[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:02.47,Default,,0000,0000,0000,,Hamjambo. Kipindi hiki kinawajieni kutoka\NOhio Dialogue: 0,0:00:02.47,0:00:07.68,Default,,0000,0000,0000,,ambako kwa maeneo mengine watu wanasubiri\Nkwenye foleni ndefu ili kupiga kura. Dialogue: 0,0:00:07.76,0:00:10.93,Default,,0000,0000,0000,,Wiki chache tu zilizopita, hapa katika \NJimbo la Buckeye, Dialogue: 0,0:00:10.93,0:00:16.38,Default,,0000,0000,0000,,kura zisizo sahihi zilipatikana kwa \Nwapiga kura 50,000 wa Franklin County. Dialogue: 0,0:00:16.63,0:00:20.53,Default,,0000,0000,0000,,Rais alisema ulikuwa uchaguzi wa ulaghai, \Nusiodhibitika na wa hila. Dialogue: 0,0:00:20.97,0:00:23.11,Default,,0000,0000,0000,,Kaunti iliarifu kuwa ilikuwa hitilafu \Nkubwa Dialogue: 0,0:00:23.11,0:00:25.25,Default,,0000,0000,0000,,ambayo walikuwa wanajitahidi \Nkushughulikia. Dialogue: 0,0:00:25.25,0:00:27.78,Default,,0000,0000,0000,,Tunaona simulizi kama hizi kote nchini. Dialogue: 0,0:00:27.78,0:00:29.78,Default,,0000,0000,0000,,"Kisanduku kisicho rasmi cha kura," Dialogue: 0,0:00:29.78,0:00:32.64,Default,,0000,0000,0000,,"Kebo iliyokatwa ilizima tovuti ya \Nwapiga kura wa Virginia," Dialogue: 0,0:00:32.64,0:00:35.18,Default,,0000,0000,0000,,"Mashine za kupiga kura wazi kwa \Nwadukuzi wa Kirusi," Dialogue: 0,0:00:35.28,0:00:37.28,Default,,0000,0000,0000,,kila siku na mada mpya ya habari. Dialogue: 0,0:00:37.28,0:00:40.68,Default,,0000,0000,0000,,Msimu wa uchaguzi wa mwaka huu ni \Nmuhimu zaidi kwa 2020. Dialogue: 0,0:00:40.68,0:00:43.67,Default,,0000,0000,0000,,Unawezaje kupita taarifa hizi zisizo \Nsahihi? Dialogue: 0,0:00:44.12,0:00:46.89,Default,,0000,0000,0000,,Hujambo, mimi ni Hari Sreenivasan.\NKaribu kwa Take On Fake Dialogue: 0,0:00:46.90,0:00:50.86,Default,,0000,0000,0000,,ambapo tunafichua madai ambayo \Nhuenda umeona au hata kushiriki mtandaoni. Dialogue: 0,0:00:50.86,0:00:52.76,Default,,0000,0000,0000,,Uchaguzi umekaribia. Dialogue: 0,0:00:52.76,0:00:54.17,Default,,0000,0000,0000,,Kuna hatari kubwa. Dialogue: 0,0:00:54.17,0:00:56.26,Default,,0000,0000,0000,,Pia kuna taarifa nyingi za kupotosha. Dialogue: 0,0:00:56.26,0:00:57.39,Default,,0000,0000,0000,,Wiki chache zilizopita, Dialogue: 0,0:00:57.50,0:01:01.40,Default,,0000,0000,0000,,tulizungumza na mwanahabari aliyefichua\Nhadithi tatu tofauti kuhusu upigaji kura Dialogue: 0,0:01:01.44,0:01:05.38,Default,,0000,0000,0000,,katika majimbo matatu tofauti:\NIllinois, California na Washington. Dialogue: 0,0:01:05.38,0:01:11.25,Default,,0000,0000,0000,,Kuna balagha na madai mengi ya uongo \Nna ya kupotosha kuhusu mchakato huo. Dialogue: 0,0:01:11.40,0:01:14.74,Default,,0000,0000,0000,,Nafikiri ni muhimu zaidi kuwa sisi, \Nkama wanaohakikisha ukweli, Dialogue: 0,0:01:14.74,0:01:21.51,Default,,0000,0000,0000,,lakini pia kila Mwamerika apinge madai \Nhayo ambayo hayajahakikishwa Dialogue: 0,0:01:21.64,0:01:25.55,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu yanadhoofisha demokrasia \Nyetu mwisho wa siku. Dialogue: 0,0:01:25.55,0:01:28.15,Default,,0000,0000,0000,,Mwanahabari Angelo Fichera kutoka \NFactCheck.org Dialogue: 0,0:01:28.15,0:01:31.97,Default,,0000,0000,0000,,alituonyesha mojawapo ya hadithi zake,\Nkuhusu vitambulisho bandia huko Illinois. Dialogue: 0,0:01:32.27,0:01:36.24,Default,,0000,0000,0000,,Chapisho kwenye Facebook liliripoti kuliwa\Nna karibu vitambulisho 20,000 bandia Dialogue: 0,0:01:36.24,0:01:40.54,Default,,0000,0000,0000,,na kuwa vyote vilihusishwa na usajili \Nwa kidemokrasia wa wapiga kura. Dialogue: 0,0:01:40.54,0:01:42.99,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo hawa ndio watu ambao - Dialogue: 0,0:01:43.26,0:01:47.15,Default,,0000,0000,0000,,wangejisajili kwa njia haramu ili kupiga \Nkura kwa kutumia leseni hizi za udereva? Dialogue: 0,0:01:47.21,0:01:48.58,Default,,0000,0000,0000,,Hilo ndilo lilikuwa athari. Dialogue: 0,0:01:48.62,0:01:54.33,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo jambo la kwanza ambalo ningefanya \Nni kutafuta maandishi hayo kwenye Google. Dialogue: 0,0:01:54.33,0:01:58.63,Default,,0000,0000,0000,,Na katika hali hii, nilielekezwa kwa\Ntovuti ya kipindi cha mazunguzo cha redio Dialogue: 0,0:01:58.63,0:02:02.80,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ilitumia karibu maandishi\Nsawa kama mada yake. Dialogue: 0,0:02:02.80,0:02:07.11,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo nilitazama makala hayo kubaini \Niwapo ushahidi wowote wa dai hili upo Dialogue: 0,0:02:07.11,0:02:09.90,Default,,0000,0000,0000,,kuwa vitambulisho vilihusishwa na \Nusajili wa wapiga kura. Dialogue: 0,0:02:09.91,0:02:14.13,Default,,0000,0000,0000,,Ukiangalia simulizi kwa karibu\Nna kutafuta maelezo yoyote, Dialogue: 0,0:02:14.13,0:02:17.50,Default,,0000,0000,0000,,utagundua kuwa hakukuwa na \Nuthibitishaji wa madai hayo Dialogue: 0,0:02:17.50,0:02:20.88,Default,,0000,0000,0000,,kuwa simulizi linataja idara ya Forodha \Nna Ulinzi wa Mipaka ya Marekani Dialogue: 0,0:02:20.88,0:02:26.24,Default,,0000,0000,0000,,na inahusisha maelezo kuhusu vitambulisho\Nbandia na shirika hilo la serikali. Dialogue: 0,0:02:26.24,0:02:30.14,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo nilifanya utafutaji kwa kutumia \Nnambari mahususi za vitambulisho bandia Dialogue: 0,0:02:30.14,0:02:32.48,Default,,0000,0000,0000,,na Idara ya Forodha ya Ulinzi wa Mipaka, Dialogue: 0,0:02:32.48,0:02:38.89,Default,,0000,0000,0000,,na niliona hati kwa wanahabari iliyotolewa\Nna shirika hilo mwishoni mwa Julai. Dialogue: 0,0:02:38.93,0:02:41.92,Default,,0000,0000,0000,,Hamna mahali kulikotajwa \Nvitambulisho bandia Dialogue: 0,0:02:41.92,0:02:45.77,Default,,0000,0000,0000,,vinavyohusishwa na usajili wa wapiga \Nkura, ulaghai wa kura. Dialogue: 0,0:02:45.77,0:02:50.11,Default,,0000,0000,0000,,Yote waliyosema ni kuwa ilikuwa inalenga \Nwanafunzi wa umri wa chuo Dialogue: 0,0:02:50.11,0:02:51.62,Default,,0000,0000,0000,,katika majimbo ya karibu. Dialogue: 0,0:02:51.62,0:02:54.07,Default,,0000,0000,0000,,Sawa, nikiwa nimewahi kupitia chuo, Dialogue: 0,0:02:54.56,0:03:00.55,Default,,0000,0000,0000,,Nafikiri kuna uwezekano kuwa kuna \Nsoko kubwa ya wanafunzi Dialogue: 0,0:03:00.55,0:03:04.26,Default,,0000,0000,0000,,ambao huenda wanajaribu kuingia katika \Nvilabu kwa kutumia vitambulisho bandia. Dialogue: 0,0:03:04.32,0:03:08.64,Default,,0000,0000,0000,,Sijui iwapo upigaji kura ni jambo ambalo\Nwanajaribu kufanya, lakini ... Dialogue: 0,0:03:08.68,0:03:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Huko Illinois, iwapo mtu atajaribu\Nkujisajili, Dialogue: 0,0:03:12.00,0:03:16.28,Default,,0000,0000,0000,,watakagua nambari hizo dhidi ya nambari\Nwalizo nazo katika hifadhidata zao, Dialogue: 0,0:03:16.31,0:03:18.48,Default,,0000,0000,0000,,kwa hivyo mikakati ya usalama imewekwa Dialogue: 0,0:03:18.48,0:03:23.01,Default,,0000,0000,0000,,ili kuzuia aina hiyo ya \Nusajili wa ulaghai wa wapiga kura. Dialogue: 0,0:03:23.01,0:03:26.28,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hilo silo tukio pekee la \Nmaelezo ya kupotosha kuhusu uchaguzi Dialogue: 0,0:03:26.41,0:03:28.18,Default,,0000,0000,0000,,ambalo Angelo alifichua hivi majuzi. Dialogue: 0,0:03:28.20,0:03:31.67,Default,,0000,0000,0000,,Tweet iliyosambaa ilidai kulikuwa na \Nzaidi ya kura 1,000 za barua pepe Dialogue: 0,0:03:31.67,0:03:34.71,Default,,0000,0000,0000,,zilizopatikana kwenye bomba la taka\Nkatika jimbo la California. Dialogue: 0,0:03:34.72,0:03:37.79,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kupitia utafutaji wa maneno \Nmuhimu, Angelo aligundua kuwa Dialogue: 0,0:03:37.81,0:03:41.59,Default,,0000,0000,0000,,picha hiyo ilionyesha bahasha mpya \Nkutoka kwa uchaguzi wa kati wa 2018, Dialogue: 0,0:03:41.100,0:03:45.97,Default,,0000,0000,0000,,na zilikuwa zimetupwa kwa njia haramu. Dialogue: 0,0:03:46.86,0:03:50.38,Default,,0000,0000,0000,,Kaunti ya Sonoma pia ilibainisha kuwa \Nwakati wa kutolewa kwa tweet hivyo, Dialogue: 0,0:03:50.38,0:03:53.49,Default,,0000,0000,0000,,kura za 2020 bado hazikuwa zimetumwa. Dialogue: 0,0:03:53.58,0:03:56.98,Default,,0000,0000,0000,,Simulizi la tatu - hili kutoka jimbo la \NWashington - picha inayodai Dialogue: 0,0:03:56.99,0:04:00.79,Default,,0000,0000,0000,,maelfu ya Wanademokrasia wa Seattle wame\Nkutana kutaka upigaji kura wa barua pepe Dialogue: 0,0:04:00.79,0:04:03.63,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ni hatari kupiga kura\Nmoja kwa moja. Dialogue: 0,0:04:03.91,0:04:07.18,Default,,0000,0000,0000,,Ili kufichua hili, Angelo alifanya \Nutafutaji kwa kutumia picha Dialogue: 0,0:04:07.18,0:04:11.74,Default,,0000,0000,0000,,na akagundua kuwa picha hii haikuhusiana \Nkabisa na mchakato wa kupiga kura. Dialogue: 0,0:04:11.79,0:04:15.88,Default,,0000,0000,0000,,Picha hii ilitoka kwa maandamano ya \NBlack Lives Matter miezi 2 awali. Dialogue: 0,0:04:17.85,0:04:20.17,Default,,0000,0000,0000,,Tukirejelea tweet hiyo halisi, Dialogue: 0,0:04:20.17,0:04:24.09,Default,,0000,0000,0000,,utagunduaa kuwa mchapishaji halisi ni\Nakaunti inayoitwa Walter Cronkite. Dialogue: 0,0:04:24.09,0:04:27.52,Default,,0000,0000,0000,,Sote tunafahamu kuwa Walter Cronkite\Nalikuwa mwanahabari aliyeheshimiwa Dialogue: 0,0:04:27.71,0:04:31.76,Default,,0000,0000,0000,,ambayo mara nyingi alirejelewa kuwa mtu \Nanayeaminika zaidi nchini Marekani. Dialogue: 0,0:04:31.76,0:04:34.79,Default,,0000,0000,0000,,Kweli, "alikuwa" kwa sababu alifariki \Nmiaka 11 iliyopita. Dialogue: 0,0:04:34.80,0:04:37.52,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo hii si tweet kutoka kwa \NWalter Cronkite halisi. Dialogue: 0,0:04:37.52,0:04:39.08,Default,,0000,0000,0000,,Akaunti inatoa taarifa hapo, Dialogue: 0,0:04:39.08,0:04:42.10,Default,,0000,0000,0000,,lakini iwapo unapitia tu simu yako, Dialogue: 0,0:04:42.10,0:04:44.65,Default,,0000,0000,0000,,huenda usielewe hilo mara moja. Dialogue: 0,0:04:45.10,0:04:46.92,Default,,0000,0000,0000,,Huenda ukaona jina Walter Cronkite Dialogue: 0,0:04:46.92,0:04:50.43,Default,,0000,0000,0000,,na uamini tweet hiyo zaidi kuliko \Ninayohitajika Dialogue: 0,0:04:50.90,0:04:52.75,Default,,0000,0000,0000,,Ukiwa na maelezo haya ya kupotosha; Dialogue: 0,0:04:52.93,0:04:55.99,Default,,0000,0000,0000,,wahakikishaji wa ukweli kama Angelo \Nwanafanya nini ili kuandaa? Dialogue: 0,0:04:55.99,0:04:58.74,Default,,0000,0000,0000,,Tunakuwa makini zaidi Dialogue: 0,0:04:58.74,0:05:03.23,Default,,0000,0000,0000,,na kuwa tayari kukabili kitakachokuwa \Nmaelezo mengi ya kupotosha, Dialogue: 0,0:05:03.23,0:05:07.12,Default,,0000,0000,0000,,lakini tunahitaji usaidizi wa umma, pia, Dialogue: 0,0:05:07.12,0:05:09.72,Default,,0000,0000,0000,,ili kuripoti mambo kwa wanaohakikisha\Nukweli. Dialogue: 0,0:05:09.72,0:05:12.18,Default,,0000,0000,0000,,Tuna barua pepe.\Ntuna akaunti za mitandao jamii. Dialogue: 0,0:05:12.18,0:05:14.69,Default,,0000,0000,0000,,Na iwapo watu wana maswali,\Ntungependa kuwasaidia. Dialogue: 0,0:05:14.79,0:05:16.85,Default,,0000,0000,0000,,Kitakachofanyika katika siku \Nchache zijazo, Dialogue: 0,0:05:16.87,0:05:19.58,Default,,0000,0000,0000,,kitatuhitaji tutulie Dialogue: 0,0:05:19.58,0:05:24.71,Default,,0000,0000,0000,,inapofika kwa mada, tweets na \Nmachapisho yanayotutisha na kutukasirisha. Dialogue: 0,0:05:24.74,0:05:26.84,Default,,0000,0000,0000,,Iwapo historia ni kiashirio chochote, Dialogue: 0,0:05:26.85,0:05:29.64,Default,,0000,0000,0000,,maelezo ya kupotosha kuhusu \Nuchaguzi yatakuwa kila mahali. Dialogue: 0,0:05:29.74,0:05:35.01,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo ni jukumu letu kuchunguza\Nzaidi na kutafuta vyanzo vinavyoaminika. Dialogue: 0,0:05:35.01,0:05:36.04,Default,,0000,0000,0000,,Hadi wakati mwingine. Dialogue: 0,0:05:36.04,0:05:37.91,Default,,0000,0000,0000,,Usisambaze habari bandia.\NKuwa wa kweli. Dialogue: 0,0:05:37.99,0:05:40.30,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni Hari Sreenivasan na hii ni \NTake on Fake. Dialogue: 0,0:05:40.35,0:05:41.42,Default,,0000,0000,0000,,Asante kwa kutazama. Dialogue: 0,0:05:42.11,0:05:43.55,Default,,0000,0000,0000,,Tungependa kupata maoni yako. Dialogue: 0,0:05:43.63,0:05:47.02,Default,,0000,0000,0000,,Shiriki simulizi au mpango wako \Nwa kupiga kura katika maoni hapa chini. Dialogue: 0,0:05:47.06,0:05:48.82,Default,,0000,0000,0000,,Je, ulipiga kura kupitia barua pepe? Dialogue: 0,0:05:48.95,0:05:50.37,Default,,0000,0000,0000,,Je, unapanga kupiga mwenyewe? Dialogue: 0,0:05:50.51,0:05:53.92,Default,,0000,0000,0000,,Je, wewe ni mpigaji kura wa mapema\Nambaye bado anasubiri kwenye foleni? Dialogue: 0,0:05:54.14,0:05:58.11,Default,,0000,0000,0000,,Kipindi chetu cha mwisho cha msimu \Nhakitakuja hadi baada ya uchaguzi. Dialogue: 0,0:05:58.35,0:06:00.24,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo tutaonana baada ya uchaguzi.