Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa
achiliwa kutoka kwenye huo utumwa.
achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji
achiliwa, achiliwa katika jina kuu
la Yesu Kristo.
unakaribishwa kwenye maombi ya ibada,
hapa God´s heart TV studio north wales
nchini uingereza
kwa rehema za Mungu hii ni ibada
kwa ajili ya mataifa yote leo.
Tuna watu kutoka mataifa yote duniani
Wanawakilisha mataifa yote hadi n hi 57
Mbali hadi Ukraine
Nchi iliyo ndani ya fikra zetu na maombi yetu hadi sasa
Nataka kumshukuru mioyo yote, Inayo muamnini Yesu
Anae amini kwamba hata kama Kuna umbali Kati yetu
Kutoka hapa nilipo na hapo ulipo
Una amini Yesu Kristo anaenda kukushika Leo, kwa namba ya kipekee
Sababu ni heshima kubwa kumuamini yeye
Ambapo kila maana inapingana nae
Na Mungu anawaheshimu wale wanao muheshimu
Ndio, tumekuja kwa Mungu Leo, tukiamini
Kwa mapenzi Yake yatatukomboa
Kuturejesha, kutuamsha, kutukomboa, kwenye kila kifungo
Acha mapenzi Yake yatimizwe, sababu mapenzi Yake ni amri kwetu
Tunaenda kuomba kwa pamoja katika Jina la Yesu Kristo
Kabla ya maombi ni muhimu tukishibisha mioyo yetu na Neno
Kama biblia inavyosema katika kitabu cha 1 petro 1:23
Kua Neno la Mungu ni kama mbegu
Si kwa mbegu iharibikayo, Inayo Kuja kwenye mioyo yetu
Na kufanya Imani yetu kukua
Sasa, andika hii, na Sema inakuja kwenye mioyo yenu
Moyo wako ni kituo cha maongezi na Mungu
Na ndio maana Imani haisuiani na kuiga matendo ya mwingine
Au kumuiga mtu
Imani lazima iinuke kutoka ndani ya Moyo wako, ndani ya kijito cha moyo
Kutokana na Neno la Mungu
Sasa swali langu ni hili
Moyo wako upo kwenye Hali gani?
Jiulize Hilo swai Sasa hivi
Hali ya Moyo wako ipoje?
Sababu nimejua Leo, kwamba watu wengi wanamtafuta Mungu
Uso wa Mungu, kupumzika kutoka kwenye masumbuko
Kutoka kwenye mapambano
Lakini mioyo Yao haijatulia
Mioyo Yao ina matatizo
Na Yesu anatuambia katika Yohana 14:1,27
Usiache Moyo wako ufadhaike
Hiyo haimaanishi hakutokua na mafadhaiko
Hajawai kusema kua hauyopata matatizo,
Lakini usiache Moyo wako ukafadhaika, maana kama mkristo
Ndio Kuna sababu za kufadhaishwa
Lakini Kuna sababu kuu za kutofadhaika
Hata kama Hakuna utulivu Mahali pote
Angalia Hali ya Dunia kwa Sasa, Hakuna utulivu
Lakini kama mkristo acha Moyo wako uwe katika utulivu
Katika ufahamu kua Mungu yupo na wewe
Kama isaya 41:10 inavyosema, Duniani Kuna majaribu ndio
Lakini kama mkristo acha Moyo wako upate amani
Katika ufahamu wa kua, Mungu ni wako (Warumi 8:31)
Hata kama misukosuko ya Dunia ikikuzunguka na hasira zake
Acha Moyo wako utulie, ndani ya ahadi za Mungu
Kua hatokuacha wala kukutelekeza
Kama maandiko yanavosema katika kitabu cha hebrania 13:5
Sasa watu wa Mungu, kukaza mioyo yenu, mjielekeze kwa Yesu Kristo
Sio Hali yako, sio matatizo yako, sio misukosuko yako
Jielekeze kwa Yesu
Kumbuka ahadi Yake kwetu katika mathayo 11:28
Yesu alisema Njoo kwangu
Nyie mliochoka Nami nitawapumzisha
Kama Mungu ametuahidi pumziko
Hakuna sababu ya mioyo yetu kutotulia
Tunatakiwa kutambua huu ukweli
Kuelewana na ushirika wa Mungu
Sasa hivi, nataka ukiri hili
Nakubaliana na Neno la Mungu
Nakataa Hali yoyote, mazingira yoyote
Ambayo ni kinyume na Neno
Manisha kwa Moyo wako wote
Acha kukiri Kwa smdomo yako, iambatane na moto wako
Na hayo makubulaino, Sasa hivi
Ni muda wa maombi.
Moyo wako lazima uambatane na Mungu
Moyo wako lazima uwe na makubulaino na Mungu
Moyo wako lazima uwe huru, huru kutoka kwenye makosa
Huru kutokana na uchungu, huru kutokana na maumivu ya nyuma
Hivi ni vikwazo vinavyo simama Kati yako na Mungu
Sasa hivi, achana na mambo ya nyuma,
Kaa tayari Kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Sasa hivi
Kosa lolote linalosimama Kati yako na ahadi za Mungu.,
Samehewa katika Jina la Yesu.
Spanish
Huo ukuta Kati ya Moyo wako na Roho wa Mungu
Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi
Spanish
Sasa hivi kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo
Achiliwa kwa Jina la Yesu
Spanish
Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa, achiliwa kwenye huo utumwa
Achiliwa kutoka kwenye ukandamizaji
Achiliwa, achiliwa, achiliwa
Katika Jina kuu la Yesu
Spanish
Sasa hivi, naamuru Roho zote, zinazofanya kazi ndani ya Moyo wakk
Kutoka katika Jina la Yesu
Toka Sasa hivi, Toka kwenye mfuko, Toka kwenye ogani
Toka nje Sasa hivi
Spanish
Anza kutapika, toa nje hayo magonjwa, toa hizo sumu
Tapika huo utumwa, tapika huo mfuko Sasa hivi
Wewe magonjwa, wewe ugonjwa
Nasema Toka katika katika Jina la Yesu
Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi katika Jina kuu la Yesu
Toka Sasa hivi
Spanish
Sasa hivi, kama ishara ya imani
Weka mikono wako unapopata maumivu
Una maumivu ya mwili
Weka mikono wako hapo sasa
Fungua Moyo wako
Naongea na wewe Ugonjwa, wewe udhaifu
Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi
Nje ya mfumo wao, nje ya viungo vyao, nje ya vitengo vyao
Toka Sasa hivi, Toka nje sasa
Toka nje Sasa hivi
Spanish
Watu wa Mungu, kaa kwa Hali ya maombi
Unaweza kuiona Yesu Kristo anachofanya Kati yako sahivi
Hata kwa umbali mrefu
Fungua Moyo wako kwa Imani Yake kwa Neno lake na Roho yake
Unaweza kuiona mapepo ya ki jidhihirisha Sasa hivi
Sababu za magonjwa zinatoka nje
Huu ni muda wako
Huu ni muda wako Sasa hivi
Nasema na nyie roho
Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu
Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu, Jina
Spanish
Muombe NEEMA ya kutii Neno lake
Kufanya Neno lake kua kiwango ndani ya Maisha yako
Kufuata Ile njia ya utakaso
Fungua mdomo yako na uombe sasa
Spanish
Katika Jina kuu la Yesu tumeomba.
Kwa mamlaka ndani ya Jina la Yesu Kristo
Na tangazo upo huru Sasa katika Jina la Yesu
Sasa hivi Anza kujiangalia
Umeponywa, unerejeshwa, upo huru
Umefunguliwa, Jiang aloe Sasa hivi
Upo huru, upo huru, upo huru.
Spanish
Sasa Sasa hivi watazamaji duniani kote
Mmeona kazi na nguvu za Mungu
Nguvu za Mungu zikifanya maajabu, Katika Maisha ya watu wake
Mmeona uaminifu, uhakika na uhalisia wa Mungu
Sasa ni muda wako
Mwanamke alietokwa damu
Alifika kumshika Yesu
Ni Imani Yake iliyo mponya kabisa
Naomba Imani yako ikuweke huru leo
Nakuombea Imani yako ikukomboe leo
Nakuombea Imani yakoikuokoe Leo, Katika Jina Kuu la Yesu
Sasa hivi, naamuru Roho zote zinazofanya kazi katika Maisha yako
Kutoka nje katika Jina la Yesu Kristo
Toka nje katika Jina la Yesu Kristo
Roho zote zinazofanya kazi kichwani kwako, Toka nje Sasa hivi
roho zote, zinazofanya kazi kwenye ulimi wako, Toka sasa
roho zote zinazofanya kazi katika macho yako, Toka nje Sasa
roho zote zinazofanya kazi katika masikio yako, Toka nje Sasa
Toka nje Toka nje katika Jina la Yesu Kristo
Eneo lolote Kati a Maisha yako
roho chafu zinazofanya
Kwenye biashara, kwenye kazi
Kwenye fedha, kwenye ndoa, kwenye familia
Toka nje, Toka nje Sasa, Katika Jina Kuu la Yesu
Na kuwe huru na uwe huru sasa
Bwana Yesu Kristo, Neno lako linathibitisha uhuru
Neno lako linadai uhuru
Sasa hivi, ninadai udhuru Sasa hivi
Udhuru kwa roho yangu, udhuru kwa nafsi yangu
Uhuru kwa mwili wangu, Uhuru kwa roho yako
Uhuru kwa roho yako. Uhuru kwa mwili wako
Katika Jina kuu la Yesu Kristo
Asante Yesu kwa uhuru wako
Asante Yesu kwa uhuru wako
Asante Yesu kwa nguvu za uponyaji wako
Watu wa Mungu anzeni kusherekea ndani ya uhuru kamili
Na tembea ndani ya mwanga wa uhuru wako
Furahia sababu Yesu Kristo amesema ni wako
Ni wako kabisa.
SHUHUDA
Habari Jina langu ni Victoria makene.
Ni mwana chuo wa miaka 20
Naishi uingereza
Mwezi wa kumi 2021
Nilikua nafanya mazoezi ya mpira wa kikapu chuoni kwangua
Na nikapasuka ACL, na viungo vyao ndani
Nikachanika kabisa
Usiku ule, nilipewa magongo
Nilitumia magongo haya kwa wiki kadhaa
Bila haya sikuweza kutembea
Madaktari waliniambia njia pekee ya mimi kushiriki kwenye
Shughuri za ki mwili au kukimbia ni kufanya upasuaji wa ACL
Ni upasuaji makini Sana na ingenichukua muda mrefu Sana kupona
Lakini naamini kama mkristo nilie zaliwa kwa Mara ya pili
Ni nzuri zaidi kumtafuta Mungu kwanza
Hivyo nikaamua kuwatafuta God's heart TV na kuwaambia kuhusu Hali yangu
Kabla ya maombi haya
Nilikua nasikia vibaya kwenye got langu
Sikuweza kwenda popote bila kidude cha kuvaa kwenye goti
Wakati wa maombi nilifunga macho
Nilikua naomba na ndugu Chris
Nilimruhusu Mungu kuchukua kwangu na mimi kuchukua kwake
Nilikua naomba, nikashika magoti yangu
Nikamuona ndugu Chris akigusa kioo
Sikusikia chochote
Lakini baada ya maombi alipo Sema upo huru
Nikatoa kidude kwenye goti, nikalisikia goti langu
Nikaamua kwenda kwenye korido na kuanza kukimbia juu na chini
Na kuanza kuruka
Sisikii maumivu au kusita Sita kama zamani
Na tangu hapo nilijua nipo huru
Naweza kuruka
Naweza kukimbia
Asante Yesu
Baraka katika Jina la Yesu
Jina langu ni Viviena kutoka Honduras
Nataka kuwaambia kabla hata ndugu Chris hajaanza kuomba
Nilianza kusikia muujiza, Amani ilitawala moyoni mwangu
Nikaanza kusikia uwepo wa Mungu
Katika maombi nilitapika vitu vichachu kutoka mdomoni mwangu
Na nimepona katika Jina la Yesu, nasikia Amani kamili ndani ya Moyo wangu
Namtukuza Yesu
Asante Yesu
Nakupenda Yesu
Habari Jina langu ni Samantha na ninatokea Trinidad na Tobago
Kwanza, napenda kumshukuru Mungu kwa NEEMA ya kuungana na ndugu Chris
Kwa maombi
Wakati wa maombi, mwishoni ndugu Chris alisema
Kila kitu kilicho kinyume na Mungu lazima kitoke
Roho ilitokea ndani yangu ikajidhihirisha na kusema
Kwamba haitoki
Na nikaanza kutetemeka sana
Tulipoendelea na maombi ikatoka
Na nikaanza kujiona mwepesi na nikatapika vitu vya sumu
Napenda kumshukuru Mungu kwa hilo
Habari, naitwa Miriam Mkwena, kutoka Afrika ya kusini
Nilikua na shida ya magoti
Usiku, sikuweza kulala vizuri sababu ya maumivu
Maumivu yalikua yaanzia kwenye paja hadi chini
Ilikua mbaya sana
Wakati anaomba, nilisikia umeme ukipata ndani ya mwili wangu
Kila Mahali, hata kwenye magoti umeme ulipita
Baadae nikasikia gani, kama nataka kupoteza fahamu
Gafla nikasikia kama nataka kukojoa
Nikaanza kukohoa
Nilikohoa mate mate
Baada ya hapo niliinamisha magoti, niliona kabisa nimepona
Nikatoa vidude vya magoti
Kama unavyoona nimevishika mkononi
Nikaanza kuruka na kumsifu Mungu
Nakushukuru Mungu kwa uponyaji
Na Sasa Hakuna tena
Natupa hivi
Kama unavyoona naweza kutembea
Sasa naweza kuruka
Nafanya mazoezi hata kuinama
Nimeponywa
Asante Yesu
Jina langu ni Marcela kutoka Peru
Katika maombi
Nimepokea uhuru na uponyaji
Nimepona kutoka kwa gastritis na vidonda vya timbo
Nimetapika hivi vitu
Nilisikia moto wa nguvu za Mungu
Nimepona na nipo huru kwa utukufu wa Mungu
Jina langu ni Antonia, natokea Ukraine
Na mshukuru Sana Mungu
Kwa nafasi hii ya kuombewa na ndugu Chris
Katika maombi haya, nimekombolewa
Na vitu vya simu vimetoka ndani yangu
Baada ya hayo nikahisi wepesi na furaha Kubwa ndani yangu
Namshukuru Sana Mungu
Jina langu ni Lylyana, natokea Ukraine
Asante kwa maombi kwa ajili ya watu wa Ukraine
Asante Sana kwa maombi yako
Wakati wa maombi nilikua natapika
Na vitu vyeupe vilitoka kutoka kwangu
Nabii Chris alipokua anaomba, nilisikia furaha na raha
Asante Sana Asante kwa kila kitu
Tunafuraha sana
Habari za asubuhi, Emmanuel
Jina langu ni Jeanly kutoka Afrika ya kusini
Nataka kumshukuru Mungu kwa Yale aliyofanya maishani mwangu
Nilipojiunga na maombi jumamosi
Ndugu Chris alipokua akituombea na kuhakikisha
Nilitapika kila kichafu ndani yangu
Nilikua naumba kichwa sana
Yalikua maumivu makali mno
Hata mifupa yangu iliuma
Baada ya kutapika kila kitu
Niamnini sisikii kitu chochote
Kila maumivu yametoweka na nimekua mpya
Na kama Mungu amenifanyia hivyo anaeweza kukufanyia na wewe
Tunatakiwa kua na Imani na kuamini
Habari za asubuhi
Jina langu ni Jane naishi ufaransa
Ushuhuda wangu ni
Nilikua na shida ya meno
Sikuweza kula chakula vizuri
Hata kula cake kilinipa maumivu makali sana
Meno na fidhi zangu ziliuma sana
Sasa najisikia vizuri
Wakati ndugu Chris alipokua akituombea
Nilisikia mwanga, joyo ndani ya kichwa changu, macho na uso
Na nikaanza kutapika
Unaweza kuona nilivyotapika
Asante Yesu kwa uponyaji wangu
Mimi ni Grace kutoka ufilipino
Sasa nipo hapa Qatar
Kutokana na uzoefu wangu na TV ya God's heart
Nilisikia joto kubwa ndani yangu na nikaanza kutapika
Siwezi kuelezea nini kilitokea ndani ya mwili wangu
Na nikaanza kutapika
Sijui nini kimetokea
Namshukuru Mungu
Najua ameniweka huru kwa Jina la bwana wetu Yesu Kristo
Hallelujah, Asante Yesu
Jina langu ni Gert
Natokea Afrika ya kusini
Wakati wa maombi nilitapika vitu vingi
Naweza kusema, Sina maumivu ya kifua tena
Goti langu ni 100%
Hakuna maumivu tena
Nasikia 100%,nasikia huru, nimeponywa mimi ni mpya
Utukufu kwa Mungu
Jina langu ni Haydee kutoka costa Rica.
Namshukuru Mungu kwa siku hii njema
Kupitia ndugu Chris nimepokea uponyaji wangu
Kutoka kwenye maumivu ya mkono
Leo, Mungu ameniponya na kunifikia kwa rehema zake
Jina langu ni Amosi kutoka Zambia
Nataka kumshuhudia uzuri wa Bwana katika Maisha yangu
Kwa Yake ambayo Mungu amefanya ndani yangu
Mtumishi wa Mungu alipokua akituombea
Nilisikia uwepo wa Mungu kwa ukuu sana
Alipokua akituombea
Nilijikuta na tapika vitu
Baada ya kutapika Sasa najisikia huru na mwepesi
Nasikia Sawa ndani ya Moyo wangu
Nina Amani
Habari Jina langu ni Dina
Nilijiunga na maombi kutoka Canada
Nataka kumshukuru ndugu Chris kwa kuruhusu Mungu amtumie
Kufikia watu wengi ulimwengu wote
Nina furaha Sana, na kupata nafasi ya kua mmoja wako
Na wale waliojiunga na maombi leo
Wakati wa maombi
Moja kwa moja ndugu Chris akaanza kuomba
Nilisikia kitu kikitoka mwilini mwangu
Najisikia mwepesi sana
Nasikia Amani ndani yangu
Najua Amani hii I naweza kutoka kwa Mungu tu
Nasikia kupumzika najisikia furaha
Kama mzigo umetolewa kutoka kwangu
Nataka kumshukuru Mungu kweli kwa ajili ya Uponyaji wangu
Asante Yesu.
Jina langu ni Jayson na make wangu Lorna.
Tunatokea Ufilipino
Tatizo kabla ya maombi nilikua na henia
Hernia mwili mzima
Na mwili mzito sana
Hips zangu zilikua zinauma sana
Na make wangu alikua anaumwa hips na magoti na
Mawazo ya hasira kila siku
Wakati wa maombi, tulipoomba to a kwa ajili ya Dhabi zetu na
Nilimuomba Yesu msamaha
Nilisikia kama upepo ukishika kichwa changu
Na nikalisikia kutapika
Baada ya maombi, imekwisha
Hakuna maumivu tena
Hernia yangu haikui
Na mke wangu hana maumivu Tena kwenye goti na hips zake
Asante Sana Yesu kwa kutuponua
Asante Yesu, Amen
Majina yetu ni Eric na Sarah kutoka sweeden
Tunashukuru Mungu kwa maombi ya leo
Yalijawa na nguvu za Rohoni hakika Yesu alikua kazini
Nilijisikia na furaha na kuachiliwa, kutoka kwa uzito moyoni baada ya maombi
Nataka kumshukuru Mungu na kumtukuza
Kwa ajili ya nafasi hii
Kwa upande wangu naona Kuna mwangaza ndani ya Moyo wangu
Nilisikia vitu vikitembea kwenye mikono
Wakati wa maombi na ndugu Chris
Baada ya maombi nasikia wepesi
Giza liliondoka moyoni mwangu
Sijawahi kujisikia hivyo kabla
Na namna nyingine ya furaha
Katika mwili, moyoni mwanga na akilini mwangu
Sasa tunasema Asante Yesu
Jina langu ni Evelin kutoka Argentina
Katika maombi
Nilisikia nguvu za Mungu ndani ya mwili wangu
Kama moto ndani ya tumbo langu, na Sasa nipo huru
Asante Mungu
Kabla ya maombi
Nilikua na maumivu kwenye in, maumivu ya kichwa na sikio
Baada ya maombi kilikitu kilirudishwa
Simwi Tena ini, wala kichwa wala sikio
Naweza kusikia vizuri Sasa kwa utukufu wa Mungu
Jina langu ni Marina kutoka Agerntina
Wakati wa maombi nilisikia uwepo wa Mungu
Na moto kwenye mwili wote
Nimepokea uponyaji kutoka kwa maumivu ya goti
Niliuokua nayasikia nikisimama
Nilikua nasikia kama mifupa yangu inahama
Hii ilosababisha maumivu lakini baada ya maombi
Naweza kusogea bila kupata maumivu yeyote
Asante Yesu.