Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa - kiondoshwe! Uondoshwe kwa jina la Yesu! Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo - Ondolewa! Uondolewe sasa hivi! Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi! Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi! Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi! Ninatangaza katika maisha yako - upenyo! Ninasema kwa imani - pokea aina ya upenyo ambao utakufanya usahau uchungu wa siku za nyuma! Pokea hii leo!