naona ukitoka kwa hiyo ngome toka kutoka kwa hiyo ngome sasa hivi! toka kwa ngome ya laana ya vizazi toka kwa ngome ya mateso toka kwa ngome ya uraibu toka kwa ngome sasa hivi! sijui uchungu unayopitia sasa iliyokufanya uingie kwa maombi siku ya leo lakini kitu moja najua ni kuwa kwa kuwa haujasimamisha wewe kutafuta uso wa bwana, ni kwa ukombozi wako sio kuharibiwa kwako kwa hivyo usione uchungu; ukaangalie tu nia ya mungu kwako usiangalie yaliyopita; angalia kile ambacho mungu anasema kuhusu ya sasa hapa, sasa hivi ni wapi unakotoka sio muhimu cha muhimu ni moyo wako uamuzi wa moyo wako sasa hapa, wakati huu fungua moyo wako kwa mungu fungua moyo wako kwake na uwache nguvu ya roho mtakatifu ukaoshe kila uchungu ya yaliyopita - kila aibu, majuto, magonjwa yaliyopita katika anga huu wa imani, watu wa mungu, inukeni! ni wakati wa kuomba sasa! kila uongo shetani ametumia kukukumbusha yaliyopita ikanyamazishwe, katika jina la yesu. hiyo nyororo ya uchungu uliyopita - nasema ikavunjwe katika jina la yesu kumbuka, unachoshikilia dhidi ya mtu yeyote kwa hakika inakushikilia hiyo roho ya kukosa msamaha inayokushikilia nyuma usisonge mbele - nasema, itolewe! itolewe sasa hivi! hiyo roho ya kutosamehe, hiyo roho ya machungu, hiyo roho ya chuki - itolewe katika jina la yesu! sasa hivi watu wa mungu, sijui ni ngome gani shetani amekuweka au njia ambazo ametumia kukuweka ngomeni nanena kwako sasa kwa imani - leo ni siku yako ya kuwekwa huru uwekwe huru kutoka hiyo ngome! uwekwe huru katika jina la yesu uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya magonjwa uwekwe huru sasa hivi kutoka ngome ya ndoto mbaya ukawe huru, katika jina la yesu, kutoka hiyo ngome ya kufungwa nasema, uwachiliwe kutoka hiyo ngome! toka katika hiyo ngome sasa hivi! naona ukitoka kwa hiyo ngome toka katika hiyo ngome sasa hivi! toka kwa ngome ya laana ya vizazi! nje ya ngome ya mateso! toke nje ya ngome ya uraibu! toka kwa hiyo ngome sasa hivi! chochote cha giza ambacho kiko ndani ya maisha yako nanena uwachiliwe huru sasa hivi! ukatolewe kutoka gizani! ukatolewe kutoka magonjwe!