Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa achiliwa kutoka kwenye huo utumwa. achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji achiliwa, achiliwa katika jina kuu la Yesu Kristo. unakaribishwa kwenye maombi ya ibada, hapa God´s heart TV studio north wales nchini uingereza kwa rehema za Mungu hii ni ibada kwa ajili ya mataifa yote leo. Tuna watu kutoka mataifa yote duniani Wanawakilisha mataifa yote hadi n hi 57 Mbali hadi Ukraine Nchi iliyo ndani ya fikra zetu na maombi yetu hadi sasa Nataka kumshukuru mioyo yote, Inayo muamnini Yesu Anae amini kwamba hata kama Kuna umbali Kati yetu Kutoka hapa nilipo na hapo ulipo Una amini Yesu Kristo anaenda kukushika Leo, kwa namba ya kipekee Sababu ni heshima kubwa kumuamini yeye Ambapo kila maana inapingana nae Na Mungu anawaheshimu wale wanao muheshimu Ndio, tumekuja kwa Mungu Leo, tukiamini Kwa mapenzi Yake yatatukomboa Kuturejesha, kutuamsha, kutukomboa, kwenye kila kifungo Acha mapenzi Yake yatimizwe, sababu mapenzi Yake ni amri kwetu Tunaenda kuombea kwa pamoja katika Jina la Yesu Kristo Kabla ya maombi ni muhimu tukishibisha mioyo yetu na Neno Kama biblia inavyosema katika kitabu cha 1 petro 1:23 Kua Neno la Mungu ni kama mbegu Si kwa mbegu iharibikayo, Inayo Kuja kwenye mioyo yetu Na kufanya Imani yetu kukua Sasa, andika hii, na Sema inakuja kwenye mioyo yenu Moyo wako ni kituo cha maongezi na Mungu Na ndio maana Imani haisuiani na kuiga matendo ya mwingine Au kumuiga mtu Imani lazima iinuke kutoka ndani ya Moyo wako, ndani ya kijito cha moyo Kutokana na Neno la Mungu Sasa swai langu ni hili Moyo wako upoje? Jiulize Hilo swai Sasa hivi Hali ya Moyo wako ipoje? Sababu nimejua Leo, kwamba watu wengi wanamtafuta Mungu Uso wa Mungu, kupumzika kutoka kwenye masumbuko Kutoka kwenye mapambano Lakini mioyo Yao haijatulia Mioyo Yao ina matatizo Na Yesu anatuambia katika Yohana 14:1,27 Usiache Moyo wako ufadhaike Hiyo haimaanishi hakutokua na mafadhaiko Hajawai kusema kua hauyopata matatizo, Lakini usiache Moyo wako ukafadhaika, maana kama mkristo Ndio Kuna sababu za kufadhaishwa Lakini Kuna sababu kuu za kutofadhaika Hata kama Hakuna utulivu Mahali pote Angalia Hali ya Dunia kwa Sasa, Hakuna utulivu Lakini kama mkristo acha Moyo wako uwe katika utulivu Katika ufahamu kua Mungu yupo na wewe Kama isaya 41:10 inavyosema, Duniani Kuna majaribu ndio Lakini kama mkristo acha Moyo wako upate amani Katika ufahamu wa kua, Mungu ni wako (Warumi 8:31) Hata kama misukosuko ya Dunia ikikuzunguka na hasira zake Acha Moyo wako utulie, ndani ya ahadi za Mungu Kua hatokuacha wala kukutelekeza Kama maandiko yanavosema katika kitabu cha hebrania 13:5 Sasa watu wa Mungu, kukaza mioyo yenu, mjielekeze kwa Yesu Kristo Sio Hali yako, sio matatizo yako, sio misukosuko yako Jielekeze kwa Yesu Kumbuka ahadi Yake kwetu katika mathayo 11:28 Yesu alisema Njoo kwangu Nyie mliochoka Nami nitawapumzisha Kama Mungu ametuahidi pumziko Hakuna sababu ya mioyo yetu kutotulia Tunatakiwa kutambua huu ukweli Kuelewana na ushirika wa Mungu Sasa hivi, nataka ukiri hili Nakubaliana na Neno la Mungu Nakataa Hali yoyote, mazingira yoyote Ambayo ni kinyume na Neno Manisha kwa Moyo wako wote Acha kukiri Kw mdomo yako, iambatane na moto wako Na hayo makubulaino, Sasa hivi Ni muda wa maombi. Moyo wako lazima uambatane na Mungu Moyo wako lazima uwe na makubulaino na Mungu Moyo wako lazima uwe huru, huru kutoka kwenye makosa Huru kutokana na uchungu, huru kutokana na maumivu ya nyuma Hivi ni vikwazo vinavyo simama Kati yako na Mungu Sasa hivi, achana na mambo ya nyuma, Kaa tayari Kupokea kutoka kwa Yesu Kristo Sasa hivi Kosa lolote linalosimama Kati yako na ahadi za Mungu., Samehewa katika Jina la Yesu. Spanish Huo ukuta Kati ya Moyo wako na Roho wa Mungu Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi, Toka Sasa hivi Spanish Sasa hivi kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo Achiliwa kwa Jina la Yesu Spanish Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa, achiliwa kwenye huo utumwa Achiliwa kutoka kwenye ukandamizaji Achiliwa, achiliwa, achiliwa Katika Jina kuu la Yesu Spanish Sasa hivi, naamuru Roho zote, zinazofanya kazi ndani ya Moyo wakk Kutoka katika Jina la Yesu Toka Sasa hivi, Toka kwenye mfuko, Toka kwenye ogani Toka nje Sasa hivi Spanish Anza kutapika, toa nje hayo magonjwa, toa hizo sumu Tapika huo utumwa, tapika huo mfuko Sasa hivi Wewe magonjwa, wewe ugonjwa Nasema Toka katika katika Jina la Yesu Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi katika Jina kuu la Yesu Toka Sasa hivi Spanish Sasa hivi, kama ishara ya imani Weka mikono wako unapopata maumivu Una maumivu ya mwili Weka mikono wako hapo sasa Fungua Moyo wako Naongea na wewe Ugonjwa, wewe udhaifu Toka katika Jina la Yesu, Toka Sasa hivi Nje ya mfumo wao, nje ya viungo vyao, nje ya vitengo vyao Toka Sasa hivi, Toka nje sasa Toka nje Sasa hivi Spanish Watu wa Mungu, kaa kwa Hali ya maombi Unaweza kuiona Yesu Kristo anachofanya Kati yako sahivi Hata kwa umbali mrefu Fungua Moyo wako kwa Imani Yake kwa Neno lake na Roho yake Unaweza kuiona mapepo ya ki jidhihirisha Sasa hivi Sababu za magonjwa zinatoka nje Huu ni muda wako Huu ni muda wako Sasa hivi Nasema na nyie roho Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu Jifunge kwa Roho ya Kristo Yesu, Jina Spanish Muombe NEEMA ya kutii Neno lake Kufanya Neno lake kua kiwango ndani ya Maisha yako Kufuata Ile njia ya utakaso Fungua mdomo yako na uombe sasa Spanish Katika Jina kuu la Yesu tumeomba. Kwa mamlaka ndani ya Jina la Yesu Kristo Na tangazo upo huru Sasa katika Jina la Yesu Sasa hivi Anza kujiangalia Umeponywa, unerejeshwa, upo huru Umefunguliwa, Jiang aloe Sasa hivi Upo huru, upo huru, upo huru. Spanish