Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa - Iondolewe! Iondolewe kwa jina la Yesu! Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo - Iondolewe! Iondolewe sasa hivi! Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi! Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi! Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi! Ninatangaza katika maisha yako - mafanikio! Ninasema kwa imani - pokea aina ya mafanikio ambao itakufanya usahau uchungu wa zamani! Pokea hii leo!