Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa
achiliwa kutoka kwenye huo utumwa.
achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji
achiliwa, achiliwa katika jina kuu
la Yesu Kristo.
unakaribishwa kwenye maombi ya ibada,
hapa God´s heart TV studio north wales
nchini uingereza
kwa rehema za Mungu hii ni ibada
kwa ajili ya mataifa yote leo.
Tuna watu kutoka mataifa yote duniani
Wanawakilisha mataifa yote hadi n hi 57
Mbali hadi Ukraine
Nchi iliyo ndani ya fikra zetu na maombi yetu hadi sasa
Nataka kumshukuru mioyo yote, Inayo muamnini Yesu
Anae amini kwamba hata kama Kuna umbali Kati yetu
Kutoka hapa nilipo na hapo ulipo
Una amini Yesu Kristo anaenda kukushika Leo, kwa namba ya kipekee
Sababu ni heshima kubwa kumuamini yeye
Ambapo kila maana inapingana nae
Na Mungu anawaheshimu wale wanao muheshimu
Ndio, tumekuja kwa Mungu Leo, tukiamini
Kwa mapenzi Yake yatatukomboa
Kuturejesha, kutuamsha, kutukomboa, kwenye kila kifungo
Acha mapenzi Yake yatimizwe, sababu mapenzi Yake ni amri kwetu
Tunaenda kuomba kwa pamoja katika Jina la Yesu Kristo
Kabla ya maombi ni muhimu tukishibisha mioyo yetu na Neno
Kama biblia inavyosema katika kitabu cha 1 petro 1:23
Kua Neno la Mungu ni kama mbegu
Si kwa mbegu iharibikayo, Inayo Kuja kwenye mioyo yetu
Na kufanya Imani yetu kukua
Sasa, andika hii, na Sema inakuja kwenye mioyo yenu
Moyo wako ni kituo cha maongezi na Mungu
Na ndio maana Imani haisuiani na kuiga matendo ya mwingine
Au kumuiga mtu
Imani lazima iinuke kutoka ndani ya Moyo wako, ndani ya kijito cha moyo
Kutokana na Neno la Mungu
Sasa swali langu ni hili
Moyo wako upo kwenye Hali gani?
Jiulize Hilo swai Sasa hivi
Hali ya Moyo wako ipoje?
Sababu nimejua Leo, kwamba watu wengi wanamtafuta Mungu
Uso wa Mungu, kupumzika kutoka kwenye masumbuko
Kutoka kwenye mapambano
Lakini mioyo Yao haijatulia
Mioyo Yao ina matatizo
Na Yesu anatuambia katika Yohana 14:1,27
Usiache Moyo wako ufadhaike
Hiyo haimaanishi hakutokua na mafadhaiko
Hajawai kusema kua hauyopata matatizo,
Lakini usiache Moyo wako ukafadhaika, maana kama mkristo
Ndio Kuna sababu za kufadhaishwa
Lakini Kuna sababu kuu za kutofadhaika
Hata kama Hakuna utulivu Mahali pote
Angalia Hali ya Dunia kwa Sasa, Hakuna utulivu
Lakini kama mkristo acha Moyo wako uwe katika utulivu
Katika ufahamu kua Mungu yupo na wewe
Kama isaya 41:10 inavyosema, Duniani Kuna majaribu ndio
Lakini kama mkristo acha Moyo wako upate amani
Katika ufahamu wa kua, Mungu ni wako (Warumi 8:31)
Hata kama misukosuko ya Dunia ikikuzunguka na hasira zake
Acha Moyo wako utulie, ndani ya ahadi za Mungu
Kua hatokuacha wala kukutelekeza
Kama maandiko yanavosema katika kitabu cha hebrania 13:5
Sasa watu wa Mungu, kukaza mioyo yenu, mjielekeze kwa Yesu Kristo
Sio Hali yako, sio matatizo yako, sio misukosuko yako
Jielekeze kwa Yesu
Kumbuka ahadi Yake kwetu katika mathayo 11:28
Yesu alisema Njoo kwangu
Nyie mliochoka Nami nitawapumzisha
Kama Mungu ametuahidi pumziko
Hakuna sababu ya mioyo yetu kutotulia
Tunatakiwa kutambua huu ukweli
Kuelewana na ushirika wa Mungu
Sasa hivi, nataka ukiri hili
Nakubaliana na Neno la Mungu
Nakataa Hali yoyote, mazingira yoyote
Ambayo ni kinyume na Neno
Manisha kwa Moyo wako wote
Acha kukiri Kwa smdomo yako, iambatane na moto wako
Na hayo makubulaino, Sasa hivi
Ni muda wa maombi.
Moyo wako lazima uambatane na Mungu
Moyo wako lazima uwe na makubulaino na Mungu
Moyo wako lazima uwe huru, huru kutoka kwenye makosa
Huru kutokana na uchungu, huru kutokana na maumivu ya nyuma
Hivi ni vikwazo vinavyo simama Kati yako na Mungu
Sasa hivi, achana na mambo ya nyuma,
Kaa tayari Kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Sasa hivi
Kosa lolote linalosimama Kati yako na ahadi za Mungu.,
Samehewa katika Jina la Yesu.
Spanish
Huo ukuta Kati ya Moyo wako na Roho wa Mungu
Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi
Spanish
Sasa hivi kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo
Achiliwa kwa Jina la Yesu
Spanish
Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa, achiliwa kwenye huo utumwa
Achiliwa kutoka kwenye ukandamizaji
Achiliwa, achiliwa, achiliwa
Katika Jina kuu la Yesu
Spanish
Sasa hivi, naamuru Roho zote, zinazofanya kazi ndani ya Moyo wakk
Kutoka katika Jina la Yesu
Toka Sasa hivi, Toka kwenye mfuko, Toka kwenye ogani
Toka nje Sasa hivi
Spanish
Anza kutapika, toa nje hayo magonjwa, toa hizo sumu
Tapika huo utumwa, tapika huo mfuko Sasa hivi
Wewe magonjwa, wewe ugonjwa
Nasema Toka katika katika Jina la Yesu
Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi katika Jina kuu la Yesu
Toka Sasa hivi
Spanish
Sasa hivi, kama ishara ya imani
Weka mikono wako unapopata maumivu
Una maumivu ya mwili
Weka mikono wako hapo sasa
Fungua Moyo wako
Naongea na wewe Ugonjwa, wewe udhaifu
Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi
Nje ya mfumo wao, nje ya viungo vyao, nje ya vitengo vyao
Toka Sasa hivi, Toka nje sasa
Toka nje Sasa hivi
Spanish
Watu wa Mungu, kaa kwa Hali ya maombi
Unaweza kuiona Yesu Kristo anachofanya Kati yako sahivi
Hata kwa umbali mrefu
Fungua Moyo wako kwa Imani Yake kwa Neno lake na Roho yake
Unaweza kuiona mapepo ya ki jidhihirisha Sasa hivi
Sababu za magonjwa zinatoka nje
Huu ni muda wako
Huu ni muda wako Sasa hivi
Nasema na nyie roho
Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu
Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu, Jina
Spanish
Muombe NEEMA ya kutii Neno lake
Kufanya Neno lake kua kiwango ndani ya Maisha yako
Kufuata Ile njia ya utakaso
Fungua mdomo yako na uombe sasa
Spanish
Katika Jina kuu la Yesu tumeomba.
Kwa mamlaka ndani ya Jina la Yesu Kristo
Na tangazo upo huru Sasa katika Jina la Yesu
Sasa hivi Anza kujiangalia
Umeponywa, unerejeshwa, upo huru
Umefunguliwa, Jiang aloe Sasa hivi
Upo huru, upo huru, upo huru.
Spanish
Sasa Sasa hivi watazamaji duniani kote
Mmeona kazi na nguvu za Mungu
Nguvu za Mungu zikifanya maajabu, Katika Maisha ya watu wake
Mmeona uaminifu, uhakika na uhalisia wa Mungu
Sasa ni muda wako
Mwanamke alietokwa damu
Alifika kumshika Yesu
Ni Imani Yake iliyo mponya kabisa
Naomba Imani yako ikuweke huru leo
Nakuombea Imani yako ikukomboe leo
Nakuombea Imani yakoikuokoe Leo, Katika Jina Kuu la Yesu
Sasa hivi, naamuru Roho zote zinazofanya kazi katika Maisha yako
Kutoka nje katika Jina la Yesu Kristo
Toka nje katika Jina la Yesu Kristo
Roho zote zinazofanya kazi kichwani kwako, Toka nje Sasa hivi
roho zote, zinazofanya kazi kwenye ulimi wako, Toka sasa
roho zote zinazofanya kazi katika macho yako, Toka nje Sasa
roho zote zinazofanya kazi katika masikio yako, Toka nje Sasa
Toka nje Toka nje katika Jina la Yesu Kristo
Eneo lolote Kati a Maisha yako
roho chafu zinazofanya
Kwenye biashara, kwenye kazi
Kwenye fedha, kwenye ndoa, kwenye familia
Toka nje, Toka nje Sasa, Katika Jina Kuu la Yesu
Na kuwe huru na uwe huru sasa
Bwana Yesu Kristo, Neno lako linathibitisha uhuru
Neno lako linadai uhuru
Sasa hivi, ninadai udhuru Sasa hivi
Udhuru kwa roho yangu, udhuru kwa nafsi yangu
Uhuru kwa mwili wangu, Uhuru kwa roho yako
Uhuru kwa roho yako. Uhuru kwa mwili wako
Katika Jina kuu la Yesu Kristo
Asante Yesu kwa uhuru wako
Asante Yesu kwa uhuru wako
Asante Yesu kwa nguvu za uponyaji wako
Watu wa Mungu anzeni kusherekea ndani ya uhuru kamili
Na tembea ndani ya mwanga wa uhuru wako
Furahia sababu Yesu Kristo amesema ni wako
Ni wako kabisa.
SHUHUDA