Kama wewe ni mtumiaji wa Firefox tayari
hatuhitaji kukuambia uzuri wa Firefox
Niko na Firefox na ndio kivinjari kinachoaminika zaidi duniani nzima
Kwangu inafanya mtandao uwe afadhali
na inakuweka wewe salama salmini
Lakini tungependa wewe utusaidie kueneza habari hii
Inaanzisha...
Firefox Friends!
Njia yetu mpya yenye kusisimua kwa ajili yenu ili kusaidia
kushiriki unachofanya na dunia nzima
Ni rahisi sana kuleta mabadiliko na kupata zawadi
unapofanya hivo
pamoja na hayo utajua kuhusu habari za hivi karibuni za Firefox na matangazo
Ungana na jamii
Shiriki upendo wako na Firefox
Pata zawadi!
Ungana na Firefox Friends na utusaidie kueneza ujumbe