naona ukitoka kwa hiyo ngome toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi! toka kwa ngome ya laana ya vizazi toka kwa ngome ya mateso toka kwa ngome ya uraibu toka kwa ngome sasa hivi! sijui uchungu unayopitia sasa iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo lakini kitu moja najua ni kuwa kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana, ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa hapa, sasa hivi ni wapi unakotoka sio muhimu cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa hapa, wakati huu fungua moyo wako kwa mungu fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni! ni wakati wa kuomba sasa! kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita ikanyamazishwe, katika jina la yesu. hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele - nasema, itolewe! itolewe sasa hivi! hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu, hiyo roho ya chuki - itolewe katika jina la yesu! sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni nanena kwako sasa kwa imani - leo ni siku yako ya kuwekwa huru uwekwe huru kutoka hiyo ngome! uwekwe huru katika jina la yesu uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome! toka katika hiyo ngome sasa hivi! naona ukitoka kwa hiyo ngome toka katika hiyo ngome sasa hivi! toka kwa ngome ya laana ya vizazi! nje ya ngome ya mateso! toke nje ya ngome ya uraibu! toka kwa hiyo ngome sasa hivi! chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako nanena uwachiliwe huru sasa hivi! ukatolewe kutoka gizani! ukatolewe kutoka magonjwe! ukawekwe huru kutoka nguvu za adui! uwachiliwe sasa hivi, katika jina la yesu ndio, watu wa mungu, kuwekwa huru unafanyika sasa. roho mtakatifu inanena na mioyo yenu ssa. kuwe na mwanga! kila pepo inalohusika na shida unayopitia , kilicho nyuma na hiyo shida nasema sasa - toka, katika jina la yesu! hiyo roho ya machungu - toka sasa hivi! hiyo roho ya mateso - toka sasa hivi! hiyo roho ya uraibu - toka nje! nanena kwako - kila neno hasi kilichonenwa kwa maisha yako, kwa imani katika jina la yesu - ikaghairiwe sasa hivi! ukaghairi hayo maneno hasi yaliyonenwa juu ya maisha yako. ukatae katika jina la yesu wengi wetu tumepitia mambo yaliyo hasi katika ndoto zetu ndoto za ajabu nasema sasa hivi kila mtu anayeniskia katika prokramu hii aliyeathiriwa na ndoto mbaya hiyo ndoto mbaya, ikatolewe! ikatolewe sasa hivi! sasa hivi! nawataka kwa imani ukaweke mkono wako - mwilini mwako unapohisi uchungu wekelea mkono wako hapo ndio unakuunganisha kama unayo picha aliyedhurika ambaye hayukop na wewe shikilia juu hiyo picha kwa imani roho wa mungu ipo kazini sasa hivi chochote ulichoila kutoka kwa meza ya adui inayosababisha magonjwa , machungu, sema ikatolewe nje sasa hivi! tabika nje katika jina la yesu! toka nje ya mfumo! nje ya viungo vya mwilini! nje ya kila kinachohusu! nanena kwa mifupa chini ya madhara ya magonjwa - ukawekwe huru sasa! ukawekwe huru, katika jina la yesu! nanena kwa damu chini ya madhara ya magonjwa - ukasafishwe ukasafishwe kwa damu ya yesu! nanena kwa hiyo kiungo cha mwili wako uanze kufanya kazi! fanya kazi katika jina la yesu! mahali popote magonjwa inapatikana, ndani na nje, kwa mamlaka na katika jina la yesu natangaza uponyaji sasa hivi! uponywe katika jina la yesu! uponywe katika jina la yesu! Mahali popote maishani mwako inayoathiriwa na magonjwa, mateso na ugonjwa - leo, nanena urejesho! urejeshwe! urejeshwe kwa nguvu ya ufufuo! wewe shetani ambaye umehusika na machungu hayo, umehusika na laana ya magonjwa nanena wewe shetani lazima uondoke sasa hivi! nasema, ondoka katika jina la yesu! ondoka na magonjwa ya mgongo, ondoka na magonjwa ya maumivu ya roho ondoka na magonjwa ya magoti, ondoka na magonjwa ya maumivu ya kichwa! ondoka, katika jin ala yesu! kuna wengi wetu ambao tumepatwa kwa mzunguko wa kunyanyaswa kutoka vizazi hadi vizazi unyanyasaji unaokaa na magonjwa, magumu na umaskini. sasa hivi, nasema kwako - ukawe huru kwa huo mviringo ukawe huru sasa hivi! ukawe huru kwa huo mviringo wa magonjwa! ukawe huru kwa huo mviringo wa umaskini! ukawe huru kutoka mzunguko wa kutosonga mbele ukawe huru! ukawe huru sasa hivi! najua kuna wengi wetu ambao tumeshikwa kwa mzunguko wa mahangaiko mahangaiko katika mahali pa kazi, fedha na biashara imetosha! sasa hivi, mzunguko wa mahangaiko - ikavunjwe! ikavunjwe sas hivi! navunja hiyo nyororo ya mahangaiko! navunja katika jina la yesu.