0:00:00.000,0:00:02.468 Hamjambo. Kipindi hiki kinawajieni kutoka[br]Ohio 0:00:02.468,0:00:07.682 ambako kwa maeneo mengine watu wanasubiri[br]kwenye foleni ndefu ili kupiga kura. 0:00:07.762,0:00:10.930 Wiki chache tu zilizopita, hapa katika [br]Jimbo la Buckeye, 0:00:10.930,0:00:16.380 kura zisizo sahihi zilipatikana kwa [br]wapiga kura 50,000 wa Franklin County. 0:00:16.634,0:00:20.534 Rais alisema ulikuwa uchaguzi wa ulaghai, [br]usiodhibitika na wa hila. 0:00:20.966,0:00:23.110 Kaunti iliarifu kuwa ilikuwa hitilafu [br]kubwa 0:00:23.110,0:00:25.253 ambayo walikuwa wanajitahidi [br]kushughulikia. 0:00:25.253,0:00:27.777 Tunaona simulizi kama hizi kote nchini. 0:00:27.777,0:00:29.778 "Kisanduku kisicho rasmi cha kura," 0:00:29.778,0:00:32.637 "Kebo iliyokatwa ilizima tovuti ya [br]wapiga kura wa Virginia," 0:00:32.645,0:00:35.179 "Mashine za kupiga kura wazi kwa [br]wadukuzi wa Kirusi," 0:00:35.279,0:00:37.284 kila siku na mada mpya ya habari. 0:00:37.284,0:00:40.683 Msimu wa uchaguzi wa mwaka huu ni [br]muhimu zaidi kwa 2020. 0:00:40.683,0:00:43.672 Unawezaje kupita taarifa hizi zisizo [br]sahihi? 0:00:44.124,0:00:46.890 Hujambo, mimi ni Hari Sreenivasan.[br]Karibu kwa Take On Fake 0:00:46.900,0:00:50.856 ambapo tunafichua madai ambayo [br]huenda umeona au hata kushiriki mtandaoni. 0:00:50.856,0:00:52.758 Uchaguzi umekaribia. 0:00:52.758,0:00:54.166 Kuna hatari kubwa. 0:00:54.166,0:00:56.263 Pia kuna taarifa nyingi za kupotosha. 0:00:56.263,0:00:57.386 Wiki chache zilizopita, 0:00:57.496,0:01:01.405 tulizungumza na mwanahabari aliyefichua[br]hadithi tatu tofauti kuhusu upigaji kura 0:01:01.435,0:01:05.382 katika majimbo matatu tofauti:[br]Illinois, California na Washington. 0:01:05.385,0:01:11.247 Kuna balagha na madai mengi ya uongo [br]na ya kupotosha kuhusu mchakato huo. 0:01:11.404,0:01:14.741 Nafikiri ni muhimu zaidi kuwa sisi, [br]kama wanaohakikisha ukweli, 0:01:14.741,0:01:21.510 lakini pia kila Mwamerika apinge madai [br]hayo ambayo hayajahakikishwa 0:01:21.643,0:01:25.549 kwa sababu yanadhoofisha demokrasia [br]yetu mwisho wa siku. 0:01:25.549,0:01:28.150 Mwanahabari Angelo Fichera kutoka [br]FactCheck.org 0:01:28.150,0:01:31.969 alituonyesha mojawapo ya hadithi zake,[br]kuhusu vitambulisho bandia huko Illinois. 0:01:32.269,0:01:36.237 Chapisho kwenye Facebook liliripoti kuliwa[br]na karibu vitambulisho 20,000 bandia 0:01:36.237,0:01:40.541 na kuwa vyote vilihusishwa na usajili [br]wa kidemokrasia wa wapiga kura. 0:01:40.541,0:01:42.986 Kwa hivyo hawa ndio watu ambao - 0:01:43.256,0:01:47.149 wangejisajili kwa njia haramu ili kupiga [br]kura kwa kutumia leseni hizi za udereva? 0:01:47.209,0:01:48.580 Hilo ndilo lilikuwa athari. 0:01:48.620,0:01:54.333 Hivyo jambo la kwanza ambalo ningefanya [br]ni kutafuta maandishi hayo kwenye Google. 0:01:54.333,0:01:58.631 Na katika hali hii, nilielekezwa kwa[br]tovuti ya kipindi cha mazunguzo cha redio 0:01:58.631,0:02:02.795 ambayo ilitumia karibu maandishi[br]sawa kama mada yake. 0:02:02.795,0:02:07.114 Kwa hivyo nilitazama makala hayo kubaini [br]iwapo ushahidi wowote wa dai hili upo 0:02:07.114,0:02:09.900 kuwa vitambulisho vilihusishwa na [br]usajili wa wapiga kura. 0:02:09.910,0:02:14.132 Ukiangalia simulizi kwa karibu[br]na kutafuta maelezo yoyote, 0:02:14.132,0:02:17.499 utagundua kuwa hakukuwa na [br]uthibitishaji wa madai hayo 0:02:17.499,0:02:20.885 kuwa simulizi linataja idara ya Forodha [br]na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani 0:02:20.885,0:02:26.242 na inahusisha maelezo kuhusu vitambulisho[br]bandia na shirika hilo la serikali. 0:02:26.242,0:02:30.143 Kwa hivyo nilifanya utafutaji kwa kutumia [br]nambari mahususi za vitambulisho bandia 0:02:30.143,0:02:32.480 na Idara ya Forodha ya Ulinzi wa Mipaka, 0:02:32.480,0:02:38.886 na niliona hati kwa wanahabari iliyotolewa[br]na shirika hilo mwishoni mwa Julai. 0:02:38.933,0:02:41.918 Hamna mahali kulikotajwa [br]vitambulisho bandia 0:02:41.918,0:02:45.770 vinavyohusishwa na usajili wa wapiga [br]kura, ulaghai wa kura. 0:02:45.770,0:02:50.113 Yote waliyosema ni kuwa ilikuwa inalenga [br]wanafunzi wa umri wa chuo 0:02:50.113,0:02:51.624 katika majimbo ya karibu. 0:02:51.624,0:02:54.074 Sawa, nikiwa nimewahi kupitia chuo, 0:02:54.564,0:03:00.547 Nafikiri kuna uwezekano kuwa kuna [br]soko kubwa ya wanafunzi 0:03:00.547,0:03:04.256 ambao huenda wanajaribu kuingia katika [br]vilabu kwa kutumia vitambulisho bandia. 0:03:04.316,0:03:08.636 Sijui iwapo upigaji kura ni jambo ambalo[br]wanajaribu kufanya, lakini ... 0:03:08.684,0:03:12.005 Huko Illinois, iwapo mtu atajaribu[br]kujisajili, 0:03:12.005,0:03:16.282 watakagua nambari hizo dhidi ya nambari[br]walizo nazo katika hifadhidata zao, 0:03:16.306,0:03:18.476 kwa hivyo mikakati ya usalama imewekwa 0:03:18.476,0:03:23.010 ili kuzuia aina hiyo ya [br]usajili wa ulaghai wa wapiga kura. 0:03:23.010,0:03:26.278 Lakini hilo silo tukio pekee la [br]maelezo ya kupotosha kuhusu uchaguzi 0:03:26.408,0:03:28.175 ambalo Angelo alifichua hivi majuzi. 0:03:28.195,0:03:31.668 Tweet iliyosambaa ilidai kulikuwa na [br]zaidi ya kura 1,000 za barua pepe 0:03:31.668,0:03:34.707 zilizopatikana kwenye bomba la taka[br]katika jimbo la California. 0:03:34.717,0:03:37.793 Lakini kupitia utafutaji wa maneno [br]muhimu, Angelo aligundua kuwa 0:03:37.813,0:03:41.588 picha hiyo ilionyesha bahasha mpya [br]kutoka kwa uchaguzi wa kati wa 2018, 0:03:41.998,0:03:45.970 na zilikuwa zimetupwa kwa njia haramu. 0:03:46.860,0:03:50.379 Kaunti ya Sonoma pia ilibainisha kuwa [br]wakati wa kutolewa kwa tweet hivyo, 0:03:50.379,0:03:53.489 kura za 2020 bado hazikuwa zimetumwa. 0:03:53.579,0:03:56.978 Simulizi la tatu - hili kutoka jimbo la [br]Washington - picha inayodai 0:03:56.988,0:04:00.791 maelfu ya Wanademokrasia wa Seattle wame[br]kutana kutaka upigaji kura wa barua pepe 0:04:00.791,0:04:03.629 kwa sababu ni hatari kupiga kura[br]moja kwa moja. 0:04:03.907,0:04:07.176 Ili kufichua hili, Angelo alifanya [br]utafutaji kwa kutumia picha 0:04:07.176,0:04:11.737 na akagundua kuwa picha hii haikuhusiana [br]kabisa na mchakato wa kupiga kura. 0:04:11.793,0:04:15.880 Picha hii ilitoka kwa maandamano ya [br]Black Lives Matter miezi 2 awali. 0:04:17.853,0:04:20.167 Tukirejelea tweet hiyo halisi, 0:04:20.167,0:04:24.088 utagunduaa kuwa mchapishaji halisi ni[br]akaunti inayoitwa Walter Cronkite. 0:04:24.088,0:04:27.519 Sote tunafahamu kuwa Walter Cronkite[br]alikuwa mwanahabari aliyeheshimiwa 0:04:27.709,0:04:31.756 ambayo mara nyingi alirejelewa kuwa mtu [br]anayeaminika zaidi nchini Marekani. 0:04:31.756,0:04:34.786 Kweli, "alikuwa" kwa sababu alifariki [br]miaka 11 iliyopita. 0:04:34.796,0:04:37.524 Kwa hivyo hii si tweet kutoka kwa [br]Walter Cronkite halisi. 0:04:37.524,0:04:39.085 Akaunti inatoa taarifa hapo, 0:04:39.085,0:04:42.100 lakini iwapo unapitia tu simu yako, 0:04:42.100,0:04:44.649 huenda usielewe hilo mara moja. 0:04:45.099,0:04:46.919 Huenda ukaona jina Walter Cronkite 0:04:46.919,0:04:50.428 na uamini tweet hiyo zaidi kuliko [br]inayohitajika 0:04:50.899,0:04:52.746 Ukiwa na maelezo haya ya kupotosha; 0:04:52.926,0:04:55.988 wahakikishaji wa ukweli kama Angelo [br]wanafanya nini ili kuandaa? 0:04:55.988,0:04:58.743 Tunakuwa makini zaidi 0:04:58.743,0:05:03.231 na kuwa tayari kukabili kitakachokuwa [br]maelezo mengi ya kupotosha, 0:05:03.231,0:05:07.118 lakini tunahitaji usaidizi wa umma, pia, 0:05:07.118,0:05:09.718 ili kuripoti mambo kwa wanaohakikisha[br]ukweli. 0:05:09.718,0:05:12.178 Tuna barua pepe.[br]tuna akaunti za mitandao jamii. 0:05:12.178,0:05:14.692 Na iwapo watu wana maswali,[br]tungependa kuwasaidia. 0:05:14.792,0:05:16.851 Kitakachofanyika katika siku [br]chache zijazo, 0:05:16.866,0:05:19.582 kitatuhitaji tutulie 0:05:19.582,0:05:24.710 inapofika kwa mada, tweets na [br]machapisho yanayotutisha na kutukasirisha. 0:05:24.740,0:05:26.841 Iwapo historia ni kiashirio chochote, 0:05:26.851,0:05:29.635 maelezo ya kupotosha kuhusu [br]uchaguzi yatakuwa kila mahali. 0:05:29.735,0:05:35.006 Kwa hivyo ni jukumu letu kuchunguza[br]zaidi na kutafuta vyanzo vinavyoaminika. 0:05:35.006,0:05:36.039 Hadi wakati mwingine. 0:05:36.039,0:05:37.909 Usisambaze habari bandia.[br]Kuwa wa kweli. 0:05:37.989,0:05:40.302 Mimi ni Hari Sreenivasan na hii ni [br]Take on Fake. 0:05:40.347,0:05:41.422 Asante kwa kutazama. 0:05:42.112,0:05:43.547 Tungependa kupata maoni yako. 0:05:43.627,0:05:47.021 Shiriki simulizi au mpango wako [br]wa kupiga kura katika maoni hapa chini. 0:05:47.061,0:05:48.816 Je, ulipiga kura kupitia barua pepe? 0:05:48.946,0:05:50.368 Je, unapanga kupiga mwenyewe? 0:05:50.514,0:05:53.922 Je, wewe ni mpigaji kura wa mapema[br]ambaye bado anasubiri kwenye foleni? 0:05:54.136,0:05:58.112 Kipindi chetu cha mwisho cha msimu [br]hakitakuja hadi baada ya uchaguzi. 0:05:58.352,0:06:00.236 Kwa hivyo tutaonana baada ya uchaguzi.