Nasema achiliwa kutoka kwenye huo ugonjwa achiliwa kutoka kwenye huo utumwa. achiliwa kutoka kwenye huo ukandamizaji achiliwa, achiliwa katika jina kuu la Yesu Kristo. unakaribishwa kwenye maombi ya ibada, hapa God´s heart TV studio north wales nchini uingereza kwa rehema za Mungu hii ni ibada kwa ajili ya mataifa yote leo.