1 00:00:00,000 --> 00:00:02,840 Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa 2 00:00:02,840 --> 00:00:05,040 achiliwa kutoka kwenye huo utumwa. 3 00:00:05,040 --> 00:00:07,760 achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji 4 00:00:07,760 --> 00:00:14,880 achiliwa, achiliwa katika jina kuu la Yesu Kristo. 5 00:00:14,880 --> 00:00:20,600 unakaribishwa kwenye maombi ya ibada, 6 00:00:20,600 --> 00:00:27,840 hapa God´s heart TV studio north wales nchini uingereza 7 00:00:27,840 --> 00:00:34,880 kwa rehema za Mungu hii ni ibada kwa ajili ya mataifa yote leo. 8 00:00:34,880 --> 00:00:37,520 Tuna watu kutoka mataifa yote duniani 9 00:00:37,520 --> 00:00:43,840 Wanawakilisha mataifa yote hadi n hi 57 10 00:00:43,840 --> 00:00:45,920 Mbali hadi Ukraine 11 00:00:45,920 --> 00:00:51,520 Nchi iliyo ndani ya fikra zetu na maombi yetu hadi sasa 12 00:00:51,520 --> 00:00:57,960 Nataka kumshukuru mioyo yote, Inayo muamnini Yesu 13 00:00:57,960 --> 00:01:03,000 Anae amini kwamba hata kama Kuna umbali Kati yetu 14 00:01:03,000 --> 00:01:05,800 Kutoka hapa nilipo na hapo ulipo 15 00:01:05,800 --> 00:01:11,160 Una amini Yesu Kristo anaenda kukushika Leo, kwa namba ya kipekee 16 00:01:11,160 --> 00:01:15,800 Sababu ni heshima kubwa kumuamini yeye 17 00:01:15,800 --> 00:01:20,520 Ambapo kila maana inapingana nae 18 00:01:20,520 --> 00:01:25,520 Na Mungu anawaheshimu wale wanao muheshimu 19 00:01:25,520 --> 00:01:31,520 Ndio, tumekuja kwa Mungu Leo, tukiamini 20 00:01:31,520 --> 00:01:35,360 Kwa mapenzi Yake yatatukomboa 21 00:01:35,360 --> 00:01:43,440 Kuturejesha, kutuamsha, kutukomboa, kwenye kila kifungo 22 00:01:43,440 --> 00:01:50,760 Acha mapenzi Yake yatimizwe, sababu mapenzi Yake ni amri kwetu 23 00:01:50,760 --> 00:01:55,520 Tunaenda kuomba kwa pamoja katika Jina la Yesu Kristo 24 00:01:55,520 --> 00:02:03,960 Kabla ya maombi ni muhimu tukishibisha mioyo yetu na Neno 25 00:02:03,960 --> 00:02:09,520 Kama biblia inavyosema katika kitabu cha 1 petro 1:23 26 00:02:09,520 --> 00:02:12,000 Kua Neno la Mungu ni kama mbegu 27 00:02:12,000 --> 00:02:19,200 Si kwa mbegu iharibikayo, Inayo Kuja kwenye mioyo yetu 28 00:02:19,200 --> 00:02:22,200 Na kufanya Imani yetu kukua 29 00:02:22,200 --> 00:02:27,080 Sasa, andika hii, na Sema inakuja kwenye mioyo yenu 30 00:02:27,080 --> 00:02:31,080 Moyo wako ni kituo cha maongezi na Mungu 31 00:02:31,080 --> 00:02:36,840 Na ndio maana Imani haisuiani na kuiga matendo ya mwingine 32 00:02:36,840 --> 00:02:38,480 Au kumuiga mtu 33 00:02:38,480 --> 00:02:45,960 Imani lazima iinuke kutoka ndani ya Moyo wako, ndani ya kijito cha moyo 34 00:02:45,960 --> 00:02:47,600 Kutokana na Neno la Mungu 35 00:02:47,600 --> 00:02:52,640 Sasa swali langu ni hili 36 00:02:52,640 --> 00:02:57,200 Moyo wako upo kwenye Hali gani? 37 00:02:57,200 --> 00:02:59,920 Jiulize Hilo swai Sasa hivi 38 00:02:59,920 --> 00:03:03,800 Hali ya Moyo wako ipoje? 39 00:03:03,800 --> 00:03:08,600 Sababu nimejua Leo, kwamba watu wengi wanamtafuta Mungu 40 00:03:08,600 --> 00:03:12,360 Uso wa Mungu, kupumzika kutoka kwenye masumbuko 41 00:03:12,360 --> 00:03:15,480 Kutoka kwenye mapambano 42 00:03:15,480 --> 00:03:21,360 Lakini mioyo Yao haijatulia 43 00:03:21,360 --> 00:03:25,200 Mioyo Yao ina matatizo 44 00:03:25,200 --> 00:03:34,000 Na Yesu anatuambia katika Yohana 14:1,27 45 00:03:34,000 --> 00:03:39,120 Usiache Moyo wako ufadhaike 46 00:03:39,120 --> 00:03:42,040 Hiyo haimaanishi hakutokua na mafadhaiko 47 00:03:42,040 --> 00:03:44,640 Hajawai kusema kua hauyopata matatizo, 48 00:03:44,640 --> 00:03:52,520 Lakini usiache Moyo wako ukafadhaika, maana kama mkristo 49 00:03:52,520 --> 00:03:56,920 Ndio Kuna sababu za kufadhaishwa 50 00:03:56,920 --> 00:04:02,760 Lakini Kuna sababu kuu za kutofadhaika 51 00:04:02,760 --> 00:04:06,320 Hata kama Hakuna utulivu Mahali pote 52 00:04:06,320 --> 00:04:11,640 Angalia Hali ya Dunia kwa Sasa, Hakuna utulivu 53 00:04:11,640 --> 00:04:17,760 Lakini kama mkristo acha Moyo wako uwe katika utulivu 54 00:04:17,760 --> 00:04:22,160 Katika ufahamu kua Mungu yupo na wewe 55 00:04:22,160 --> 00:04:28,960 Kama isaya 41:10 inavyosema, Duniani Kuna majaribu ndio 56 00:04:28,960 --> 00:04:34,320 Lakini kama mkristo acha Moyo wako upate amani 57 00:04:34,320 --> 00:04:41,320 Katika ufahamu wa kua, Mungu ni wako (Warumi 8:31) 58 00:04:41,320 --> 00:04:48,120 Hata kama misukosuko ya Dunia ikikuzunguka na hasira zake 59 00:04:48,120 --> 00:04:55,440 Acha Moyo wako utulie, ndani ya ahadi za Mungu 60 00:04:55,440 --> 00:05:00,600 Kua hatokuacha wala kukutelekeza 61 00:05:00,600 --> 00:05:07,600 Kama maandiko yanavosema katika kitabu cha hebrania 13:5 62 00:05:07,600 --> 00:05:15,960 Sasa watu wa Mungu, kukaza mioyo yenu, mjielekeze kwa Yesu Kristo 63 00:05:15,960 --> 00:05:20,320 Sio Hali yako, sio matatizo yako, sio misukosuko yako 64 00:05:20,320 --> 00:05:22,120 Jielekeze kwa Yesu 65 00:05:22,120 --> 00:05:26,560 Kumbuka ahadi Yake kwetu katika mathayo 11:28 66 00:05:26,560 --> 00:05:30,200 Yesu alisema Njoo kwangu 67 00:05:30,200 --> 00:05:37,000 Nyie mliochoka Nami nitawapumzisha 68 00:05:37,000 --> 00:05:40,400 Kama Mungu ametuahidi pumziko 69 00:05:40,400 --> 00:05:46,720 Hakuna sababu ya mioyo yetu kutotulia 70 00:05:46,720 --> 00:05:51,840 Tunatakiwa kutambua huu ukweli 71 00:05:51,840 --> 00:05:55,400 Kuelewana na ushirika wa Mungu 72 00:05:55,400 --> 00:05:57,400 Sasa hivi, nataka ukiri hili 73 00:05:57,400 --> 00:06:03,320 Nakubaliana na Neno la Mungu 74 00:06:03,320 --> 00:06:08,520 Nakataa Hali yoyote, mazingira yoyote 75 00:06:08,520 --> 00:06:11,000 Ambayo ni kinyume na Neno 76 00:06:11,000 --> 00:06:14,440 Manisha kwa Moyo wako wote 77 00:06:14,440 --> 00:06:20,200 Acha kukiri Kwa smdomo yako, iambatane na moto wako 78 00:06:20,200 --> 00:06:25,360 Na hayo makubulaino, Sasa hivi 79 00:06:25,360 --> 00:06:28,840 Ni muda wa maombi. 80 00:06:28,840 --> 00:06:32,360 Moyo wako lazima uambatane na Mungu 81 00:06:32,360 --> 00:06:35,240 Moyo wako lazima uwe na makubulaino na Mungu 82 00:06:35,240 --> 00:06:39,240 Moyo wako lazima uwe huru, huru kutoka kwenye makosa 83 00:06:39,240 --> 00:06:43,760 Huru kutokana na uchungu, huru kutokana na maumivu ya nyuma 84 00:06:43,760 --> 00:06:47,240 Hivi ni vikwazo vinavyo simama Kati yako na Mungu 85 00:06:47,240 --> 00:06:51,360 Sasa hivi, achana na mambo ya nyuma, 86 00:06:51,360 --> 00:06:55,840 Kaa tayari Kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Sasa hivi 87 00:06:55,840 --> 00:07:03,400 Kosa lolote linalosimama Kati yako na ahadi za Mungu., 88 00:07:03,400 --> 00:07:07,520 Samehewa katika Jina la Yesu. 89 00:07:07,520 --> 00:07:17,640 Spanish 90 00:07:17,640 --> 00:07:22,360 Huo ukuta Kati ya Moyo wako na Roho wa Mungu 91 00:07:22,360 --> 00:07:29,680 Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi 92 00:07:29,680 --> 00:07:37,360 Spanish 93 00:07:37,360 --> 00:07:41,480 Sasa hivi kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo 94 00:07:41,480 --> 00:07:44,520 Achiliwa kwa Jina la Yesu 95 00:07:44,520 --> 00:07:51,160 Spanish 96 00:07:51,160 --> 00:07:55,920 Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa, achiliwa kwenye huo utumwa 97 00:07:55,920 --> 00:07:58,760 Achiliwa kutoka kwenye ukandamizaji 98 00:07:58,760 --> 00:08:02,320 Achiliwa, achiliwa, achiliwa 99 00:08:02,320 --> 00:08:04,960 Katika Jina kuu la Yesu 100 00:08:04,960 --> 00:08:12,640 Spanish 101 00:08:12,640 --> 00:08:19,920 Sasa hivi, naamuru Roho zote, zinazofanya kazi ndani ya Moyo wakk 102 00:08:19,920 --> 00:08:25,640 Kutoka katika Jina la Yesu 103 00:08:25,640 --> 00:08:31,800 Toka Sasa hivi, Toka kwenye mfuko, Toka kwenye ogani 104 00:08:31,800 --> 00:08:33,480 Toka nje Sasa hivi 105 00:08:33,480 --> 00:08:48,240 Spanish 106 00:08:48,240 --> 00:08:52,200 Anza kutapika, toa nje hayo magonjwa, toa hizo sumu 107 00:08:52,200 --> 00:08:55,680 Tapika huo utumwa, tapika huo mfuko Sasa hivi 108 00:08:55,680 --> 00:08:58,480 Wewe magonjwa, wewe ugonjwa 109 00:08:58,480 --> 00:09:01,080 Nasema Toka katika katika Jina la Yesu 110 00:09:01,080 --> 00:09:06,120 Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi katika Jina kuu la Yesu 111 00:09:06,120 --> 00:09:07,880 Toka Sasa hivi 112 00:09:07,880 --> 00:09:17,280 Spanish 113 00:09:17,280 --> 00:09:20,480 Sasa hivi, kama ishara ya imani 114 00:09:20,480 --> 00:09:24,200 Weka mikono wako unapopata maumivu 115 00:09:24,200 --> 00:09:26,200 Una maumivu ya mwili 116 00:09:26,200 --> 00:09:30,440 Weka mikono wako hapo sasa 117 00:09:30,440 --> 00:09:32,120 Fungua Moyo wako 118 00:09:32,120 --> 00:09:39,280 Naongea na wewe Ugonjwa, wewe udhaifu 119 00:09:39,280 --> 00:09:43,760 Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi 120 00:09:43,760 --> 00:09:49,120 Nje ya mfumo wao, nje ya viungo vyao, nje ya vitengo vyao 121 00:09:49,120 --> 00:09:52,880 Toka Sasa hivi, Toka nje sasa 122 00:09:52,880 --> 00:09:54,960 Toka nje Sasa hivi 123 00:09:54,960 --> 00:10:09,280 Spanish 124 00:10:09,280 --> 00:10:13,400 Watu wa Mungu, kaa kwa Hali ya maombi 125 00:10:13,400 --> 00:10:17,840 Unaweza kuiona Yesu Kristo anachofanya Kati yako sahivi 126 00:10:17,840 --> 00:10:22,640 Hata kwa umbali mrefu 127 00:10:22,640 --> 00:10:27,360 Fungua Moyo wako kwa Imani Yake kwa Neno lake na Roho yake 128 00:10:27,360 --> 00:10:30,600 Unaweza kuiona mapepo ya ki jidhihirisha Sasa hivi 129 00:10:30,600 --> 00:10:33,480 Sababu za magonjwa zinatoka nje 130 00:10:33,480 --> 00:10:34,840 Huu ni muda wako 131 00:10:34,840 --> 00:10:37,120 Huu ni muda wako Sasa hivi 132 00:10:37,120 --> 00:10:40,640 Nasema na nyie roho 133 00:10:40,640 --> 00:10:44,160 Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu 134 00:10:44,160 --> 00:10:49,200 Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu, Jina 135 00:10:49,200 --> 00:10:58,120 Spanish 136 00:10:58,120 --> 00:11:03,080 Muombe NEEMA ya kutii Neno lake 137 00:11:03,080 --> 00:11:05,760 Kufanya Neno lake kua kiwango ndani ya Maisha yako 138 00:11:05,760 --> 00:11:09,520 Kufuata Ile njia ya utakaso 139 00:11:09,520 --> 00:11:11,840 Fungua mdomo yako na uombe sasa 140 00:11:11,840 --> 00:11:24,720 Spanish 141 00:11:24,720 --> 00:11:32,120 Katika Jina kuu la Yesu tumeomba. 142 00:11:32,120 --> 00:11:39,520 Kwa mamlaka ndani ya Jina la Yesu Kristo 143 00:11:39,520 --> 00:11:44,280 Na tangazo upo huru Sasa katika Jina la Yesu 144 00:11:44,280 --> 00:11:46,960 Sasa hivi Anza kujiangalia 145 00:11:46,960 --> 00:11:50,840 Umeponywa, unerejeshwa, upo huru 146 00:11:50,840 --> 00:11:53,680 Umefunguliwa, Jiang aloe Sasa hivi 147 00:11:53,680 --> 00:11:56,600 Upo huru, upo huru, upo huru. 148 00:11:56,600 --> 00:12:10,760 Spanish 149 00:12:10,760 --> 00:12:15,520 Sasa Sasa hivi watazamaji duniani kote 150 00:12:15,520 --> 00:12:20,480 Mmeona kazi na nguvu za Mungu 151 00:12:20,480 --> 00:12:24,920 Nguvu za Mungu zikifanya maajabu, Katika Maisha ya watu wake 152 00:12:24,920 --> 00:12:31,320 Mmeona uaminifu, uhakika na uhalisia wa Mungu 153 00:12:31,320 --> 00:12:35,480 Sasa ni muda wako 154 00:12:35,480 --> 00:12:39,240 Mwanamke alietokwa damu 155 00:12:39,240 --> 00:12:42,320 Alifika kumshika Yesu 156 00:12:42,320 --> 00:12:47,120 Ni Imani Yake iliyo mponya kabisa 157 00:12:47,120 --> 00:12:52,840 Naomba Imani yako ikuweke huru leo 158 00:12:52,840 --> 00:12:57,200 Nakuombea Imani yako ikukomboe leo 159 00:12:57,200 --> 00:13:05,600 Nakuombea Imani yakoikuokoe Leo, Katika Jina Kuu la Yesu 160 00:13:05,600 --> 00:13:13,200 Sasa hivi, naamuru Roho zote zinazofanya kazi katika Maisha yako 161 00:13:13,200 --> 00:13:16,640 Kutoka nje katika Jina la Yesu Kristo 162 00:13:16,640 --> 00:13:19,200 Toka nje katika Jina la Yesu Kristo 163 00:13:19,200 --> 00:13:23,760 Roho zote zinazofanya kazi kichwani kwako, Toka nje Sasa hivi 164 00:13:23,760 --> 00:13:28,200 roho zote, zinazofanya kazi kwenye ulimi wako, Toka sasa 165 00:13:28,200 --> 00:13:33,240 roho zote zinazofanya kazi katika macho yako, Toka nje Sasa 166 00:13:33,240 --> 00:13:37,920 roho zote zinazofanya kazi katika masikio yako, Toka nje Sasa 167 00:13:37,920 --> 00:13:46,720 Toka nje Toka nje katika Jina la Yesu Kristo 168 00:13:46,720 --> 00:13:51,880 Eneo lolote Kati a Maisha yako 169 00:13:51,880 --> 00:13:56,280 roho chafu zinazofanya 170 00:13:56,280 --> 00:13:59,640 Kwenye biashara, kwenye kazi 171 00:13:59,640 --> 00:14:05,520 Kwenye fedha, kwenye ndoa, kwenye familia 172 00:14:05,520 --> 00:14:10,640 Toka nje, Toka nje Sasa, Katika Jina Kuu la Yesu 173 00:14:10,640 --> 00:14:18,560 Na kuwe huru na uwe huru sasa 174 00:14:18,560 --> 00:14:25,600 Bwana Yesu Kristo, Neno lako linathibitisha uhuru 175 00:14:25,600 --> 00:14:29,000 Neno lako linadai uhuru 176 00:14:29,000 --> 00:14:33,520 Sasa hivi, ninadai udhuru Sasa hivi 177 00:14:33,520 --> 00:14:38,160 Udhuru kwa roho yangu, udhuru kwa nafsi yangu 178 00:14:38,160 --> 00:14:42,480 179 00:14:42,480 --> 00:14:47,000 Uhuru kwa mwili wangu, Uhuru kwa roho yako 180 00:14:47,000 --> 00:14:50,760 Uhuru kwa roho yako. Uhuru kwa mwili wako 181 00:14:50,760 --> 00:14:57,040 Katika Jina kuu la Yesu Kristo 182 00:14:57,040 --> 00:15:00,200 Asante Yesu kwa uhuru wako 183 00:15:00,200 --> 00:15:03,120 Asante Yesu kwa uhuru wako 184 00:15:03,120 --> 00:15:07,200 Asante Yesu kwa nguvu za uponyaji wako 185 00:15:07,200 --> 00:15:13,640 Watu wa Mungu anzeni kusherekea ndani ya uhuru kamili 186 00:15:13,640 --> 00:15:18,560 Na tembea ndani ya mwanga wa uhuru wako 187 00:15:18,560 --> 00:15:24,480 Furahia sababu Yesu Kristo amesema ni wako 188 00:15:24,480 --> 00:15:26,840 Ni wako kabisa. 189 00:15:26,840 --> 00:15:29,680 SHUHUDA 190 00:15:29,680 --> 00:15:31,120 Habari Jina langu ni Victoria makene. 191 00:15:31,120 --> 00:15:33,280 Ni mwana chuo wa miaka 20 192 00:15:33,280 --> 00:15:35,480 Naishi uingereza 193 00:15:35,480 --> 00:15:38,360 Mwezi wa kumi 2021 194 00:15:38,360 --> 00:15:42,280 Nilikua nafanya mazoezi ya mpira wa kikapu chuoni kwangua 195 00:15:42,280 --> 00:15:45,760 Na nikapasuka ACL, na viungo vyao ndani 196 00:15:45,760 --> 00:15:47,520 Nikachanika kabisa 197 00:15:47,520 --> 00:15:49,440 Usiku ule, nilipewa magongo 198 00:15:49,440 --> 00:15:52,560 Nilitumia magongo haya kwa wiki kadhaa 199 00:15:52,560 --> 00:15:58,720 Bila haya sikuweza kutembea 200 00:15:58,720 --> 00:16:04,520 Madaktari waliniambia njia pekee ya mimi kushiriki kwenye 201 00:16:04,520 --> 00:16:09,040 Shughuri za ki mwili au kukimbia ni kufanya upasuaji wa ACL 202 00:16:09,040 --> 00:16:14,800 Ni upasuaji makini Sana na ingenichukua muda mrefu Sana kupona 203 00:16:14,800 --> 00:16:17,440 Lakini naamini kama mkristo nilie zaliwa kwa Mara ya pili 204 00:16:17,440 --> 00:16:20,160 Ni nzuri zaidi kumtafuta Mungu kwanza 205 00:16:20,160 --> 00:16:25,200 Hivyo nikaamua kuwatafuta God's heart TV na kuwaambia kuhusu Hali yangu 206 00:16:25,200 --> 00:16:28,440 Kabla ya maombi haya 207 00:16:28,440 --> 00:16:31,560 Nilikua nasikia vibaya kwenye got langu 208 00:16:31,560 --> 00:16:35,480 Sikuweza kwenda popote bila kidude cha kuvaa kwenye goti 209 00:16:35,480 --> 00:16:37,200 Wakati wa maombi nilifunga macho 210 00:16:37,200 --> 00:16:38,960 Nilikua naomba na ndugu Chris 211 00:16:38,960 --> 00:16:43,480 Nilimruhusu Mungu kuchukua kwangu na mimi kuchukua kwake 212 00:16:43,480 --> 00:16:47,160 Nilikua naomba, nikashika magoti yangu 213 00:16:47,160 --> 00:16:48,960 Nikamuona ndugu Chris akigusa kioo 214 00:16:48,960 --> 00:16:50,840 Sikusikia chochote 215 00:16:50,840 --> 00:16:53,960 Lakini baada ya maombi alipo Sema upo huru 216 00:16:53,960 --> 00:16:56,360 Nikatoa kidude kwenye goti, nikalisikia goti langu 217 00:16:56,360 --> 00:16:59,680 Nikaamua kwenda kwenye korido na kuanza kukimbia juu na chini 218 00:16:59,680 --> 00:17:00,680 Na kuanza kuruka 219 00:17:00,680 --> 00:17:03,960 Sisikii maumivu au kusita Sita kama zamani 220 00:17:03,960 --> 00:17:06,880 Na tangu hapo nilijua nipo huru 221 00:17:06,880 --> 00:17:10,000 Naweza kuruka 222 00:17:10,000 --> 00:17:11,200 Naweza kukimbia 223 00:17:11,200 --> 00:17:15,120 Asante Yesu 224 00:17:15,120 --> 00:17:17,400 Baraka katika Jina la Yesu 225 00:17:17,400 --> 00:17:21,680 Jina langu ni Viviena kutoka Honduras 226 00:17:21,680 --> 00:17:27,520 Nataka kuwaambia kabla hata ndugu Chris hajaanza kuomba 227 00:17:27,520 --> 00:17:36,520 Nilianza kusikia muujiza, Amani ilitawala moyoni mwangu 228 00:17:36,520 --> 00:17:40,360 Nikaanza kusikia uwepo wa Mungu 229 00:17:40,360 --> 00:17:47,080 Katika maombi nilitapika vitu vichachu kutoka mdomoni mwangu 230 00:17:47,080 --> 00:17:52,560 Na nimepona katika Jina la Yesu, nasikia Amani kamili ndani ya Moyo wangu 231 00:17:52,560 --> 00:17:54,080 Namtukuza Yesu 232 00:17:54,080 --> 00:17:56,280 Asante Yesu 233 00:17:56,280 --> 00:17:58,080 Nakupenda Yesu 234 00:17:58,080 --> 00:18:01,800 Habari Jina langu ni Samantha na ninatokea Trinidad na Tobago 235 00:18:01,800 --> 00:18:05,440 Kwanza, napenda kumshukuru Mungu kwa NEEMA ya kuungana na ndugu Chris 236 00:18:05,440 --> 00:18:07,640 Kwa maombi 237 00:18:07,640 --> 00:18:11,200 Wakati wa maombi, mwishoni ndugu Chris alisema 238 00:18:11,200 --> 00:18:14,240 Kila kitu kilicho kinyume na Mungu lazima kitoke 239 00:18:14,240 --> 00:18:16,640 Roho ilitokea ndani yangu ikajidhihirisha na kusema 240 00:18:16,640 --> 00:18:19,040 Kwamba haitoki 241 00:18:19,040 --> 00:18:22,880 Na nikaanza kutetemeka sana 242 00:18:22,880 --> 00:18:26,760 Tulipoendelea na maombi ikatoka 243 00:18:26,760 --> 00:18:33,320 Na nikaanza kujiona mwepesi na nikatapika vitu vya sumu 244 00:18:33,320 --> 00:18:35,000 Napenda kumshukuru Mungu kwa hilo 245 00:18:35,000 --> 00:18:41,040 Habari, naitwa Miriam Mkwena, kutoka Afrika ya kusini 246 00:18:41,040 --> 00:18:48,000 Nilikua na shida ya magoti 247 00:18:48,000 --> 00:18:52,360 Usiku, sikuweza kulala vizuri sababu ya maumivu 248 00:18:52,360 --> 00:18:56,760 Maumivu yalikua yaanzia kwenye paja hadi chini 249 00:18:56,760 --> 00:18:58,760 Ilikua mbaya sana 250 00:18:58,760 --> 00:19:04,040 Wakati anaomba, nilisikia umeme ukipata ndani ya mwili wangu 251 00:19:04,040 --> 00:19:09,960 Kila Mahali, hata kwenye magoti umeme ulipita 252 00:19:09,960 --> 00:19:14,000 Baadae nikasikia gani, kama nataka kupoteza fahamu 253 00:19:14,000 --> 00:19:18,840 Gafla nikasikia kama nataka kukojoa 254 00:19:18,840 --> 00:19:21,560 Nikaanza kukohoa 255 00:19:21,560 --> 00:19:26,240 Nilikohoa mate mate 256 00:19:26,240 --> 00:19:31,440 Baada ya hapo niliinamisha magoti, niliona kabisa nimepona 257 00:19:31,440 --> 00:19:34,240 Nikatoa vidude vya magoti 258 00:19:34,240 --> 00:19:37,480 Kama unavyoona nimevishika mkononi 259 00:19:37,480 --> 00:19:40,560 Nikaanza kuruka na kumsifu Mungu 260 00:19:40,560 --> 00:19:42,400 Nakushukuru Mungu kwa uponyaji 261 00:19:42,400 --> 00:19:45,800 Na Sasa Hakuna tena 262 00:19:45,800 --> 00:19:48,640 Natupa hivi 263 00:19:48,640 --> 00:19:54,320 Kama unavyoona naweza kutembea 264 00:19:54,320 --> 00:19:57,440 Sasa naweza kuruka 265 00:19:57,440 --> 00:20:02,840 Nafanya mazoezi hata kuinama 266 00:20:02,840 --> 00:20:04,800 Nimeponywa 267 00:20:04,800 --> 00:20:06,200 Asante Yesu 268 00:20:06,200 --> 00:20:11,440 Jina langu ni Marcela kutoka Peru 269 00:20:11,440 --> 00:20:15,640 Katika maombi 270 00:20:15,640 --> 00:20:18,840 Nimepokea uhuru na uponyaji 271 00:20:18,840 --> 00:20:23,200 Nimepona kutoka kwa gastritis na vidonda vya timbo 272 00:20:23,200 --> 00:20:27,960 Nimetapika hivi vitu 273 00:20:27,960 --> 00:20:32,200 Nilisikia moto wa nguvu za Mungu 274 00:20:32,200 --> 00:20:35,560 Nimepona na nipo huru kwa utukufu wa Mungu 275 00:20:35,560 --> 00:20:38,360 Jina langu ni Antonia, natokea Ukraine 276 00:20:38,360 --> 00:20:40,720 Na mshukuru Sana Mungu 277 00:20:44,880 --> 00:20:52,880 Kwa nafasi hii ya kuombewa na ndugu Chris 278 00:20:52,880 --> 00:20:59,440 Katika maombi haya, nimekombolewa 279 00:20:59,440 --> 00:21:05,920 Na vitu vya simu vimetoka ndani yangu 280 00:21:05,920 --> 00:21:12,960 Baada ya hayo nikahisi wepesi na furaha Kubwa ndani yangu 281 00:21:12,960 --> 00:21:16,720 Namshukuru Sana Mungu 282 00:21:16,720 --> 00:21:20,880 Jina langu ni Lylyana, natokea Ukraine 283 00:21:20,880 --> 00:21:24,080 Asante kwa maombi kwa ajili ya watu wa Ukraine 284 00:21:24,080 --> 00:21:27,800 Asante Sana kwa maombi yako 285 00:21:27,800 --> 00:21:31,240 Wakati wa maombi nilikua natapika 286 00:21:31,240 --> 00:21:34,240 Na vitu vyeupe vilitoka kutoka kwangu 287 00:21:34,240 --> 00:21:43,200 Nabii Chris alipokua anaomba, nilisikia furaha na raha 288 00:21:43,200 --> 00:21:45,800 Asante Sana Asante kwa kila kitu 289 00:21:45,800 --> 00:21:47,280 Tunafuraha sana 290 00:21:47,280 --> 00:21:53,280 Habari za asubuhi, Emmanuel 291 00:21:53,280 --> 00:21:56,640 Jina langu ni Jeanly kutoka Afrika ya kusini 292 00:21:56,640 --> 00:22:00,840 Nataka kumshukuru Mungu kwa Yale aliyofanya maishani mwangu 293 00:22:00,840 --> 00:22:04,040 Nilipojiunga na maombi jumamosi 294 00:22:04,040 --> 00:22:07,720 Ndugu Chris alipokua akituombea na kuhakikisha 295 00:22:07,720 --> 00:22:11,320 Nilitapika kila kichafu ndani yangu 296 00:22:11,320 --> 00:22:13,640 Nilikua naumba kichwa sana 297 00:22:13,640 --> 00:22:14,880 Yalikua maumivu makali mno 298 00:22:14,880 --> 00:22:17,280 Hata mifupa yangu iliuma 299 00:22:17,280 --> 00:22:19,480 Baada ya kutapika kila kitu 300 00:22:19,480 --> 00:22:22,880 Niamnini sisikii kitu chochote 301 00:22:22,880 --> 00:22:26,480 Kila maumivu yametoweka na nimekua mpya 302 00:22:26,480 --> 00:22:30,960 Na kama Mungu amenifanyia hivyo anaeweza kukufanyia na wewe 303 00:22:30,960 --> 00:22:35,120 Tunatakiwa kua na Imani na kuamini 304 00:22:35,120 --> 00:22:36,040 Habari za asubuhi 305 00:22:36,040 --> 00:22:40,120 Jina langu ni Jane naishi ufaransa 306 00:22:40,120 --> 00:22:43,720 Ushuhuda wangu ni 307 00:22:43,720 --> 00:22:46,680 Nilikua na shida ya meno 308 00:22:46,680 --> 00:22:52,400 Sikuweza kula chakula vizuri 309 00:22:52,400 --> 00:22:56,880 Hata kula cake kilinipa maumivu makali sana 310 00:22:56,880 --> 00:22:59,240 Meno na fidhi zangu ziliuma sana 311 00:22:59,240 --> 00:23:00,760 Sasa najisikia vizuri 312 00:23:00,760 --> 00:23:04,000 Wakati ndugu Chris alipokua akituombea 313 00:23:04,000 --> 00:23:12,640 Nilisikia mwanga, joyo ndani ya kichwa changu, macho na uso 314 00:23:12,640 --> 00:23:14,320 Na nikaanza kutapika 315 00:23:14,320 --> 00:23:21,440 Unaweza kuona nilivyotapika 316 00:23:21,440 --> 00:23:24,600 Asante Yesu kwa uponyaji wangu 317 00:23:24,600 --> 00:23:26,960 Mimi ni Grace kutoka ufilipino 318 00:23:26,960 --> 00:23:30,920 Sasa nipo hapa Qatar 319 00:23:30,960 --> 00:23:35,000 Kutokana na uzoefu wangu na TV ya God's heart 320 00:23:35,000 --> 00:23:43,600 Nilisikia joto kubwa ndani yangu na nikaanza kutapika 321 00:23:43,600 --> 00:23:47,760 Siwezi kuelezea nini kilitokea ndani ya mwili wangu 322 00:23:47,760 --> 00:23:50,880 Na nikaanza kutapika 323 00:23:50,880 --> 00:23:56,200 Sijui nini kimetokea 324 00:23:56,200 --> 00:23:58,400 Namshukuru Mungu 325 00:23:58,400 --> 00:24:03,640 Najua ameniweka huru kwa Jina la bwana wetu Yesu Kristo 326 00:24:03,640 --> 00:24:08,880 Hallelujah, Asante Yesu 327 00:24:08,880 --> 00:24:10,520 328 00:24:10,520 --> 00:24:13,800 329 00:24:13,800 --> 00:24:27,960 330 00:24:27,960 --> 00:24:33,320 331 00:24:33,320 --> 00:24:38,320 332 00:24:38,320 --> 00:24:40,840 333 00:24:40,840 --> 00:24:50,000 334 00:24:50,000 --> 00:24:52,000 335 00:24:52,000 --> 00:24:55,880 336 00:24:55,880 --> 00:25:00,440 337 00:25:00,440 --> 00:25:04,840 338 00:25:04,840 --> 00:25:10,800 339 00:25:10,800 --> 00:25:15,720 340 00:25:15,720 --> 00:25:19,200 341 00:25:19,200 --> 00:25:23,720 342 00:25:23,720 --> 00:25:30,840 343 00:25:30,840 --> 00:25:34,600 344 00:25:34,600 --> 00:25:39,120 345 00:25:39,120 --> 00:25:41,840 346 00:25:41,840 --> 00:25:46,680 347 00:25:46,680 --> 00:25:50,280 348 00:25:50,280 --> 00:25:53,000 349 00:25:53,000 --> 00:25:55,200 350 00:25:55,200 --> 00:25:56,760 351 00:25:56,760 --> 00:26:00,400 352 00:26:00,400 --> 00:26:06,880 353 00:26:06,880 --> 00:26:10,360 354 00:26:10,360 --> 00:26:14,520 355 00:26:14,520 --> 00:26:17,760 356 00:26:17,760 --> 00:26:21,480 357 00:26:21,480 --> 00:26:23,680 358 00:26:23,680 --> 00:26:26,840 359 00:26:26,840 --> 00:26:29,680 360 00:26:29,680 --> 00:26:31,960 361 00:26:31,960 --> 00:26:36,600 362 00:26:36,600 --> 00:26:39,480 363 00:26:39,480 --> 00:26:43,240 364 00:26:43,240 --> 00:26:45,600 365 00:26:45,600 --> 00:26:47,120 366 00:26:47,120 --> 00:26:49,360 367 00:26:49,360 --> 00:26:51,280 368 00:26:51,280 --> 00:26:54,920 369 00:26:54,920 --> 00:26:57,520 370 00:26:57,520 --> 00:26:59,480 371 00:26:59,480 --> 00:27:01,520 372 00:27:01,520 --> 00:27:06,920 373 00:27:06,920 --> 00:27:12,320 374 00:27:12,320 --> 00:27:19,440 375 00:27:19,440 --> 00:27:21,920 376 00:27:21,920 --> 00:27:28,440 377 00:27:28,440 --> 00:27:30,760 378 00:27:30,760 --> 00:27:33,600 379 00:27:33,600 --> 00:27:34,600 380 00:27:34,600 --> 00:27:36,600 381 00:27:36,600 --> 00:27:42,120 382 00:27:42,120 --> 00:27:44,840 383 00:27:44,840 --> 00:27:46,920 384 00:27:46,920 --> 00:27:53,760 385 00:27:53,760 --> 00:27:56,000 386 00:27:56,000 --> 00:28:04,600 387 00:28:04,600 --> 00:28:10,000 388 00:28:10,000 --> 00:28:12,160 389 00:28:12,160 --> 00:28:15,640 390 00:28:15,640 --> 00:28:21,840 391 00:28:21,840 --> 00:28:27,160 392 00:28:27,160 --> 00:28:31,200 393 00:28:31,200 --> 00:28:35,560 394 00:28:35,560 --> 00:28:41,480 395 00:28:41,480 --> 00:28:47,360 396 00:28:47,360 --> 00:28:51,160 397 00:28:51,160 --> 00:28:55,240 398 00:28:55,240 --> 00:28:58,400 399 00:28:58,400 --> 00:29:01,320 400 00:29:01,320 --> 00:29:04,200 401 00:29:04,200 --> 00:29:09,000 402 00:29:09,000 --> 00:29:14,120 403 00:29:14,120 --> 00:29:15,880 404 00:29:15,880 --> 00:29:18,840 405 00:29:18,840 --> 00:29:24,240 406 00:29:24,240 --> 00:29:27,440 407 00:29:27,440 --> 00:29:30,880 408 00:29:30,880 --> 00:29:33,880 409 00:29:33,880 --> 00:29:36,800 410 00:29:36,800 --> 00:29:39,880 411 00:29:39,880 --> 00:29:42,640 412 00:29:42,640 --> 00:29:44,960 413 00:29:44,960 --> 00:29:48,160 414 00:29:48,160 --> 00:29:53,280 415 00:29:53,280 --> 00:29:56,760 416 00:29:56,760 --> 00:30:04,240 417 00:30:04,240 --> 00:30:05,760