0:00:00.000,0:00:05.000 Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa - 0:00:05.000,0:00:07.000 kiondoshwe! 0:00:07.000,0:00:10.000 Uondoshwe kwa jina la Yesu! 0:00:10.000,0:00:15.000 Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo - 0:00:15.000,0:00:18.000 Ondolewa! 0:00:18.000,0:00:20.000 Uondolewe sasa hivi! 0:00:20.000,0:00:25.000 Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi! 0:00:25.000,0:00:29.000 Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi! 0:00:29.000,0:00:35.000 Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi! 0:00:35.000,0:00:43.000 Ninatangaza katika maisha yako - upenyo! 0:00:43.000,0:00:48.000 Ninasema kwa imani - pokea aina ya upenyo 0:00:48.000,0:00:52.000 ambao utakufanya usahau uchungu wa siku za nyuma! 0:00:52.000,0:00:53.000 Pokea hii leo!