naona ukitoka kwa hiyo ngome
toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi!
toka kwa ngome ya laana ya vizazi
toka kwa ngome ya mateso
toka kwa ngome ya uraibu
toka kwa ngome sasa hivi!
sijui uchungu unayopitia sasa
iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo
lakini kitu moja najua ni kuwa
kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana,
ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako
kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako
usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa
hapa, sasa hivi
ni wapi unakotoka sio muhimu
cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa
hapa, wakati huu
fungua moyo wako kwa mungu
fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu
ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita
katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni!
ni wakati wa kuomba sasa!
kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita
ikanyamazishwe, katika jina la yesu.
hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu
kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia
hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele -
nasema, itolewe!
itolewe sasa hivi!
hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu,
hiyo roho ya chuki -
itolewe katika jina la yesu!
sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka
au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni
nanena kwako sasa kwa imani -
leo ni siku yako ya kuwekwa huru
uwekwe huru kutoka hiyo ngome!
uwekwe huru katika jina la yesu
uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa
uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya
ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa
nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome!
toka katika hiyo ngome sasa hivi!
naona ukitoka kwa hiyo ngome
toka katika hiyo ngome sasa hivi!
toka kwa ngome ya laana ya vizazi!
nje ya ngome ya mateso!
toke nje ya ngome ya uraibu!
toka kwa hiyo ngome sasa hivi!
chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako
nanena uwachiliwe huru sasa hivi!
ukatolewe kutoka gizani!
ukatolewe kutoka magonjwe!
ukawekwe huru kutoka nguvu za adui!
uwachiliwe sasa hivi, katika jina la yesu
ndio, watu wa mungu, kuwekwa huru unafanyika sasa.
roho mtakatifu inanena na mioyo yenu ssa.
kuwe na mwanga!
kila pepo inalohusika na shida unayopitia , kilicho nyuma na hiyo shida
nasema sasa - toka, katika jina la yesu!
hiyo roho ya machungu - toka sasa hivi!
hiyo roho ya mateso - toka sasa hivi!
hiyo roho ya uraibu - toka nje!
nanena kwako - kila neno hasi kilichonenwa kwa maisha yako,
kwa imani katika jina la yesu - ikaghairiwe sasa hivi!
ukaghairi hayo maneno hasi yaliyonenwa juu ya maisha yako.
ukatae katika jina la yesu
wengi wetu tumepitia mambo yaliyo hasi katika ndoto zetu
ndoto za ajabu
nasema sasa hivi kila mtu anayeniskia katika prokramu hii
aliyeathiriwa na ndoto mbaya
hiyo ndoto mbaya, ikatolewe!
ikatolewe sasa hivi!
sasa hivi! nawataka kwa imani ukaweke mkono wako -
mwilini mwako unapohisi uchungu
wekelea mkono wako hapo ndio unakuunganisha
kama unayo picha aliyedhurika ambaye hayukop na wewe
shikilia juu hiyo picha kwa imani
roho wa mungu ipo kazini sasa hivi
chochote ulichoila kutoka kwa meza ya adui
inayosababisha magonjwa , machungu, sema ikatolewe nje sasa hivi!
tabika nje katika jina la yesu!
toka nje ya mfumo!nje ya viungo vya mwilini! nje ya