Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa -
Iondolewe!
Iondolewe kwa jina la Yesu!
Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo -
Iondolewe!
Iondolewe sasa hivi!
Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi!
Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi!
Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi!
Ninatangaza katika maisha yako - mafanikio!
Ninasema kwa imani - pokea aina ya mafanikio
ambao itakufanya usahau uchungu wa zamani!
Pokea hii leo!