Yesu alisema Njoo kwangu 00:05:30.200 --> 00:05:37.000 Nyie mliochoka Nami nitawapumzisha 00:05:37.000 --> 00:05:40.400 Kama Mungu ametuahidi pumziko 00:05:40.400 --> 00:05:46.720 Hakuna sababu ya mioyo yetu kutotulia 00:05:46.720 --> 00:05:51.840 Tunatakiwa kutambua huu ukweli 00:05:51.840 --> 00:05:55.400 Kuelewana na ushirika wa Mungu 00:05:55.400 --> 00:05:57.400 Sasa hivi, nataka ukiri hili 00:05:57.400 --> 00:06:03.320 Nakubaliana na Neno la Mungu 00:06:03.320 --> 00:06:08.520 Nakataa Hali yoyote, mazingira yoyote 00:06:08.520 --> 00:06:11.000 Ambayo ni kinyume na Neno 00:06:11.000 --> 00:06:14.440 Manisha kwa Moyo wako wote 00:06:14.440 --> 00:06:20.200 Acha kukiri Kwa smdomo yako, iambatane na moto wako 00:06:20.200 --> 00:06:25.360 Na hayo makubulaino, Sasa hivi 00:06:25.360 --> 00:06:28.840 Ni muda wa maombi. 00:06:28.840 --> 00:06:32.360 Moyo wako lazima uambatane na Mungu 00:06:32.360 --> 00:06:35.240 Moyo wako lazima uwe na makubulaino na Mungu 00:06:35.240 --> 00:06:39.240 Moyo wako lazima uwe huru, huru kutoka kwenye makosa 00:06:39.240 --> 00:06:43.760 Huru kutokana na uchungu, huru kutokana na maumivu ya nyuma 00:06:43.760 --> 00:06:47.240 Hivi ni vikwazo vinavyo simama Kati yako na Mungu 00:06:47.240 --> 00:06:51.360 Sasa hivi, achana na mambo ya nyuma, 00:06:51.360 --> 00:06:55.840 Kaa tayari Kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Sasa hivi 00:06:55.840 --> 00:07:03.400 Kosa lolote linalosimama Kati yako na ahadi za Mungu., 00:07:03.400 --> 00:07:07.520 Samehewa katika Jina la Yesu. 00:07:07.520 --> 00:07:17.640 Spanish 00:07:17.640 --> 00:07:22.360 Huo ukuta Kati ya Moyo wako na Roho wa Mungu 00:07:22.360 --> 00:07:29.680 Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi 00:07:29.680 --> 00:07:37.360 Spanish 00:07:37.360 --> 00:07:41.480 Sasa hivi kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo NOTE Paragraph 00:07:41.480 --> 00:07:44.520 Achiliwa kwa Jina la Yesu 00:07:44.520 --> 00:07:51.160 Spanish 00:07:51.160 --> 00:07:55.920 Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa, achiliwa kwenye huo utumwa 00:07:55.920 --> 00:07:58.760 Achiliwa kutoka kwenye ukandamizaji 00:07:58.760 --> 00:08:02.320 Achiliwa, achiliwa, achiliwa 00:08:02.320 --> 00:08:04.960 Katika Jina kuu la Yesu 00:08:04.960 --> 00:08:12.640 Spanish 00:08:12.640 --> 00:08:19.920 Sasa hivi, naamuru Roho zote, zinazofanya kazi ndani ya Moyo wakk 00:08:19.920 --> 00:08:25.640 Kutoka katika Jina la Yesu 00:08:25.640 --> 00:08:31.800 Toka Sasa hivi, Toka kwenye mfuko, Toka kwenye ogani 00:08:31.800 --> 00:08:33.480 Toka nje Sasa hivi 00:08:33.480 --> 00:08:48.240 Spanish 00:08:48.240 --> 00:08:52.200 Anza kutapika, toa nje hayo magonjwa, toa hizo sumu 00:08:52.200 --> 00:08:55.680 Tapika huo utumwa, tapika huo mfuko Sasa hivi 00:08:55.680 --> 00:08:58.480 Wewe magonjwa, wewe ugonjwa 00:08:58.480 --> 00:09:01.080 Nasema Toka katika katika Jina la Yesu 00:09:01.080 --> 00:09:06.120 Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi katika Jina kuu la Yesu 00:09:06.120 --> 00:09:07.880 Toka Sasa hivi 00:09:07.880 --> 00:09:17.280 Spanish 00:09:17.280 --> 00:09:20.480 Sasa hivi, kama ishara ya imani 00:09:20.480 --> 00:09:24.200 Weka mikono wako unapopata maumivu 00:09:24.200 --> 00:09:26.200 Una maumivu ya mwili 00:09:26.200 --> 00:09:30.440 Weka mikono wako hapo sasa 00:09:30.440 --> 00:09:32.120 Fungua Moyo wako 00:09:32.120 --> 00:09:39.280 Naongea na wewe Ugonjwa, wewe udhaifu 00:09:39.280 --> 00:09:43.760 Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi 00:09:43.760 --> 00:09:49.120 Nje ya mfumo wao, nje ya viungo vyao, nje ya vitengo vyao 00:09:49.120 --> 00:09:52.880 Toka Sasa hivi, Toka nje sasa 00:09:52.880 --> 00:09:54.960 Toka nje Sasa hivi 00:09:54.960 --> 00:10:09.280 Spanish 00:10:09.280 --> 00:10:13.400 Watu wa Mungu, kaa kwa Hali ya maombi 00:10:13.400 --> 00:10:17.840 Unaweza kuiona Yesu Kristo anachofanya Kati yako sahivi 00:10:17.840 --> 00:10:22.640 Hata kwa umbali mrefu 00:10:22.640 --> 00:10:27.360 Fungua Moyo wako kwa Imani Yake kwa Neno lake na Roho yake 00:10:27.360 --> 00:10:30.600 Unaweza kuiona mapepo ya ki jidhihirisha Sasa hivi 00:10:30.600 --> 00:10:33.480 Sababu za magonjwa zinatoka nje 00:10:33.480 --> 00:10:34.840 Huu ni muda wako 00:10:34.840 --> 00:10:37.120 Huu ni muda wako Sasa hivi 00:10:37.120 --> 00:10:40.640 Nasema na nyie roho 00:10:40.640 --> 00:10:44.160 Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu 00:10:44.160 --> 00:10:49.200 Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu, Jina 00:10:49.200 --> 00:10:58.120 Spanish 00:10:58.120 --> 00:11:03.080 Muombe NEEMA ya kutii Neno lake 00:11:03.080 --> 00:11:05.760 Kufanya Neno lake kua kiwango ndani ya Maisha yako 00:11:05.760 --> 00:11:09.520 Kufuata Ile njia ya utakaso 00:11:09.520 --> 00:11:11.840 Fungua mdomo yako na uombe sasa 00:11:11.840 --> 00:11:24.720 Spanish 00:11:24.720 --> 00:11:32.120 Katika Jina kuu la Yesu tumeomba. 00:11:32.120 --> 00:11:39.520 Kwa mamlaka ndani ya Jina la Yesu Kristo 00:11:39.520 --> 00:11:44.280 Na tangazo upo huru Sasa katika Jina la Yesu 00:11:44.280 --> 00:11:46.960 Sasa hivi Anza kujiangalia 00:11:46.960 --> 00:11:50.840 Umeponywa, unerejeshwa, upo huru 00:11:50.840 --> 00:11:53.680 Umefunguliwa, Jiang aloe Sasa hivi 00:11:53.680 --> 00:11:56.600 Upo huru, upo huru, upo huru. 00:11:56.600 --> 00:12:10.760 Spanish 00:12:10.760 --> 00:12:15.520 Sasa Sasa hivi watazamaji duniani kote 00:12:15.520 --> 00:12:20.480 Mmeona kazi na nguvu za Mungu 00:12:20.480 --> 00:12:24.920 Nguvu za Mungu zikifanya maajabu, Katika Maisha ya watu wake 00:12:24.920 --> 00:12:31.320 Mmeona uaminifu, uhakika na uhalisia wa Mungu 00:12:31.320 --> 00:12:35.480 Sasa ni muda wako 00:12:35.480 --> 00:12:39.240 Mwanamke alietokwa damu 00:12:39.240 --> 00:12:42.320 Alifika kumshika Yesu 00:12:42.320 --> 00:12:47.120 Ni Imani Yake iliyo mponya kabisa 00:12:47.120 --> 00:12:52.840 Naomba Imani yako ikuweke huru leo 00:12:52.840 --> 00:12:57.200 Nakuombea Imani yako ikukomboe leo 00:12:57.200 --> 00:13:05.600 Nakuombea Imani yakoikuokoe Leo, Katika Jina Kuu la Yesu 00:13:05.600 --> 00:13:13.200 Sasa hivi, naamuru Roho zote zinazofanya kazi katika Maisha yako 00:13:13.200 --> 00:13:16.640 Kutoka nje katika Jina la Yesu Kristo 00:13:16.640 --> 00:13:19.200 Toka nje katika Jina la Yesu Kristo 00:13:19.200 --> 00:13:23.760 Roho zote zinazofanya kazi kichwani kwako, Toka nje Sasa hivi 00:13:23.760 --> 00:13:28.200 roho zote, zinazofanya kazi kwenye ulimi wako, Toka sasa 00:13:28.200 --> 00:13:33.240 roho zote zinazofanya kazi katika macho yako, Toka nje Sasa 00:13:33.240 --> 00:13:37.920 roho zote zinazofanya kazi katika masikio yako, Toka nje Sasa 00:13:37.920 --> 00:13:46.720 Toka nje Toka nje katika Jina la Yesu Kristo 00:13:46.720 --> 00:13:51.880 Eneo lolote Kati a Maisha yako 00:13:51.880 --> 00:13:56.280 roho chafu zinazofanya 00:13:56.280 --> 00:13:59.640 Kwenye biashara, kwenye kazi 00:13:59.640 --> 00:14:05.520 Kwenye fedha, kwenye ndoa, kwenye familia 00:14:05.520 --> 00:14:10.640 Toka nje, Toka nje Sasa, Katika Jina Kuu la Yesu 00:14:10.640 --> 00:14:18.560 Na kuwe huru na uwe huru sasa 00:14:18.560 --> 00:14:25.600 Bwana Yesu Kristo, Neno lako linathibitisha uhuru 00:14:25.600 --> 00:14:29.000 Neno lako linadai uhuru 00:14:29.000 --> 00:14:33.520 Sasa hivi, ninadai udhuru Sasa hivi 00:14:33.520 --> 00:14:38.160 Udhuru kwa roho yangu, udhuru kwa nafsi yangu 00:14:38.160 --> 00:14:42.480 00:14:42.480 --> 00:14:47.000 Uhuru kwa mwili wangu, Uhuru kwa roho yako 00:14:47.000 --> 00:14:50.760 Uhuru kwa roho yako. Uhuru kwa mwili wako 00:14:50.760 --> 00:14:57.040 Katika Jina kuu la Yesu Kristo 00:14:57.040 --> 00:15:00.200 Asante Yesu kwa uhuru wako 00:15:00.200 --> 00:15:03.120 Asante Yesu kwa uhuru wako 00:15:03.120 --> 00:15:07.200 Asante Yesu kwa nguvu za uponyaji wako 00:15:07.200 --> 00:15:13.640 Watu wa Mungu anzeni kusherekea ndani ya uhuru kamili 00:15:13.640 --> 00:15:18.560 Na tembea ndani ya mwanga wa uhuru wako 00:15:18.560 --> 00:15:24.480 Furahia sababu Yesu Kristo amesema ni wako 00:15:24.480 --> 00:15:26.840 Ni wako kabisa. 00:15:26.840 --> 00:15:29.680 SHUHUDA 00:15:29.680 --> 00:15:31.120 Habari Jina langu ni Victoria makene. 00:15:31.120 --> 00:15:33.280 Ni mwana chuo wa miaka 20 00:15:33.280 --> 00:15:35.480 Naishi uingereza 00:15:35.480 --> 00:15:38.360 Mwezi wa kumi 2021 00:15:38.360 --> 00:15:42.280 Nilikua nafanya mazoezi ya mpira wa kikapu chuoni kwangua 00:15:42.280 --> 00:15:45.760 Na nikapasuka ACL, na viungo vyao ndani 00:15:45.760 --> 00:15:47.520 Nikachanika kabisa 00:15:47.520 --> 00:15:49.440 Usiku ule, nilipewa magongo 00:15:49.440 --> 00:15:52.560 Nilitumia magongo haya kwa wiki kadhaa 00:15:52.560 --> 00:15:58.720 Bila haya sikuweza kutembea 00:15:58.720 --> 00:16:04.520 Madaktari waliniambia njia pekee ya mimi kushiriki kwenye 00:16:04.520 --> 00:16:09.040 Shughuri za ki mwili au kukimbia ni kufanya upasuaji wa ACL 00:16:09.040 --> 00:16:14.800 Ni upasuaji makini Sana na ingenichukua muda mrefu Sana kupona 00:16:14.800 --> 00:16:17.440 Lakini naamini kama mkristo nilie zaliwa kwa Mara ya pili 00:16:17.440 --> 00:16:20.160 Ni nzuri zaidi kumtafuta Mungu kwanza 00:16:20.160 --> 00:16:25.200 Hivyo nikaamua kuwatafuta God's heart TV na kuwaambia kuhusu Hali yangu 00:16:25.200 --> 00:16:28.440 Kabla ya maombi haya 00:16:28.440 --> 00:16:31.560 Nilikua nasikia vibaya kwenye got langu 00:16:31.560 --> 00:16:35.480 Sikuweza kwenda popote bila kidude cha kuvaa kwenye goti 00:16:35.480 --> 00:16:37.200 Wakati wa maombi nilifunga macho 00:16:37.200 --> 00:16:38.960 Nilikua naomba na ndugu Chris 00:16:38.960 --> 00:16:43.480 Nilimruhusu Mungu kuchukua kwangu na mimi kuchukua kwake 00:16:43.480 --> 00:16:47.160 Nilikua naomba, nikashika magoti yangu 00:16:47.160 --> 00:16:48.960 Nikamuona ndugu Chris akigusa kioo 00:16:48.960 --> 00:16:50.840 Sikusikia chochote 00:16:50.840 --> 00:16:53.960 Lakini baada ya maombi alipo Sema upo huru 00:16:53.960 --> 00:16:56.360 Nikatoa kidude kwenye goti, nikalisikia goti langu 00:16:56.360 --> 00:16:59.680 Nikaamua kwenda kwenye korido na kuanza kukimbia juu na chini 00:16:59.680 --> 00:17:00.680 Na kuanza kuruka 00:17:00.680 --> 00:17:03.960 Sisikii maumivu au kusita Sita kama zamani 00:17:03.960 --> 00:17:06.880 Na tangu hapo nilijua nipo huru 00:17:06.880 --> 00:17:10.000 Naweza kuruka 00:17:10.000 --> 00:17:11.200 Naweza kukimbia 00:17:11.200 --> 00:17:15.120 Asante Yesu 00:17:15.120 --> 00:17:17.400 Baraka katika Jina la Yesu 00:17:17.400 --> 00:17:21.680 Jina langu ni Viviena kutoka Honduras 00:17:21.680 --> 00:17:27.520 Nataka kuwaambia kabla hata ndugu Chris hajaanza kuomba 00:17:27.520 --> 00:17:36.520 Nilianza kusikia muujiza, Amani ilitawala moyoni mwangu 00:17:36.520 --> 00:17:40.360 Nikaanza kusikia uwepo wa Mungu 00:17:40.360 --> 00:17:47.080 Katika maombi nilitapika vitu vichachu kutoka mdomoni mwangu 00:17:47.080 --> 00:17:52.560 Na nimepona katika Jina la Yesu, nasikia Amani kamili ndani ya Moyo wangu 00:17:52.560 --> 00:17:54.080 Namtukuza Yesu 00:17:54.080 --> 00:17:56.280 Asante Yesu 00:17:56.280 --> 00:17:58.080 Nakupenda Yesu 00:17:58.080 --> 00:18:01.800 Habari Jina langu ni Samantha na ninatokea Trinidad na Tobago 00:18:01.800 --> 00:18:05.440 Kwanza, napenda kumshukuru Mungu kwa NEEMA ya kuungana na ndugu Chris 00:18:05.440 --> 00:18:07.640 Kwa maombi 00:18:07.640 --> 00:18:11.200 Wakati wa maombi, mwishoni ndugu Chris alisema 00:18:11.200 --> 00:18:14.240 Kila kitu kilicho kinyume na Mungu lazima kitoke 00:18:14.240 --> 00:18:16.640 Roho ilitokea ndani yangu ikajidhihirisha na kusema 00:18:16.640 --> 00:18:19.040 Kwamba haitoki 00:18:19.040 --> 00:18:22.880 Na nikaanza kutetemeka sana 00:18:22.880 --> 00:18:26.760 Tulipoendelea na maombi ikatoka 00:18:26.760 --> 00:18:33.320 Na nikaanza kujiona mwepesi na nikatapika vitu vya sumu 00:18:33.320 --> 00:18:35.000 Napenda kumshukuru Mungu kwa hilo 00:18:35.000 --> 00:18:41.040 Habari, naitwa Miriam Mkwena, kutoka Afrika ya kusini 00:18:41.040 --> 00:18:48.000 Nilikua na shida ya magoti 00:18:48.000 --> 00:18:52.360 Usiku, sikuweza kulala vizuri sababu ya maumivu 00:18:52.360 --> 00:18:56.760 Maumivu yalikua yaanzia kwenye paja hadi chini 00:18:56.760 --> 00:18:58.760 Ilikua mbaya sana 00:18:58.760 --> 00:19:04.040 Wakati anaomba, nilisikia umeme ukipata ndani ya mwili wangu 00:19:04.040 --> 00:19:09.960 Kila Mahali, hata kwenye magoti umeme ulipita 00:19:09.960 --> 00:19:14.000 Baadae nikasikia gani, kama nataka kupoteza fahamu 00:19:14.000 --> 00:19:18.840 Gafla nikasikia kama nataka kukojoa 00:19:18.840 --> 00:19:21.560 Nikaanza kukohoa 00:19:21.560 --> 00:19:26.240 Nilikohoa mate mate 00:19:26.240 --> 00:19:31.440 Baada ya hapo niliinamisha magoti, niliona kabisa nimepona 00:19:31.440 --> 00:19:34.240 Nikatoa vidude vya magoti 00:19:34.240 --> 00:19:37.480 Kama unavyoona nimevishika mkononi 00:19:37.480 --> 00:19:40.560 Nikaanza kuruka na kumsifu Mungu 00:19:40.560 --> 00:19:42.400 Nakushukuru Mungu kwa uponyaji 00:19:42.400 --> 00:19:45.800 Na Sasa Hakuna tena 00:19:45.800 --> 00:19:48.640 Natupa hivi 00:19:48.640 --> 00:19:54.320 Kama unavyoona naweza kutembea 00:19:54.320 --> 00:19:57.440 Sasa naweza kuruka 00:19:57.440 --> 00:20:02.840 Nafanya mazoezi hata kuinama 00:20:02.840 --> 00:20:04.800 Nimeponywa 00:20:04.800 --> 00:20:06.200 Asante Yesu 00:20:06.200 --> 00:20:11.440 Jina langu ni Marcela kutoka Peru 00:20:11.440 --> 00:20:15.640 Katika maombi 00:20:15.640 --> 00:20:18.840 Nimepokea uhuru na uponyaji 00:20:18.840 --> 00:20:23.200 Nimepona kutoka kwa gastritis na vidonda vya timbo 00:20:23.200 --> 00:20:27.960 Nimetapika hivi vitu 00:20:27.960 --> 00:20:32.200 Nilisikia moto wa nguvu za Mungu 00:20:32.200 --> 00:20:35.560 Nimepona na nipo huru kwa utukufu wa Mungu 00:20:35.560 --> 00:20:38.360 Jina langu ni Antonia, natokea Ukraine 00:20:38.360 --> 00:20:40.720 Na mshukuru Sana Mungu 00:20:44.880 --> 00:20:52.880 Kwa nafasi hii ya kuombewa na ndugu Chris 00:20:52.880 --> 00:20:59.440 Katika maombi haya, nimekombolewa 00:20:59.440 --> 00:21:05.920 Na vitu vya simu vimetoka ndani yangu 00:21:05.920 --> 00:21:12.960 Baada ya hayo nikahisi wepesi na furaha Kubwa ndani yangu 00:21:12.960 --> 00:21:16.720 Namshukuru Sana Mungu 00:21:16.720 --> 00:21:20.880 Jina langu ni Lylyana, natokea Ukraine 00:21:20.880 --> 00:21:24.080 Asante kwa maombi kwa ajili ya watu wa Ukraine 00:21:24.080 --> 00:21:27.800 Asante Sana kwa maombi yako 00:21:27.800 --> 00:21:31.240 Wakati wa maombi nilikua natapika 00:21:31.240 --> 00:21:34.240 Na vitu vyeupe vilitoka kutoka kwangu 00:21:34.240 --> 00:21:43.200 Nabii Chris alipokua anaomba, nilisikia furaha na raha 00:21:43.200 --> 00:21:45.800 Asante Sana Asante kwa kila kitu 00:21:45.800 --> 00:21:47.280 Tunafuraha sana 00:21:47.280 --> 00:21:53.280 Habari za asubuhi, Emmanuel 00:21:53.280 --> 00:21:56.640 Jina langu ni Jeanly kutoka Afrika ya kusini 00:21:56.640 --> 00:22:00.840 Nataka kumshukuru Mungu kwa Yale aliyofanya maishani mwangu 00:22:00.840 --> 00:22:04.040 Nilipojiunga na maombi jumamosi 00:22:04.040 --> 00:22:07.720 Ndugu Chris alipokua akituombea na kuhakikisha 00:22:07.720 --> 00:22:11.320 Nilitapika kila kichafu ndani yangu 00:22:11.320 --> 00:22:13.640 Nilikua naumba kichwa sana 00:22:13.640 --> 00:22:14.880 Yalikua maumivu makali mno 00:22:14.880 --> 00:22:17.280 Hata mifupa yangu iliuma 00:22:17.280 --> 00:22:19.480 Baada ya kutapika kila kitu 00:22:19.480 --> 00:22:22.880 Niamnini sisikii kitu chochote 00:22:22.880 --> 00:22:26.480 Kila maumivu yametoweka na nimekua mpya 00:22:26.480 --> 00:22:30.960 Na kama Mungu amenifanyia hivyo anaeweza kukufanyia na wewe 00:22:30.960 --> 00:22:35.120 Tunatakiwa kua na Imani na kuamini 00:22:35.120 --> 00:22:36.040 Habari za asubuhi 00:22:36.040 --> 00:22:40.120 Jina langu ni Jane naishi ufaransa 00:22:40.120 --> 00:22:43.720 Ushuhuda wangu ni 00:22:43.720 --> 00:22:46.680 Nilikua na shida ya meno 00:22:46.680 --> 00:22:52.400 Sikuweza kula chakula vizuri 00:22:52.400 --> 00:22:56.880 Hata kula cake kilinipa maumivu makali sana 00:22:56.880 --> 00:22:59.240 Meno na fidhi zangu ziliuma sana 00:22:59.240 --> 00:23:00.760 Sasa najisikia vizuri 00:23:00.760 --> 00:23:04.000 Wakati ndugu Chris alipokua akituombea 00:23:04.000 --> 00:23:12.640 Nilisikia mwanga, joyo ndani ya kichwa changu, macho na uso 00:23:12.640 --> 00:23:14.320 Na nikaanza kutapika 00:23:14.320 --> 00:23:21.440 Unaweza kuona nilivyotapika 00:23:21.440 --> 00:23:24.600 Asante Yesu kwa uponyaji wangu 00:23:24.600 --> 00:23:26.960 Mimi ni Grace kutoka ufilipino 00:23:26.960 --> 00:23:30.920 Sasa nipo hapa Qatar 00:23:30.960 --> 00:23:35.000 Kutokana na uzoefu wangu na TV ya God's heart 00:23:35.000 --> 00:23:43.600 Nilisikia joto kubwa ndani yangu na nikaanza kutapika 00:23:43.600 --> 00:23:47.760 Siwezi kuelezea nini kilitokea ndani ya mwili wangu 00:23:47.760 --> 00:23:50.880 Na nikaanza kutapika 00:23:50.880 --> 00:23:56.200 Sijui nini kimetokea 00:23:56.200 --> 00:23:58.400 Namshukuru Mungu 00:23:58.400 --> 00:24:03.640 Najua ameniweka huru kwa Jina la bwana wetu Yesu Kristo 00:24:03.640 --> 00:24:08.880 Hallelujah, Asante Yesu 00:24:08.880 --> 00:24:10.520 Jina langu ni Gert 00:24:10.520 --> 00:24:13.800 Natokea Afrika ya kusini 00:24:13.800 --> 00:24:27.960 Wakati wa maombi nilitapika vitu vingi 00:24:27.960 --> 00:24:33.320 Naweza kusema, Sina maumivu ya kifua tena 00:24:33.320 --> 00:24:38.320 Goti langu ni 100% 00:24:38.320 --> 00:24:40.840 Hakuna maumivu tena 00:24:40.840 --> 00:24:50.000 Nasikia 100%,nasikia huru, nimeponywa mimi ni mpya 00:24:50.000 --> 00:24:52.000 Utukufu kwa Mungu 00:24:52.000 --> 00:24:55.880 Jina langu ni Haydee kutoka costa Rica. 00:24:55.880 --> 00:25:00.440 Namshukuru Mungu kwa siku hii njema 00:25:00.440 --> 00:25:04.840 Kupitia ndugu Chris nimepokea uponyaji wangu 00:25:04.840 --> 00:25:10.800 Kutoka kwenye maumivu ya mkono 00:25:10.800 --> 00:25:15.720 Leo, Mungu ameniponya na kunifikia kwa rehema zake 00:25:15.720 --> 00:25:19.200 Jina langu ni Amosi kutoka Zambia 00:25:19.200 --> 00:25:23.720 Nataka kumshuhudia uzuri wa Bwana katika Maisha yangu 00:25:23.720 --> 00:25:30.840 Kwa Yake ambayo Mungu amefanya ndani yangu 00:25:30.840 --> 00:25:34.600 Mtumishi wa Mungu alipokua akituombea 00:25:34.600 --> 00:25:39.120 Nilisikia uwepo wa Mungu kwa ukuu sana 00:25:39.120 --> 00:25:41.840 Alipokua akituombea 00:25:41.840 --> 00:25:46.680 Nilijikuta na tapika vitu 00:25:46.680 --> 00:25:50.280 Baada ya kutapika Sasa najisikia huru na mwepesi 00:25:50.280 --> 00:25:53.000 Nasikia Sawa ndani ya Moyo wangu 00:25:53.000 --> 00:25:55.200 Nina Amani 00:25:55.200 --> 00:25:56.760 Habari Jina langu ni Dina 00:25:56.760 --> 00:26:00.400 Nilijiunga na maombi kutoka Canada 00:26:00.400 --> 00:26:06.880 Nataka kumshukuru ndugu Chris kwa kuruhusu Mungu amtumie 00:26:06.880 --> 00:26:10.360 Kufikia watu wengi ulimwengu wote 00:26:10.360 --> 00:26:14.520 Nina furaha Sana, na kupata nafasi ya kua mmoja wako 00:26:14.520 --> 00:26:17.760 Na wale waliojiunga na maombi leo 00:26:17.760 --> 00:26:21.480 Wakati wa maombi 00:26:21.480 --> 00:26:23.680 Moja kwa moja ndugu Chris akaanza kuomba 00:26:23.680 --> 00:26:26.840 Nilisikia kitu kikitoka mwilini mwangu 00:26:26.840 --> 00:26:29.680 Najisikia mwepesi sana 00:26:29.680 --> 00:26:31.960 Nasikia Amani ndani yangu 00:26:31.960 --> 00:26:36.600 Najua Amani hii I naweza kutoka kwa Mungu tu 00:26:36.600 --> 00:26:39.480 Nasikia kupumzika najisikia furaha 00:26:39.480 --> 00:26:43.240 Kama mzigo umetolewa kutoka kwangu 00:26:43.240 --> 00:26:45.600 Nataka kumshukuru Mungu kweli kwa ajili ya Uponyaji wangu 00:26:45.600 --> 00:26:47.120 Asante Yesu. 00:26:47.120 --> 00:26:49.360 Jina langu ni Jayson na make wangu Lorna. 00:26:49.360 --> 00:26:51.280 Tunatokea Ufilipino 00:26:51.280 --> 00:26:54.920 Tatizo kabla ya maombi nilikua na henia 00:26:54.920 --> 00:26:57.520 Hernia mwili mzima 00:26:57.520 --> 00:26:59.480 Na mwili mzito sana 00:26:59.480 --> 00:27:01.520 Hips zangu zilikua zinauma sana 00:27:01.520 --> 00:27:06.920 Na make wangu alikua anaumwa hips na magoti na 00:27:06.920 --> 00:27:12.320 Mawazo ya hasira kila siku 00:27:12.320 --> 00:27:19.440 Wakati wa maombi, tulipoomba to a kwa ajili ya Dhabi zetu na 00:27:19.440 --> 00:27:21.920 Nilimuomba Yesu msamaha 00:27:21.920 --> 00:27:28.440 Nilisikia kama upepo ukishika kichwa changu 00:27:28.440 --> 00:27:30.760 Na nikalisikia kutapika 00:27:30.760 --> 00:27:33.600 Baada ya maombi, imekwisha 00:27:33.600 --> 00:27:34.600 Hakuna maumivu tena 00:27:34.600 --> 00:27:36.600 Hernia yangu haikui 00:27:36.600 --> 00:27:42.120 Na mke wangu hana maumivu Tena kwenye goti na hips zake 00:27:42.120 --> 00:27:44.840 Asante Sana Yesu kwa kutuponua 00:27:44.840 --> 00:27:46.920 Asante Yesu, Amen 00:27:46.920 --> 00:27:53.760 Majina yetu ni Eric na Sarah kutoka sweeden 00:27:53.760 --> 00:27:56.000 Tunashukuru Mungu kwa maombi ya leo 00:27:56.000 --> 00:28:04.600 Yalijawa na nguvu za Rohoni hakika Yesu alikua kazini 00:28:04.600 --> 00:28:10.000 Nilijisikia na furaha na kuachiliwa, kutoka kwa uzito moyoni baada ya maombi 00:28:10.000 --> 00:28:12.160 Nataka kumshukuru Mungu na kumtukuza 00:28:12.160 --> 00:28:15.640 Kwa ajili ya nafasi hii 00:28:15.640 --> 00:28:21.840 Kwa upande wangu naona Kuna mwangaza ndani ya Moyo wangu 00:28:21.840 --> 00:28:27.160 Nilisikia vitu vikitembea kwenye mikono 00:28:27.160 --> 00:28:31.200 Wakati wa maombi na ndugu Chris 00:28:31.200 --> 00:28:35.560 Baada ya maombi nasikia wepesi 00:28:35.560 --> 00:28:41.480 Giza liliondoka moyoni mwangu 00:28:41.480 --> 00:28:47.360 Sijawahi kujisikia hivyo kabla 00:28:47.360 --> 00:28:51.160 Na namna nyingine ya furaha 00:28:51.160 --> 00:28:55.240 Katika mwili, moyoni mwanga na akilini mwangu 00:28:55.240 --> 00:28:58.400 Sasa tunasema Asante Yesu 00:28:58.400 --> 00:29:01.320 Jina langu ni Evelin kutoka Argentina 00:29:01.320 --> 00:29:04.200 Katika maombi 00:29:04.200 --> 00:29:09.000 Nilisikia nguvu za Mungu ndani ya mwili wangu 00:29:09.000 --> 00:29:14.120 Kama moto ndani ya tumbo langu, na Sasa nipo huru 00:29:14.120 --> 00:29:15.880 Asante Mungu 00:29:15.880 --> 00:29:18.840 Kabla ya maombi 00:29:18.840 --> 00:29:24.240 Nilikua na maumivu kwenye in, maumivu ya kichwa na sikio 00:29:24.240 --> 00:29:27.440 Baada ya maombi kilikitu kilirudishwa 00:29:27.440 --> 00:29:30.880 Simwi Tena ini, wala kichwa wala sikio 00:29:30.880 --> 00:29:33.880 Naweza kusikia vizuri Sasa kwa utukufu wa Mungu 00:29:33.880 --> 00:29:36.800 Jina langu ni Marina kutoka Agerntina 00:29:36.800 --> 00:29:39.880 Wakati wa maombi nilisikia uwepo wa Mungu 00:29:39.880 --> 00:29:42.640 Na moto kwenye mwili wote 00:29:42.640 --> 00:29:44.960 Nimepokea uponyaji kutoka kwa maumivu ya goti 00:29:44.960 --> 00:29:48.160 Niliuokua nayasikia nikisimama 00:29:48.160 --> 00:29:53.280 Nilikua nasikia kama mifupa yangu inahama 00:29:53.280 --> 00:29:56.760 Hii ilosababisha maumivu lakini baada ya maombi 00:29:56.760 --> 00:30:04.240 Naweza kusogea bila kupata maumivu yeyote 00:30:04.240 --> 00:30:05.760 Asante Yesu.