Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa -
kiondoshwe!
Uondoshwe kwa jina la Yesu!
Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo -
Ondolewa!
Uondolewe sasa hivi!
Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi!
Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi!
Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi!
Ninatangaza katika maisha yako - upenyo!
Ninasema kwa imani - pokea aina ya upenyo
ambao utakufanya usahau uchungu wa siku za nyuma!
Pokea hii leo!