1 00:00:00,000 --> 00:00:05,000 Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa - 2 00:00:05,000 --> 00:00:07,000 kiondoshwe! 3 00:00:07,000 --> 00:00:10,000 Uondoshwe kwa jina la Yesu! 4 00:00:10,000 --> 00:00:15,000 Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo - 5 00:00:15,000 --> 00:00:18,000 Ondolewa! 6 00:00:18,000 --> 00:00:20,000 Uondolewe sasa hivi! 7 00:00:20,000 --> 00:00:25,000 Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi! 8 00:00:25,000 --> 00:00:29,000 Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi! 9 00:00:29,000 --> 00:00:35,000 Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi! 10 00:00:35,000 --> 00:00:43,000 Ninatangaza katika maisha yako - upenyo! 11 00:00:43,000 --> 00:00:48,000 Ninasema kwa imani - pokea aina ya upenyo 12 00:00:48,000 --> 00:00:52,000 ambao utakufanya usahau uchungu wa siku za nyuma! 13 00:00:52,000 --> 00:00:53,000 Pokea hii leo!