[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa - Dialogue: 0,0:00:05.00,0:00:07.00,Default,,0000,0000,0000,,kiondoshwe! Dialogue: 0,0:00:07.00,0:00:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Uondoshwe kwa jina la Yesu! Dialogue: 0,0:00:10.00,0:00:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo - Dialogue: 0,0:00:15.00,0:00:18.00,Default,,0000,0000,0000,,Ondolewa! Dialogue: 0,0:00:18.00,0:00:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Uondolewe sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:20.00,0:00:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:25.00,0:00:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:29.00,0:00:35.00,Default,,0000,0000,0000,,Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:35.00,0:00:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninatangaza katika maisha yako - upenyo! Dialogue: 0,0:00:43.00,0:00:48.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema kwa imani - pokea aina ya upenyo Dialogue: 0,0:00:48.00,0:00:52.00,Default,,0000,0000,0000,,ambao utakufanya usahau uchungu wa siku za nyuma! Dialogue: 0,0:00:52.00,0:00:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea hii leo!