0:00:00.000,0:00:02.840 Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa 0:00:02.840,0:00:05.040 achiliwa kutoka kwenye huo utumwa. 0:00:05.040,0:00:07.760 achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji 0:00:07.760,0:00:14.880 achiliwa, achiliwa katika jina kuu [br]la Yesu Kristo. 0:00:14.880,0:00:20.600 unakaribishwa kwenye maombi ya ibada, 0:00:20.600,0:00:27.840 hapa God´s heart TV studio north wales[br]nchini uingereza 0:00:27.840,0:00:34.880 kwa rehema za Mungu hii ni ibada [br]kwa ajili ya mataifa yote leo. 0:00:34.880,0:00:37.520 Tuna watu kutoka mataifa yote duniani 0:00:37.520,0:00:43.840 Wanawakilisha mataifa yote hadi n hi 57 0:00:43.840,0:00:45.920 Mbali hadi Ukraine 0:00:45.920,0:00:51.520 Nchi iliyo ndani ya fikra zetu na maombi yetu hadi sasa 0:00:51.520,0:00:57.960 Nataka kumshukuru mioyo yote, Inayo muamnini Yesu 0:00:57.960,0:01:03.000 Anae amini kwamba hata kama Kuna umbali Kati yetu 0:01:03.000,0:01:05.800 Kutoka hapa nilipo na hapo ulipo 0:01:05.800,0:01:11.160 Una amini Yesu Kristo anaenda kukushika Leo, kwa namba ya kipekee 0:01:11.160,0:01:15.800 Sababu ni heshima kubwa kumuamini yeye 0:01:15.800,0:01:20.520 Ambapo kila maana inapingana nae 0:01:20.520,0:01:25.520 Na Mungu anawaheshimu wale wanao muheshimu 0:01:25.520,0:01:31.520 Ndio, tumekuja kwa Mungu Leo, tukiamini 0:01:31.520,0:01:35.360 Kwa mapenzi Yake yatatukomboa 0:01:35.360,0:01:43.440 Kuturejesha, kutuamsha, kutukomboa, kwenye kila kifungo 0:01:43.440,0:01:50.760 Acha mapenzi Yake yatimizwe, sababu mapenzi Yake ni amri kwetu 0:01:50.760,0:01:55.520 Tunaenda kuomba kwa pamoja katika Jina la Yesu Kristo 0:01:55.520,0:02:03.960 Kabla ya maombi ni muhimu tukishibisha mioyo yetu na Neno 0:02:03.960,0:02:09.520 Kama biblia inavyosema katika kitabu cha 1 petro 1:23 0:02:09.520,0:02:12.000 Kua Neno la Mungu ni kama mbegu 0:02:12.000,0:02:19.200 Si kwa mbegu iharibikayo, Inayo Kuja kwenye mioyo yetu 0:02:19.200,0:02:22.200 Na kufanya Imani yetu kukua 0:02:22.200,0:02:27.080 Sasa, andika hii, na Sema inakuja kwenye mioyo yenu 0:02:27.080,0:02:31.080 Moyo wako ni kituo cha maongezi na Mungu 0:02:31.080,0:02:36.840 Na ndio maana Imani haisuiani na kuiga matendo ya mwingine 0:02:36.840,0:02:38.480 Au kumuiga mtu 0:02:38.480,0:02:45.960 Imani lazima iinuke kutoka ndani ya Moyo wako, ndani ya kijito cha moyo 0:02:45.960,0:02:47.600 Kutokana na Neno la Mungu 0:02:47.600,0:02:52.640 Sasa swali langu ni hili 0:02:52.640,0:02:57.200 Moyo wako upo kwenye Hali gani? 0:02:57.200,0:02:59.920 Jiulize Hilo swai Sasa hivi 0:02:59.920,0:03:03.800 Hali ya Moyo wako ipoje? 0:03:03.800,0:03:08.600 Sababu nimejua Leo, kwamba watu wengi wanamtafuta Mungu 0:03:08.600,0:03:12.360 Uso wa Mungu, kupumzika kutoka kwenye masumbuko 0:03:12.360,0:03:15.480 Kutoka kwenye mapambano 0:03:15.480,0:03:21.360 Lakini mioyo Yao haijatulia 0:03:21.360,0:03:25.200 Mioyo Yao ina matatizo 0:03:25.200,0:03:34.000 Na Yesu anatuambia katika Yohana 14:1,27 0:03:34.000,0:03:39.120 Usiache Moyo wako ufadhaike 0:03:39.120,0:03:42.040 Hiyo haimaanishi hakutokua na mafadhaiko 0:03:42.040,0:03:44.640 Hajawai kusema kua hauyopata matatizo, 0:03:44.640,0:03:52.520 Lakini usiache Moyo wako ukafadhaika, maana kama mkristo 0:03:52.520,0:03:56.920 Ndio Kuna sababu za kufadhaishwa 0:03:56.920,0:04:02.760 Lakini Kuna sababu kuu za kutofadhaika 0:04:02.760,0:04:06.320 Hata kama Hakuna utulivu Mahali pote 0:04:06.320,0:04:11.640 Angalia Hali ya Dunia kwa Sasa, Hakuna utulivu 0:04:11.640,0:04:17.760 Lakini kama mkristo acha Moyo wako uwe katika utulivu 0:04:17.760,0:04:22.160 Katika ufahamu kua Mungu yupo na wewe 0:04:22.160,0:04:28.960 Kama isaya 41:10 inavyosema, Duniani Kuna majaribu ndio 0:04:28.960,0:04:34.320 Lakini kama mkristo acha Moyo wako upate amani 0:04:34.320,0:04:41.320 Katika ufahamu wa kua, Mungu ni wako (Warumi 8:31) 0:04:41.320,0:04:48.120 Hata kama misukosuko ya Dunia ikikuzunguka na hasira zake 0:04:48.120,0:04:55.440 Acha Moyo wako utulie, ndani ya ahadi za Mungu 0:04:55.440,0:05:00.600 Kua hatokuacha wala kukutelekeza 0:05:00.600,0:05:07.600 Kama maandiko yanavosema katika kitabu cha hebrania 13:5 0:05:07.600,0:05:15.960 Sasa watu wa Mungu, kukaza mioyo yenu, mjielekeze kwa Yesu Kristo 0:05:15.960,0:05:20.320 Sio Hali yako, sio matatizo yako, sio misukosuko yako 0:05:20.320,0:05:22.120 Jielekeze kwa Yesu 0:05:22.120,0:05:26.560 Kumbuka ahadi Yake kwetu katika mathayo 11:28 0:05:26.560,0:05:30.200 Yesu alisema Njoo kwangu 0:05:30.200,0:05:37.000 Nyie mliochoka Nami nitawapumzisha 0:05:37.000,0:05:40.400 Kama Mungu ametuahidi pumziko 0:05:40.400,0:05:46.720 Hakuna sababu ya mioyo yetu kutotulia 0:05:46.720,0:05:51.840 Tunatakiwa kutambua huu ukweli 0:05:51.840,0:05:55.400 Kuelewana na ushirika wa Mungu 0:05:55.400,0:05:57.400 Sasa hivi, nataka ukiri hili 0:05:57.400,0:06:03.320 Nakubaliana na Neno la Mungu 0:06:03.320,0:06:08.520 Nakataa Hali yoyote, mazingira yoyote 0:06:08.520,0:06:11.000 Ambayo ni kinyume na Neno 0:06:11.000,0:06:14.440 Manisha kwa Moyo wako wote 0:06:14.440,0:06:20.200 Acha kukiri Kwa smdomo yako, iambatane na moto wako 0:06:20.200,0:06:25.360 Na hayo makubulaino, Sasa hivi 0:06:25.360,0:06:28.840 Ni muda wa maombi. 0:06:28.840,0:06:32.360 Moyo wako lazima uambatane na Mungu 0:06:32.360,0:06:35.240 Moyo wako lazima uwe na makubulaino na Mungu 0:06:35.240,0:06:39.240 Moyo wako lazima uwe huru, huru kutoka kwenye makosa 0:06:39.240,0:06:43.760 Huru kutokana na uchungu, huru kutokana na maumivu ya nyuma 0:06:43.760,0:06:47.240 Hivi ni vikwazo vinavyo simama Kati yako na Mungu 0:06:47.240,0:06:51.360 Sasa hivi, achana na mambo ya nyuma, 0:06:51.360,0:06:55.840 Kaa tayari Kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Sasa hivi 0:06:55.840,0:07:03.400 Kosa lolote linalosimama Kati yako na ahadi za Mungu., 0:07:03.400,0:07:07.520 Samehewa katika Jina la Yesu. 0:07:07.520,0:07:17.640 Spanish 0:07:17.640,0:07:22.360 Huo ukuta Kati ya Moyo wako na Roho wa Mungu 0:07:22.360,0:07:29.680 Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi 0:07:29.680,0:07:37.360 Spanish 0:07:37.360,0:07:41.480 Sasa hivi kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo 0:07:41.480,0:07:44.520 Achiliwa kwa Jina la Yesu 0:07:44.520,0:07:51.160 Spanish 0:07:51.160,0:07:55.920 Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa, achiliwa kwenye huo utumwa 0:07:55.920,0:07:58.760 Achiliwa kutoka kwenye ukandamizaji 0:07:58.760,0:08:02.320 Achiliwa, achiliwa, achiliwa 0:08:02.320,0:08:04.960 Katika Jina kuu la Yesu 0:08:04.960,0:08:12.640 Spanish 0:08:12.640,0:08:19.920 Sasa hivi, naamuru Roho zote, zinazofanya kazi ndani ya Moyo wakk 0:08:19.920,0:08:25.640 Kutoka katika Jina la Yesu 0:08:25.640,0:08:31.800 Toka Sasa hivi, Toka kwenye mfuko, Toka kwenye ogani 0:08:31.800,0:08:33.480 Toka nje Sasa hivi 0:08:33.480,0:08:48.240 Spanish 0:08:48.240,0:08:52.200 Anza kutapika, toa nje hayo magonjwa, toa hizo sumu 0:08:52.200,0:08:55.680 Tapika huo utumwa, tapika huo mfuko Sasa hivi 0:08:55.680,0:08:58.480 Wewe magonjwa, wewe ugonjwa 0:08:58.480,0:09:01.080 Nasema Toka katika katika Jina la Yesu 0:09:01.080,0:09:06.120 Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi katika Jina kuu la Yesu 0:09:06.120,0:09:07.880 Toka Sasa hivi 0:09:07.880,0:09:17.280 Spanish 0:09:17.280,0:09:20.480 Sasa hivi, kama ishara ya imani 0:09:20.480,0:09:24.200 Weka mikono wako unapopata maumivu 0:09:24.200,0:09:26.200 Una maumivu ya mwili 0:09:26.200,0:09:30.440 Weka mikono wako hapo sasa 0:09:30.440,0:09:32.120 Fungua Moyo wako 0:09:32.120,0:09:39.280 Naongea na wewe Ugonjwa, wewe udhaifu 0:09:39.280,0:09:43.760 Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi 0:09:43.760,0:09:49.120 Nje ya mfumo wao, nje ya viungo vyao, nje ya vitengo vyao 0:09:49.120,0:09:52.880 Toka Sasa hivi, Toka nje sasa 0:09:52.880,0:09:54.960 Toka nje Sasa hivi 0:09:54.960,0:10:09.280 Spanish 0:10:09.280,0:10:13.400 Watu wa Mungu, kaa kwa Hali ya maombi 0:10:13.400,0:10:17.840 Unaweza kuiona Yesu Kristo anachofanya Kati yako sahivi 0:10:17.840,0:10:22.640 Hata kwa umbali mrefu 0:10:22.640,0:10:27.360 Fungua Moyo wako kwa Imani Yake kwa Neno lake na Roho yake 0:10:27.360,0:10:30.600 Unaweza kuiona mapepo ya ki jidhihirisha Sasa hivi 0:10:30.600,0:10:33.480 Sababu za magonjwa zinatoka nje 0:10:33.480,0:10:34.840 Huu ni muda wako 0:10:34.840,0:10:37.120 Huu ni muda wako Sasa hivi 0:10:37.120,0:10:40.640 Nasema na nyie roho 0:10:40.640,0:10:44.160 Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu 0:10:44.160,0:10:49.200 Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu, Jina 0:10:49.200,0:10:58.120 Spanish 0:10:58.120,0:11:03.080 Muombe NEEMA ya kutii Neno lake 0:11:03.080,0:11:05.760 Kufanya Neno lake kua kiwango ndani ya Maisha yako 0:11:05.760,0:11:09.520 Kufuata Ile njia ya utakaso 0:11:09.520,0:11:11.840 Fungua mdomo yako na uombe sasa 0:11:11.840,0:11:24.720 Spanish 0:11:24.720,0:11:32.120 Katika Jina kuu la Yesu tumeomba. 0:11:32.120,0:11:39.520 Kwa mamlaka ndani ya Jina la Yesu Kristo 0:11:39.520,0:11:44.280 Na tangazo upo huru Sasa katika Jina la Yesu 0:11:44.280,0:11:46.960 Sasa hivi Anza kujiangalia 0:11:46.960,0:11:50.840 Umeponywa, unerejeshwa, upo huru 0:11:50.840,0:11:53.680 Umefunguliwa, Jiang aloe Sasa hivi 0:11:53.680,0:11:56.600 Upo huru, upo huru, upo huru. 0:11:56.600,0:12:10.760 Spanish 0:12:10.760,0:12:15.520 Sasa Sasa hivi watazamaji duniani kote 0:12:15.520,0:12:20.480 Mmeona kazi na nguvu za Mungu 0:12:20.480,0:12:24.920 Nguvu za Mungu zikifanya maajabu, Katika Maisha ya watu wake 0:12:24.920,0:12:31.320 Mmeona uaminifu, uhakika na uhalisia wa Mungu 0:12:31.320,0:12:35.480 Sasa ni muda wako 0:12:35.480,0:12:39.240 Mwanamke alietokwa damu 0:12:39.240,0:12:42.320 Alifika kumshika Yesu 0:12:42.320,0:12:47.120 Ni Imani Yake iliyo mponya kabisa 0:12:47.120,0:12:52.840 Naomba Imani yako ikuweke huru leo 0:12:52.840,0:12:57.200 Nakuombea Imani yako ikukomboe leo 0:12:57.200,0:13:05.600 Nakuombea Imani yakoikuokoe Leo, Katika Jina Kuu la Yesu 0:13:05.600,0:13:13.200 Sasa hivi, naamuru Roho zote zinazofanya kazi katika Maisha yako 0:13:13.200,0:13:16.640 Kutoka nje katika Jina la Yesu Kristo 0:13:16.640,0:13:19.200 Toka nje katika Jina la Yesu Kristo 0:13:19.200,0:13:23.760 Roho zote zinazofanya kazi kichwani kwako, Toka nje Sasa hivi 0:13:23.760,0:13:28.200 roho zote, zinazofanya kazi kwenye ulimi wako, Toka sasa 0:13:28.200,0:13:33.240 roho zote zinazofanya kazi katika macho yako, Toka nje Sasa 0:13:33.240,0:13:37.920 roho zote zinazofanya kazi katika masikio yako, Toka nje Sasa 0:13:37.920,0:13:46.720 Toka nje Toka nje katika Jina la Yesu Kristo 0:13:46.720,0:13:51.880 Eneo lolote Kati a Maisha yako 0:13:51.880,0:13:56.280 roho chafu zinazofanya 0:13:56.280,0:13:59.640 Kwenye biashara, kwenye kazi 0:13:59.640,0:14:05.520 Kwenye fedha, kwenye ndoa, kwenye familia 0:14:05.520,0:14:10.640 Toka nje, Toka nje Sasa, Katika Jina Kuu la Yesu 0:14:10.640,0:14:18.560 Na kuwe huru na uwe huru sasa 0:14:18.560,0:14:25.600 Bwana Yesu Kristo, Neno lako linathibitisha uhuru 0:14:25.600,0:14:29.000 Neno lako linadai uhuru 0:14:29.000,0:14:33.520 Sasa hivi, ninadai udhuru Sasa hivi 0:14:33.520,0:14:38.160 Udhuru kwa roho yangu, udhuru kwa nafsi yangu 0:14:38.160,0:14:42.480 0:14:42.480,0:14:47.000 Uhuru kwa mwili wangu, Uhuru kwa roho yako 0:14:47.000,0:14:50.760 Uhuru kwa roho yako. Uhuru kwa mwili wako 0:14:50.760,0:14:57.040 Katika Jina kuu la Yesu Kristo 0:14:57.040,0:15:00.200 Asante Yesu kwa uhuru wako 0:15:00.200,0:15:03.120 Asante Yesu kwa uhuru wako 0:15:03.120,0:15:07.200 Asante Yesu kwa nguvu za uponyaji wako 0:15:07.200,0:15:13.640 Watu wa Mungu anzeni kusherekea ndani ya uhuru kamili 0:15:13.640,0:15:18.560 Na tembea ndani ya mwanga wa uhuru wako 0:15:18.560,0:15:24.480 Furahia sababu Yesu Kristo amesema ni wako 0:15:24.480,0:15:26.840 Ni wako kabisa. 0:15:26.840,0:15:29.680 SHUHUDA 0:15:29.680,0:15:31.120 Habari Jina langu ni Victoria makene. 0:15:31.120,0:15:33.280 Ni mwana chuo wa miaka 20 0:15:33.280,0:15:35.480 Naishi uingereza 0:15:35.480,0:15:38.360 Mwezi wa kumi 2021 0:15:38.360,0:15:42.280 Nilikua nafanya mazoezi ya mpira wa kikapu chuoni kwangua 0:15:42.280,0:15:45.760 Na nikapasuka ACL, na viungo vyao ndani 0:15:45.760,0:15:47.520 Nikachanika kabisa 0:15:47.520,0:15:49.440 Usiku ule, nilipewa magongo 0:15:49.440,0:15:52.560 Nilitumia magongo haya kwa wiki kadhaa 0:15:52.560,0:15:58.720 Bila haya sikuweza kutembea 0:15:58.720,0:16:04.520 Madaktari waliniambia njia pekee ya mimi kushiriki kwenye 0:16:04.520,0:16:09.040 Shughuri za ki mwili au kukimbia ni kufanya upasuaji wa ACL 0:16:09.040,0:16:14.800 Ni upasuaji makini Sana na ingenichukua muda mrefu Sana kupona 0:16:14.800,0:16:17.440 Lakini naamini kama mkristo nilie zaliwa kwa Mara ya pili 0:16:17.440,0:16:20.160 Ni nzuri zaidi kumtafuta Mungu kwanza 0:16:20.160,0:16:25.200 Hivyo nikaamua kuwatafuta God's heart TV na kuwaambia kuhusu Hali yangu 0:16:25.200,0:16:28.440 Kabla ya maombi haya 0:16:28.440,0:16:31.560 Nilikua nasikia vibaya kwenye got langu 0:16:31.560,0:16:35.480 Sikuweza kwenda popote bila kidude cha kuvaa kwenye goti 0:16:35.480,0:16:37.200 Wakati wa maombi nilifunga macho 0:16:37.200,0:16:38.960 Nilikua naomba na ndugu Chris 0:16:38.960,0:16:43.480 Nilimruhusu Mungu kuchukua kwangu na mimi kuchukua kwake 0:16:43.480,0:16:47.160 Nilikua naomba, nikashika magoti yangu 0:16:47.160,0:16:48.960 Nikamuona ndugu Chris akigusa kioo 0:16:48.960,0:16:50.840 Sikusikia chochote 0:16:50.840,0:16:53.960 Lakini baada ya maombi alipo Sema upo huru 0:16:53.960,0:16:56.360 Nikatoa kidude kwenye goti, nikalisikia goti langu 0:16:56.360,0:16:59.680 Nikaamua kwenda kwenye korido na kuanza kukimbia juu na chini 0:16:59.680,0:17:00.680 Na kuanza kuruka 0:17:00.680,0:17:03.960 Sisikii maumivu au kusita Sita kama zamani 0:17:03.960,0:17:06.880 Na tangu hapo nilijua nipo huru 0:17:06.880,0:17:10.000 Naweza kuruka 0:17:10.000,0:17:11.200 Naweza kukimbia 0:17:11.200,0:17:15.120 Asante Yesu 0:17:15.120,0:17:17.400 Baraka katika Jina la Yesu 0:17:17.400,0:17:21.680 Jina langu ni Viviena kutoka Honduras 0:17:21.680,0:17:27.520 Nataka kuwaambia kabla hata ndugu Chris hajaanza kuomba 0:17:27.520,0:17:36.520 Nilianza kusikia muujiza, Amani ilitawala moyoni mwangu 0:17:36.520,0:17:40.360 Nikaanza kusikia uwepo wa Mungu 0:17:40.360,0:17:47.080 Katika maombi nilitapika vitu vichachu kutoka mdomoni mwangu 0:17:47.080,0:17:52.560 Na nimepona katika Jina la Yesu, nasikia Amani kamili ndani ya Moyo wangu 0:17:52.560,0:17:54.080 Namtukuza Yesu 0:17:54.080,0:17:56.280 Asante Yesu 0:17:56.280,0:17:58.080 Nakupenda Yesu 0:17:58.080,0:18:01.800 Habari Jina langu ni Samantha na ninatokea Trinidad na Tobago 0:18:01.800,0:18:05.440 Kwanza, napenda kumshukuru Mungu kwa NEEMA ya kuungana na ndugu Chris 0:18:05.440,0:18:07.640 Kwa maombi 0:18:07.640,0:18:11.200 Wakati wa maombi, mwishoni ndugu Chris alisema 0:18:11.200,0:18:14.240 Kila kitu kilicho kinyume na Mungu lazima kitoke 0:18:14.240,0:18:16.640 Roho ilitokea ndani yangu ikajidhihirisha na kusema 0:18:16.640,0:18:19.040 Kwamba haitoki 0:18:19.040,0:18:22.880 Na nikaanza kutetemeka sana 0:18:22.880,0:18:26.760 Tulipoendelea na maombi ikatoka 0:18:26.760,0:18:33.320 Na nikaanza kujiona mwepesi na nikatapika vitu vya sumu 0:18:33.320,0:18:35.000 Napenda kumshukuru Mungu kwa hilo 0:18:35.000,0:18:41.040 Habari, naitwa Miriam Mkwena, kutoka Afrika ya kusini 0:18:41.040,0:18:48.000 Nilikua na shida ya magoti 0:18:48.000,0:18:52.360 Usiku, sikuweza kulala vizuri sababu ya maumivu 0:18:52.360,0:18:56.760 Maumivu yalikua yaanzia kwenye paja hadi chini 0:18:56.760,0:18:58.760 Ilikua mbaya sana 0:18:58.760,0:19:04.040 Wakati anaomba, nilisikia umeme ukipata ndani ya mwili wangu 0:19:04.040,0:19:09.960 Kila Mahali, hata kwenye magoti umeme ulipita 0:19:09.960,0:19:14.000 Baadae nikasikia gani, kama nataka kupoteza fahamu 0:19:14.000,0:19:18.840 Gafla nikasikia kama nataka kukojoa 0:19:18.840,0:19:21.560 Nikaanza kukohoa 0:19:21.560,0:19:26.240 Nilikohoa mate mate 0:19:26.240,0:19:31.440 Baada ya hapo niliinamisha magoti, niliona kabisa nimepona 0:19:31.440,0:19:34.240 Nikatoa vidude vya magoti 0:19:34.240,0:19:37.480 Kama unavyoona nimevishika mkononi 0:19:37.480,0:19:40.560 Nikaanza kuruka na kumsifu Mungu 0:19:40.560,0:19:42.400 Nakushukuru Mungu kwa uponyaji 0:19:42.400,0:19:45.800 Na Sasa Hakuna tena 0:19:45.800,0:19:48.640 Natupa hivi 0:19:48.640,0:19:54.320 Kama unavyoona naweza kutembea 0:19:54.320,0:19:57.440 Sasa naweza kuruka 0:19:57.440,0:20:02.840 Nafanya mazoezi hata kuinama 0:20:02.840,0:20:04.800 Nimeponywa 0:20:04.800,0:20:06.200 Asante Yesu 0:20:06.200,0:20:11.440 Jina langu ni Marcela kutoka Peru 0:20:11.440,0:20:15.640 Katika maombi 0:20:15.640,0:20:18.840 Nimepokea uhuru na uponyaji 0:20:18.840,0:20:23.200 Nimepona kutoka kwa gastritis na vidonda vya timbo 0:20:23.200,0:20:27.960 Nimetapika hivi vitu 0:20:27.960,0:20:32.200 Nilisikia moto wa nguvu za Mungu 0:20:32.200,0:20:35.560 Nimepona na nipo huru kwa utukufu wa Mungu 0:20:35.560,0:20:38.360 Jina langu ni Antonia, natokea Ukraine 0:20:38.360,0:20:40.720 Na mshukuru Sana Mungu 0:20:44.880,0:20:52.880 Kwa nafasi hii ya kuombewa na ndugu Chris 0:20:52.880,0:20:59.440 Katika maombi haya, nimekombolewa 0:20:59.440,0:21:05.920 Na vitu vya simu vimetoka ndani yangu 0:21:05.920,0:21:12.960 Baada ya hayo nikahisi wepesi na furaha Kubwa ndani yangu 0:21:12.960,0:21:16.720 Namshukuru Sana Mungu 0:21:16.720,0:21:20.880 Jina langu ni Lylyana, natokea Ukraine 0:21:20.880,0:21:24.080 Asante kwa maombi kwa ajili ya watu wa Ukraine 0:21:24.080,0:21:27.800 Asante Sana kwa maombi yako 0:21:27.800,0:21:31.240 Wakati wa maombi nilikua natapika 0:21:31.240,0:21:34.240 Na vitu vyeupe vilitoka kutoka kwangu 0:21:34.240,0:21:43.200 Nabii Chris alipokua anaomba, nilisikia furaha na raha 0:21:43.200,0:21:45.800 Asante Sana Asante kwa kila kitu 0:21:45.800,0:21:47.280 Tunafuraha sana 0:21:47.280,0:21:53.280 Habari za asubuhi, Emmanuel 0:21:53.280,0:21:56.640 Jina langu ni Jeanly kutoka Afrika ya kusini 0:21:56.640,0:22:00.840 Nataka kumshukuru Mungu kwa Yale aliyofanya maishani mwangu 0:22:00.840,0:22:04.040 Nilipojiunga na maombi jumamosi 0:22:04.040,0:22:07.720 Ndugu Chris alipokua akituombea na kuhakikisha 0:22:07.720,0:22:11.320 Nilitapika kila kichafu ndani yangu 0:22:11.320,0:22:13.640 Nilikua naumba kichwa sana 0:22:13.640,0:22:14.880 Yalikua maumivu makali mno 0:22:14.880,0:22:17.280 Hata mifupa yangu iliuma 0:22:17.280,0:22:19.480 Baada ya kutapika kila kitu 0:22:19.480,0:22:22.880 Niamnini sisikii kitu chochote 0:22:22.880,0:22:26.480 Kila maumivu yametoweka na nimekua mpya 0:22:26.480,0:22:30.960 Na kama Mungu amenifanyia hivyo anaeweza kukufanyia na wewe 0:22:30.960,0:22:35.120 Tunatakiwa kua na Imani na kuamini 0:22:35.120,0:22:36.040 Habari za asubuhi 0:22:36.040,0:22:40.120 Jina langu ni Jane naishi ufaransa 0:22:40.120,0:22:43.720 Ushuhuda wangu ni 0:22:43.720,0:22:46.680 Nilikua na shida ya meno 0:22:46.680,0:22:52.400 Sikuweza kula chakula vizuri 0:22:52.400,0:22:56.880 Hata kula cake kilinipa maumivu makali sana 0:22:56.880,0:22:59.240 Meno na fidhi zangu ziliuma sana 0:22:59.240,0:23:00.760 Sasa najisikia vizuri 0:23:00.760,0:23:04.000 Wakati ndugu Chris alipokua akituombea 0:23:04.000,0:23:12.640 Nilisikia mwanga, joyo ndani ya kichwa changu, macho na uso 0:23:12.640,0:23:14.320 Na nikaanza kutapika 0:23:14.320,0:23:21.440 Unaweza kuona nilivyotapika 0:23:21.440,0:23:24.600 Asante Yesu kwa uponyaji wangu 0:23:24.600,0:23:26.960 Mimi ni Grace kutoka ufilipino 0:23:26.960,0:23:30.920 Sasa nipo hapa Qatar 0:23:30.960,0:23:35.000 Kutokana na uzoefu wangu na TV ya God's heart 0:23:35.000,0:23:43.600 Nilisikia joto kubwa ndani yangu na nikaanza kutapika 0:23:43.600,0:23:47.760 Siwezi kuelezea nini kilitokea ndani ya mwili wangu 0:23:47.760,0:23:50.880 Na nikaanza kutapika 0:23:50.880,0:23:56.200 Sijui nini kimetokea 0:23:56.200,0:23:58.400 Namshukuru Mungu 0:23:58.400,0:24:03.640 Najua ameniweka huru kwa Jina la bwana wetu Yesu Kristo 0:24:03.640,0:24:08.880 Hallelujah, Asante Yesu 0:24:08.880,0:24:10.520 Jina langu ni Gert 0:24:10.520,0:24:13.800 Natokea Afrika ya kusini 0:24:13.800,0:24:27.960 Wakati wa maombi nilitapika vitu vingi 0:24:27.960,0:24:33.320 Naweza kusema, Sina maumivu ya kifua tena 0:24:33.320,0:24:38.320 Goti langu ni 100% 0:24:38.320,0:24:40.840 Hakuna maumivu tena 0:24:40.840,0:24:50.000 Nasikia 100%,nasikia huru, nimeponywa mimi ni mpya 0:24:50.000,0:24:52.000 Utukufu kwa Mungu 0:24:52.000,0:24:55.880 Jina langu ni Haydee kutoka costa Rica. 0:24:55.880,0:25:00.440 Namshukuru Mungu kwa siku hii njema 0:25:00.440,0:25:04.840 Kupitia ndugu Chris nimepokea uponyaji wangu 0:25:04.840,0:25:10.800 Kutoka kwenye maumivu ya mkono 0:25:10.800,0:25:15.720 Leo, Mungu ameniponya na kunifikia kwa rehema zake 0:25:15.720,0:25:19.200 Jina langu ni Amosi kutoka Zambia 0:25:19.200,0:25:23.720 Nataka kumshuhudia uzuri wa Bwana katika Maisha yangu 0:25:23.720,0:25:30.840 Kwa Yake ambayo Mungu amefanya ndani yangu 0:25:30.840,0:25:34.600 Mtumishi wa Mungu alipokua akituombea 0:25:34.600,0:25:39.120 Nilisikia uwepo wa Mungu kwa ukuu sana 0:25:39.120,0:25:41.840 Alipokua akituombea 0:25:41.840,0:25:46.680 Nilijikuta na tapika vitu 0:25:46.680,0:25:50.280 Baada ya kutapika Sasa najisikia huru na mwepesi 0:25:50.280,0:25:53.000 Nasikia Sawa ndani ya Moyo wangu 0:25:53.000,0:25:55.200 Nina Amani 0:25:55.200,0:25:56.760 Habari Jina langu ni Dina 0:25:56.760,0:26:00.400 Nilijiunga na maombi kutoka Canada 0:26:00.400,0:26:06.880 Nataka kumshukuru ndugu Chris kwa kuruhusu Mungu amtumie 0:26:06.880,0:26:10.360 Kufikia watu wengi ulimwengu wote 0:26:10.360,0:26:14.520 Nina furaha Sana, na kupata nafasi ya kua mmoja wako 0:26:14.520,0:26:17.760 Na wale waliojiunga na maombi leo 0:26:17.760,0:26:21.480 Wakati wa maombi 0:26:21.480,0:26:23.680 Moja kwa moja ndugu Chris akaanza kuomba 0:26:23.680,0:26:26.840 Nilisikia kitu kikitoka mwilini mwangu 0:26:26.840,0:26:29.680 Najisikia mwepesi sana 0:26:29.680,0:26:31.960 Nasikia Amani ndani yangu 0:26:31.960,0:26:36.600 Najua Amani hii I naweza kutoka kwa Mungu tu 0:26:36.600,0:26:39.480 Nasikia kupumzika najisikia furaha 0:26:39.480,0:26:43.240 Kama mzigo umetolewa kutoka kwangu 0:26:43.240,0:26:45.600 Nataka kumshukuru Mungu kweli kwa ajili ya Uponyaji wangu 0:26:45.600,0:26:47.120 Asante Yesu. 0:26:47.120,0:26:49.360 Jina langu ni Jayson na make wangu Lorna. 0:26:49.360,0:26:51.280 Tunatokea Ufilipino 0:26:51.280,0:26:54.920 Tatizo kabla ya maombi nilikua na henia 0:26:54.920,0:26:57.520 Hernia mwili mzima 0:26:57.520,0:26:59.480 Na mwili mzito sana 0:26:59.480,0:27:01.520 Hips zangu zilikua zinauma sana 0:27:01.520,0:27:06.920 Na make wangu alikua anaumwa hips na magoti na 0:27:06.920,0:27:12.320 Mawazo ya hasira kila siku 0:27:12.320,0:27:19.440 Wakati wa maombi, tulipoomba to a kwa ajili ya Dhabi zetu na 0:27:19.440,0:27:21.920 Nilimuomba Yesu msamaha 0:27:21.920,0:27:28.440 Nilisikia kama upepo ukishika kichwa changu 0:27:28.440,0:27:30.760 Na nikalisikia kutapika 0:27:30.760,0:27:33.600 Baada ya maombi, imekwisha 0:27:33.600,0:27:34.600 Hakuna maumivu tena 0:27:34.600,0:27:36.600 Hernia yangu haikui 0:27:36.600,0:27:42.120 Na mke wangu hana maumivu Tena kwenye goti na hips zake 0:27:42.120,0:27:44.840 Asante Sana Yesu kwa kutuponua 0:27:44.840,0:27:46.920 Asante Yesu, Amen 0:27:46.920,0:27:53.760 Majina yetu ni Eric na Sarah kutoka sweeden 0:27:53.760,0:27:56.000 Tunashukuru Mungu kwa maombi ya leo 0:27:56.000,0:28:04.600 Yalijawa na nguvu za Rohoni hakika Yesu alikua kazini 0:28:04.600,0:28:10.000 Nilijisikia na furaha na kuachiliwa, kutoka kwa uzito moyoni baada ya maombi 0:28:10.000,0:28:12.160 Nataka kumshukuru Mungu na kumtukuza 0:28:12.160,0:28:15.640 Kwa ajili ya nafasi hii 0:28:15.640,0:28:21.840 Kwa upande wangu naona Kuna mwangaza ndani ya Moyo wangu 0:28:21.840,0:28:27.160 Nilisikia vitu vikitembea kwenye mikono 0:28:27.160,0:28:31.200 Wakati wa maombi na ndugu Chris 0:28:31.200,0:28:35.560 Baada ya maombi nasikia wepesi 0:28:35.560,0:28:41.480 Giza liliondoka moyoni mwangu 0:28:41.480,0:28:47.360 Sijawahi kujisikia hivyo kabla 0:28:47.360,0:28:51.160 Na namna nyingine ya furaha 0:28:51.160,0:28:55.240 Katika mwili, moyoni mwanga na akilini mwangu 0:28:55.240,0:28:58.400 Sasa tunasema Asante Yesu 0:28:58.400,0:29:01.320 Jina langu ni Evelin kutoka Argentina 0:29:01.320,0:29:04.200 Katika maombi 0:29:04.200,0:29:09.000 Nilisikia nguvu za Mungu ndani ya mwili wangu 0:29:09.000,0:29:14.120 Kama moto ndani ya tumbo langu, na Sasa nipo huru 0:29:14.120,0:29:15.880 Asante Mungu 0:29:15.880,0:29:18.840 Kabla ya maombi 0:29:18.840,0:29:24.240 Nilikua na maumivu kwenye in, maumivu ya kichwa na sikio 0:29:24.240,0:29:27.440 Baada ya maombi kilikitu kilirudishwa 0:29:27.440,0:29:30.880 Simwi Tena ini, wala kichwa wala sikio 0:29:30.880,0:29:33.880 Naweza kusikia vizuri Sasa kwa utukufu wa Mungu 0:29:33.880,0:29:36.800 Jina langu ni Marina kutoka Agerntina 0:29:36.800,0:29:39.880 Wakati wa maombi nilisikia uwepo wa Mungu 0:29:39.880,0:29:42.640 Na moto kwenye mwili wote 0:29:42.640,0:29:44.960 Nimepokea uponyaji kutoka kwa maumivu ya goti 0:29:44.960,0:29:48.160 Niliuokua nayasikia nikisimama 0:29:48.160,0:29:53.280 Nilikua nasikia kama mifupa yangu inahama 0:29:53.280,0:29:56.760 Hii ilosababisha maumivu lakini baada ya maombi 0:29:56.760,0:30:04.240 Naweza kusogea bila kupata maumivu yeyote 0:30:04.240,0:30:05.760 Asante Yesu.